ROSE ADAIWA KUMUUA MAMA YAKE MZAZI KISA SHAMBA, NDUGU ZAKE WAELEZA "ALISEMA LAZIMA AMUUE MAMA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 87

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 17 днів тому +5

    Hata akishinda hiyo kesi hatokuwa na amani kabisaaa maisha yakee yootee

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d 17 днів тому +2

    Hata sio kwelk hajaua ila hao wanafanya figiso huyo dada afugwe wachukue shamba

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 17 днів тому +11

    Umemuua mzaz unaenda kuozea jela na umepata laana ya mama hata hilo shamba hutolitumia kuna watu akil sijui hua wanazipeleka wap

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 17 днів тому +7

    Mwisho wa siku atakuja kusema alitumwa na mganga maana ushirikina umeshika kasi watu wamekuwa na tamaa ya kutajirika haraka😢

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 17 днів тому +3

      Looo! Unamuua mama yako kwa sababu ya shamba???Wala sio ushirikina ni tamaa ya kidunia tu. Kutokana na maelezo yao. Huyo mama Alitia nia ya kumuua mama yake masikini.

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 17 днів тому +3

    Binafs sina ukabila, lakin kutokn na historia na mambo yanayoendelea, Mungu anisaidie saana, Hatakama demu wa Arusha cjui mosh kilimanjaro ni mzuri vipi, Sioi na narudia sioi hawa watu ni zaid ya wanyama na ndomaan mikoa hiyo ina wajane weng na imagn ni wao kwa wao, je wakutan na kabila lingn unadhan unatoboa??

  • @mwanaishamasoud
    @mwanaishamasoud 17 днів тому +11

    mungu wangu mbona hii kitu kuuwa imekua jambo la kawaida subhallah muwe na subra wafiwa

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 16 днів тому

      Dktari WA mawenzi hospto ndo anaweza towa ushahidi kupitia Cheri Cha kifo hao wengine wote wafunge midomo Yao hata huyo mdogo wake asubirie ushahidi WA daktari

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 17 днів тому +3

    😢😢😢 inalilaahi wainalilah rajighun binadam tumejisahau sana hatujui kama kuna mwenyezi mungu maana kwa sasa tunatoana roho vibaya sana Tumrudie Allah jaman tusali japo Kila mmoja na dhehebu lake

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 17 днів тому +7

    Hii dunia sijui inaelekea wap yan unamuua mama yako kisa shamba ambalo na ww utakufa utaliacha😢

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 17 днів тому

      Ila Mimi Nina maononi tofauti hii inaonyesha Kuna biivu za wanandugu sdhani kama mtu Tena mtoto WA like kumuua mama yake siaminiamini ila kabla ya you're maybe apewe nafasi ya kujieleza pia apimwe akili na pia viongozi WA dini wainggilie kati ili ndo wazo langu

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 17 днів тому +6

    Huyo Mtoto au jidamiz umemuua Mamayako kwasababu ya shamba malipo kwa Allah

  • @Magdalene-er2ur
    @Magdalene-er2ur 17 днів тому +1

    Huyu baba mwenye tshert ya buluu anawasiwasi mpaka mate yanamkauka na uoga yaan mmmmh

  • @Pascaltz
    @Pascaltz 17 днів тому +3

    Yaan watu wanashindwa kutafta mali zao wanaanza kuwauwa wazazi wao

  • @geraldtulugenda4117
    @geraldtulugenda4117 17 днів тому +12

    Kuoa Uchagani ni kujitaftia kifo cha bure

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 17 днів тому +3

    Wachaga wana roho mbaya sana mbele ya Mali ni kawaida sana kuuwa !

  • @Official83640
    @Official83640 17 днів тому +3

    Innalillah unaua mama kisa shamba lisilokuwa na pepo Subhannallah 😢😢😢

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 17 днів тому

      Nikwnini uliuliza kama anaongeya vizuri ilikuwa na hovu ipi na yule ni mwanae WA kumzaaa

  • @ZuenaRamadhani
    @ZuenaRamadhani 17 днів тому +2

    Wachaga jamani tupunguze tunapenca mali kupitiliza

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q 17 днів тому +9

    Sasa amemuuwa kwahiyo iyo shamba ataipata au unaenda kuzekea jela shezi kweli

    • @shuwehaharuna6309
      @shuwehaharuna6309 17 днів тому

      Wanajua sikuhizi ukiwa na pesa huendi jela rushwa imekithiri

    • @teddymassawe3583
      @teddymassawe3583 17 днів тому +1

      Jela hawezi kwenda mama,tunaenda sisi watu wadogo

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 17 днів тому +2

    Wachaga dini yao ni mali leo unafika kumua mamayako kwa ajili ya mali ni msiba mkubwa kuishi na mama ktk nyumba ni baraka kubwa leo munauwa wazazi wenu kwa ajili ya mali

  • @elizabethkikoti7265
    @elizabethkikoti7265 17 днів тому

    Mmhh hii kesi ifatiliwe kuna ualakin sitetei inaonekana watu wanatolea macho hilo shamba kun kitu hakipo sawa kbsa

  • @MwanaidhMary
    @MwanaidhMary 17 днів тому +1

    Mungu bariki kizazi changu mana mungu ndiyo kimbilio letu mana mzazi wako unamuuwa jamani

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 17 днів тому +6

    Wachaga Mungu awasaidie kwa kweli mali kwenu ni sawa na roho ya mtu yani nime kaa machame matukio kama hayo si mara ya kwanza kusikia mna hitaji neema ya Mungu japo si wote Ila wengi wana kasumba hizi mali zina tafutwa jmn uwai nikitu kingine

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 17 днів тому +1

    T-shirt ya blue the way anaongea ni mashaka hivi 🤔

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 17 днів тому +3

    Mnanini lakini wachaga jamani

  • @subiramussa1428
    @subiramussa1428 17 днів тому +1

    Nilijua tu ni kilimanjaro..rip mama

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 14 днів тому

    mmekosea sana wana ndugu
    mlitakiwa mchunguze mkishajilizisha
    na yy mumtafutie timing mnaua tu malipo ya uhuni b uhuni tu!

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 17 днів тому +1

    Moshi arusha wachaga ni majambazi yani wanawake na wanaume jamani

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 17 днів тому +1

    Unamuuwa mama yko mzazi kisa mali ambazo alizitafuta yy mwenyew na baba yko loooh dunia simama nishuke 😢

  • @RachelVenance
    @RachelVenance 17 днів тому +1

    Roho ya tamaa tu jmn

  • @dativateti4572
    @dativateti4572 16 днів тому

    Polen sana kwa kumpoteza mama yenu mpendwa...

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 16 днів тому

    Mama yako unamuua😢😢😢mimi natamani mama ang angekuwepo.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 17 днів тому +1

    Ukojela ndiyo atapata shamba kubwa. apewimtu mbaka sikuyake yakufa. Anaakili umri wahuyo bibi angekaa miaka mingapi mpaaamuue yeye tena mama yake laanatu alikuanayo sikunyingi. Ndiyo imemzidi mpaka kauwa

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 17 днів тому +1

    Huyo mzee mwenye tishet ya blue anaongea nawaandishi lakini akiliyake haipo anajibu anachanganya kwani hapo kuna sms imeingia ameisoma inasema kwa vyovyote vile, ndio mana kachanganya na lugha gongana

    • @knowledgeispower1118
      @knowledgeispower1118 17 днів тому

      Mbona kama macho yake yanawasi wasi hivi..achunguzwe juu ya hili

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 17 днів тому

    Kwakweli atakama sio ndugu yangu siwezi kuuwa mtu kwa sababu ya mali na Mungu nakuomba unisaidie ila kwa saaa mali zimekuwa tatizo sana kwa watu wasio na hofu ya mungu lakini tukumbuke yote yanapita tuache uvivu wa kufikiri jamani 😢😢😢

  • @sarafinabutashilaga6990
    @sarafinabutashilaga6990 17 днів тому

    Hii Dunia Kuna muda nashindwa nimwamini nani yn ubaya mzazi wako kosa shamba😭

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 16 днів тому

    Uchingz umefanyika kama kauwawa mana apo kunamgogolo unaonekana Wenda alimchukua kwaupendo alf mama ikatokea amefaliki gafra kwasababu kwenye family maelewano hakuna lazma itaonekana kamuuwa ,,,,,nimawazoyangutu,,,chamsingi uchunguz ufanyike napia izi tabia zakuuwana zikomeshe mana imekuwa kawaidada sasa

  • @pendojohn5759
    @pendojohn5759 17 днів тому

    Jamani huyu bibi kaniuma jamani pumzika kwa amani bibi kibosho inatisha jamani😢😢

  • @user-ou4lv1fq1h
    @user-ou4lv1fq1h 17 днів тому

    Kuna mtu atakufa na Mali jmn 😢

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 13 днів тому

    Familia yakipumbavu wala hamna ukweli hapo wote hapo wanatamani ilo shamba

  • @user-oy2gp3nq4j
    @user-oy2gp3nq4j 15 днів тому

    Wakibosho na ardhi😢

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 17 днів тому

    😢😢😢😢😢wanazaa na vitu vya ajabu ukijua unaacha tu kuzaa

  • @bahatimellita6619
    @bahatimellita6619 17 днів тому

    85 jamanii si angesubiriii tu siku za mungu atapopumzika ona sasa utaishia jela

  • @imrankweka4752
    @imrankweka4752 17 днів тому +1

    Kibosh moja hiyo🤔

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 17 днів тому

    Tunaenda wapi jamani unamuuwa mtu kwa sasabu ya shamba Yesu turehenu sisi waja wako

  • @AgnessChambo-mx6rd
    @AgnessChambo-mx6rd 14 днів тому

    Biblia inasema mtoto anayemtukana mzazi wake kufa na afe

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 17 днів тому

    Ndio maana siwezi kuowa wanaweke wachaga kwakweli labda niwe nimelongwa Kwa uzuli niwanzuli sana ila kasolo nimoja TU wao kuuwa mtu Kwaajili ya kitu awaoni tabu sijuwi Kwanini wapo ivyo wanaichafua kabila lao 😡😡😡😡😡😡😡

  • @Jggdesigner
    @Jggdesigner 17 днів тому

    oooh my GOD😳😳😳😭😭😭

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 17 днів тому +1

    Nyie familia na nyie ni wajinga mtu ashasema atakuua mlimuachaje huko siku 3 ?hamumuoni mama yenu ?

  • @sharonyasin7521
    @sharonyasin7521 15 днів тому

    Mmmh

  • @AmedeusMbanda-gh4rj
    @AmedeusMbanda-gh4rj 17 днів тому

    Jamanii😭😭🙆🙆

  • @rusimbitumaini7772
    @rusimbitumaini7772 17 днів тому

    Tamaa za mali Dunia kuona kama ni ya milele serikali yetu inapokea lawama kwa mambo mengi ambayo kudhibiti ni kazi kubwa.mchaga huyu na wengine walio na tamaa zilizo zidi mwenyezimungu yupo na atawalipa.

  • @delilanyanginywa282
    @delilanyanginywa282 17 днів тому

    Sasa alivoua ndo atapata kiwanja?? Si kuozea jela

  • @pendo8082
    @pendo8082 17 днів тому

    Uwiiii😢😢😢

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 16 днів тому

    Kina shio hao

  • @user-dn7gn6ib4k
    @user-dn7gn6ib4k 17 днів тому

    He is not God he's just human being

  • @hajially4527
    @hajially4527 17 днів тому

    Tuacheni natamaa za mali jaman nawale wanaomtupiavifo samia je na hapo kahusika?

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 17 днів тому

    NA WEWE KM ALIONĜEA ZAIDI YA MARA TATU KUWA LAZIMA AMUUWE MAMA YAKE JE ULITOA TAARIFA POLISI AU ULIWAAMBIA NDUGU? NYINYI NDY MNAYELEA WAHALFU.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 17 днів тому

    HAO WATOTO WASHENZI SANA WEWE UUWE MZAZI SABABU YA MALI AMBAZO HUJATAFUTA WEWE C UTAFUTE ZA KWAKO? HY NI LAANA KUBWA SANA

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 17 днів тому

    Wachaga,wameru nyokooooooo zenu

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 17 днів тому +2

    Sasa wewe Mzee baada ya kumshitakia mungu unamshitakia yesu kwani yesu nimungu ??? Binadamu bwana nimtihani uache mungu aliekuumba umuombe yesu??

  • @rehemarehema7475
    @rehemarehema7475 17 днів тому

    Wewe dada rozi wewe umeumbwa nani na umenzaliwa nani wewe un liana kumbwa nautavuanguo mpaka chupi yako😅

    • @joycekalago532
      @joycekalago532 17 днів тому

      Na wewe kuandika hujui umeandika vitu gani hivi

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 17 днів тому

    Kuna matatizo makubwa sana ya Afya ya Akili kwa wananchi, bila kushughulika na kisababishi matatizo ya akili haya tutegemee vifo vingi vikiendelea

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 17 днів тому

    Mwijaku kaa tayari na wewe umeoa mchaga anasubiri afike malengo yake na wewe utapotezwa na wachaga na gorofa la bilioni au mali zako andika jina mama yako kama yule mchezaji wa morocco

    • @gililwise
      @gililwise 17 днів тому

      Yaani kuuwa ni roho ya mto si ukabila.mbona huku singida watu wamefukuliwa.nao ni wachaga?

  • @Zuuh4286
    @Zuuh4286 17 днів тому

    𝐌𝐢 𝐧𝐝𝐨 𝐦𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐭𝐮 𝐥𝐚𝐤𝐢𝐧 𝐧𝐢𝐥𝐢𝐣𝐢𝐭𝐨𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐬𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐧𝐢𝐰𝐚𝐜𝐡𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐝𝐨𝐠𝐨 𝐳𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐬𝐢𝐭𝐚𝐤𝐢 𝐤𝐮𝐠𝐚𝐦𝐚𝐛𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐰𝐚𝐳𝐚𝐳𝐢 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐢𝐞𝐩𝐮𝐬𝐡𝐞 𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐲𝐨 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐜𝐭𝐚𝐤𝐢 𝐤𝐚𝐛𝐬𝐚 𝐦𝐢 𝐧𝐢𝐩𝐨 𝐧𝐚𝐩𝐚𝐦𝐛𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐩𝐚𝐭𝐞 𝐦𝐚𝐥𝐢 𝐳𝐚𝐧𝐠𝐮😢😢😢😢😢😢