hbr imekwisha anayesema mkuu wa wa mkoa anachozungumza ni cha kijingajinga sana anyooshe mkono au ajikune hapa.sukuma ndani. tunataka majembe kama haya ndani ya chama cha mapinduzi. keep it up baba yetu.
Safi sana Mkuu wa Mkoa. Tanzania itaendelea sana, jaribu kufikiria wimbo wa Mheshimiwa sana Rais, njoo kwa Mwanri huyu hapa tena ongeza wakuu wa Mikoa yote nchini wafuate wimbo wa Rais na Mwanri. Nchi itakuwa n.a. nafasi kubwa sana kuendelea. Iweni wazalendo Viongozi kama huyu Mwanri wanatupatia mifano kemkem za maendeleo jamani.
Wapo kwenye makubaliano ya kimkakati ya mkoa wa tabora kuwa wilaya ya uyui kila Kaya ilime heka tatu ko nimakubaliano ko tayari ishakuwa Sheria koz wamekubaliana agreement ko ukivunja makubaliano siunajua inavokuwa ivo Yani.
Tunaenda na sela za mbanano pita na like hapo
Kama umesikia ama zang ama zake gonga like apaa
Super Hero Tv hi..
Dah!! Kuachishwa kazi cyo mchezo ila nanyie wafanyakazi mnajisahau sana
Love. Mkuu ❤️❤️❤️
Mkuu wa wilaya vimba nao shuka nao jumla jumla!!!! Habari imekwiahaaaa!!!!!😁😁😁😁😁😁
hbr imekwisha anayesema mkuu wa wa mkoa anachozungumza ni cha kijingajinga sana anyooshe mkono au ajikune hapa.sukuma ndani. tunataka majembe kama haya ndani ya chama cha mapinduzi. keep it up baba yetu.
Mzee karibu tunduru tunakukumbuka ivi anapakumbuka mkwanda
Mzee karibu tunduru tunakukumbuka ivi anapakumbuka mkwanda
Vimba nao shuka nao jumla jumla😂😂😂😂😂😂aaah kali Sana Rc Mwanri.
Hivi Baba wa Taifa akipewa punzi na mwenyezi Mungu akakuta nchi iko hivi unafikiri inaweza ikawaje
Safi Sana Mwamli
"..Mkuu wa mkoa shuka nao jumla jumla.. " he he..nafurahishwa na Kiswahili TZ..Mkuu wa mkoa..safi sana..hakuna kama wewe hapa Kenya.
Sukuma ndani mheshimiwa , kaa nyuma ya mkuu wa wilaya
safi sana
KIONGOZI MPENDA NCHI YAKE, MPENDA MAENDELEO, TUKO NYUMA YAKO
instablaster...
Sawa mkuu simamia kazi yako fizur
Hivi kumbe ushirika ni lazima!. Basi sawa
Karibu huku
Wangekuweko kumi kama hawa! Tanzania bwana
Duuu we nomaaa nakuelewa
Nakupenda bila shiringi
Asha Pea Rubart ok
Uyu mwambaaa
Ulikolala tunaamkia ulikofua tunaanika 😂😂😂😂😁😁
Duuuh safi Sana rc unawanyoshaa😂😂😂😂😂
Safi sana Mkuu wa Mkoa. Tanzania itaendelea sana, jaribu kufikiria wimbo wa Mheshimiwa sana Rais, njoo kwa Mwanri huyu hapa tena ongeza wakuu wa Mikoa yote nchini wafuate wimbo wa Rais na Mwanri. Nchi itakuwa n.a. nafasi kubwa sana kuendelea. Iweni wazalendo Viongozi kama huyu Mwanri wanatupatia mifano kemkem za maendeleo jamani.
Ulikofua tunaanika ulipo lala ndio tunaamka jmn unanipa raha babu😄😄😄
Tutaenda na sera za mbanano🤣🤣🤣🤣 chigichi chigichi chigichi eeh, Sikuma ndani🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli leo baba kachukia.....
Gd
Habari imekwishaaaaa anayebisha nyoosha mkono ujifanye tu unajikuna😁😁😁😁😁😁😁
adeni Halisi
Hahahaa
Pandisha kwenye roli sukuma ndani
sukumia ndani hukooo
😁😁😁kweri sukuma ndanii
Daaa ila Mwanri biti lake sio la nchi hiii
Mwalimu mkuu na wanafunzi wakorofi kazi ipo
Haha haha has a as has aise mzee anivunja mbavu Sana Kama vle mwigizaji
Kiongozi unaependwa Mungu akupe uhai yaani .
tunaangalia na kusoma Comment 😂😂 Hapa lazima tushuke nao Jumla! Jumla! 😂
Rudi nyumbani Tabora kumenoga!
MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 8,1,2018
Je kuna anae bisha nyoosha mkono tukuone ? Hahaha hahaha
Namuomba Mh. Rais akuhamishie kigoma kuna watu wakuwanyoosha kule hasa hasa wilaya ya kigoma vijijini
Rajab Rukonge kweli anapga kazi
hiii tabora tunampenda bado jaman
Jifany unajikuna.,!!!!!!! Soma iyo. Hatar
Ana nipa raha sna huyu mzeee
kweli huyumzeee nishida
uyo babu alipomaliza ama zangu ama zake 😢
Sukuma ndani
Habar imekwisha
mansur hana bahat 😂😂😂😂😂😂😂😂
Deal nao mkuu.
Hahahahahaha. upo. sawa. safi. sana. baba. makufuri. oye.eeeeeeeeee. majembe. ya. rais. wetu. makufuri. '''''''
Sukuma ndani wotee
Ulikokua unafua tunaAnika
Hahahahahahah baba ya Leo kal
Acha tu,,,ngoja niibe haka kamsemo
Njooosha baba
Wote kamata sukuma ndaniii
Kama lupango kumejaa ika kwenye lory 😆😆
Kwa kwel kwa hali hii mm nataka nihame huu mkoa wangu n RAIA tu wa kawaida
Mzee uyu kwao uko ana kaz kweli
Ulikolala tumeamkia hapo unakofulia tumeanikia hapo!😁😁😁😁😁😁😁😁
😁😁😁😁😁😁
Shuka nao baba wasitucheleweshe
Duh
Huyu mzee akigombea urais Tanzania itazidi kupendeza tunaitaji viongozi shupavu kama hawa JPM kaibua viongozi shupavu
naomba nifahamishwe hapa ..mbona usimamizi wa hv mpaka askari wanakagua mashamba kwani ni ya serikali au ya watu binafsi?
Sasa mkuu umeshamuagiza OCD inatosha, huyo mkuu wa kituo kidogo cha Polisi pamoja na Sungusungu watapata maelekezo kwake.
hahahaaaaa.... nyooxha mkono jifanye unajikuna .... hahahaaaaa.... Nouma xannaaa
Bangi sio kitu kizuri
Mansuri anatafutwa😂
Kama kuna mtu anabisha anyooshe mkono, ajifanye kama anajikuna.
Fanya kama unajikuna😃😂😁😁
Safisana mkuuwamkowa nashinyanga tutafutieni kamahuyu
Sera za mbanano 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Piga hao sukuma ndani
Jamaa yuko confuse 😂
Uyu mzee naona anafaa kuwa raisi
Kaijage umesikia lkn
Jpm tunamuomba kiongoz huyu apewe nchi.
Sas uko wap mzee ama ndio umeokoka na kua mkuu wa kanisa
Sera za mbanano 😂😂
shuka nao jumla jumla huyu mzee comedian sana
Hivi kwanini hawakupi ubunge jamani
Akipewa urais tumeisha
Nampenda uyu mkuu wa mkoa sijui kama kunawakuu wa mikoa wanaoonana na wananchi marakwamara
chota chota hao sukumia ndan
Duuu
uya siha meku laawe
Eti najua unavyohangaika mm nipo nyuma yako
Duhhhh....kweli anahangaika kama hvyo
Shuka nao wazimawazima
shughulika nao ubadhilif wa Mali ya uma wanawapa mbegu faki
Rc nakuomba uwende na urambo, ushirka umekufa katumbue majipu huko
Kama hufany kaz tunaweza kujikuta huna kazi
Hahaha haha uliko fua tumeanika
Fyekelea mbal
hahahahahaaaaa. mansurii
Vimba nao Haaaaaaaaaaaaa
Shuka nao jumla jumla
Mkuuwawilaya vimbanao shukanao jumla jumla habar imekwisha kamanda nendazako. Ahahahahaha somahiyooo
Mzee mwanri haukutakiw uondoke tabora
Unawawezesha au jamba jamba tu,wape uwezo ndo udili na mtu bhan
sukuma ndan wote
Matongo Lyangallah
Kilimo c halali ya mtu au, Mbn kuwekana ndani tena
Utaelewaaaaa
Lima lima kweli usianze kulima pamba mbaya nchi za Jirani zinatutangazia sifa mbaya
Yaan kama china mkulima unapangiwa kulima na kuzalisha mazao bora na kwa kiwango kinacho hitajika...
Kilimo cha mazoea hakuna tena
Towards development
Wapo kwenye makubaliano ya kimkakati ya mkoa wa tabora kuwa wilaya ya uyui kila Kaya ilime heka tatu ko nimakubaliano ko tayari ishakuwa Sheria koz wamekubaliana agreement ko ukivunja makubaliano siunajua inavokuwa ivo Yani.
@@canibalgazaboy8325 ni vizuri, hivyo ndivyo maendeleo yalivyo hayaitaji kubembelezana xnaaa
Lamba Lolo naoo jumla jumla
Saf
Mkuu nakukubal xn
CA