Jipya Jingine HILI; CHADEMA MBEYA WATOA Taarifa za KUTEKWA KWA DEUS SOKA NA WENZAKE |WATOA TAMKO Kal

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 17 днів тому +1

    JAMANI NCHI INANUKA UOVU !!!
    EE MUNGU MWAMSHE MTANZANIA
    EE MUNGU MUAMSHE MTANZANIA
    EE MUNGU MWAMSHE MTANZANIA!!!!!
    TUAMSHE EE MUNGU TUAMSHEEEEEE

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 17 днів тому +1

    Kwel watu wanapotea wengine wanasema siasa utakapo potea wewe siku Moja au ndugu yako ndo utaelewa

  • @lugembesweya3288
    @lugembesweya3288 16 днів тому

    Hatuna uongozi mbaya

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 17 днів тому +1

    Ndiomana ccm ya sasa ni ya familia chache

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 17 днів тому

    Ni vema kuwaza kuwa wanaotekwa,kupotea,kuuawawa siyo wa Chadema tu.Kuna jambo ambalo hatulijui kwa uwazi. Sasa,walio na wajibu katika jamii wana vifaa na nyenzo za kuchunguza na kugundua kiini cha tatizo hili.Hata hivyo,hadi sasa taasisi zetu kwa kazi hizi ni dhaifu sana.Taasisi hizi hazina usimamizi imara.Muundo wa uongozi wa muungano unanipa mashaka kuwa ndiyo chanzo cha unyonge huu.Tulete Tanganyika ili iwe makini na matatizo yake.

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 16 днів тому

    Serikali haiwezi kutoka hadharani kwa sababu wao ndio wahusika wa haya maovu washenzi sana mapolisi na huyo mama yao

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 17 днів тому +1

    We mbwa la fisiemu tuache bana wasipowaachia tutaandamana tu kakojoe. Ulale mbwa wewe

  • @brendangabriel1643
    @brendangabriel1643 17 днів тому

    Tamko hili lisiwe la Mbeya tu, ila kila mkoa utoe tamko kama hili, likifuatia utekelezaji. Vijana simameni muikomboe Tz.

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe 15 днів тому

    Mnaokejeli subirini mpotee wenyewe ndio mtaelewa

  • @UwezoChayonga-uo6ou
    @UwezoChayonga-uo6ou 17 днів тому

    Hii nchi inahitaji kazi mpya.

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 17 днів тому

    Umeongea kwa Hekima kubwa sana

  • @zakariawilliam-3816
    @zakariawilliam-3816 17 днів тому

    Ndugu Zangu wote wa Tanzania hakuna sehemu ya kimbilio Bali ni Mungu ajibu maombi yetu maana serikali ya mama Samia ndie panya rodi Ombi Moja Kwa wanaichi ni kuwandamana kuitetea wesetu Tanzania sio inchi Tena

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 17 днів тому

    Kipi bora kati ya kuangamiza kizazi na taifa la kesho .au kumpa mtu cheo au madaraka au ulaji ..NAOMBA MAJIBU

  • @LemaliKanarimoson
    @LemaliKanarimoson 17 днів тому

    🙏👏✌️🤝

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 18 днів тому

    Mungu Iponye nchi

  • @MashakamwakalukwaDancan
    @MashakamwakalukwaDancan 17 днів тому

    Atukubali acha watutese

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 17 днів тому

    RAIS WANGU SAMIA AFADHALI SANA UNGEIFANYA KAZI WANAYOIFANYA PANYA ROAD, KWA NINI AFADHALI, HAWA PANYA ROAD HAWAJA APA KIAPO CHOCHOTE MBELE ZA MUNGU, WAMEAMUA MAISHA YA KUPORA NA KUUA WATU. LAKINI RAIS WANGU UNA KIAPO CHA KUTENDA HAKI UMEAPA MBELE ZA MUNGU WAKO KULINDA MAISHA YA WATU NA KIAPO NI HATARI SANA, NI HATARI KWA SABABU KINA HUSU MAISHA YAKO YA MILELE NA MILELE JANUMU AU MILELE PEPONI. MUNGU HATANIWI KAMWE!!!!

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 18 днів тому

    Polisi naomba mbadilike

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 17 днів тому

    Sasa hiyo amani inayohubiliwa wakati watu wanatekwa ni amani gani na hasa wanaoteka ni wa upande wa pili hii amani itadumu kweli ?

  • @ezrakaturitsaofficialtz7873
    @ezrakaturitsaofficialtz7873 18 днів тому

    Ni mazingira magumu wanajitengenezea

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 17 днів тому

    Ndugu yako tupaze tu saut lakin serekali hii ni katili sanaaa mm nahisi mama so yule wa R 4 tena noooo sasa hv ni mama anaependa madaraka sanaaaa na hao anaowateua wanamjaza mama kuwa bila kufanya hv hatishindi so serekal ina haja madaraka so kelele zenu naishia hapa kwa leo

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 17 днів тому

    Tumelia mpaka machozi yamekauka

  • @SaimonMwashinga
    @SaimonMwashinga 17 днів тому

    K

  • @SurprisedCamel-ow6md9
    @SurprisedCamel-ow6md9 17 днів тому +1

    Acha ujinga kaandamane ww na mkeo