Kipindi kipo vizuri nmekipenda,nmependa heche anavojibu maswali na jinsi kijana Charles anajenga maswali yake namwona mbali sana Charles willium,kipindi kiruke kwenye TV ni kizuri sana.
Hongera sana Mh Heche ...kuna halmashauri nyingine kama Mufindi zinamisitu na source nyingi za mapato lakin bado kuna vijiji havijawahi pata maji ya bomba wala dispensary tangu uhuru.
Ni sahih kabisa heche kujisifia lakin eneo lao la mkoa wa mara kijiografia ni mahali ambapo mvua haikatiki mwaka mzima inanyesha januar mpka januari miaka yote ukifika tarime na mara yote ni ya kijani hawana kiangazi wao kila siku wana lima hawana msimu. Ukiwa mwananch wa mara ukalia njaa labda utakua huwez kufanya kazi. Mara kuna kila kitu mi mwenyew wa dom nataman ningekua wa mara shida yao ni ukorofi mtu kuua ni jambo la kawaida tu tena ikifika ile kipindi cha jando ndo balaa
Personally John Heche, ni kati ya wabungo wanaoni inspire sana, jamaa yuko smart bana hata kama upande wa pili hawataki kukubali, ukweli utabaki kuwa kweli. Wasafi TV big up for a nice interview, God bless you.
Hongera sana kwa kipindi kizuri, kiukweli mnakuja vizuri sana. Ningependa kushauri, tuko kwenye janga kubwa sana la Virus COVID-19. Ningeomba taadhali iwe hata katika hayo maojiano yenu, isitoshe tu kusainitaze peke yake bali hata mask zingevaliwa hapo ingependeza zaidi.
Ni kweli utalii ni kitega uchumi kizuri sana duniani... Tatizo la Tanzania kuhusu utalii bei za package kama All inclusive, yaani flight, transfer kutoka Airport hadi Hotel na chakula na vinywaji.. Ni ghali mno kuliko nchi nyingi duniani.. Kiufupi mtalii kutoka ulaya ni Rahisi kwenda Marekani mara 2 kuliko kwenda mara moja Tanzania.. Ukiangalia huduma na quality ya Marekani iko juu sana.. Au ni rahisi kwenda Morocco, Tunisia hata Egypt ni rahisi kuliko Tanzania... Tunatakiwa wahusika wajipange vizuri.. Bora faida kidogo lakini unauza sana.. Kuliko faida kubwa lakini unauza package chache.
@@issackchalahani1235 Bei zetu ni za kukomoa, hatujui mtu kabla haja book holiday anafanya window shopping, wapi rahisi, watalii wengi kutoka hapa wanaenda Portugal, Spain, Morocco, Tunisia, Egypt, Mexico, Miami na kadhalika.. Mimi mwenyewe Natamani kuja Bongo lakini ukiangalia Bei unakata tamaa.
Shida ya wabongo ni dhana yakwamba ulaya mahela yapo njenje. Kwakweli fedha ulaya ni ngumu kuliko bongo. Ukimuona mtalii kaja ujue kadunduliza kwa zaidi ya miaka mitatu kupata hiyo fedha yakuja Africa. Tuwe wafanya biashara tuache uchuuzi! Hayo mabei ya tamaa yanadidimiza uchumi wa nchi yetu.
Kama unamkubali Mh john suguta heche gonga like nyingi twende kazi,
Kipindi kipo vizuri nmekipenda,nmependa heche anavojibu maswali na jinsi kijana Charles anajenga maswali yake namwona mbali sana Charles willium,kipindi kiruke kwenye TV ni kizuri sana.
Kama unaikubali cdm nipe like
Mungu akuzidishie Heche,na natamani siku kukutana tuongee,wewe una mawazo makuu...
Ushauri wangu kwako Heche, Jiandae kuchukua Uwenyekit CHADEMA TAIFA
Mbona mnamaneno kuigiza hivi mnachuki nambowe naheche mi nashindwa kukwelewa!!!
Safi sana Mhe. John Heche ukweli ni kuwa yote uliyosema ni ya kweli na yamefanyika Jimboni
safi sna mh heche niko proud sana na harakat zako bila kutegemea
vichwa makini vya taifa hivi....... big up john heche nakuelewaga sana na hadi watawala wanakuelewa sana ila wanajifanyisha tu
Mungu akulinde Heche yapo makubwa yanakuja kwa ajili yako jiandae kuwa M/kiti wa chama
Wangwe alitaka uenyekiti, walimfanya nini.
Kama we we ni Wa tarime vijijini gonga like
Safi sana kiongozi bora
Tarime moja mura
Mbuge wetu 🤝🤝
Hongera sana Mh Heche ...kuna halmashauri nyingine kama Mufindi zinamisitu na source nyingi za mapato lakin bado kuna vijiji havijawahi pata maji ya bomba wala dispensary tangu uhuru.
Naomba watu wa tarime vijijini Please please..endeleeni kumtumia Mh.Heche awemwakilishi wenu.your blessed Tarime rural 🙌🙌🙌
Heche nakukubali kwa msimamo wa kuwatetea watanzania wanyoge bila woga hakuna wakushindana na heche mungu akusaidie
Safi sana kwa kufafanua shughuli za mbunge yani kiukwel nakupenda bure mbunge wangu,mungu akulinde na akupe maisha marefu
MH. John Heche Tunakukubali sana, Yaani tuna kukubali wananchi wako kwa 100%. Tarime hakuna mwingine
mh heche kwenye kapen uje ututembelee kwetu makambako
Mwamba John heche Noma Sana Mura Mungu akutunze katika Hekima na Maarifa yote Nimekuelewa Sana
Hovyoooooo hooooovyooooo
Kwani ameshatoka alikokuwa
Heche uko vzr mh Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu binafisi huwa ninakuelewa sana
Good, mmefanya vizuri sana!! Kufanya mahojiano ma Heche tujue haliuyo nyuma ya pazia. Wasafitv afi kabisa. Asante Heche kwa ufafanuzi mzuri
Interview nzuri nimependa kutosikia maswali ya kuchonganisha serikali na vyama mmejikita kwenye personal issue safi sana
"Ukweli ni bidhaa adimu" Akili kubwa sana aisee!
Uko vizuri, umetulia sana katika kujibu maswali siyo hivyo tu hata katika utendaji kazi wako uko vizuri.
Tumpe uenyekiti chadema very bright
Heche nikiongozi shupavu tunampenda sana✌✌✌
Heche is so creative human
Nakukubali mh Heche hadi nawaonea wivu watu wa tarime
Kwa upande wangu Prof J na Heche ndiyo wabunge wangu Bora kwa kipindi hiki Cha 2015/20
Heche akili kubwa sana 👏👏👏👏
Mr heche,lema,mboe,msigwa,na Mr sugu. Bigap sana
God bless John Henche
Hongera sana Mh.Heche...Nakuombea urudi iwe mvua au Jua...!
Mashangaa Maccm hayajafika hapa na matusi/dharau zao💪💪💪👏
You sahihi
Kuna mijitu bila vurugu hamjisikii, kwahiyo umenawashwa wanaccm kutulia?
Zembela upo very technical kwenye maswali asee duh!
Heche ni kingozi makini sana big up sanaa
Yupo vizuri huyo mkurya bana wakuryaaaaaaaa hoyeeeereeeeeeeeee.kama we mkurya gonga like hapo 👍👍👍
my former secondary teacher,
Mungu akubariki sana kaka yang heche unatujenga kifikra pia unatetea sana wanainchi hongera sana🙏🏽🙏🏽🙏🏽
i always appreciate this man......✌✌
Wasafiii hongereni sanaa kipindi bomba mno mno sanaaa.
Ni sahih kabisa heche kujisifia lakin eneo lao la mkoa wa mara kijiografia ni mahali ambapo mvua haikatiki mwaka mzima inanyesha januar mpka januari miaka yote ukifika tarime na mara yote ni ya kijani hawana kiangazi wao kila siku wana lima hawana msimu. Ukiwa mwananch wa mara ukalia njaa labda utakua huwez kufanya kazi. Mara kuna kila kitu mi mwenyew wa dom nataman ningekua wa mara shida yao ni ukorofi mtu kuua ni jambo la kawaida tu tena ikifika ile kipindi cha jando ndo balaa
@Change Mindset weee...!
Zembwela anajua kuhoji Kama BBC na anajua lugha ya usahili balaa...! Lakini pia anajua vema kuzungumza kiswahili Sanifu....
Such a classic interview!👌🔥🔥🔥😍
Yupo vzuri sana uyo mwamba mungu ampe uzima wa mlele ccm wanamtambua vema
Zembwela kazi nzuri xn mnayoifanya
Safi sana heche tunaku supports sanaaa bigup sanaa
Tunamkubal Sana heche ndo kila kitu kwetu ukija tarime kumbuka kuvaa barakoa
Haya mahojiano yalifanyika kabla ya corona
Huyu ni hazina kubwa Sana Kwa Chadema ana msimamo si wakuyumba yumba,Mungu amsaidie afike mbali
Mungu akutunze na kukutetea pamoja na fitina na magumu mnayopitia urudi mjengoni
Big up kamanda heche...uko timamu
Huyu mbunge apiganiwe arudi bungeni
Mimi c wa chama Chao Ila huyu jamaa anafaa
Mtu makini sanaaa
Nimemsikia vzuri
Hongera sanaaa
CHADEMA naikubali, Heche nakukubali
Bado upo gizani utaelewa tu
Upo gizani wew ambae una mcrash mwenzio bila sababu
Personally John Heche, ni kati ya wabungo wanaoni inspire sana, jamaa yuko smart bana hata kama upande wa pili hawataki kukubali, ukweli utabaki kuwa kweli. Wasafi TV big up for a nice interview, God bless you.
Weewe toka hapoe ulipoe hicho sio chama no saccosr
@@daudcharles8732 fible minded
Heche mmoja ni sawa na waupande ule 10
Sawa kamanda Heche! Mungu akubariki.
Heche nakupenda mpk naumwa jamani nawaonea wivu Tarime daa mna mwanaume wa maana mpk namtamani woyoooo,vivaa Chadema
Nimependa sana kipindi chenu
Good my.brothe nice job
Well presented
Mimi ni mtanzania sipendi mashindano nchi majirani. Rais wa kenya na tanzania wamalize
Chadema juu
Awww ! Ukore bhuya mura weito ❤❤
Waga nakukubali sana mungu akusaidie tena
Mh Heche nakuelewa sana! Ww ni jembe letu Tarime!
Heche upo juu sana kulko mw/kiti Wa ccm
Sana kamand uko vzr
Jamani rushen hikikipindi kwenye TV ilituone watanzania word mungu awabariki sana
Safi kiongozi,usiache kuendeleza majukumu.
Hongera sana kwa kipindi kizuri, kiukweli mnakuja vizuri sana.
Ningependa kushauri, tuko kwenye janga kubwa sana la Virus COVID-19. Ningeomba taadhali iwe hata katika hayo maojiano yenu, isitoshe tu kusainitaze peke yake bali hata mask zingevaliwa hapo ingependeza zaidi.
Nimependa nimeona vitu tofauti katika mahojiano nimependa muda alio pewa asante .
Namuelewaga sana huyu mbunge wangu.
Mungu akubariki mku
Wasafi aiseeeeeee.........
Huyu jamaa namuelewaga sana aisee well done heche nakumbuka uliwah kuwaruhusu watu wa tarime kuchimba dhahabu kwa muwekezaji aliezingua😆😆😆😆
like nyingi kwa heche
Mheshimiwa Heshe, mimi ni Mukongo ila huwa na kufagilia sana, wewe ni chuma cha reli.
Heche ni Bright sana jamani
M4C Chadema for Life
Super man💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥💥
Mhe, John Heche wewe ni China cha Pua aisee! Jehovah awe na nyote katika Chama.
Naibu waziri wa tamisemi waitara ametangaza nia ya kwenda kugombea kweny jimbo la heche kupitia ccm wote watoto wa mara 😂 bila shaka patachimbika
Hii interview iko good
Safi Sana heche Ila Jimbo la manga hauji kwann tuna Barbara ya bisarwi to tarime mjini watu hawapiti kipindi cha mvua
Mkao nimeukubali sana
Uko vizuri kaka heche
Wasafi mnafanya kaz nzur sana.
Yuko vizuri
Heche the Legend
Mwalimu akili kubwaaaaaa💪💪💪✌️🏃
Daah huyu jamaa hakuna kama yeye tarime na hatuwezi kumuacha heche ndiye mbunge wetu daima
Huyu jamaa ni mwamba namkubali sana
Heche yuko vzr namkubali
Ni kweli utalii ni kitega uchumi kizuri sana duniani... Tatizo la Tanzania kuhusu utalii bei za package kama All inclusive, yaani flight, transfer kutoka Airport hadi Hotel na chakula na vinywaji.. Ni ghali mno kuliko nchi nyingi duniani.. Kiufupi mtalii kutoka ulaya ni Rahisi kwenda Marekani mara 2 kuliko kwenda mara moja Tanzania.. Ukiangalia huduma na quality ya Marekani iko juu sana.. Au ni rahisi kwenda Morocco, Tunisia hata Egypt ni rahisi kuliko Tanzania... Tunatakiwa wahusika wajipange vizuri.. Bora faida kidogo lakini unauza sana.. Kuliko faida kubwa lakini unauza package chache.
Tatizo wahusika wamekosa ubunifu ndiomaana tunajikuta tunapata watalii wachache wakati sisi ndio wapili kwa vivutio Duniani.
@@issackchalahani1235 Bei zetu ni za kukomoa, hatujui mtu kabla haja book holiday anafanya window shopping, wapi rahisi, watalii wengi kutoka hapa wanaenda Portugal, Spain, Morocco, Tunisia, Egypt, Mexico, Miami na kadhalika.. Mimi mwenyewe Natamani kuja Bongo lakini ukiangalia Bei unakata tamaa.
Hakuna watu wana hela.....wewe ndo huna mbn wanakuja na kurudia rudia....
Shida ya wabongo ni dhana yakwamba ulaya mahela yapo njenje.
Kwakweli fedha ulaya ni ngumu kuliko bongo.
Ukimuona mtalii kaja ujue kadunduliza kwa zaidi ya miaka mitatu kupata hiyo fedha yakuja Africa.
Tuwe wafanya biashara tuache uchuuzi!
Hayo mabei ya tamaa yanadidimiza uchumi wa nchi yetu.
@@mkalimala3564 Nafikiri tunaongea lugha tofauti... Kuuza package 100 sio sawa na kuuza package 1,000..Biashara ni somo
Unaweza ukawa kijana ukawa hopeless na unaweza ukawa mzee ukawa hopeless
Safi sana .
Asanteely na Nassary namkubali sana huyo kamanda
Mwalimu heche
Bavicha ya heche ilikua moto sana nakumbuka
Namkubali sana
Jembeee hiliiii
Hakika uko vzr,natamani kama ingewezekana ugombee bukoba mjini
Mbowe mwachie hech wenyekiti namuerewa sana
Pole kwa kupata kura 0 2025 utapata ukijiunga na ccm
Good Idea Wasafi
Kiukwel natamani sana kuishi Tarime au niwe mkurya kabisaa!
Njoo tukusajili uwe mkurya hatuna ubaguzi
Kaka nakkubali sana mku .. saliti kwako kaka
CHADEMA 4 LIFE 🔥🔥🔥🙌🙌🙌