INJINIA AINGIA KWENYE 18 ZA RC MWANRI/ ASOMESHWA NAMBA HADHARANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 410

  • @asiasaidi6302
    @asiasaidi6302 2 роки тому +12

    Mungu aendelee kukupumzisha kwa Aman hayati Dr John Joseph pombe magufuli

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 7 місяців тому +5

    Sema hv Ma Samia Nakuomba Mrudishe Huyu Kazini Tena Umweke na Makonda Utaona nchi itakavyo safishika nakutftia 5 G Bora Tanzania hpo ni 2

  • @decruzz6792
    @decruzz6792 9 місяців тому +26

    27/4/2024 kama unaangalia Gonga Like

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 5 років тому +166

    Kama mnaona uyu jamaa anafaa kuwa raisi agonge like apo chini

  • @isamazatv.115
    @isamazatv.115 5 років тому +19

    Good leadership hongera sana from Canada

  • @farajakihembwe307
    @farajakihembwe307 4 роки тому +5

    nakupenda,nakueshimu,huko ulipo kiongozi Bora RC agrey Mwanri

  • @mohamedkigwehe3479
    @mohamedkigwehe3479 5 років тому +6

    Safi sana mkuu nimekukubali mzee upo vizuri kwenye kazi yako

  • @Games-b8
    @Games-b8 5 років тому +48

    Nataka watu wa mkoa tu wagonge like hapa

  • @beatricshadrack321
    @beatricshadrack321 2 роки тому +28

    Kwa upande wangu anafaa kua Rais wa Tanzania, haki ya MUNGU nasema!!!!!

  • @abdulhemedabdulhemed7110
    @abdulhemedabdulhemed7110 3 роки тому +95

    Wangapi tumepitia hapa mwaka huu nipeni like plz

  • @eliakazana7252
    @eliakazana7252 3 роки тому +46

    Anafaa sana kuwa makamu was raisi,gongs laiki kama umekubali

  • @am_blessed.1
    @am_blessed.1 4 роки тому +41

    Nataka watu wa mkoa tu GONGA LIKE hp 😁😁😁

  • @barakajulius5938
    @barakajulius5938 5 років тому +34

    Hivi Raisi anafuatilia clips za huyu bwana!,huyu ndo best kuliko wote

  • @ayubuwilliam130
    @ayubuwilliam130 4 роки тому +2

    Ongera kwa kazi nzuri kustaafu kwako kuwe kwa amani

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 5 років тому +10

    Dah yani huyu mkuu ni nomaaa,hataki utani na kazi angekua headquarter ingekua noma zaid

  • @yahayamkone4040
    @yahayamkone4040 5 років тому +14

    Mzee wangu kweli unapiga kazi kisawasawa hongera muheshimiwa rais wetu kwa kumchangua mpiga kazi huyu

  • @davismremi8986
    @davismremi8986 3 роки тому +25

    it is my tradition to come and watch this in a while.....

  • @ramsoramaa6798
    @ramsoramaa6798 4 роки тому +4

    Mwalimu Dotto pole kwa kusoma 👍👍

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 років тому +87

    Mh. Rais wangu utakapomaliza mda wako mkabidhi huyu uraisi maana wazembe watanyooka2.

  • @jafarymdollo4420
    @jafarymdollo4420 5 років тому +6

    Napenda kufanya kazi na huyo mzee somaa hiyo

  • @erickmassawe5107
    @erickmassawe5107 5 років тому +13

    huyu mchaga ni noma xana nataman angerud awe mkuu wa mkoa wa kilmanjaro awaonyeshe kaz hapo wanyamwez wamekoma ubixhi

  • @veronicasamson7121
    @veronicasamson7121 2 роки тому +1

    Mwanry anatakiwa kua Naibu Waziri UJENZI. Ndo wajanja WATAKOMA!!!!😀😀. HONGERA SANA MH MWANRY. Kiongozi Bora na mcheshi..😍🤝🤝🤝

  • @bockernyarusahi3655
    @bockernyarusahi3655 5 років тому +65

    Uzuri wa huyu Mkuu wa Mkoa,haingizi siasa kwenye kaz kama wengine

  • @allykazoa7065
    @allykazoa7065 4 роки тому +12

    Msiniangalie Kwa Huruma😁😁😁

  • @andrewtamba6671
    @andrewtamba6671 5 років тому +180

    😂😂😂 we Mwalimu Dotto soma uko! Kama umesikia hii gonga like!

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 4 роки тому +5

    Jamani mwenye namba ya injinia naomba anipe nimempenda sana vile alivyo cool kwenye makelele

  • @junioramos2997
    @junioramos2997 5 років тому +8

    😂😂😂😂😂😂😂 daaaaa cjawai kuona uyu jamaaa Hana mambo ya siasa kwenye kazi

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 3 роки тому +27

    KAMA NA WEWE UMEMMIC BINGILIII SUKUMA NDANI PITA NA LIKE👍

  • @ErastoMzena
    @ErastoMzena 4 місяці тому +1

    Mwamba Yuko vizuri sana anachekesha lakin anafatilia sana majukumu yake na kazi inaonekana

  • @ahmadymuhina6546
    @ahmadymuhina6546 2 роки тому +2

    😅😅😅😅🙌kama kuna mtu anabisha hapa anyooshe mkono hapa hapa halafu OCD jiandae😅😅

  • @rashidsalim3801
    @rashidsalim3801 5 років тому +5

    Hongera sana mheshimiwa

  • @daudimlamka1239
    @daudimlamka1239 3 роки тому +5

    Utawala wa hawa viongozi wazalendo wananchi tulikua so happy

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 2 роки тому +2

    Nimewakumbuka sana makamanda wa kweli

  • @alfredmsambaa1443
    @alfredmsambaa1443 5 років тому +7

    Shika hii kalamu ya kijani leo upate upako hahhahaaaa kama umeskia iyo mwishon apa gonga like...

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 6 місяців тому +2

    Asante baba!

  • @papaampondele1750
    @papaampondele1750 5 років тому +13

    Taifa tunajivunia watu kama hawa! mungu wapemaisha malefu,

  • @lucasmanyama2892
    @lucasmanyama2892 2 роки тому

    You deserve to president in this country.

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 років тому +14

    😂😂😂😂😂😂😂😂 angekuwa rais huyu tungekomaaaaaa

  • @mpambanajitz7026
    @mpambanajitz7026 Рік тому +2

    Angetufaa SANA huyu MWAMBA DUH 🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣

  • @leonardkambona3608
    @leonardkambona3608 3 місяці тому +2

    wale wa tabora boys, shujaa wetu uyu tunampata fresh😂

  • @ramsokhamis9262
    @ramsokhamis9262 5 років тому +16

    Nadhan siku iyoo mwalim dotto alilalaa na dicropa kwa kwelii... 😀

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 5 років тому +33

    Nakushauri next time RC tape measure kule kunapo anzia mpe mtu akushikie wewe uwe unaziona redings wasikudanganye

    • @abrahamdaniel7564
      @abrahamdaniel7564 5 років тому

      Kweli yeye bora asome

    • @mrs2918
      @mrs2918 5 років тому +1

      hawezi kudanganya sababu wanajua ni dakika 3 mbele, hakawii kurudia kusoma apoteze ajira

    • @mohamedkichendo7720
      @mohamedkichendo7720 5 років тому

      Sanaaa asikae.nwanzi wa tape

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 3 роки тому +1

      Soma iyoooh

  • @sospetermigera685
    @sospetermigera685 5 років тому +15

    Kiongoz bora kbsaa

  • @mheheoriginal9712
    @mheheoriginal9712 5 місяців тому +4

    Tarehe 27 kama bado mpo na mna mkubali huyu jamaa gonga like zenu hapa 🎉🎉

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 5 років тому +17

    KWELI AWAMU YA JPM NI YA MOTO

  • @alikhamisame9636
    @alikhamisame9636 5 років тому +8

    Huyu mzee namkubali Sana hebu angeletwa huku Zanzibar kuna mainjinia wa kichina wanatengeza mitaro ya ya maji taka hadi leo hawajamaliza huu sijui mwaka wa ngapi yani kila zikija mvua lazima mafuriko yatokeee

  • @fadhilplatnumz6209
    @fadhilplatnumz6209 4 роки тому +4

    🤣 Jamani muangaliage nahela zakupja nyingine hazipigiki Jamani kueni makani kazi 🤣🙏👍 Vema sana Mkuu wamkoa Nc

  • @HappynessLukumay
    @HappynessLukumay 2 місяці тому

    Angekuwepo Hadi Leo magufuli inchi yetu ingezidi Africa kusini kwa maendeleo

  • @FalajaKabungwa
    @FalajaKabungwa 5 місяців тому

    😂😂😂😂😂 Namkubali sana huyu mwamba

  • @HamissHaji
    @HamissHaji 4 місяці тому +1

    Ndio wanao faa madaraka,sijui mama umesaau

  • @sadamrisho7719
    @sadamrisho7719 3 роки тому

    Yupo vzr sana anafaa kuja kuwa raisi

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 5 років тому +3

    Napenda anavyosema ATAKUSOMESHA UYO

  • @jamesmassy5022
    @jamesmassy5022 2 роки тому

    Dhaaa uyuu mwwmba nomaaa sanaaa namkubali

  • @yusuphwella9651
    @yusuphwella9651 5 років тому +5

    Inamaana wakuu wa mikoa wa sehemu nyingine kwao hawajengi hata vyoo mbona sioni wakisimamia ujenzi ipasavyo

  • @khanbaba8125
    @khanbaba8125 4 роки тому +1

    Mh magufr pls Baba ukistafu mwachie uyuuu mh icho kity ni ombi tu kwa mtazamo wangu

  • @elibarikimiage6204
    @elibarikimiage6204 3 роки тому +9

    Enzi wa magufuli kazi ilikua inaenda kwa uhakika R.I.P MAGUFULI

    • @msafiriduwiya953
      @msafiriduwiya953 Рік тому

      Juyu ndivyo alivyo toka alivyokuwa tamisemi naibu waziri Kwa kikwete Hana mchezo

  • @tsagytz6755
    @tsagytz6755 3 роки тому +4

    Yaan nataman huyu mbogo apewe cheo cha juu serikalini mbna watajamba ubwabwa 😂😂😂😂 hawa akina bashiru na wakurugenz wa bandari

  • @amanimwaifunga6524
    @amanimwaifunga6524 5 років тому +1

    Mwanri Big up Sana kiongozi

  • @ndikumanarodrigue5657
    @ndikumanarodrigue5657 2 роки тому

    Soma hiyo!!! Engeneer

  • @odilinadonald261
    @odilinadonald261 5 років тому +12

    Kwa nini wakuuu wa mkoa wengi wasiige kazi za huyo yuko vizuriii mno

    • @beckasalum2620
      @beckasalum2620 3 роки тому

      Ishu inakuja uyo ni injinia tofau na wengine kwayo umdanganyi

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 2 роки тому

    Noma sana

  • @johnbuluma8861
    @johnbuluma8861 2 роки тому

    Jembe langu nakukumbuka sana mwanry, ni wachache sanaaaa

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 років тому +6

    Ukimuangalia huyu mzee unajikuta unachekacheka kwaraha Kama unatekenywa

  • @gnyamso
    @gnyamso 4 роки тому +1

    Daah i like this RC

  • @abdulkhamis815
    @abdulkhamis815 2 роки тому

    Hongera

  • @ezekielndaraba7221
    @ezekielndaraba7221 5 років тому +3

    😀😀😀jamaa bwana we mwalimu Dotto

  • @bensonfrank4353
    @bensonfrank4353 2 роки тому

    Nakupendaa

  • @ramadhaniibrahimu9308
    @ramadhaniibrahimu9308 5 років тому

    katika kazi namkibari uyu hana siasa kazi zake

  • @mwengwamwengwa9678
    @mwengwamwengwa9678 3 роки тому +1

    Tunakumbuka sana mzee wa soma hiyoooooo

  • @iddyshabani5942
    @iddyshabani5942 5 років тому +16

    we mwalimu doto soma huko 😁😁😁😁😁😂😂😂

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 5 років тому +12

    Chukua hii kalamu ya Kijani Leo upate upako

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 2 роки тому

    Huyu mzee akabidhiwe wizara yoyote ile tufurahie maendeleo🤣🤣🤣😂😂😂

  • @fettyramadhan622
    @fettyramadhan622 3 роки тому

    Wangepatikana Saba wangefaa sana

  • @husseinsalimhemed7169
    @husseinsalimhemed7169 5 років тому +14

    Mimi ni mkenya,,nafuraia uwongozi wako tabora,Wewe ni Mzee wa maendelo kabisa

  • @jamesmassy5022
    @jamesmassy5022 2 роки тому

    Mama Samia kwanini tumia watu kama hawaaa hasaa apa kwetu mpunguzi dodoma ajeee

  • @EstherYoram
    @EstherYoram 2 місяці тому

    Sukuma ndani.

  • @ngarakagera4715
    @ngarakagera4715 3 роки тому

    Ukiwa rais itapendeza sana

  • @eliahedward7490
    @eliahedward7490 4 роки тому

    Hapa kazi2 andika andika cjaona unaandika shila hii karamu uandike

  • @DicksonIshuza
    @DicksonIshuza 2 місяці тому

    tunamuomba raisi amuludishe jaman injinia soma hiyooo😂😂😂

  • @johnsimon5071
    @johnsimon5071 2 роки тому

    Mzeee nimecheka nimekumiss sana mzee mwanri

  • @mwidiniharuna9618
    @mwidiniharuna9618 5 років тому +9

    kwenye karam ya kijan gonga mezaaaaa

  • @ezekielngondya9590
    @ezekielngondya9590 3 роки тому

    Kaz nzuriiiiii

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 5 років тому +4

    Huyu anawafaa mkoa wa Lindi please

  • @swaleheally8134
    @swaleheally8134 3 роки тому +2

    Kama umesikia mbaka yesu atajua hamja maliza hapa

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣HUYU Mzee nikiboko arudi tena 😂

  • @jamesmodest3206
    @jamesmodest3206 3 роки тому +2

    Wangapi tumepitia hapa mwaka huu2021

  • @paulkessy5267
    @paulkessy5267 5 років тому +1

    Laaaaaaaaa aiseee noma sana

  • @amrimalumbo1712
    @amrimalumbo1712 5 років тому

    Naomba Baba JPM mpe Uwaziri mana kazi anaijua vzr piga kaz Mwanri

  • @michaelphabian4120
    @michaelphabian4120 Рік тому +1

    Nataka watu wa mkoa TU 😅😅😅😅😅

  • @mwalaprosper2291
    @mwalaprosper2291 3 роки тому +3

    Mis you mwamri!!

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 6 місяців тому

    Nimeyapanga maalum kwaajil ya kumpa agust4/ 2024

  • @MusaMasika-yx6ho
    @MusaMasika-yx6ho Рік тому

    Mwalimu doto job is present

  • @AlifaHamis
    @AlifaHamis 5 місяців тому

    Watu hawa ndio wachapa kazi mama hana Habari nao dah

  • @salumally6614
    @salumally6614 2 роки тому

    Anafaa kuwa Raisi wa jamhuri ya Tanzania

  • @abdullasuleiman
    @abdullasuleiman 9 місяців тому

    "msiniangalie kwa huruma, hakuna cha kiniangalia kwa huruma hapa, mimi nabeba zamanaaa😂

  • @kindboywillsmis8152
    @kindboywillsmis8152 5 років тому +9

    Amekunywa

  • @gigotz1755
    @gigotz1755 5 років тому +11

    Magu ampe uwaziri wa michezo

    • @beckasalum2620
      @beckasalum2620 3 роки тому

      Kwenye michezo atafer uyo injinia awe wazili wa ujenz

  • @LucasWalks284
    @LucasWalks284 2 місяці тому

    😂 kwenye karatasi, ila Angekuwa raisi huyu mmmh

  • @princegabytv7251
    @princegabytv7251 5 років тому +1

    😹😹😹nacheka sana. Mainjiniaa msomeni huyoooooo

  • @JAY-YTZ
    @JAY-YTZ Рік тому

    Hatami napenda Sana awe raisi huyu mzee