ALIYETAKA KUMPINDUA NYERERE AJULIKANA:MIPANGO YA "URUSI"/VITA VYA UGANDA/UJASUSI NI SIRI NZITO.....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лют 2023
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Ujasusi #ukraine #maelezo

КОМЕНТАРІ • 44

  • @dar24media
    @dar24media  Рік тому +2

    USIKOSE KUFUATILIA MUENDELEZO WA KIPINDI HIKI,UTAKUJIA SIKU YA JUMA PILI YA TAREHE 26/02/2023......SAA TANO KAMILI ASUBUHI

  • @leahmwangi1198
    @leahmwangi1198 Рік тому +2

    Nimepata mafunzo mzuri sana hizi maswala zinaelezea mwafrika maisha yake kila mahali afrika mashariki haswa kenya na tz

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Рік тому +2

    Dar24 mnajutahidi sn ktk mahojiano wew na Stanslaus Lambert mpo vizuri sana

  • @yazidusaidi8843
    @yazidusaidi8843 Рік тому +5

    Marvelous, sijakisoma kitabu hiki, ila kupitia interview hii, kwa kweli nitakitafuta nikisome, bravo! ameiweka vizuri dhana ya ujasusi.

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Рік тому +4

    Mpo vizur sana

  • @jamirually893
    @jamirually893 Рік тому +4

    Yani Africa ilibidi tumuunge mkono Putin maana katusaidia Sana warus ni binadam sio wamagharibi

  • @mphotshoke7760
    @mphotshoke7760 Рік тому

    Nakubal sana mwanangu supa dupa✌️🤛🔥🔥🔥🔥

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 Рік тому +1

    Huyu Jamaa ana akili sana,Hongera sana Yericko Nyerere. Sema Upo Taifa ambalo linaamini ili utumike lazima uwe CCM

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 Рік тому

    Hongera sana Jerico

  • @reygalnmahundi7754
    @reygalnmahundi7754 Рік тому

    Super

  • @elvissamwel6676
    @elvissamwel6676 Рік тому +1

    Kaka nahitaji kitabu..Cha ujasusi wa kiuchumi na dola

  • @ameokichaka9456
    @ameokichaka9456 Рік тому

    Daaaa aiseee

  • @jacobmazengo6302
    @jacobmazengo6302 Рік тому

    Mbona mnachelewesha muendelezo sana

  • @alimsuleiman465
    @alimsuleiman465 Рік тому +2

    Hiki kitabu kinapatikanaje nakihitaji

  • @otmarmkali8883
    @otmarmkali8883 Рік тому

    broo umepambana sana. mana kitabu kuandika kwake mpaka kitimie ni hatar

  • @albertkassim3286
    @albertkassim3286 Рік тому +3

    Nimesha jua kwann saanane alitoweka jamaa umemponza mwenzako weweee! Walio husika kuandika wote wamekimbia chama na mmoja hajulikan alipo, una bahat ya kuwa mtu mwenye damu moja na Mwalim, Ndicho kilicho kuokoa.

    • @deokibona2835
      @deokibona2835 Рік тому

      Huyu hana uhusiano wowote na mwalimu. Na Wala sio mtu wa Kanda ya ziwa.

  • @allymoshi2053
    @allymoshi2053 Рік тому

    Acha uongo kitambo hcho internet cafe zlkuwa kibao t watu wanapata habar

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 Рік тому

    Tuna ma Genius Tanzania lakini kinachoharibu ni ccm

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 Рік тому

    Mtanzania wa kwanza kufanya nini! Acha matango

  • @ritchiemuta1092
    @ritchiemuta1092 Рік тому +1

    Mkuu wewe sio mtanzania wa kwanza kutumia mitandao ya kijamii miaka ya 1993 au 94 kulikuwa na Tanznet ambayo ilikuwa based US na wanafunzi wengi wa TZ tuilitumia kujua habari za nyumbani

  • @salimucvales7495
    @salimucvales7495 Рік тому

    Naweza kupata wapi hicho kitabu

  • @blackjack3356
    @blackjack3356 Рік тому

    Mbona mjamaliza

  • @augustinob.toke1012
    @augustinob.toke1012 Рік тому

    Sorry hicho kitabu naweza kukipataje?

  • @NETIQIncorporation
    @NETIQIncorporation Рік тому +1

    We muongo, siyo wa kwanza husidanganye watu. Mimi binafsi nimeanza kutumia mitandao 1997. Wapo wengi wa zamani siyo wewe

  • @issamakwaya-fo4qw
    @issamakwaya-fo4qw Рік тому +2

    Mjinga huwa hajiamini bali mpumbavu ndio hujiamini sana lakini hajui kitu na anajiona anajua lakini hajui kitu.
    Kwa mjinga yeye hajui na kweli hajui na pia anajua kuwa hajui,ukimwelewesha anajua na tayari ujinga unakuwa umekwisha.Nature kila mtu ni mjinga na hakuna mtu sio mjinga,kwani hakuna mtu anaye juwa kila kitu.

  • @khalifaaliomar7989
    @khalifaaliomar7989 Рік тому

    Na mm nahitaj icho kitabu wp nitakipata

  • @ibrahimrashid951
    @ibrahimrashid951 Рік тому

    uwongo yeye alikuwa mjamaa duuuu

  • @jamirually893
    @jamirually893 Рік тому +1

    Sehem ya pili Iko wap?

    • @dar24media
      @dar24media  Рік тому

      usikose muendelezo wa kipindi hiki siku ya jumapili ya tarehe 26/02/2023, saaa tano kamili

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 Рік тому

    Tatzo lenu hua mnaleta stori alafu mnasema mlaleta mwendelezo n hamlet au mkileta maletaaa kwa kuchelewa utazan mb tuna tumia zenu

    • @dar24media
      @dar24media  Рік тому +1

      usikose muendelezo wa kipindi hiki siku ya jumapili ya tarehe 26/02/2023, saaa tano kamili

  • @mastaplan
    @mastaplan Рік тому

    Mkuu hapo umetumia kauli TATA inabidi ukaombe radhi chuoni au hata kupitia mtandaoni bila ya hivyo ni kesi hii...(CHUO CHA MA-HOUSE GIRL)

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Рік тому

      Ndo mjitahidi Kiwe chuo cha nyumba ya maarifa

    • @mastaplan
      @mastaplan Рік тому

      Acha kujibu kwa mhemko mkuu

    • @chrisscymbian4747
      @chrisscymbian4747 Рік тому

      Mtu kama uyu ndo siku anataka kua kiongoz uku kichwan kwake ana negative attitude km ivo

  • @fredsanga9461
    @fredsanga9461 Рік тому

    Unauza wewe tu, na house of wisdom, so amazon na wallmart hawapo tena?

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 Рік тому

    Tanikaty ilinga hiyo

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Рік тому

    Kichwa Cha Habari Akiendani Na Story Zenu Inamana Mnakula MB Za Bule Kwa Habari Za Uongo Akuna Kisa Mpango Na Vita Mnaongea Ujinga Mtupu

  • @donnyshule7432
    @donnyshule7432 Рік тому

    Hacha uongo wewe