MCHUNGAJI KANITAPELI MIL.10 YA KIWANJA | MAMA ATOKWA NA MACHOZI | RC MAKONDA MAMA KAMA UNADANGANYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 31

  • @halimaallyazizi4443
    @halimaallyazizi4443 4 місяці тому +4

    Mungu akubarikisana sana makonda na familia yako na watoto.wako.amem

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 місяці тому +3

    Uyo ndiyo Mungu wetu ni mwaminifu. Amen.

  • @FrankMgamba
    @FrankMgamba 4 місяці тому

    Hongera sana brother makonda una mungu ndani yako ndio maana hata maneno yako Yana hekima sana

  • @AbelNguluchaMasuke-oj7zy
    @AbelNguluchaMasuke-oj7zy 4 місяці тому +4

    AISE wewe makonda duh Kuna mungu ndani Yako anakuongoza

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 4 місяці тому +1

    Wanadamu wengine bana ni tatizo. Kwaiyo kumzalilisha uyo Mtumishi ndiyo anaona bora?. Aya bana. Uzuri Makonda hana upendeleo. Mungu mkuu awape Rehema.. Amen.

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 4 місяці тому +3

    Part 2 iko wap? Nasubiri, move tamu.

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 4 місяці тому +3

    Makonda nakupenda kijana wangu

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 4 місяці тому +4

    Makonda mimi ni mkenya natamani ungekua uku kwetu kenya sisi tunateseka

  • @esterswai9454
    @esterswai9454 4 місяці тому +2

    Hata sijui nisemeje ila makonda Mungu akupiginie

  • @joycekamendu5289
    @joycekamendu5289 3 місяці тому

    Makonda mungu akuweke

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 4 місяці тому +2

    Jamaa Makonda ana Busara sana.

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 4 місяці тому +1

    Aaaaaa!!! Wewe dada nimuongo jaman embu acha hizo wewe sema umemwonea wivu huyo mtumishi.

  • @aminaosman3315
    @aminaosman3315 4 місяці тому

    Wachungaji mashekh ndio wenye we siku hizi Allah anawaona

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 4 місяці тому +3

    Huyo mama ni tapeli

  • @AdelaMgaya-st1vb
    @AdelaMgaya-st1vb 4 місяці тому +1

    unamdharirisha mchungaj we dada mwongo kwanza hauelewek

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 місяці тому

    Mimi sielewi kwanini mtu anatoa sadaka ya kiwanja au nyumba wakati mwenyewe hana mahali pa kuishi😮😮

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 4 місяці тому +1

    Wanao kimbilia kulia mda mwingine waongo 😂

  • @PeterMassawe-oh8fk
    @PeterMassawe-oh8fk 4 місяці тому

    Daaaa aisee makonda MUNGU azidi kukuweka ili tuendelee kuona kuwa magufuli bado anaishi tz

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 2 місяці тому

    Mchungaji ni mkweli

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 4 місяці тому +1

    KATIKA HAO WAWILI LAZIMA KUNA MMOJA MUONGO NA MWINGINE MKWELI

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 місяці тому

    Acha kulia 😮

  • @njuka3515
    @njuka3515 4 місяці тому

    Pokea Baraka makonda Kwa Jina la yesu

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 4 місяці тому

    Huyu Dada Anaonekana Ni kigeugeu

  • @gerardyoung1707
    @gerardyoung1707 4 місяці тому +1

    Huyu mama ni muongo anatishiya na machozi

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 4 місяці тому

    Mchungaji unacheka nini kinafiki

  • @EliasLeturere
    @EliasLeturere 4 місяці тому

    Mchungaji Lipa pesa acha huuuni tunakujua

  • @romanamassawe814
    @romanamassawe814 4 місяці тому

    Mtu yoyote anayekbilia kulia ni muongo

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 4 місяці тому +1

    Aki mapastor wamekua wauni ngai

    • @feliciankabasa8995
      @feliciankabasa8995 4 місяці тому +1

      Eti mapastor ,umeona wangapi,acha kuchafua watumishi wewe,kunawatu wanataka kuwadhulimu pastors kwa kuwa hawawezi na hawapendi vikesi,hata huyo binti ameumbuk sana..

  • @raysonngowi4679
    @raysonngowi4679 4 місяці тому

    Hekima ya suleimain iko kwa nabii makonda

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 4 місяці тому

    Nina wasiwasi na huyo dada