Watu wengi wamejikuta wakisumbuka hasa kwenye mahusiano na hii imekuwa ikichukuliwa kwa kawaida pasipo kuja kuwa nyuma yake kuwa kuna roho chafu zinahusika
Namshukuru Mungu nimefunguliwa kwa kweli mm ni mmojawapo ambaye tatizo hili limekua likinisumbua sana namshukuru Mungu kupitia maombi ya mchungaji nimepokea uponyaji ningekuomba mchungaji unipatie number zako
Pastor, praise God almighty in Jesus name. Thanks so much, l have listened to you. You are really anointed. Kindly, l am from Kenya. I request for prayer. In my life. I see flies, mosquitoes, spiders. Cockroaches, lizards, snails, tiny insects around me or following everywhere.l have prayed in vain. They monitor me every where I go and what l do. In their presence nothing goes well with me. Pray for me as l pray this end. Shalom.
jini mahaba hawezi kuondoka kwa maombi hata kama mgonjwa wa jini mahaba akiombea na Wachungaji 1000 sio rahisi kuondoka katika mwili wake. Utaomba usiku na mchana pepo mchafu hawezi kuondoka pepo mchafu ana dawa zake za kuweza kumuondoa sio maombi.
Hili la kutupiwa majini mahaba kwaajili ya kufungwa kutokupata mtoto,hili limenikuta mimi mwenyewe, nilivyoolewa tu mambo yakabadilika,mzunguko kuvurugikia nikienda hospital napewa dawa lkn hali inarudi kuwa vilevile.
Shalom pst I've been following for you for along time please help me to overcome this spirit husband has tormented for along time it has destroyed a lot of things in my life I've been addicted to pornograph I've tried as much as I can to overcome it but nimeshimdwa am from Kenya
Asnte Bwana Yesu kupitia mtumishi wako nimefunguliwa kwa heri mateso👏👏👏
Bwana Yesu asifiwe toka nimeota naolewa maisha yangu hayaeleweki kabisa ktk uchumi, kuolewa n.k
Mungu nisaidie nipone.
Check me
@@noahsamweli2693Hello
Asanti muzee , ninakufata toka Lubumbashi congo , Mungu akubariki
Amina
Amen 🙏
Namshukuru Mungu nimefunguliwa kwa kweli mm ni mmojawapo ambaye tatizo hili limekua likinisumbua sana namshukuru Mungu kupitia maombi ya mchungaji nimepokea uponyaji ningekuomba mchungaji unipatie number zako
Ameen
daaa yani mtumishi ni kweli kbs yani na bado huyu jini ananisumbua daa asante mtumishi God Bless you
Praise God pastor hii majini nimeionea Saudi Arabia.sasa huyu sio wa kurithi hutoka aje . from kenya.working saudi
Ameeeeeeeeen 🙏 niombee jini mahaba kaaribu maisha yangu 😢
Pastor, praise God almighty in Jesus name. Thanks so much, l have listened to you. You are really anointed. Kindly, l am from Kenya. I request for prayer. In my life. I see flies, mosquitoes, spiders. Cockroaches, lizards, snails, tiny insects around me or following everywhere.l have prayed in vain. They monitor me every where I go and what l do. In their presence nothing goes well with me. Pray for me as l pray this end. Shalom.
Hi you there Judith ?
@@gooddeeds162 me to same things happen to me like Judith.
Asante mtumishi wa mungu mungu akubariki sana
You're anointed and God bless you, from Kenya 🇰🇪.
I feel instant healing from all of my Body pray for again
Ubarikiwe sana mtumishi
I like your teachings
Nimebarikiwa Sana mtumishi kwa mafundisho yako
Amen Asante Baba kwa kusema nami kupitia Mtumishi wako.Blessed be thy name🙏
Pastor YESU akubariki Sana...Kuna mahali nimesogea
Mi mwenyewe ndio Kwanza nasikia kwako.
Thank you so much mtu anaishi hajui chakufanya
Asante ni meokolewa kupitia fundisho juu ya jini mahaba Bwn yesu asante
Amen, ninashukuru kwa somo pastor.
Namshukuru Mungu kwaajiri yako na akutunzeee niendelee kupona kupitia ww
Daddy Love you 😘from 🇴🇲
UBARIKIWE SANA NAFUNGULIW@ SANA
Barikiwa sana MTU wa MUNGU
Asante Pastor nakufuata kutoka kenya
Nimebarikiwa sana mchungaji
Kweli mtumishi ukweli kabisa mimi nikaangalia alafu mwisho wasiku naota nafanya mapenzi 🙌 kweli kabisa sikupingi
Asante BABA nimezifunza Sana
Thank you so much kwa mafundisho
Baba Mungu akubariki sana🙏
Asante sana kwa somo AMEN
Ameen baba mungu aniepushe na hiiroho
Mtumishi umenisaidia Sana.Mungu na akubariki.
Nice teaching
Amina baba
Amen nimefunguriwa natatizo hili
Well Said Mtumishi wa Mungu 🙏
Nateseka Sana na haya Mambo mungu nisaidie 😭😭
Its really reality of Christ
Amen Papa
Ubarikiwe bab
Ameeen
Ameen, Asante Yesu🙏🙏
Barikiwa Sana baba
Asante sana pasta
Amen u talk truth nkaa nmerushiwa Makino haba
,Mungu yu mwema kwa wamwaminio
Tafadhali Mugu nione na mimi
Pastor sorry in dar es salaam where are you am blessed very,very important
Mhh kweli nimeamiin mtumishi
Amen Pastor
THANK YOU JESUS CHRIST KUPITIA SOMO HILI NAPOKEA UPAKO WA KUWASHINDA MAJINI MAHABA NA ROHO ZA PORNOGRAPHY. AMEN
Asante Baba kwa somo...Mungu akubariki sanaa
Amen
Ubalikiwe mtumishi
Amen and Amen
AMEN
Bwana yesu nisaidie niondolee hii roho ya jini mahaba
Ee bwana. Yesu nkondolee iyo roho juu ya familia yangu
Amen mtumishi wa mungu
Am blessed
Nimepona kwa jina la Yesu kristo wa nazareth
kweli kabisa
Ameni
Amen mungu apewe sifa pastor
Mungu akubariki sanaa kwamafundisho ykooo 🙏🙏🙏🙏
Plz tag me during the prayers God bless you from Lebanon
Mutumishi hayo matatizo ni ya kwangu 😭😭🇰🇪🙏.
Ukweli
And musterbate on too
Bwana yesu nimepokea maombiyatoke siyataki kabisa majini mahaba
Emen
Nisaidie mtumishi kuiombea hii ya majini mahaba hio ya kuota na lala na mwanaume na pia mimba na nyonyesa mtoto please help me
Oooh God
Bwana Yesu asifiwe, natafuta series inayou fuata ya maombi haipatikani please nisaidie link
Ubalikiwe sana
Yes hizo ni spiritual husband/yaani mume wa kiroho!
😢 oh my God nilianza kuota nafanya mapenzi jamani nikiwa na 8 years nimeteseka saana
jini mahaba hawezi kuondoka kwa maombi hata kama mgonjwa wa jini mahaba akiombea na Wachungaji 1000 sio rahisi kuondoka katika mwili wake. Utaomba usiku na mchana pepo mchafu hawezi kuondoka pepo mchafu ana dawa zake za kuweza kumuondoa sio maombi.
Samahan naomba unielekeze dada angu nna shida sana
Umenisaidia saana Baba Angu Sasa Nimejua na Nimepona Na Sitateseka Tena
Umenigusa hili baba😭😭😭😭nikizaa watoto wanakufa. Wanakufa kwa kutoka damu puani tuu. Nimezika watoto wote wawili sina hata mmoja😭😭😭😭Mungu nisaidie
@kissamwamunyange Pole sana kwa ulichopitia
Asante
Pastor please ombea relationship zangu nikidate after three months ninaachwa bila sababu and I don't watch pornography,,,pray for me.
Kwa Damu ya Yesu roho ya majin mahaba roho ya kulithi kutoka kwa mababu na mabibi
Iniachilie kwa Damu ya Yesu naifuta kwa mamlaka ya jina la Yesu
Ukosahihi
Nimepata jambo jipya hapa.
Hello mtumishi plz naomba uniombee Kila wakati me huota nikifanya mapenzi Kwa ndoto
Hili la kutupiwa majini mahaba kwaajili ya kufungwa kutokupata mtoto,hili limenikuta mimi mwenyewe, nilivyoolewa tu mambo yakabadilika,mzunguko kuvurugikia nikienda hospital napewa dawa lkn hali inarudi kuwa vilevile.
Daa yaan yaliyo kukuta ww Kama mm tu my
Number zipo kwenye UA-cam channel kwanini msimtafute Mtumishi akawasaidia?
Na Mimi Nina Hilo tatizo Kama la kwako
Ulipata usaidizi
@@gooddeeds162 ziko wapi jmn
Jamani hiyo ya maombi hukusu majini mbona sijaiona nahitaji kweli hayo maombi
Uns
Shalom pst I've been following for you for along time please help me to overcome this spirit husband has tormented for along time it has destroyed a lot of things in my life I've been addicted to pornograph I've tried as much as I can to overcome it but nimeshimdwa am from Kenya
Same to me here dear aki
Naomba please pastor unieleze uchawi na jini tofauti ni nini?
Mimi nataka unisaidie nitoke kwa hizo jini mahaba.
Amin
Nawale tuko warabuni jimajaa
Naomba kujua mwendelezo wa hapa ile clip ya maombi tu naomba siion
Link ya maombi
Kanisa lipo wapi?
Link ya maombi ya hili SoMo IKO wapi?
pastor miombee nipate kukumbuka ndoto
Bwana Yesu asifiwe baba niliota juzi nimevalishwa Pete nikakemea lakini Leo nimekosa amani kabisa
Amina mtumishi
Mung nitoe kwenye eneo hili
na mimi leo nimepon kwenye eneo hili