SOMO;NAMNA GANI MAMA MCHUNGAJI ANAWEZA KULIJENGA KANISA LAKE AU KULIBOMOA KANISA LAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2024
  • Mama Mchungaji katika huduma ya kulijenga Kanisa

КОМЕНТАРІ • 5

  • @jasperjackson8871
    @jasperjackson8871 5 днів тому +3

    Hekima yako ya mafundisho yako ni zaid ya dhahabu, lulu na almasi za dunia hii maana yangu ni kua n kitu cha thaman mnooo ambacho Mungu amekubarikia na hakika u mfano bora wa kuigwa na huo unyenyekevu ni silaha tosha ya kuilinda ndoa yako.
    Nabarikiwaaa sana na ningependa wanawake wajifunze na kuiga kutoka kwako mtumishi wa Bwana.

  • @lucymasembo9541
    @lucymasembo9541 5 днів тому

    Hongera sana kwa huduma hii ya kipekee mno. Mungu akubariki

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 5 днів тому +1

    Well said mama

  • @user-cw3vu8mu3k
    @user-cw3vu8mu3k 4 дні тому +1

    Hakuna jina la mama mchungaji kwa biblia nzima wala hukana mama mtume ?na kiwahalisia mama mchungaji ni mama ake mazazi

  • @josephnyangusi516
    @josephnyangusi516 5 днів тому

    Amina. Well said