CHALAMILA ATOBOA SIRI SUALA LA USHOGA NCHINI HASWA DAR ES SALAAM AWAWAKIA WAZAZI WA TABATA MALEZI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 24

  • @JonathanLuanda
    @JonathanLuanda 4 місяці тому +1

    Wewe ni mkuu wa mkoa ambaye Nakukubali sana MUNGU azidi kukubariki kila siku katika kazi zako...piga kazi baba Nakuelewa sana
    Unaufunza umma una wapa Wazazi Elimu ya Bure kiongozi wa aina yako ni adimu sana katika ulimwengu wa sasa

  • @apostlefrankevarist831
    @apostlefrankevarist831 4 місяці тому

    Safi Sana Mkuu wa Mkoa

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 4 місяці тому +1

    Ni kweli ndiyo maana huwa ninakupenda unajua kupasua jipu nahisi ulisema ulifaulu Biology.

  • @mhemaegid3455
    @mhemaegid3455 4 місяці тому

    Big up mzee baba

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 4 місяці тому

    ivimkuu nguvu inayo tumika kuzibiti wapinzani je ingetumika kwenye kuzibiti ushoga msingefanikiwa?

  • @USAIDforRichardMooresAgency
    @USAIDforRichardMooresAgency 4 місяці тому

    Washoga meaning British people living in Tanzania ✌️

  • @selebrumofficial8240
    @selebrumofficial8240 4 місяці тому

    Anakuelewa sana mkuu wa mko wangu

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 місяці тому

    Ni kweli kabisa jamani

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 4 місяці тому

    Huyu cheka tuu imzingatie 😂😂😂

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 4 місяці тому +1

    Naam Dar imeoza kwa watu wanaokula vinyesi vya binadamu wenzao na kuvichezea. Ingawa tabia hizo zimekubuhu sana hasa mikoa ya Pwani tangu enzi za uhuru na sasa zimesambaa kwa kasi bara kwa sababu ya mwingiliano wa watu. Mikoa ya Pwani ni kama utamaduni kufanya huo uchafu ushetani tena mpaka kwa jinsia zote.

    • @omarymkamba3045
      @omarymkamba3045 4 місяці тому

      Acha uongo wewe hakuna kabila lolote la pwanì lenye utamaduni wa ushoga ,hakuna hata moja.Masuala ya ushoga yaliletwa na wageni hasa maeneo ya mijini,labda utumie kigezo kwamba mikoa ya pwani imekuwa na muingiliano mkubwa na wageni tangu miaka mingi iliyopita ndio maana ilianza kuathirika mapema.Lakini ukisema ni utamaduni huo uongo.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 4 місяці тому +1

      Arusha inaongoxa kwa huu uchafu

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 4 місяці тому

    hilo suala la mzazi achangie pesa kwa ajili ya waalimu wa ziada, haija kaa sawa kidogo. Kodi hazitoshi? Makonda's tuition required

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 місяці тому

    Jamani mkuu lazima waweka sawa

  • @MasoudyMichael-ox7xl
    @MasoudyMichael-ox7xl 4 місяці тому

    Mtu akiwa shoga mlio tu wa bomu lazima utumbo ukose mawasiliano ataharisha tu😅

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 4 місяці тому

    Nnueni mashangingi kila mwaka, mnashindwa kununua chakula shuleni, viongozi wote,mlikua mnakula shule, serikali iliwalipia fedha

  • @OscarAsukenie
    @OscarAsukenie 4 місяці тому

    Serikali imeshimdwa kutatua tatizo la ajira. Sioni haja ya kuwakazania watoto shule tu, serikali ianzishe miradi iwekeze vijana wapate ajira.

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 4 місяці тому

    Pole mkuu MUNGU awe nawe kamata wote TUKO nawe

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 4 місяці тому

    Baba akilawiti watoto wa wenziwe na yeye hata akifa akiacha watoto wadogo watalawitiwa tu. Na wanaolawiti na wao walilawitiwa utotoni mwao kama hujalawitiwa huwezi kulawiti. Huu mchezo unazunguka chunguzeni mtanikubali.

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 4 місяці тому

    Mkuu wa mkoa unakuwa mbabaishaji serikari.ishindwe kuajiri sembuse mwañanchi.Ccm mmezoea kufeli,shule zenu za ccm ( wazazi) mmeuza.Jmn tunawafahamu wengine mlikuwa walimu wa shule hizo.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 4 місяці тому

    Wanaume na watoto wa kiume ndio wakufaliki mkuu?????😂😂

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 4 місяці тому

    Leo mnatutukana walipa kodi

  • @YOHANAAgustino-bh4cy
    @YOHANAAgustino-bh4cy 4 місяці тому

    Hela zote za bajeti mnakula halafu leo unahutubia wazazi kuchangia mmh Huna hata aibu

  • @YOHANAAgustino-bh4cy
    @YOHANAAgustino-bh4cy 4 місяці тому

    Serilali inajitahidi kutoa pesa ambazo ni kodi za wanainch kwa ajiri ya huduma za wananch mnakula tu huku mnahutubia kuchangisha wazazi yaan unayoyaongea unatafakari kweli..!?