KIJANA WA ZANZIBAR AFICHUA MAZITO FORODHANI/AMEKATWA MASIKIO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @OmarAbdalla-vg1qr
    @OmarAbdalla-vg1qr 2 місяці тому +1

    Oyoooo nikweli welcome to Zanzibar kaanzisha yeye

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 2 місяці тому +1

    Me nimeanza kusikiliza Mawio badala ya kuwasikiliza hawa vijana wa forodhani wawashukuru sana na wawape hongera wamewahamasisha watu wengi kuifatilia mawio hawakua wakiifahamu

  • @Sultan-o7m9s
    @Sultan-o7m9s 2 місяці тому +3

    Hamjamfaham aliposema wao Ni wa Kwanza Anakusudia Mfumo huu waliokuja nao wao wa Kupitia Mitandao Ya Kijamii matangazo Media platform kwel wao ni wa kwanza.... Ila Ukweli Ndio wao ni wa kwnza kwa mtindo huu waliokuja nao.... Msimseme kama ni uongo

  • @mohdazad1696
    @mohdazad1696 2 місяці тому

    Daah bro unasema ukweli kwl brooo huku hatutumii gas hizo

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y Місяць тому

    Uyuuuuu ndiooo manaaa anagombanaaa naamauzideee manaaa mchokoziii atarii

  • @mohdazad1696
    @mohdazad1696 2 місяці тому +1

    Oyoooo kigojooo nakukubali sana😂😂

  • @TellaaxisTz
    @TellaaxisTz 2 місяці тому +2

    Noma sana

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 місяці тому

    Ahhhh Mtangazaji 😂😂😂 ukitamka tamka vizuri maneno mengine, siyo Zanziba(ri) ni Zanzibar au sema Unguja 😊 Na mambo hayo hayajaanza Leo Forodhani vijana kuchupa (Kachumbe) hapo baharini imeanza zaidi ya miaka 80 sasa…kwa vijana wa zamani…hao ni vijana wadogo wa Mjini.

  • @HassanMugire
    @HassanMugire 2 місяці тому +3

    Hawa wanaitaji tu management hela pale ipo

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 місяці тому +4

    Kijogoo hiko ndio ulichokua unatafuta kiki kupitia mau

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 2 місяці тому

    Oya naomba pesa yangu

  • @farahmohamedali846
    @farahmohamedali846 2 місяці тому +3

    Muongo sana uyo kaka

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 2 місяці тому

      Uwongo wake ni kitu gani wakti sisi tumeanza kuruka pale miaka ya 86...mpk 90 tukaondoka kwenda nje..na wala hatukufanya km walivofanya wao ..wala hajakosea wao ndio walioleta mfumo huo..wa kurekodi na kueka mitandaoni.. pamoja na kina jamal..wala hajakosea.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      Vijana wameanza tokea sema kwenye 70 huko…. Kwa Mtangazaji ni mambo mepya kwake .

    • @AllySalum-j9y
      @AllySalum-j9y Місяць тому

      Uyuuu naaeee Kamaaaa mauzindee tuuuu dizainiii kamaaa wanagombeaa wanaumeee

  • @lidoahmed6696
    @lidoahmed6696 2 місяці тому

    Waazilishi kaka zetu ambao walozaliwa 1970 kisha tukafata sisi wa 1988 sie ndo tukaifungua tena mizingani na kilimanangazi kama wanazijua hizo sehemu na wapiga makachu mizingani na kilimanangazi wawoto wa stone town tu ukiwa hueleweki lazima unywishe mafundo ya maji

  • @farahmohamedali846
    @farahmohamedali846 2 місяці тому +1

    Waanzilishi ndio cc wao hao wamekuja tu Stone Town ndio wa kwanza kuanza huo mchezo

  • @hmedoggftherljih199
    @hmedoggftherljih199 2 місяці тому +4

    Forodhani dying zimeanza kabla ya nyinyi hamjazaliwa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      Na’am…. Asante sasa imekuwa Uhuni mtupu hapo Forodhani.

  • @IslahiMohamed-qi2jf
    @IslahiMohamed-qi2jf 2 місяці тому +2

    Cc tumeanza kupiga makachu kabla hamja zaliwa

    • @MaithamOmar
      @MaithamOmar 2 місяці тому

      Nendeni mkajitangaze kama nyinyi ndo waanzilishi

    • @Mauwamchicha
      @Mauwamchicha 2 місяці тому

      Hujaelewa kiswahil ndo mana ukambiwa uskilize mpka uelewe watu wanapiga makachu tokea miaka y80 uko ila wao kuruka kwa matangazo wameamzisha wao

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 2 місяці тому

    Yupo Canada kaka

  • @AbuuMkabugo
    @AbuuMkabugo 2 місяці тому +2

    Kijogo mauzinde kaku busti kwei

  • @ashafaki1574
    @ashafaki1574 2 місяці тому +5

    Nimegundua kun chuk nawiv ndan yak nilifkir mamb hay yacc wanawak 2 kumb mpk wanaume daahhhh

    • @dullamuwise4802
      @dullamuwise4802 2 місяці тому +1

      hamn chuki kwa wanaume bali wanaume tuna chanana live ukumaindi pow tu

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      😂😂😂😂 Interview ya kijinga hamna kazi maswala hayajulikani mwanzo wala mwisho. Jipangeni kwa hizo Interview mjuwe nini cha kuuliza na nini cha kujibu 😂😂😂😂

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 2 місяці тому

    Muongo huyo jamaa kwa sababu walioanzisha pale ni kima Yes Jamaal

  • @binobino9078
    @binobino9078 2 місяці тому

    Kijogoo, umesema Mau yuko wapi?

  • @ahsadonlnetv4077
    @ahsadonlnetv4077 2 місяці тому +2

    Uyo jama ni muongo bwana pale muanzilishi na aliyetangaza haswa iyo kuruka katika dunia ...ni yes jamani ...uyo muhamedi ni kiruka ruka njia tu😅😅

  • @abdulshaq-qx8wz
    @abdulshaq-qx8wz 2 місяці тому +2

    kuruka apo foro ni enz na enz toka vjna wazaman sema kunzsha iyo kuruka kwa matangazo wamefanya wao lkn makachu apo ndio asl

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 місяці тому +1

      Hakika, makachu yapo kabla huyo muandishi na huyo muulizwaji hawajazaliwa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      @@mohdkhatib223Ni kitu cha asili hapo Unguja ilikuwa jioni mpaka Magharibi, kwa wasoijuwa Unguja ndio wanaona mambo mepya lakini ni zamani sana ila kulikuwa hakuna kuruka na hizo picha kama sasa hivi.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      @@mohdkhatib223Ni kitu cha asili hapo Unguja ilikuwa jioni mpaka Magharibi, kwa wasoijuwa Unguja ndio wanaona mambo mepya lakini ni zamani sana ila kulikuwa hakuna kuruka na hizo picha kama sasa hivi.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      @@mohdkhatib223Ni kitu cha asili hapo Unguja ilikuwa jioni mpaka Magharibi, kwa wasoijuwa Unguja ndio wanaona mambo mepya lakini ni zamani sana ila kulikuwa hakuna kuruka na hizo picha kama sasa hivi.

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 2 місяці тому

    Mgeni Akida wa habari za mawio

  • @marrowog8975
    @marrowog8975 2 місяці тому

    Kijogoo mau ushampata mara ngapi??

  • @kulthumsaleh5579
    @kulthumsaleh5579 2 місяці тому +4

    Makachi yalikua yanapigwa Toka mwanzo

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 місяці тому

      Namshangaa sana sie utotoni tumeruka sana sa sjaelewa anaposema wameanzisha watu wa tano

    • @Jeff_Tz
      @Jeff_Tz 2 місяці тому

      Lakini mlifahamika kama Hawa au😅😅😅😅​@@fahadfaraj6474

    • @fahmyisco2912
      @fahmyisco2912 2 місяці тому +1

      Sw nyie mlopga mwnzo makachu mpo wp saiv au mmefnya nn acheni wivu wasaport wenzenu kwa wnachokfanya coz ŵalichokibuni ni ktu kikubwa sna

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 2 місяці тому

      @@fahmyisco2912 tupo ulaya tunakula Maisha hakuna mwenye wivu makachu si jambo geni kwa mtu yoyote wa mjini asije mtu kusema ye kaanzisha ilhali ilikuepo wivu hatuna na tunajivunia wameifanya iwe world wide known thing .

    • @JamalSleiman-yc1er
      @JamalSleiman-yc1er 2 місяці тому

      ​@@fahadfaraj6474nyie mlikua mkiruka makachu tu
      Wao wameanzisha mfumo wa kibiashara ndivyo ilivyo maanishwa apo

  • @MansourYussuf-k6u
    @MansourYussuf-k6u 2 місяці тому

    Hamjaelewa Kilicho ongelewa na Muhammad kijogooo wao ndio walio leta mfumo wa kukaribisha wageni sio km wao nd wa mwanzo mue waelewa

  • @farahmohamedali846
    @farahmohamedali846 2 місяці тому

    Hatumtambui uyo

  • @bolelambunda6554
    @bolelambunda6554 2 місяці тому

    Huyu naye shoga

  • @FeysalRajab
    @FeysalRajab 2 місяці тому

    Kibunda around

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 2 місяці тому

    Ilo eneo mimi tokea mdg mwaka 2000 nlikuwa najirusha

  • @HaleemaSur
    @HaleemaSur 2 місяці тому

    😂😂😂

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 2 місяці тому

    Interview ovyo ,Tatizo shule

  • @KiremboAliOmar
    @KiremboAliOmar 2 місяці тому

    We foro ipo kitambo

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 місяці тому

      Miaka 100 labda sasa wenyewe watu Wa Unguja ndio wanoijuwa😀

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 2 місяці тому

    Una siri gani za mauzide

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂burundi iyo vepe 😂😂😂nasubiri majibu ya mau tu apa 😂😂