MTANZANIA ALIYETEKWA NA WANAJESHI NCHINI ZAMBIA AHADITHIA:NI BALAAA/CHUPUCHUPU/NYERERE MSAADA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 кві 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #safari#mbanga #simulizi

КОМЕНТАРІ • 122

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 Рік тому +10

    Mimi ni shuka Lagos MM airport Nigeria nikaonyesha passport nikawekwa pembeni nikatengwa nikapita bila kukaguliwa free kulikuwa na wasouth na wanigeria wenzao walipekuliwa ila nilipita sikukaguliwa wakaniruhusu niende pasport yetu inajulikana kwa kuwa na wafu wastaarabu haki najivunia utanzania.bado niko ughaibuni najivuna sana kuwa mtz wazee tudumishe undugu

  • @RamadhanMakoka-vp9cl
    @RamadhanMakoka-vp9cl Рік тому +14

    Kaunda Alipo wekwa ndani Nyelele Alikwenda Kumtembea Gelezani alipofika Kule Gelezani Akaamua Kukaanae mle Gelezani Akakataa kutoka Akasema Tufungeni Wote Mimi Sitoki Humu Ndani Mpaka Tutoke Wote Huyo Ndie Mwalim

    • @suntzu8959
      @suntzu8959 Рік тому +1

      Ni kweli KK alipowekwa ndani nyerere alimtembelea gerezani mjini Kabwe, Lakini kwamba alikataa kutoka bila KK ni uongo. Aliongea naye, baadaye akaenda kuongea na Rais Chiluba na akarudi Dar. Baada ya siku kadhaa KK alitolewa gerezani na akawekwa kizuizini nyumbani kwake.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale Рік тому

      @@suntzu8959 Utawaweza Wabongo kwa chumvi! he he he he

    • @berthatz
      @berthatz 10 місяців тому

      Wewe nawe siyo Nyelele ni Nyerere

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 5 місяців тому +1

      ​@@TamuzaKale Watanzania ni Watu wa pekee Africa hakuna kama Mtanzania

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Рік тому +7

    Mwalimu Nyerere kweli ni VISA❤️❤️❤️❤️

  • @Chemba67
    @Chemba67 Рік тому +19

    Huyu Kijana ni Mzalendo sana anajigamba na anatamba kifua mbele kua Mtanzania na anaelezea uzuri wa kua Mtanzania. Ni ukweli usiofichika kua watanzania ni wa pekee.....

  • @dullodullodullo686
    @dullodullodullo686 Рік тому +7

    Apo kweli kwenye ukabila udini nyerere kafanya kitu muhimu

  • @juvenaryburchard719
    @juvenaryburchard719 Рік тому +4

    Kweri Mwl alifanya kazi kubwa ya kutuunganisha na alitujengea heshima

    • @rshidmwasa8493
      @rshidmwasa8493 9 місяців тому

      Mbona makabila yalishaunganishwa na machifu wetu kipindi cha kupigana na ukoloni? Huyo Nyerere mwenyewe aliunganishwa na haohao wabongo. Asisifiwe sana kwa kazi ambayo hakuifanya yeye.

  • @user-gr9wc7bc2m
    @user-gr9wc7bc2m 8 місяців тому +2

    Nyerere Mungu alimsaidia hivi vitu huwa vinadumu ikiwa waliobaki wanatunza haki

  • @paschalliving657
    @paschalliving657 10 місяців тому +2

    Am proud to be tanzanian

  • @mashakampembela2552
    @mashakampembela2552 Рік тому +2

    I'm proud to be Tanzanian

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому +2

    Bro nimekuelewa vzr ❤

  • @ucjvvjcjjvih9934
    @ucjvvjcjjvih9934 Рік тому +10

    kweli bro ❤unaongea point 💯salut kwake hata siku zote huwa nafikiria was tu kwetu hamna kama 🇹🇿 ingawa wanatoboa boda mmoja moja siku izi wanatuletea uhalif ni wageni hao ila si uganda si kenya si ruwanga angola wala zibwabwe nitazikwa tz sihami❤❤😂😂😂😂Kwetu

    • @JohnMalambo-hk5hk
      @JohnMalambo-hk5hk Рік тому

      hiyo sio rais

    • @JohnMalambo-hk5hk
      @JohnMalambo-hk5hk Рік тому

      Unazungumzia Zambia sioni we bado Sana nenda sudani au Somalia Zambia tunavyumba Lusaka tunaishi. nakila inchi inachangamoto zake. hata tz yapo marangapi wageni wanakamatwa nawakiwa passport. Ila inakutosha changamoto Ila hiyo nikawaida tu

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому +1

      ​@@JohnMalambo-hk5hk Sio mtanzania wewe ndio nyie tunakuwekeeni alama ya kuuliza ambayo ni hii ? Pumbaaavuuuu wee 😂😂😂

    • @dainangei6608
      @dainangei6608 Рік тому +1

      ​@@shinipapaya846 😂😂😂😂 kwakweli

    • @JohnMalambo-hk5hk
      @JohnMalambo-hk5hk Рік тому

      Papay mwanaume wanamke sijuwi unalewa hicho Kiswahili

  • @aishaz1
    @aishaz1 11 місяців тому

    Bro story kali san umetisha bigp sn ❤❤❤ 254

  • @Solace577
    @Solace577 Рік тому +11

    Watu wanabeza lkn ukiwa Mtanzania nje unaheshimika, Siku moja nimefka Sweden nilipofika tu Allanda airport nikishangaa walipona passport yangu askari wakaniambia are Tanzanian? Lovely people, lovely country hee kidogo machozi ya furaha yanidondoke walivonithamin na nchi yangu

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 Рік тому +2

      Sana yaani!

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 Рік тому +1

      Aman ya nchi inachangia pia

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 Рік тому +1

      Aman ya nchi inachangia pia

    • @yesutuatosha1460
      @yesutuatosha1460 Рік тому +1

      Wachache utawasikia wanasema ukweli wa namna hii very impressive.
      Lovely country ❤️

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 Рік тому +2

      Nilikuwa jidda airport tuko kwenye foleni ikaonekana kijana mmoja msomali Kama tumemvuruga tukaludi nyuma kumpisha,Alishanga na kuuliza are you Tanzanian,nilifarijika Sana maana alijua busara zetu

  • @solutionprovider7155
    @solutionprovider7155 Рік тому +2

    Hilo la iT umeongea kweli serikali inakosa mapato bila kujua kisa Sheria nyingi

  • @henrysizya239
    @henrysizya239 Рік тому +3

    Jamaa katema madini kweli kweli!

  • @user-ch3ku3yx2z
    @user-ch3ku3yx2z 4 місяці тому

    Nabii akubariki kwao

  • @abbacushabba4110
    @abbacushabba4110 Рік тому +3

    Ndio, hapo hitapugua magendo na rusha.

  • @selemanshaban7496
    @selemanshaban7496 5 місяців тому

    MWANDISHI YUKO VZR SANA
    ANAJUA KAZI YAKE

  • @berthatz
    @berthatz 10 місяців тому +2

    Halafu majirani hao wanalalamika kutwa wakiingja TZ na wakikujua wewe Mkenya tu utakoma😂😂Kumbe tabia inawaponza.😂

  • @thomasgogomoka6404
    @thomasgogomoka6404 5 місяців тому

    Ukabila tumeuishinda Ila udini bado upo Tanzania, ubaguzi wa kidini upo

  • @JamilSalanga-bv9of
    @JamilSalanga-bv9of Рік тому

    Nafurah kukuona pacha wangu

  • @user-jf7vx9nb9m
    @user-jf7vx9nb9m 3 місяці тому

    Itakua nyerere kawakomesha ndo maana wanaogopa

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 5 місяців тому

    Yeah!Mwl.JKNyerere ndiye aliyeendesha harakati za ukombozi wa bara la Afrika.makao makuu ilikuwa jiji la Dar es salaam.Hata putin anamjuwa Nyerere ni nani .Nina bahati kiumbe kuzaliwa Tanzania, nchi ya Nyerere.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому +2

    Tembea nje ya Tanzania kuna ukabila na udini unaulizwa wewe ni dini gani ukimwambia anakuwa karibu na wewe kama utakuwa itikadi moja tofauti ni kubwa mnoo

  • @solomonnanguni2688
    @solomonnanguni2688 Рік тому +1

    Kijana eleza maswahibu yako yaliyokupata huko, acha kuupinga mwingi. Unapoteza muda wetu na airtime zetu.

  • @suleimansadalla5606
    @suleimansadalla5606 10 місяців тому

    Kijana muelewa sana

  • @khamisidowany6262
    @khamisidowany6262 5 місяців тому

    Thamin vya kwenu

  • @CONSTANTINEBUKOMBE-ii7zh
    @CONSTANTINEBUKOMBE-ii7zh 9 місяців тому

    Yani huyu msimulizi anafanana sana na niyonzima

  • @user-xy4wc9gs7y
    @user-xy4wc9gs7y 5 місяців тому

    Mwalimu alikuwa kipao mbele kuwasaidia wa Zambia kupata Uhuru, pili Kyoto wankaunda alimuowa mtoto wa nyerere

  • @fahmyzicoify
    @fahmyzicoify Рік тому +1

    Zambia tatizo. Kuna jamaa amesaidia kijana mdogo mgonjwa na familia yake lifti hivyo hivyo. Kijana akafia garini. Walimuambia ameshiriki katika kumuua. $$maelfu kuchomoka kwenye cell na case

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 Рік тому +2

    Main story nzuri lakini anaikata sana kuomgea vipambo vingine!

  • @tunudimandogreek9683
    @tunudimandogreek9683 Рік тому

    Usemavyo ni kweri kabisa mi yamenikuta Greece nilisaidiwa njiani kwa jina la Nyerere,na nilikuwa nime kata boda la Uturuki kingia Greece.

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 Рік тому +1

    Ushauri wa kujipendekeza

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 Рік тому

      Kaongea kwa faida yao wahusika wa hio kazi kujipendekeza hio vipi

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale Рік тому

      Umri wake unamruhusu!

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Рік тому +1

    anazungumza sana toa point nini fasta sio maneno mengi

  • @RamadhanMakoka-vp9cl
    @RamadhanMakoka-vp9cl 5 місяців тому

    Alicho fanya Mwalimu Ni Rais was Kwanza wa ZAMBIA aliweka ndani na mrisi wake Mwalimu Akapata taarifa Akaenda ZAMBI MPAKA Mahabusu Aliowekwa Akaomba Kuingia ndani Aonane nae Muda Ukaisha Akaambiwa Atoke Akasema Mimi Sitoki Mimi nipo na Rafiki YANGU Mimi Sitoki MPAKA Nitoke nae Twende Kwake Wasaidizi wake Wakawaka Ikabidi Wawatoe Wote

  • @khamisidowany6262
    @khamisidowany6262 5 місяців тому

    Nying mnabisha wkt jamaa anaongea ukwl msafir nje mkaone

  • @elvisoscar9912
    @elvisoscar9912 Рік тому +2

    Mimi natamani Sana siku moja kuishi Lusaka zambia na kufanya kazi uko Zambia napapenda Sana wazambia wako na roho nzuri Sana tofauti na watanzania

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Рік тому +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿🙏🙏🙏

  • @talibfoum8643
    @talibfoum8643 Рік тому +3

    Nyerere wazanzibari hatumuelewi kabisa kwa mbegu alizozipanda kwetu

    • @theleo3899
      @theleo3899 Рік тому +1

      Utamwelewa tu

    • @dainangei6608
      @dainangei6608 Рік тому +1

      Meza viwembe kumi tu ndo utajua kama unamuelewa au vip 😂😂😂

    • @alfinmbilinyi5985
      @alfinmbilinyi5985 5 місяців тому

      Wewe unaubaguzi huwezi kumwelewa mwalimu alivyowapa fursa watanzania wa visiwani .Nenda pemba ya Msumbiji kote kuna watanzania wa visiwani wanatajilika huko kwa misingi ya Nyerere wewe una baki tu kuutukuza ubaguzi wa kijinga.wenzio wa visiwani wapo songea Dar Arusha Dodoma wanamiliki ardhi na majumba ya kifahali wewe umekalia maubaguzi ya kijinga .Nenda somalia nenda nchi za kiarabu watu wa aina moja dini moja rangi moja wanauana kila kukicha harafu wewe unamdharau baba wa taifa !pumbavu zako.

  • @omarimkettoomari576
    @omarimkettoomari576 Рік тому +1

    Kingine ambacho alikua alikuiwbie apush histori book ya rais kaunda ataikita wasifu.wa myerere

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 Рік тому +2

    Nani kakudanganya anapumzika kwa Amani? Kule kuna Nyundo

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому

      @Mansoor Mwarabu koko ww ndio nyie mnawekewa alama ya kuuliza ambayo ni hii? 😂😂😂😂😂

  • @saidimafu9524
    @saidimafu9524 Рік тому

    Zambia sio nchi yakuishi

    • @josephmakutano7067
      @josephmakutano7067 Рік тому

      Watz niwengisana wanaishi kule nabiashara wanaendesha bila plesha yoyote,lakini wazambia hawawezi kuishi tz

    • @saidimafu9524
      @saidimafu9524 Рік тому

      @@josephmakutano7067 ofcouse lakini wanasheria zakuumiza wananchi sana

    • @gabrielsiame5725
      @gabrielsiame5725 Рік тому

      Zambia Tunaishi Zambia hatunanga matatizo namtu

  • @emanwelywambura2614
    @emanwelywambura2614 6 місяців тому

    Muongo dogo tena sana

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 Рік тому +1

    Nyerere was a great man for sure

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 10 місяців тому

    Ati kiongozi wa dunia,Nyerere ni Kiongozi wa shetani

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 Рік тому +1

    Watu wake wasukuma

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому

    Acha story hizoooo zambia no zingy people

    • @charlescharles8531
      @charlescharles8531 Рік тому

      Kwer kabisa Zambia ni peace sana .bola angesema ata Zimbabwe Ndo waduanz

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому

    Nyee vijana nawaonea. Huruma kwanini munafanya porojo zabure kabisa ,au nyee watoto wamaccm,mzambia hawezi kuishi tz kugumu,acha unafiki nyerere aliharibu mfumo wautawala

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Рік тому

      Sio mtanzania wewe jinga wewe @Joseph fanya uludi kwenu tu 😂😂😂

    • @dainangei6608
      @dainangei6608 Рік тому

      Kwani umemuelewa anachozungumzia wewe? Kwan kakwambia wazambia wanaweza kuishi tz 😂 muone kwanza Baki hukohuko Zambia usije huku

    • @JohnMalambo-hk5hk
      @JohnMalambo-hk5hk Рік тому

      @@shinipapaya846 mshamba wamazingira

  • @alexikagoma5135
    @alexikagoma5135 Рік тому

    Acha wazambia wanampa nafasi kila mtu bwana kitu kingine usijidanganye sana eti mwalimu nyerere katembeye nchi zawatu Pila kibali ukataje nyerere tuone kama watakuacha

    • @dainangei6608
      @dainangei6608 Рік тому

      We sio mtanzania Baki kwenu😅

    • @alexikagoma5135
      @alexikagoma5135 Рік тому

      @@dainangei6608 mimi sina haja na Tanzania hakuna kitu inaweza kunisaidia sasa nanyinyi baki kwenu tz mbona mnazulura katika nchi zawatu mnatafuta nini

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 5 місяців тому

      ​@@alexikagoma5135Kwanza wewe unatokea nchi gani 😅 kongo au Burundi au Rwanda 😅

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Рік тому +1

    Unafukiri utapata kazi selikalini kaeni kwenye nchi yenu ya manyanyaso nchi ya unanijua mimi ninani

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 Рік тому +1

      ZAMBIA NI NZURI KWA VILE HAWATUUI ILA HAWAPENDI KUONA TUNAFANIKIWA , KUNA JAMAA ALINYANG'ANYWA WATOTO NA MALI NA KUFUKUZWA KABISA. NA CHECK POINT ZIKO NYINGI TOFAUTI NA TZ , NA UKAGUZI MWINGI ILA HAWATUUI.

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 Рік тому +2

    Ukabila alileta Magufuli kujaza watu serikalini.

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 Рік тому +2

      Shukuruni sana WaBongo, njooni Kenya mujue maana na athari za Ukabila !

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 Рік тому +2

      Mansoor pole hujui ukisemacho

    • @mansooralaisri5200
      @mansooralaisri5200 Рік тому +1

      @@mathewtwimanye92 Tanganyika inapata Uhuru mimi nipo mtu mzima nina akili zangu. Usiojuwa kitu wewe. Madhambi ya kila Rais ninayajuwa kuanzia Nyerere.

    • @wilfredaxwesso7394
      @wilfredaxwesso7394 Рік тому +3

      Et unajua madhambi ya kila raisi ,je nani anayajua yakoooo? .Kafiri mkubwa wewe

    • @wilfredaxwesso7394
      @wilfredaxwesso7394 Рік тому +1

      Kama Tanganyika inapata uhuru una akili zako kweli ulikuwa mtu mzima ila maoni ya kitoto

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 5 місяців тому

    Wazambia walishakuwa huru acheni uongo! Zambia ilkuwa ni miongoni mwa mataifa yaliyokuwa mstari wa mbele katika kulikomboa eneo la SADC!

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 Місяць тому

      Mimi nyerere simkubali kwa sababu kaisaliti nchini yangu kwa na alikuwa ikituchukia pamoja na taifa letu kalitia umasikini kwa ubinasfi wake