MBOWE ALIVYOMBANA WAZIRI MKUU KWA MASWALI, UCHAGUZI, TUME UHURU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 46

  • @magdalenaandrew5457
    @magdalenaandrew5457 4 роки тому +7

    Waziri mkuu mungu anakuona ,mbowe yuko sawa na maswali yake maan 👮 hawakawiii kuwapiga risasi na mabomu tofauti na ilivyoo ccm

    • @Thebatony-a
      @Thebatony-a 4 роки тому

      Ukiwa waziri raha sana yani majibu mepesi alafu kama anasoma alichoandikiwa sio anacho kijua serikali hii inaendeshwa kibabe mh waziri wewe hujui kwakua mnaendeshwa kwenye magari tu nakupewa taarifa zisizo za kweli njooni mitaani sio kuandaa watu muwe na ziala za kushtukiza ndio mtajua mwenyekiti wa mtaa anajifanya mungu mtu mtaani

  • @goodluckchristopher3304
    @goodluckchristopher3304 4 роки тому +2

    Mungu anasheria zake ambazo zinagovern this universe, ambazo ukizitafiti na ukazielewa zote utapata kila kitu unachokihitaji kwenye Maisha yako na kufurahia Maisha Kwa ujumla, Je Katiba Ina kila kitu ambacho Mtanzania akiisoma Katiba na kuielewa yote, ataona maendeleo katika Kizazi kilichopo na kijacho? bila kufungamana na upande wowote wa kundi fulani la watu au vyama vya siasa..? Maisha ni very complex kuipata kesho nzuri leo unatakiwa kuitumia kwa usitadi mkubwa na weredi wa kutosha. Tuipende Tanzania, Mambo mazuri huja kwa utaratibu Mzuri.

  • @africa7479
    @africa7479 4 роки тому +6

    Jamn wana ccm wenzangu mkumbuke kuna maisha baada ya hpa, mtaulinzwa uongozi wenu mliutendea nin ,uongo sio mzuri

  • @hermanherman6261
    @hermanherman6261 4 роки тому +1

    Fanya Kazi ujenge future yako Acha serikali ifanye Kazi yake maisha ni kufanya Kazi CIO kulaumu serikali

  • @BMx-zj3lz
    @BMx-zj3lz 4 роки тому +1

    Hofu humfanya mtu kutenda jambo kwaajili yausalama wake na maisha yake.

  • @gloriadhahabu6819
    @gloriadhahabu6819 4 роки тому

    Chadema nichama nicha mabepali naunafiki wenu tumeuchoka mbowe nimhuni tu

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 4 роки тому +3

    Waziri mkuu na cabinet yako Mungu anawaona

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 4 роки тому +2

    What chadema think, when we win again to fill our stomach,, not on how Tz has been improving..kupita kudaganya wananchi ili wawachugue..you don't need campaign you need to present your efforts on maendeleo and that should shout..Tanzania hatuchagui kupitia sera..ni namna chadema gani ime leta tija..ninachokijua hakuna siku hawajalalamika kwamba tumeleta mchango wa mawazo wa maendelo umekataliwa, tumekatazwa kuboresha miradi..sasa labda tu Mbowe you should know tutachagua kufuata performance na sio brabra..Elezeni mlicho tekeleza, hatutachagu chagua viongozi wakatumikie wazungu, watuletee vitisho na najua hayo yote ni juhudu za kupoteza amani sasa tutaanza na wewe na wanaokutuma don't forget #me love no politics #..na mimi nimtanzania wa kawaida sitakubali propaganda za uwongo kuchafua nchi kujinufaisha nyinyi binafsi..the only thing we know..VYAMA VYA UPINZANI HAVIJAZUIWA..HALAFU HAMNA SERA..ACHA KUTENGENEZA POROJO NA ACHA VITISHO NA WATANZANIA HATUKUUNGI MKONO..MNAFANYAJE SIASA UCHAGUZI BADO.Hoja zinazungumzwa kwenye majimbo na bungeni ..nchi zote iko hivyo..TUNAOMBA MWAKA HUU UNANDAE WHAT HAVE YOU SUCCESSFULLY AS CHADEMA FOR TANZANIANS ACHIEVED ..TUNAOMBA UJE NA SERA YA CHADEMA NA MAFANIKIO THEN WATANZANIA TUAMUE MI PERSONAL SIHITAJI CHAM A I NEED BETTER LIFE CONDITIONS.

    • @floriankissinda6446
      @floriankissinda6446 4 роки тому

      Well say

    • @wajinajecha5029
      @wajinajecha5029 4 роки тому

      Weye kweli zwazwa kuliko hao mazwazwa yaani maelezo yote hayo ila zote ni pumba tu hakuna cha msingi hata kimoja pole ndugu yangu

    • @user-mz4ry1sl8l
      @user-mz4ry1sl8l Рік тому

      Hujui hata kuandka mbwa ww

  • @mashakabakarabdallah6545
    @mashakabakarabdallah6545 4 роки тому +1

    waziri mkuu umejibu vizuri ambae hakuelewi yupo kisiasa, hata kutofanya mikutano wanalengo baya ili serkar et ionekane inawakandamiza wapinzani nikujikomoa wenyewe haki haidaiwi fuateni taratibu na mikutano mtafanya.

  • @raymondmwakalindile7315
    @raymondmwakalindile7315 4 роки тому +1

    Hoja ya Mh. Mbowe ina mashiko. Itafutwe namna kila chama kishirikishwe kikamilifu katika masuala mazima yanayohusu uchaguzi ili kuondoa hali ya kuona kuna chama fulani kinapendelewa

  • @mirajimiraji2762
    @mirajimiraji2762 4 роки тому +3

    chama kisichokua na diwani wala mbunge nacho kinafanyia wapi mikutano ya siasa

    • @jamesthomas390jj
      @jamesthomas390jj 4 роки тому

      Kinafanya pale ambapo kampeni zimeruhusiwa na tume ya uchaguzi. Sasa mtu tayari ameshachaguliwa na wananchi, wewe unaendaje kueneza siasa zako wakati ndo kwanza yupo kwenye utekelezaji?

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx Місяць тому

    Waziri mkuu anakua muongo kma mdogo maskini

  • @hermanherman6261
    @hermanherman6261 4 роки тому +2

    Most Tz are avarage thinkers

  • @yekutielgoldstein9712
    @yekutielgoldstein9712 4 роки тому

    Safi saaana PM

  • @azmiabdallaazmi5931
    @azmiabdallaazmi5931 4 роки тому +1

    Hatuna tume huru Tanzania Mimi nakataa

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx Місяць тому

    Majaaliwa nikilaza

  • @frankjumanne7285
    @frankjumanne7285 4 роки тому

    Ccm haiwapendi Nchi hii na wala hawataki Amani ktk Nchi hii kwasabu kama wangekua wanataka Amani wangewapa watu haki zao za kisheria uchaguzi sio swala la mchezo ni hatari mno uyu mzee ajihoji sana maana rungu litakuja kumuangukia

  • @kasimasay4797
    @kasimasay4797 4 роки тому +1

    Kasi

  • @funguotv6826
    @funguotv6826 4 роки тому

    KUFUATILIA MAKALA YA TEMBO, CLICK HAPA ua-cam.com/video/47Xofv8i4l8/v-deo.html
    KUFUATILIA MAKALA YA KIBOKO/HIPPO, CLICK HAPA
    ua-cam.com/video/oq2QFWU-ADY/v-deo.html

  • @hajimakame1062
    @hajimakame1062 4 роки тому +1

    Wapizini mnawabana sana hamtaki kusema ukweli

    • @othmarluwawilo8308
      @othmarluwawilo8308 4 роки тому

      Mh. Waziri mkuu, hata wewe unajibu ukiwa huna uhuru sawia, huoni hata wabunge wa upinzani wakitaka kuongea na watu wao wanazuiwa? Mbona mnawapandisha hasira watanzania? Kumbukeni madaraka tumewapa lakini yana mwisho.

  • @azmiabdallaazmi5931
    @azmiabdallaazmi5931 4 роки тому

    Wewe kasimu wanao toa Sera ni wale ambao wameshinda 1015 ambai wanataka kuingia 2020 hawna haki kunanadi Sera zao. Kuwa muungwana

  • @hermanherman6261
    @hermanherman6261 4 роки тому +2

    Serikali Ina utaratibu haiwezi kusikiliza ujinga ujinga

  • @frankjumanne7285
    @frankjumanne7285 4 роки тому

    Unatakiwa kujibu swali sio kujifanya PADIRI unaanza mahubiri ya nni mahubiri kanisani

  • @mariamariam9239
    @mariamariam9239 4 роки тому

    Majaliwa hyooo

  • @feiz3180
    @feiz3180 4 роки тому

    Majaliwa hebu jisikize unasema nini?.

  • @edwardmakonge3371
    @edwardmakonge3371 4 роки тому

    mbowe acha vitisho utakuja kuwajibika siku moja.mungu anakuona.

  • @nelykaaya6503
    @nelykaaya6503 4 роки тому

    Da majibu

  • @seregirosi529
    @seregirosi529 4 роки тому +1

    Waziri nimemwelewa sana na yupo sawa ktk majibu yake

  • @kavassay8899
    @kavassay8899 4 роки тому +1

    Wanaopiga makofi waziri mkuu akiongea tumechoka msitutanie tukiingia mitaan

  • @omarymachea2364
    @omarymachea2364 4 роки тому

    Sauti za wapinzani wakizikia tu wanaogopa nakutetema

  • @eliasjillanga3158
    @eliasjillanga3158 4 роки тому

    Yanga vs Simba wanacheza lin
    Et, Majaliwa

  • @mussamwedadi4346
    @mussamwedadi4346 4 роки тому

    Cccm duh aibuuu

  • @fednarndmosh9917
    @fednarndmosh9917 4 роки тому

    Uyo muongo

  • @eischerschwederm7876
    @eischerschwederm7876 4 роки тому +1

    Mbowe tuambie ni watanzania wangapi wamekutuma kama ni familia yako na chadema members usilazimishe maoni yako ya watanzania wote is wrong..tupe evidence ya survey au statistic yeyote ya kusema watanzania hawana uhuru wa kidemokrasia..as long as you want to destroy this country

    • @mahelamnazaletimahela9317
      @mahelamnazaletimahela9317 4 роки тому

      Kumamako wew ebu angalia ni comment ngapi zinazo unga hoja ya mh mbowe alafu utajua ni watanzania,wanataka au VIP kuma,we usiejitambua