Wakuu wa mikoa huu mtindo wa kusikiliza kero za wanachi nawapongeza sana MUNGU awabariki to the maximum level. Migogoro ya ardhi ni shida kubwa sana Tanzania. Endeleeni kutusaidia wanyonge.
Mikoa mingine hakujakucha? Tunamuona Mhshmw Makonda, Mhshmw Silaa na mhshmw Chalamila chini ya muheshimiwa mama Yetu mama mpenda watu, mama mwenye wannyonge na wahanga...
Huyu mbona Alikuwa anafanya sana Hii stail. Mfuatilieni Alipokuwa Mbeya na Hata Mwanza mpaka akatimuliwa . Kwa kuwaambie mkiwa na mabango ya Kero nyoosheni
Daah!!?.. Hivi ndivo tunavo taka viongozi kua Bhana Kule Mako Anawasha Huku Chala Anawasha yani Sasaivi Manyang'au Watazikiri Uchi Njiapanda Saba 🤲 Mungu Ibariki Tanzania Mungu Wabariki Viongozi wetu Wanao Tenda Haki Kwa Wanachi Wanaonyanyasika Mungu Wabariki Watanzania Amin
Yaani kwa Sasa ndo naweza kuangalia taarifa ya habari nikisikia silaa,makonda na charamila, Big up Sana mungu awatie nguvu na subra kwa wingi,mungu awakinge na husda,na wanafiki wote.
Natamani wakuu wa mikoa wote nchi nzima wawe na hii kazi ya kuskiliza na kutatua kero za hapo kwa hapa.kwani tutaijenga nchi katika hali haki na upendo baina ya watanzania.naipend sana nchi yetu Tanzania.
Inachangamka wapi, hizi ni mbwembwe TU maana tunaelekea kwenye uchaguzi hivyo tunatekwa akili tutoe kura zetu tena, Alf hatutawaona Hawa wakifanya haya, mpaka uchaguzi mwine ufike
Chalamila hao wenyeviti hawakuchaguliwa ni mfumo wenu ndio matunda yenu mlioyaanzisha na magufuli wenu sasa yanawagharimu ACHENI HIZO hamtafanikiwa Arusha ni hivyohivyo Waziri SLAA hivyohivyo
@@hassanamani2131 nani ametengeneza hayo matatizo nasawa na unatengeneza tatizo mwenyewe then unalitatua alafu unataka tukushanglie nani aliyewatengeneza hao watumishi wakawa hivyo kungekuwana usimamiz mzuri tokamwanzo haya yasingekuewpo so tatizo ni mifumo ya ccm haifanyikazi na hawa jamaa wamechoka sana wanabid waondoke ije akili mpya
@@sonnyr1899 ije mifumo mipya ya uongozi na akili mpya sio hii akili ya ccm leounamsherekama Makonda kesho akipndoka tunarudi square one, hii nchi shida sio viongozi shida ni mifumo haifanyi kazi ndo maana ata watendaji wanafanya wanavyotaka wakitaka kula rushwa wanakula, wengine wanahonga mahakaman so inabid tuwe na mifumo bora ambayo ata akija kichaa tunao uwezo wa kumdhibit na mambo yakaenda
Yani mama sasa kama anajua kusoma mcheze yani nikudili nawakuu wamikowa wote wawe kama makonda wamsaidie kusikiliza kero za wana nchi kwisha mitano tena natena sisi wanachi ndotuna taka hivi kutatuliwa kero sio wanakaa ofisini tuu wana menya mama simamisha majembe kama haya wewe mbona hata presha huwezi pata
Huu ni uongo, uongozi au usanii? CCM yenyewe watenda dhambi nambari wani wakitendea dhambi gani ambayo hakijatenda? Wote ni wasanii, matapeli wanaocheza karata tatu na kuwachezea wananchi. Hayo mamilioni mnayomwaga mmeyapata wapi au mlipanga ii kujizolewa sifa za wasiojua kinichoendelea nyuma ya pazia. Hivi ndivyo wanavyolindana ati.
Wakuu wa mikoa huu mtindo wa kusikiliza kero za wanachi nawapongeza sana MUNGU awabariki to the maximum level.
Migogoro ya ardhi ni shida kubwa sana Tanzania.
Endeleeni kutusaidia wanyonge.
Mikoa mingine hakujakucha?
Tunamuona Mhshmw Makonda,
Mhshmw Silaa na mhshmw Chalamila chini ya muheshimiwa mama Yetu mama mpenda watu, mama mwenye wannyonge na wahanga...
Naona makonda amewaamshaa kabisaa asante sana makondaaaa
Yani viongizi wanajua kazizao shida niuwoga ila makonda ndie mwamba
Huu mtindo alianzisha happy akiwa iringa makonda kufwatisha kwa kiwango cha juu
🎉🎉🎉
Makonda the Great ameonyesha njia asnate RC Makala kwa kazi nzuri
Huyu mbona Alikuwa anafanya sana Hii stail. Mfuatilieni Alipokuwa Mbeya na Hata Mwanza mpaka akatimuliwa . Kwa kuwaambie mkiwa na mabango ya Kero nyoosheni
Jerry Silaa mbona kufanya sana
Chalamila na sio makala
huyu sio makala ni Chalamila
Makala gani tena
Makonda 💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏nchi inaaanza kua tam
UWIUIIIIII🎉🎉,, NDIO MA RC TUNAOWATAKA HAWA… yaani mwananchi inafikia hatua humjui RC wakoo!!! Ni hatari sanaaaa… Mamma SAMIA OYEEEEEEEEE🎉🎉❤
😂😂😊😊
Ni huzuni kwa kwel
Makonda wapili yupo pugu weeee❤❤❤❤❤ fanya
Duh!!!!! Mhe mkuu wa mkowa Dar hongera sana
Makonda Makonda Makonda, akili kubwa, unawafanya wengine wajue kazi zao. Endelea kuchangamsha nchi, wenye mamlaka wajue kuwajibika kikamilifu.
Daah!!?.. Hivi ndivo tunavo taka viongozi kua Bhana Kule Mako Anawasha Huku Chala Anawasha yani Sasaivi Manyang'au Watazikiri Uchi Njiapanda Saba 🤲 Mungu Ibariki Tanzania Mungu Wabariki Viongozi wetu Wanao Tenda Haki Kwa Wanachi Wanaonyanyasika Mungu Wabariki Watanzania Amin
Mkuu, Chalamila, Asante. Aina hii ya uongozi ndiyo inafurahisha wanyonge. MUNGU akulinde Mkuu .
RC Chalamila mnyama kazi nzuri sana, nakukubali
Viongozi MUNGU Awabariki sana Katika Jina La YESU KRISTO wa Nazareth aliye hai
Duh makonda chalamila
Congratulations RC Albert Chalamila, Kazi Iendelee 🇹🇿
#NasimamanaSamia
Mkiwanyoosha wajumbe na wenyekiti tutaapumua. Zurma itaisha. ALLAH AKULINDE. CHALAMILA
Wapiga kura tunaona.....Mwenyezi Mungu awabariki viongozi wetu muendelee ivo ivo hata baada ya uchaguzi .....Samia ..mitano tena. ...hii imeenda
The effect of Makonda wote igeni kuchapa kazi
Safi sana mkuu huko poa sana sana watu kutapeli 24vhour
Hongera Makonda Kwa funzo juu ya wenzako
Magufuli kaonyesha njia na vijana wanatekeleza
Endapo mikoa yote itapata RC kama huyu namakonda nchi yetu imepona
Makonda ni mfano wakuigwa..
Yaani kwa Sasa ndo naweza kuangalia taarifa ya habari nikisikia silaa,makonda na charamila, Big up Sana mungu awatie nguvu na subra kwa wingi,mungu awakinge na husda,na wanafiki wote.
Safiiiiiiii like Makonda
Huyu sasa ndo makonda namba 2 MUNGU awatunze
wanaanza kuingia system ya makonda wameanza kumuelewa sqsa
Kabisa nchi itakuwa nzuri
Safi sana lipa baba ,ili yeye akulipe wewe tuone kama atakukimbia😂😂😂
Mweshimiwa Mkuu wamkoa kazi Yako njema Sana Sana
MAKONDA ROLE MODEL WAOOOO
Makonda kaonyesha njia
Natamani wakuu wa mikoa wote nchi nzima wawe na hii kazi ya kuskiliza na kutatua kero za hapo kwa hapa.kwani tutaijenga nchi katika hali haki na upendo baina ya watanzania.naipend sana nchi yetu Tanzania.
KUMEKUCHA! WAPIGAJI MJIPANGE! SASA HUYU KAPINDA AFAZALI YA MAKONDA😢
Kabisa yeye mpk ananunua kesi😅😅
😂😂
huyu kweli noma
Kibaya zaidi ni mhehe huyo shauriyenu
Tena ajali lolote chazeya chalamila wewee 😂😂uwiii ni kiboko
Nakupenda sasa chalamila mkuu wamkoa.
chalamila kamua tuko nawewe piga kazi tunataka wateja haki nchini like wewe mwaaah❤❤😊
chalamila hamuigi makonda wote niwachapa kazi chalamila tunamjua toka akiwa mbeya enzi ya raisi wa Tanzania mwenye uchungu na wa tz
Chalamila una masihala sana
Safi sana RC kwa kuinunua kesi
Naona nchi imeanza kuchangamka
Laaa sanaaaaa...
Inachangamka wapi, hizi ni mbwembwe TU maana tunaelekea kwenye uchaguzi hivyo tunatekwa akili tutoe kura zetu tena, Alf hatutawaona Hawa wakifanya haya, mpaka uchaguzi mwine ufike
Chalamila oyeeeeer
Huwa vinawezekana mkiamua kuwakomalia. Wanatuumiza sana hao tuliowapa dhamana
Nahii ndostaili nzuri ya uwongozi
Kwa kweli jamani bila kuwa na na viongozi wakali hata haki zetu ndogo hatutapata.
Sio Makonda, Chalamila ameanza ziara hata kabla ya Makonda kuteuliwa
Makonda asante sana kwakuamsha wakuu wa mikoa tunaimani na ccm
Hongera Charamila
Hongera RC Chalamila
Pongezi kwako mkuu wa mkoa chalamila
Makonda Jeri slaa charamila nchi razima ichangamke
NAUONA MZIMU WA MAGUFULI
Kazi nzuli mkuu
makonda na chalamila Mungu awape nguvu
Tulimiss sana wapiga kazi kama hawa.
Ongera Sana baba
Nafikiri Magufuli hawezi kupotea tunaona
MAKONDA AMEWAAMSHA KUTOKA USINGIZIN😢😢
Kuna makonda,silaa na chalamila hawa watu jaman Mungu awalinde
Utapeli Mwingi sana Tz
Wewe ndo komesha ya wezi.
Hii ndo yenyewe no kukaa ofisini msaidieni mama wananchhi. wanaonewa sana
Chalamila maconda jeriiii hivi vichwa vi 3 vikiungana pamoja tanzania tuta fika mbali na rushwaaa kwaishaaa
Jamani aje huku madale tunadai mishahala zaidi ya mwaka.
Chanika hayo mambo yamekisiri sana
KAMA MNAVYOONA WATAZAMAJI TAYARI KUAMEANZA KUCHANGAMKA 😂😂😂😂😂😂😂😂
Pacha makondo ! Na wengine jmn muige mfano !! 🙏🙏
Duuh anapita njia za makonda safi sana
Mh. Chalamila Mbezi malamba mawili maji hakuna mwezi mzima Sasa DAWASA wanahujumu maji malamba2
Chalamila hao wenyeviti hawakuchaguliwa ni mfumo wenu ndio matunda yenu mlioyaanzisha na magufuli wenu sasa yanawagharimu ACHENI HIZO hamtafanikiwa Arusha ni hivyohivyo Waziri SLAA hivyohivyo
Safisana chalamilla
Mmfuatwa nyao za makonda.
😂😂😂😂😂😂 Watasema mwaka huu
Safi Sana mkuu
Viongozi wameanza kuchangamshwa akili,,asanteni sanaaa maDC serikali ya mama Samia
Makonda.hii
Kazi.nzito
Msela kala milioni 2 kaogopa kusema bado laki,, deni lake ni milion 2 na laki 1
Mimi huwa nakuelewa sana,basi tu mama alikuvutia handbrake la sivyo ungekiwasha Dar,baba kegan nae akakiwasha Ars mambo yangenyoookaaaa
Mwenye nyumba kapewa ufunguo.
inaonyesha nchi jisingan inahitaji mifumo mipya na uongozi mpya CCM must go
Sasa hao si ni CCM, unataka tena waondoke wakati wanafanya kazi nzuri, kweli hatuna upinzani nchi hii
Alafu aje nani sasa? Mbona mku wa mkoa anafanya kazi Nzuri tu.
Acha kupanik
@@hassanamani2131 nani ametengeneza hayo matatizo nasawa na unatengeneza tatizo mwenyewe then unalitatua alafu unataka tukushanglie nani aliyewatengeneza hao watumishi wakawa hivyo kungekuwana usimamiz mzuri tokamwanzo haya yasingekuewpo so tatizo ni mifumo ya ccm haifanyikazi na hawa jamaa wamechoka sana wanabid waondoke ije akili mpya
@@sonnyr1899 ije mifumo mipya ya uongozi na akili mpya sio hii akili ya ccm leounamsherekama Makonda kesho akipndoka tunarudi square one, hii nchi shida sio viongozi shida ni mifumo haifanyi kazi ndo maana ata watendaji wanafanya wanavyotaka wakitaka kula rushwa wanakula, wengine wanahonga mahakaman so inabid tuwe na mifumo bora ambayo ata akija kichaa tunao uwezo wa kumdhibit na mambo yakaenda
Matunda ya ccm hayo chukua chako mapema
Utapeli wa wenyeviti serikal imesababisha walipeni mishahara wenyeviti maana mmewafanya kama maumbwa
Ebwana huku Dar nako kumechafukwa
RC Mkoa wa Pwani naye achunguzwa kuhusubutaperinwa ardhi. Anawalonda wenyeviti wa vijiji vya Pwani
NA HUYU WA DODOMA NAE AJE ASIKILIZE KERO KONDOA DC,
Ila Hawa wenyeviti hatukuwachagua sisi ndio maana wanafanya wanavyotaka
Allah awape subhanallah na haki
Yani mama sasa kama anajua kusoma mcheze yani nikudili nawakuu wamikowa wote wawe kama makonda wamsaidie kusikiliza kero za wana nchi kwisha mitano tena natena sisi wanachi ndotuna taka hivi kutatuliwa kero sio wanakaa ofisini tuu wana menya mama simamisha majembe kama haya wewe mbona hata presha huwezi pata
Safii chalamila
Mheshimiwa Rais Nashauri pia uteuwe Mkuuu wa Mkoa kiongozi Awasimamie Wakuu wa mikoa Wengine Mfano Mheshimiwa makonda Awe Mkuuu wa Mkoa kiongozi
Hapa sawa lakini hapo awezi ona
Mkuu ujatoa kwa moyoo
Wenye viti wajumbe wa mashina ndio wezi kuliko watu wote
Safi sana
Chalamila wewe mtu wa maana kabisa
❤❤❤❤
MAKONDISATION.!!!!!!
Huyu jamaa mjanjamjanja sana tunamjua huku pugu
So mkuu kaamua kupita na upepo wa makonda 😂😂
Tunaeuhusiwa kuiga mazuri kwa mustakabari wa Tanzania yetu
Chalamila 😂😂 umemaliza kesi vizuri ❤
Hizo pesa zinapatikana wapi wajameni tugawieni na sisi
Huu ni uongo, uongozi au usanii? CCM yenyewe watenda dhambi nambari wani wakitendea dhambi gani ambayo hakijatenda? Wote ni wasanii, matapeli wanaocheza karata tatu na kuwachezea wananchi. Hayo mamilioni mnayomwaga mmeyapata wapi au mlipanga ii kujizolewa sifa za wasiojua kinichoendelea nyuma ya pazia. Hivi ndivyo wanavyolindana ati.
Hiiii nimeipenda lkn kuwe na Sheria maalumu itakayo saidia watu kupata haki zao
Mda wa kampeni huu...hapo hakuna lolote hiyo imeisha hiyo
CHARAMILATUNAOMVA UTINGE CHANIKA WQNAUZA NYUMBANI ZA UTAPERI NA VIWANJA SKWATA HUKU VIKINDU NA KISEMVULE
Pameanza kuchangamka ndugu mtazamaji nchi imeanza kuwa tamu sasa