RC AVAMIA DISKO ZANZIBAR, AKUTA MTOTO wa MIAKA 15 AKISEREBUKA, AMBANA MMILIKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • RC AVAMIA DISKO ZANZIBAR, AKUTA MTOTO wa MIAKA 15 AKISEREBUKA, AMBANA MMILIKI

КОМЕНТАРІ • 295

  • @shadiaally2217
    @shadiaally2217 2 роки тому +1

    Huo uonev kabisa Disco mwisho saa sita hilo ni disco toto sasa saa sita ndio mambo fireeeee

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 2 роки тому +9

    Kwendenu zenu uko hakuna kisicho na maana apa,sheria na suala zima la maadil na ustawi bora uzinqatiwe,miziki open km ivo hapo kuna majiran,waqonjwa na watu waliopumzika wanashindwa kupata utulivu.
    Ata uko ulaya mambo haya yanazibitiwa ipasavyo na hatua zikikiukwa hatua zinachukuliwa.
    Biq up Mheshimiwa Ayoub,Wazanzibar asilimia 100 tunathamin na kukuelewa sana kwa uwajibikaji wako.

    • @donedaddy4561
      @donedaddy4561 2 роки тому +1

      N kweli

    • @mirajmaloca425
      @mirajmaloca425 2 роки тому +1

      Kutokana na location hili eneo pande zote nne limezungukwa na hotel za kitalii

  • @rasvuaimarley4049
    @rasvuaimarley4049 2 роки тому +13

    RC ufanye mazoezi kitumbo hicho si cha kawaida Mhe.

  • @khadijaabdullah6328
    @khadijaabdullah6328 2 роки тому +13

    Mhhm mboba mambooo au alikua na hamu ya disco mzee baba akaona azuge kumbe flava zinamuingia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hamadabdullahkhamis977
    @hamadabdullahkhamis977 2 роки тому +5

    Kama unavyo sema Muheshimiwa...wanazarau sana seriksli hao wanao fanya watu wasilale usiku.. hongera Muheshimiwa kazi nzuri na ngumu ya kuwafanya wananchi walale kwa utulivu.... Sasa umetoa fundisho zuri kwa mkoa wetu....

    • @abdulbongekapunye
      @abdulbongekapunye 2 роки тому

      kumbuka na kuna watu wameajiriwa hapo ndugu

    • @hamadabdullahkhamis977
      @hamadabdullahkhamis977 2 роки тому

      @@abdulbongekapunye cha kuzingatia ni sheria ya nchi inasemaje... Au na wale wanao taka kulala pia wakate kibali cha usingizi...na Kama huna biashara ya kulaza wageni basi utaona kila anae piga mziki ameonewa... Utalii hauwendi hivi.. Raisi wetu anapanda ndege kwenda kuutangaza utalii Zanzibar kisha wanakuja wachache na kuharibu.... Bia tamu hata kama hakuna mziki..

    • @mxofmfk8406
      @mxofmfk8406 2 роки тому

      @@abdulbongekapunye kama wameajiri watu ndio wavunje sheria!! That's stupid thinking

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 2 роки тому +2

    Hongera Rc unafanya kazi kubwa sana mungu akulipe🙏🙏

    • @muukwacha6018
      @muukwacha6018 2 роки тому

      Kwa mungu Hana kitu mungu haji vurugu

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 2 роки тому +19

    Nchi yetu usenge sn, ivi mmb km aya ya mda wa mziki yana faida gn wakati disko limefungiwa ndani halitoi sauti ya kukera watu, me nadhani mmb ya mcngi apa n maisha magumu

  • @curtisloy2343
    @curtisloy2343 2 роки тому +6

    dah hii sio sawa kabisa.....

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 2 роки тому +1

    Mzee wangu bora wafungie wahuni hao wanatumalizia jamii tupo nyuma yako tunakuombea usiogope mtu muogope Allah

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 2 роки тому +2

    Kazi mzuri Sana... Maana waarabu wanasema asili ya moto ni cheche ndogo tu.. Kwa maana ukiacha machafu hata kama bado yako kidogo basi ujuwe itafika Siku yatakuwa mengi na mkubwa mnoo hata yanaweza yakakushinda kuyadhibiti tena.. Kwa hio Kazi ya RC ni mzuri iwapo ataendeleya kuyadhibiti huu uchafu kabla ya kuenea..

  • @zaibonge7867
    @zaibonge7867 2 роки тому +1

    Cocobello nungwi moja hiyoo😂😂😂nyie hebu acheni fatuma.kiduku apate raha 💃💃💃💃😂😂😂..

  • @dj.ino.official
    @dj.ino.official 2 роки тому +9

    mi nilichosikia uko ni majoo monalisa 😅😅😅 Asante DJ

  • @abdallaaboud3818
    @abdallaaboud3818 2 роки тому +1

    Tunakuomba urudimjini Unaijua kaziyako mungu akusaidie

  • @muhamedsalum140
    @muhamedsalum140 2 роки тому +4

    Ukihisi mziki na kujazana mabaa ndo kumpenda mungu wako basi endelea laa ukigunduwa ni njia ya upotevu basi acha mungu. Anasamehe ila kifo huja hafla hasa zama hizi za mwisho usiseme nitatubu kesho kwavile bado natuta tubu mapema kabla ya kesho maana iyo kesho unayoisubiri huna hakika nayo

  • @nancyandrew9273
    @nancyandrew9273 2 роки тому +8

    Hapo kwenye 15 years mtoto kuwa kwa club yes ni kosa hata huku dubai unafungiwa place. But kwa nchi yetu kuna vtu vingi sana vya kufanya na kufatilia mkuu

  • @mchawaamanmchawa593
    @mchawaamanmchawa593 2 роки тому +17

    Fanyeni kazi za muhimu sio hiyo tembelea hospitali basi kawape chochote

    • @thomasraiton7760
      @thomasraiton7760 2 роки тому

      Kweli kabisa anaulizwa hadi d j kasajiliwa ? Mmmh

    • @salumsalim7564
      @salumsalim7564 2 роки тому +1

      Kwa cc wazanzibar ni kitu kizur maan watt wadogo wanaaga makwao wanaenda tuition kumbe wanaishia maklabu so km kwa ww mtu wa kigoma haipendez bc kausha ya zenj ww hayakuhusu

    • @comrademlewaisavile336
      @comrademlewaisavile336 2 роки тому

      @@salumsalim7564 fact

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 2 роки тому +4

    SUBHANA LLAH hivi sasa wamiliki wa club/madisco ni waislamu!!!

    • @MuhammadALI-uc4jg
      @MuhammadALI-uc4jg 2 роки тому

      Sio sasa muda mwingi waislam sisi ndio wamiliki wa kumbi za disco .kwa huu ni msiba nawanatu aibisha

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому +4

    Subhannallah, mtihani kwakweli

  • @munnaomar328
    @munnaomar328 2 роки тому +2

    Hongera mkuu wa mkowa,fukuza wote hao wakafanye uchafu wako kwao bara huko

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 2 роки тому

      Mama fikiria kabla hujanena inamaana kila mtt uko zanzbar akiwa na mamb mabaya ni bara me nimeolew zanzbar naona naona mashemej zangu walivyo eti mtt anamwita mamake oya Hadi nashtuka asa uyo anavyoongea ni mkojan kabisaa 😁

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 роки тому

      @@machetebogota4218 kaiga kwenu bara filamu CHAFU mnazotuletea zanzibar

    • @Mamkubwa
      @Mamkubwa 2 роки тому

      tusipate dhambi kuwasingizia wabara buree.... kizazi cha sasa na walezi wote ni mtihani. Nkwape mfano msiojua, mambo ya unga huku ndio yanaongoza basi kushinda bara. Au mnasema vya kuiga huzidi?

    • @machetebogota4218
      @machetebogota4218 2 роки тому

      @@hilalalhabsi2047 bila shak vya kuiga huzid. Hebu tumuogopen mungu bas tukiw km waislam tujitahd kulea watt vzur na c kucngizia watu fulan kila kitu

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 роки тому

      @@Mamkubwa weeee 😂. Nini. Unga mpaka barabarani bara hujaenda nini 🤣. Ulevi wote ni kutoka bara. Wazanzibari labda Ulevi wa mapapai mabovu😂. Unafkiri inakuja meli au ndege ulaya NA Ulevi au?. Mie nilishuhudia mla unga anayumba kuliko mlevi wa pombe. Mimi jirani zangu walikua znz, walipofika Dar tu kutafuta kazi 😂kila mmoja mlevi ajabu karudi NA danga limekua kaokota danga hata hawajaoa. Wanalala ulevini.

  • @jhecfoundationtanzania2891
    @jhecfoundationtanzania2891 2 роки тому +4

    Yaaan Kuna watoto wengi mtaani hawana hili Wala lile baadaa serikali iwaandalie mazingira mnaenda kupambana na mtoto mmoja wa bar

  • @siloomar7699
    @siloomar7699 2 роки тому +5

    Dah haya ndo Mambo yanaotupoteza wazanzbar

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 2 роки тому

      Tayari tushapotea,sasa iliobaki ni adhabu kutoka kwa Allah

  • @user-vk4mv8vs7c
    @user-vk4mv8vs7c 9 місяців тому

    Ayoub Hafai hata kuwa diwani
    Visiwa ni sehemu starehe
    SMZ haina dini
    Bora ajiunge na madrasa

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 2 роки тому +1

    Rc fala sasa maswala ya kulala mtu siana lala kwake

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 роки тому

    Cinaja tenaa yuuu

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 роки тому +2

    Mimi huyo Dada ondoka ndipo nilipo mpaka saivi! 😅😅😅😅

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 2 роки тому +5

    TANZANIA bwana yani mkuu wa mkoa ana deal na mambo ya disco akati hospitali hazina dawa, mashine za XRAY hakuna barabara mbovu yeye haoni daah TUMELOGWA

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 роки тому +2

      Anahofu ya Mungu 👍👍👍

    • @Mamkubwa
      @Mamkubwa 2 роки тому +1

      hakika... jamaa yangu ililazwa mnazi mmoja, hana damu. wameelekezwa wakanunue private. dadake kauziwa damu imetiwa ndani ya gloves! Eeh Mungu tuamshe sisi na viongozi wetu wazidumishe huduma zoote za afya.

    • @afropanorama4730
      @afropanorama4730 2 роки тому +1

      Zanzibar kuna taratibu zake,starehe za wachache isiwe kero kwa wengine

    • @Bntv-4928
      @Bntv-4928 2 роки тому

      Kiki tu hzo

    • @stellandosi9806
      @stellandosi9806 2 роки тому

      Hahaha

  • @siloomar7699
    @siloomar7699 2 роки тому +1

    Huyo ndo Ayubu Muhammed Mahmoud

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 2 роки тому

    Subhanallah hao wafungiwe kabisaa kwasababu wanaharibu jamii hao huyo mtoto alikuwa mida awejipumzishe na ilinaamke alfajiri ajidurusie masomo yake lakini wapi ndio kwanza anajimwaga huko nje subhanallah yaallah waongoe watoto aetu amiin

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 роки тому

    Mh Waziri Mungu Akulipe Kheri
    Umesimamia Sheria ulizoapa kuzitetea

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 2 роки тому +1

    Hahahaha veep kuhusu gest tembeleen na huko hapo mmekata stimu wateja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 2 роки тому +1

    Kweli Africa sijui karne gani wataamka hivi Disco mwisho saa sita mliona wapi wakati watu wanaingia Disco muda huo .Disco toto au party za watoto muda wake ndio huo hapo unalipaje rent wakati mnafanya sehemu ya starehe kama sehemu ya ibada. Ndio maana maendeleo mtayasikia na kuyaona kwenye nchi za wenzetu kwa kupitia Tv

  • @ditomgaya7932
    @ditomgaya7932 2 роки тому +21

    Unashindwa kutembelea Hospital,yatima na kufanya mambo ya maendeleo

    • @walkali8357
      @walkali8357 2 роки тому

      Ilo pia sio jambo dogo

    • @mashamasha2854
      @mashamasha2854 2 роки тому

      ʜɪᴠɪ ʙɪɴᴀᴀᴅᴀᴍᴜ ʜᴀᴍᴋᴏsɪ ʟᴀ ᴋᴜᴏɴɢᴇᴀ ᴍᴘᴀᴋᴀ sɪᴋᴜ ᴜᴋɪᴛᴏᴋᴀ ʀᴏʜᴏ. ʜᴀᴍᴡɪsʜɪ ᴋᴜʟᴀʟᴀᴍɪᴋᴀ ᴋɪʟᴀ ᴋɪᴛᴜ ᴋᴡᴇɴᴜ ᴋᴏsᴀ

    • @khamismohdkhamis4680
      @khamismohdkhamis4680 2 роки тому

      Hili jambo kubwa saana

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      ❤️❤️❤️❤️💊

  • @yusufmzeeyusuf262
    @yusufmzeeyusuf262 2 роки тому +6

    Baaada ya kushuhulikia mambo yao ya serekalini

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому

      Na ss hy serikali hatuipendi ila kwa hili yupo sawa Zbzar imeharibika sana haina Mana waachiwe tu umalaya pia hausemeki

  • @stellamtaku749
    @stellamtaku749 2 роки тому

    Pole Kaka tomas

  • @hdggu6792
    @hdggu6792 2 роки тому +1

    Zanzibar oyeeee urawti juuuuu tumeelewana au niongeze 😂😂😂😂sauti Bora mziki naulevi kuliko hayo yanayo endeleea kila siku

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 2 роки тому +1

    Zipo kazi viongozi kafanyeni kazi manake wanalipa Kodi,afu muwapangie muda,acheni wenye uwezo hata wakeshe

  • @bantuboytz3980
    @bantuboytz3980 2 роки тому +1

    Uyo dogo mwendawazimuu mamae yup la 4

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 2 роки тому

    alafu uyu dogo anazingua sana
    ivi anajielewa kweli dah mungu tusaidie

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 2 роки тому +3

    Biashara ingepangwa tu kuwe na lounge uwe mziki hautoki inje,iwe mpaka usubuh

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 2 роки тому +4

    Nyie nyote mnaokomment hamna watoto mungu awalani

    • @zuwenafakih3345
      @zuwenafakih3345 2 роки тому +1

      Nikweli hawana watoto hao.alafu mtoto akishaanza kutombwa anakamatwa mtu anaambiwa kabakwa .acheni kumponda RC .anajaribu kueka sawa maadel ya vizazi nyenu wapuuzi nyie

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 2 роки тому +3

    Kazy zinafanyika kwa Kiki
    Kwan kibali Cha umiliki si kinaonyesha mda wa bar pub club casino nk....

  • @allanandy2424
    @allanandy2424 2 роки тому +7

    Hizi job description za hawa wakuu zibadilishwe....mkuu wa mkoa kufatilia disco is a waste of resources....

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 2 роки тому +1

    Majoo Monalisa na You Want Bamba 😆😆😆😆😆

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 роки тому +4

    Kijana ni mrefu kuliko RC mwenye kiherehere😂😂😂😂zanzibar bhana, si muungane na oman tu 😂😂😂

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 2 роки тому +1

      Unaijuwa oman bro oman mpaka alfajir na walev km wote bro

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 роки тому +1

      @@binaljabirmshihirzanzibar8369 achana NA propa wewe.

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 роки тому

      😂😂😂Dogo anasema leo mwanzo NA mwisho🤣 hata hajaulizwa huyoo

    • @jointjoint4507
      @jointjoint4507 2 роки тому +1

      😆😅😅😅

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      @@binaljabirmshihirzanzibar8369 halafu ndio huko wanajiita arab dini tele misikiti kibao lakini kila mtu nastarehe zake 😂😂 Astaghafirullah sas usiombe upite maeneo fulani huku oman huko mjini utalia 😂😂😂

  • @abdallahsuleimani7416
    @abdallahsuleimani7416 2 роки тому +3

    Mimi nafikiri baada ya miaka kumi zanzibar tutakuwa na wasagaji wengi ! Walawiti wengi ! Mashoga wengi na wasenge wengi! Hasa maeneo ya kusini unguja utafiti unaonyesha wenyeji wengi wanapoteza maeneo yao Kwa kuwauzia wageni ambao wanaazisha biashara ambazo hazina maadili ???

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 2 роки тому

    Tom muombe mungu madogo sana hayo
    kuna kitu anataka2 kuamakini nao

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 2 роки тому

    Achen udwanz mda huu ata we ulitakiwa uwe umelala

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 2 роки тому +1

    Hawa ndo wakutumbuliwa kabsaa

  • @shahabdallah9407
    @shahabdallah9407 5 місяців тому

    Inaskitisha wallah na utalii huu .. hyo anaemtetea hana adabu n hyo mwnye baa hana heshma .. n wote wnastahiki bakora

  • @muukwacha6018
    @muukwacha6018 2 роки тому +1

    Mie langu ilikua tusimshirikishe mungu kwenye hili Mana hakuna dini yeyote inao taka hili Ila tuangalie sifa atazo pata kwa serekali Mana iyo Haina dini Tena tn tusichanganye mambo

  • @magrethelias6712
    @magrethelias6712 2 роки тому +1

    Alikuwa amemisi kwenda mziki uyo kwanini asiende hospital kutemberea wangonjwa

  • @muhammadfadhil9442
    @muhammadfadhil9442 2 роки тому

    Serikali sio chombo cha dharau

  • @emmanuelshayo4897
    @emmanuelshayo4897 2 роки тому

    Makonda huyooo

  • @johnjohn4063
    @johnjohn4063 2 роки тому

    Zanzibar imejaa rushwa tu

  • @jumakapola419
    @jumakapola419 2 роки тому +1

    Mkuu kama amekosea apigwe faini tu maisha yaendelee ndio inchi zingine ndio utalatibu sio kumfungia mtu kumbukeni uyo mtu ana family kama wewe

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 2 роки тому +2

    Mbona pigo za Kike kwahyo ndo kaz iendelee kihivyo

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 роки тому +4

    Safi ramadhani tulivu

  • @shivoman1564
    @shivoman1564 2 роки тому +2

    Hongera mheshimiwa hakika huo ndio utendaji mzuri kwa kiongozi

    • @RCMAKONDA
      @RCMAKONDA 2 роки тому

      Acha kusapoti ujinga.

  • @shufaaattass1920
    @shufaaattass1920 2 роки тому +4

    Tena kazeni zanzibar msiwachkee hao

  • @godwinmwakibibi274
    @godwinmwakibibi274 2 роки тому

    Wanavyoongea duh, shikamoo nzinzibere

  • @rithaurassa
    @rithaurassa День тому

    Ndio tabia zenu

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 2 роки тому +1

    Kitumbo kimejaa minyoo

  • @zanzibarspice8686
    @zanzibarspice8686 2 роки тому +9

    Nimegundua kwa Comment za hapo Juu wengi ni wadau wa Anasa si watu wa kiimani ukwl Zanzibar yetu inaangamizwa na wageni na wenyeji wajinga wasioona Mbele

    • @ireneassey9943
      @ireneassey9943 2 роки тому +2

      Kwani alie wapaaa kibali nani kama si serikali

    • @makoyejohn9560
      @makoyejohn9560 2 роки тому

      ?

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      Ety wageni haww wote wazenji wanaoiliki I disco sas nawageni wafanyaje

    • @zanzibarspice8686
      @zanzibarspice8686 2 роки тому

      @@najmaulaya2261 mimesema wageni na wenyeji ni mjumuisho

    • @najmaulaya2261
      @najmaulaya2261 2 роки тому

      @@zanzibarspice8686 haya tumekwisha sas

  • @haidarishemahonge9357
    @haidarishemahonge9357 2 роки тому

    Dah...DJ

  • @kudoja_fish_shop9592
    @kudoja_fish_shop9592 2 роки тому

    Hana lolote anataka rushwahuyooo sheakamkataaa

  • @shandushady354
    @shandushady354 2 роки тому +12

    kuhusu muda wangefanya angalao mpaka saa nane na nusu.na huyo mtoto ni uzembe wa wazazi maana wao ndo walinzi na walezi amewezaje kutoka nyumbani mpaka kufika disko mwenye disko hana kosb kwa hilo
    .

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 роки тому

      Haa mhmm si bora mpaka asubuhi

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 2 роки тому +1

      Kwaio unataka mtoto ata wa miaka 9 akitoka nyumbani kwenda kununua pombe apewe tu au vipi?.

    • @catherinemuhagama7338
      @catherinemuhagama7338 2 роки тому

      @@sabihaibrahim143 tunaopenda kukesha tunapendekeza mpaka majogoo

  • @hanankhalifa8309
    @hanankhalifa8309 2 роки тому

    🤣🤣😂😂DAH KAJA TIZAMA TU SI YAKUCHEKA HAYA ILA DAH Allah amuhid amuhifadh atuhifadhie na vizaz vyetu ameen

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 2 роки тому

    Mkuu wa mkoa umewasaidia kuepusha na dhambi la Ramadhan may tutakua tumefungua

  • @hdggu6792
    @hdggu6792 2 роки тому

    Yani hiii vita ya mziki sio vita ulawitiiii

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 2 роки тому +2

    Inaonekana lengo ni ramadhaan ahsante muheshimiwa

  • @minaali3733
    @minaali3733 2 роки тому

    Muheshimiwa umekuwa na huruma sana na huruma ikizidi inaharibu. Huyo dada kinyago aliyekuja mbele yako nusu uchi tena kwa pupa akitaka huyo kijana aondoke naya hapo mbele yako ndiye wa kwanza ungemshughulikia. Amekukosea adabu .Muheshimiwa

  • @hafazstanzania5577
    @hafazstanzania5577 2 роки тому +6

    Fatiliyeni mambo ya mana hangaikeni muangaliya ungumu wa nchi yetu tunakosey wapi kwanini uchumi umekuwa mngum munatafuta vitu vakipumbavu

  • @sangulorashoo4116
    @sangulorashoo4116 2 роки тому +2

    Et mkuu wa mkoa🤣🤣🤣

  • @tekash6921
    @tekash6921 2 роки тому

    Club kaend kufany nn huy RC

  • @shahabdallah9407
    @shahabdallah9407 5 місяців тому

    Hakuna kitu nachukia kama mabaa znz

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 2 роки тому +1

    Africa bwana...swala la mtu binafsi ndio kipaumbele cha serikali ila swala umma ni kipaumbele cha wachache ..

  • @rajabuomy487
    @rajabuomy487 2 роки тому +2

    Dogo mwenyew ndimu

  • @abdulmajiddhamirramadhan2364
    @abdulmajiddhamirramadhan2364 2 роки тому

    Sasa Ramadhani kikawaida kunakuwa hakupigwi mziki,acheni hizo hapo kama unafungia ww fungia tu hadi Novemba huko

  • @aishambondo8923
    @aishambondo8923 2 роки тому +1

    Piano limemfanyaa dijei kasahau

  • @yusufmzeeyusuf262
    @yusufmzeeyusuf262 2 роки тому +5

    Wanashuhulika na mambo ya watu serikali bwanaaa

  • @aishahusseni3352
    @aishahusseni3352 2 роки тому +1

    Acha watu wale Raha maisha yenyewe mafupi kisemo Cha marioo ushauri fatilieni mitaani kuna mambo mengi watu Awana pakusemea

    • @comrademlewaisavile336
      @comrademlewaisavile336 2 роки тому

      Muogope mungu ndg. Ww n muislam alaf unashabkia haya badala ya kupongeza mtihan huu😥

  • @abiiajmi2399
    @abiiajmi2399 Рік тому

    👊👊👊👊nukubali mkuu

  • @abdulkareemseif1892
    @abdulkareemseif1892 2 роки тому +3

    Miziki inaruhusiwa Sasa inafuatiliwa ya nini

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 2 роки тому +1

      Acheni kushadidia maovu Zbar lzm ilindwe maasi yamezidi

  • @mathewdeus9978
    @mathewdeus9978 2 роки тому +1

    Undeni elimu kwa watu ambao hawana mitaji watu huku mtaani hawaelewi somo fanyeni mambo yaende tuutokomeze umaskini acheni hayo maigizo

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 2 роки тому +2

    Kufunga biashara si hasara Kwa wote include Serikali in tax return.

  • @annrobin9291
    @annrobin9291 2 роки тому

    Jamn hapo napapenda Sana

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 2 роки тому

    Ametumwa uyo kuaribu iyo kiraabu

  • @nadiromar8679
    @nadiromar8679 2 роки тому

    Asnt DC

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 роки тому

    Tuna liinchi LA ajabu sana

  • @quentinsylvia3877
    @quentinsylvia3877 2 роки тому

    Kwani znz April itakua ramadhani kunapigwa disco?I mean music🎵

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 2 роки тому +1

      Ramadhani hawaruhusu disco.wala kuuza chakula mchana

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 роки тому

    Kodi na mazara ya jamii bora nini

  • @williamwilliamjosephkabogo3417
    @williamwilliamjosephkabogo3417 2 роки тому +1

    hawa machoko tu

  • @manahiljamal834
    @manahiljamal834 Рік тому

    😆Leo niacheni sija tena

  • @kamalissabig4631
    @kamalissabig4631 2 роки тому +1

    Munaacha kufatilia vitu vya msingi watu muna haribia watu biashara zao Sasa umesimamisha mwez 1 watu walikuwa wameajiriwa watanya Kaz gan hiv nyinyi wakuu mbona munatuletea useng serikal ajira hakuna watu wakijitutumua wajiajir wenyewe wapate miambili Mia 3 munawafungia Sasa mnataka watu wefe njaa ndo furaha yenu

  • @shabanmgatta8625
    @shabanmgatta8625 2 роки тому

    Safi sn mtumishi

  • @hajiramadhanihaji355
    @hajiramadhanihaji355 2 роки тому

    Hatua kwa hatua wazanzibar mtapoteza utamaduni wenu, Imani yenu mtakumbatia ulevi ,ushoga kutembea uchi,kwani Ni mpango uliopangwa vzr ,subirini tu mtaona.mkicheka na nyani mtavuna mabua.

    • @abdallahsuleimani7416
      @abdallahsuleimani7416 2 роки тому

      Kweli ndugu baada ya miaka kumi tutakuwa na mashoga wengi wasagaji walawiti na walevi wavuta dawa za kulevya huo ndio mpango ulio pangwa

  • @jumakhamis6497
    @jumakhamis6497 2 роки тому

    Hongera sanaa wasafi kwa upande wetu

  • @mascage1144
    @mascage1144 2 роки тому

    Dunia inaenda mbele zanzibar I narudi nyuma duuh

  • @mpendakiswahili3053
    @mpendakiswahili3053 2 роки тому +1

    Huu ni ujinga wa aina gani .....wahukumiwe vikali hao....

  • @hamidpaku1196
    @hamidpaku1196 2 роки тому +2

    sasa ndio kamfungia nini?April yote inaishia na Ramadhan kikawaida all zanzibar hakuna mziki