MWAMBA ALIYESOTA GEREZANI CHINA MIAKA 13,AFICHUA MNAIGERIA ALIYEMPONZA, HAPA NDIPO NYUMBANI KWAKE...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • MWAMBA ALIYESOTA GEREZANI CHINA MIAKA 13,AFICHUA MNAIGERIA ALIYEMPONZA, HAPA NDIPO NYUMBANI KWAKE...
    Mtanzania aitwaye Donald amesimulia mateso mazito aliyokutana nayo baada ya kukamatwa nchini China kwa tuhuma za kusafirisha madawa ya kulevya na kufungwa jela kwa zaidi ya miaka mitatu.
    Katika kipindi hicho chote, Donald anasimulia mateso ya ajabu aliyopita kabla ya kuachiwa huru mapema mwaka huu…
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 59

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 Рік тому +6

    Nampa hongera mwanamke mwenzangu!kweli wanawake ukithubutu tunaweza!

  • @elvisboniface9665
    @elvisboniface9665 Рік тому +12

    Wakwanza mimi Leo jaman naombeni Like zangu

  • @hono1232
    @hono1232 Рік тому +3

    Jamani ,jsmani mkibahatika kusafiri msijaribu kabisa kufanyq deal yoyote na mnigeria.kwa namna yoyote ile.watu wengu wamepata matatizo

  • @user-bt2bd9ld2v
    @user-bt2bd9ld2v 6 місяців тому +1

    Changamoto ni kwa kila mwanaume. Tumshukuru Mungu amemlinda muda wote huo ,hivyo tumchangie aweze kuendeleza maisha yake.kumbuka "shilingi ina pande mbili".tutazame pande zote 2

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 Рік тому +6

    Kaeni kwenye nchi nzenu mtulie maisha hata huku yapo, Tamaa za watu kutaka mafanikio ya shotkati kwenye maisha zinawafkisha pabaya! Kitu unacho jua serikali haitaki achana nacho,

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому +1

      Hapo nyumbani utapata maisha gani bila ya kuibia watu au serikali?? Tamaa ukiwa nayo ppte ukaapo, hapo nyumbani watu si kila siku wanauana kwa imani za kishirikina??? Mtu anaambiwa lete mtto, mama, mke utapata hki au kile na anapeleka.

    • @user-tq2rk8jw3s
      @user-tq2rk8jw3s Рік тому

      Apambane nchn kwakwe ndio kuiba na hayo madawa yote makosa na bora angeiba

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 Рік тому +6

    Kwa wale wanao comment kuwa huyu ni mkenya sio kweli TZ kuna wajaluo pia huko mkoa wa Mara na wengi wapo serikalini.. mfano Wamasai wapo kwetu na Kenya pia wapo wengi tuu, wadigo wako pande zote pia, wakurya wapo pande zote pia hadi wapemba wakenya mombasa wapo pia kwahiyo lugha ya ubaguzi kwa huyu mzee haina maana unajichumia laana tuu. Alafu East Africa kihistoria sisi ni ndugu wa damu.

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 Рік тому +2

    HELLO MY BROTHER MY GOD WILL HELP YOU INSHALLAH TRUST ALLAH AMEEN AMEEN AMEEN ❤

  • @baranyikwamohammed628
    @baranyikwamohammed628 Рік тому +3

    Omera omera, mjaluo mtizi🙌

  • @hawa45kisula34
    @hawa45kisula34 5 місяців тому

    Pole

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Рік тому +5

    Ulikamatwa naumeludi salama kesi kubwa kama yamadawa yakulevya umetoka jela ukiwa salama kamatwa apa Tz kifungo chamaisha kina kuhusu

  • @shanifesto9037
    @shanifesto9037 Рік тому +2

    Mungu ni mwema

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Рік тому +3

    Pole baba

  • @user-cz2co3bc3g
    @user-cz2co3bc3g Рік тому +1

    Duuuuuuu mzeee umabahatiiii sana jah bress your

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 місяців тому

    That's true love..huo ni upendo wakwer kabisa..kwamana upendo wakwer huwa haufi

  • @adrianokubila8374
    @adrianokubila8374 6 місяців тому

    Tnamshukulu Mungu kuludisha salama tunakushauri tu Baba uende kwenye maombi kwa mwamposa huo uvimbe utaisha kwa maombi

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 6 місяців тому

    Pole mzee wetu mungu atakulinda

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Рік тому +5

    HILO NI GETI LA KAWAIDA MBONA? HALIHITAJI MASWALI MENGI. ILA MZEE ANAONYESHA ALIKUWA MPAMBANAJI

  • @tawfiqsaid4918
    @tawfiqsaid4918 Рік тому +2

    Inaonekana mtangazaji hajawahi kusafiri nje ya Nchi

    • @lazamwa1
      @lazamwa1 5 місяців тому

      Mtangazaji huyu bado mshamba sana. hata maswali yake hamna kitu....

  • @rukiawagaba2080
    @rukiawagaba2080 6 місяців тому

    Pole sana❤❤

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому +1

    God bless your family

  • @lisahhans295
    @lisahhans295 6 місяців тому +2

    Nani kaona katako kanjaaaa?tabuuuu

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg Рік тому +1

    😢

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi 6 місяців тому

    Kitu inaitwa Munigeria ni kitu chafu na kitu cha kujihadhari nacho.kama nyoka wa hatari sumu unapoona akikuchekesha. Lazima atakuingiza kwa madawa ya kulevia 🇰🇪

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 місяців тому

    Mtangazaji hujui hata kutangaza umeshindwa kutueleza kwasisi ambao ndo tunaangalia kipindi tumeshindwa kuelewa

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Рік тому +2

    Kila mtu anafamilia akuna asiye familia

  • @roseannakapalila4715
    @roseannakapalila4715 Рік тому +1

    Pole sana but huyu sio mtanzania halisi ni mkenya ambae amekaa tz mda mrefu

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 6 місяців тому

      Ukanda wa ziwa victoria kuna wajaluo wengi

  • @allysalum1112
    @allysalum1112 Рік тому +1

    Safiii mzeee tutokee tenaa uchaa uwogaa

  • @gladyedwards3097
    @gladyedwards3097 Рік тому +1

    Nilipita Qatar last week wanacheki mno hata ukiwa kwenye transit.

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 10 місяців тому

      Wanamwagavituvyote chini

    • @12322879
      @12322879 6 місяців тому

      Walininyang’anya Kvant kubwa nlikuwa naenda nayo London 😂

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Рік тому +3

    Sasa wewe mzee hizo dawa za kulevya si ni kuharibu watoto wa wenzako, mbona watoto wako umewafurahia kwa masomo waloyapata ? Hukufanya kitu kizuri kabisa.

    • @nafuwswedi2465
      @nafuwswedi2465 11 місяців тому +1

      Hilo nalo Nemo🤓

    • @marthamungure1777
      @marthamungure1777 6 місяців тому +1

      Ni kweli. Inabidi utubu na usifuatilie kesi maana ulikosa

  • @allysalum1112
    @allysalum1112 Рік тому +3

    Uyooo mzeee kweri mtanzania sio mkenyaa kweri

    • @khayratmhina3735
      @khayratmhina3735 Рік тому

      Atamimi nahisi ni mjaluo wa kenya

    • @dativajoachimwai1194
      @dativajoachimwai1194 Рік тому

      @@khayratmhina3735
      mluo uyo wa kenya

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 6 місяців тому

      ​@@khayratmhina3735hata Tanzania wajarua wapo wanaishi musoma

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 6 місяців тому

      Kwa nini mnachuki na wakenya? .historia ya darasa la.3 hamkujifunza makabila yalioko ukanda wa ziwa victoria?

  • @ImelaNashon
    @ImelaNashon 4 місяці тому

    Nitakuja kukusalimia babangu

  • @rahiyayousaf3093
    @rahiyayousaf3093 Рік тому

    Þ😢

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 Рік тому +3

    Usitudanganye tumbo kubwa hivyo alsgu unasema chakula kilikuwa kibaya

    • @ashuraally1907
      @ashuraally1907 Рік тому +2

      Molla.atakusaidia mitahani kaumbewa.binaadam.pole.sanaa

    • @esterpeter8295
      @esterpeter8295 Рік тому +2

      Unene sio kula jamani kila mtu anamwli wke

    • @kimcash3079
      @kimcash3079 Рік тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @marrypius576
      @marrypius576 Рік тому +1

      Mim nakubaliana naye maan China huwezi kuta vyakula vya kiafrica

    • @rayahamisi118
      @rayahamisi118 Рік тому +2

      Kijana jiheshimu huyu ni baba

  • @venancemushi7461
    @venancemushi7461 Рік тому

    HUYU SIO MTANZANIA PERIOD.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 місяців тому

    Yan wachina wajinga sana wanaubaguzi na sio haki zakibinadam hata kama nimfungwa ila waache kuwanyanyasa..jaman serikal yetu ipo wp?