KOMANDO ALIYETAKA KUMPINDUA NYERERE AJULIKANA:ANGEMPIGA RISASI/VITA VYA UGANDA/NI SIRI NZITO.PART3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

КОМЕНТАРІ • 58

  • @leonardchabruma2377
    @leonardchabruma2377 3 місяці тому

    Aiseee this guy knows something

  • @LezilayKaijage-z6t
    @LezilayKaijage-z6t Рік тому +5

    Alikuwa anatoka Butiama sio Kenya na walitaka kumuulia kanisani St Peter

  • @msemakweli5938
    @msemakweli5938 Рік тому +2

    Anajaribu kutengeneza Historia ambayo ajaifanyia utafiti wa Kina ,kwanza sio kweli mwaka 1992 hapakuwapo jaribio la mapinduzi ya kumtoa Nyerere ,kwa sababu mwaka 1992 mwalimu alikuwa hayupo madarakani,

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 11 місяців тому +1

    Broo nakubali sana sana unaongea ukweli Sasa hivi Dunia imebadilika ukweli unatakiwa sio uongo umetawalaa

  • @luzigakapande6921
    @luzigakapande6921 9 місяців тому +2

    Rip Makufuli

  • @eliufoom6195
    @eliufoom6195 Рік тому +2

    Yuko vizuri sana shida ni hapo kwenye kuamini mizimu tu ndio panaponikera

    • @valentinernestkavishe7297
      @valentinernestkavishe7297 9 місяців тому +1

      Iyo ndo dini ya kweli Africa, yani kuamini kwenye ukristo au uslam ni sawa na mtu aliyeajiriwa, kumwamini mungu ni sawa na mtu aliyejiajiri! Sasa maamuzi ni yako , kujiajiri au kuajiriwa, kumbukumbu dini tumeletewa

    • @elinisafibabarita
      @elinisafibabarita 8 місяців тому

      @@valentinernestkavishe7297 Ila weweee🤣🤣🤣 haya bana. Duh

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 5 місяців тому

    Yamipaka sawa nimekuelewa

  • @LezilayKaijage-z6t
    @LezilayKaijage-z6t Рік тому +2

    Walitaka kumuulia kanisani st Peter oysterbay sio airpot.hii ni historia kuwa makini.

    • @msemakweli5938
      @msemakweli5938 29 днів тому

      kabisa lazima awe makini katika historia ,tukio lilitaka kutokea kanisani St.Peters pale oysterbay sio uwanja wa ndege. kuna tax driver alihusika katika kutoa kutoa taarifa .

  • @leonardchabruma2377
    @leonardchabruma2377 3 місяці тому

    Very funny guy

  • @luzigakapande6921
    @luzigakapande6921 9 місяців тому

    Alikuwa hatuki Kenya alikuwa anatoka Butiama. Historical zenu zinapotosha watu fanyeni utafiti Kwanza

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 Рік тому +3

    Uko sahihi sn, atakaekupinga ni mpuuzi

    • @minabw7301
      @minabw7301 Рік тому

      Story zake sio sahihi kihivyooo. Mwenye story za uhakika kuhusu maswala hayo ni mzee Peter Bwimbo yupo hai miaka 94 na akili timamu. Mzee anaishi Dar as salaam na ndie alikua mlinzi mkuu wa mwalimu Nyerere na ndiye aliyemlinda na kumficha katika matukio hayo. Kitabu chake kinaitwa Mlinzi mkuu wa mwalimu Nyerere Kiki Amazon , Google

  • @davidpaschal778
    @davidpaschal778 Рік тому +3

    Istoria yeke takusoma ila r.I.p magu

  • @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
    @PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp 5 місяців тому

    Kwatanzania nikiongozi gani ametengenezwa

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 9 місяців тому

    Mtani wangu upo sahihi

  • @minabw7301
    @minabw7301 Рік тому +1

    Huyu anadhani watu waliokuwepo wakati huo walishakufa wote kwahiyo anabwabwaja utumbo. Well, some are still alive. Huyu si anajidai anajua sana usalama wa Taifa sasa aeleze lile gorofa la Uhamiaji pale kurasini original owner alikua nani? Na gorofa la pili yake wanapoishi mapadri au wakatoliki nani original owner wa Ile ngome? Na magorofa ya mitaa Ile nani original owners? Anajitia mjuaji

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Рік тому

    Kaka na kuelewa sana vp naweza je kupata vitabu vyako kununua mie nipo south Africa 🇿🇦

  • @aloycekayanja1756
    @aloycekayanja1756 8 місяців тому

    Hapo kibiti umendanganya jeshi yaani jwtz,Sio kweli waulize walio kwenda kwabahati Mambo hayo hayana mda mrefu waliohusika wapi!

  • @josephmaleckela9904
    @josephmaleckela9904 9 місяців тому

    Dah ! Huyu kijana mtupu mnooo ! Hajui historia yeyote ile ! Ni vurugu tupu !!

  • @MakaoSimba-d4t
    @MakaoSimba-d4t Рік тому

    Kwahiyo hata mafunzo ya kijeshi tulipewa n a jeshi la Nigeri

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Рік тому +1

    Huyu kijana Ni mwongo . Hajui historia ya Jambo analolizumgumzia

    • @minabw7301
      @minabw7301 Рік тому

      Yap! mwache ajichanganye tu ataingi 18 za watu. Ukweli wa historia hizi pata kwa Mzee Peter Bwimbo yupo hai na akili timamu miaka 94. Mzee anaishi jijini Dar na ndio aliyekua mlinzi mkuu wa mwalimu Nyerere na vilevile mzee Bwimbo Ana mji mkoa wa Mara silaha ya Bunda kijiji cha kisorya uliza kwa Bwimbo utaonyeshwa na Bwimbo ni nani

  • @victorlashikoni-ji3js
    @victorlashikoni-ji3js 7 місяців тому

    Mwongo wewe Mohamed Tamimu hakuwa Commando

  • @Mfundo272
    @Mfundo272 Рік тому

    Bro hii story yako tafuta walioona live wakupe details, unapenda. Hadithi lakini huna details za ukweli, tutafute tukupe details za ukweli

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Рік тому

    We ni nani vilee ivi Mambo yote unayajua

  • @kinigarm8239
    @kinigarm8239 Рік тому

    Any person not any people.

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 Рік тому +2

    Ilikuwa mwaka 92 au 82 ? Najua unayasoma jitahidi kutunza kumbukumbu, mwaka 92 Raisi alikuwa Mwinyi.

  • @peterrulagora7403
    @peterrulagora7403 Рік тому +1

    Amekosea ila nadhani anamaanisha mwaka 1982 sio 92

    • @simonitolya8029
      @simonitolya8029 7 місяців тому +1

      Yes,upon sahihi,,92 Mwalimu hakuwa madarakani

  • @Andres-qt6kp
    @Andres-qt6kp Рік тому +1

    Hajakariri vizuri historian lazima iheshimiwe kwa ukweli wa historia yenyewe Raisi Ally Hassan Mwinyi 1992 hakuwahi kupata jaribio lolote

  • @jeromejosia-zp7gr
    @jeromejosia-zp7gr Рік тому

    Naweza kupata kitabu

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 Рік тому

    Mwl Nyerere alitaka kupinduliwa mwaka 1983 na siyo 1992 chimba tena upate uhakika Maelezo yako ni mazuri

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 Рік тому

    TAFUTENI WATU SAHIHI WA KUWAHOJI HISTORIA YA NCHI HII,,,, sio mtu kasimuliwa huko, na nyie mnamuita kusimulia alivosimuliwa

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Рік тому

    Danganya mbumbu wenzako wasiojua historia ya kweli.

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 Рік тому

    kwanza anaonekana ana chuki na RAISI WETU WA WANYONGE, The Late JPM, MSIMLETE HAPA HUYU MJINGA

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 10 місяців тому

      Hiyo si yy tu watu wote waliopoteza watu wao ktk utawala wake wa kiimla hawampendi

  • @dahlainismail6837
    @dahlainismail6837 Рік тому +1

    Tupe madini mkuu ututoe matogotogo

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Рік тому

    Dupa unachukua madini kwa mshuwa yerico mabadiliko yanakuja

  • @haidarishemahonge9357
    @haidarishemahonge9357 Рік тому

    Sometime jamaa Anakuja alafu kama vile namkataa fran hv...nikisoma comments ...Mnao jua vema ...Embu Mkaombe nafas kama hz...Mtupe sis wa miaka 84 ..tutaamin wap?

    • @minabw7301
      @minabw7301 Рік тому

      Mlinzi mkuu wa mwalimu Nyerere yupo hai Ana miaka 94 yupo jijini Daressalaam na akili timamu na Ana kitabu kinaitwa mwalimu mkuu wa mwalimu Nyerere Kiko google, Amazon. Mzee Peter D. M. Bwimbo, mzee black belt na ndio aliyemficha mwalimu kwahiyo hakuna risasi ingeweza mpata mwalimu nyerere.

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 Рік тому

    Anatoaje historia nyeti hivyo za kiUsalama???Kama lengo la serikali lilikua ni kuziHide, yy kapata wap kibali cha kuziToa???? HAMUONI KAMA MNAMPONZA?

  • @jamirually893
    @jamirually893 Рік тому

    Miaka mitano ya jpm ndo idara zilifanya kaz vzuri ww kumbe una chuki mshenz hapo umeharibu ujui chochote

  • @selemanmcharazo
    @selemanmcharazo Рік тому

    Dar 24 ndo watu kama Hawa mnawaleta studio hawana pointi wajinga eti unazungumza udini acha kupotosha umma waislam wamepigania uhuru wa nchi hili hata Nyerere mwenyewe alikiri Hilo miongoni mean hotuba zake we huna unachojua unaleta habari za mo setung dikteta wa china acha kuchambua wewe.

  • @Marjeby
    @Marjeby Рік тому +1

    We jamaa una matanizo na upwani na uislam?mie nakuna kama unapiga story tu tena story za upande mmoja tu but you don't have any proof so it's hard for reasonable man to believe your story bna kwendraaa huko

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 Рік тому

    Tamimu alitokea tanga