JOHN HECHE -"TUTAWEKA NYARAKA za MARIDHIANO WAZI -ALISAINI KINANA na MBOWE -KILA KITU KILIKUWA WAZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • JOHN HECHE -"TUTAWEKA NYARAKA za MARIDHIANO WAZI -ALISAINI KINANA na MBOWE -KILA KITU KILIKUWA WAZI"...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 45

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 місяців тому +3

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 7 місяців тому +6

    Nakupenda bure ndugu Heche kwa uwazi, kuwa mkweli, shujaa bila kuwa mwoga. Ni watu wachace sana kama wewe. Watanzania tungekuwa hivi, Taifa letu lingeshasonga mbele sana. Watanzania tuache unafiki, tuache kuwa machawa, tutumie elimu zetu kwa manufaa ya umma na maendeleo yetu sote na maendeleo ya mtu binafsi. Ni wachache sana wenye hekima, na utashi b na kuvitumia bila woga. Unapata elimu unashindwa kujitambua kuwa una majukumu. Shida tupu.
    Endelea kutoa elimu bure kwa watanzani bila kukata tamaa. Wameanza kuwaeleweni. Watanzania wanaelewa ukiwapa elimu sahihi. Na Watanzania wanauelewa mkubwa sana. Wanawaunga mkono.

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 7 місяців тому +4

    Asante Mh. Heche, unaongea ukweli ndg,nakupenda sana, 2025 Mungu akupe kibali uwe mbunge wa Tarime vijijini. Tunakuhitaji Bungeni.

  • @PaskaliCharles-pz8ds
    @PaskaliCharles-pz8ds 7 місяців тому +1

    Big up sana bro uko street hapindishi ukweli daima

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 7 місяців тому +2

    Safi sana

  • @noelmakere1381
    @noelmakere1381 7 місяців тому +5

    Heche upo vzr

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 7 місяців тому +1

      Hawa wametufichia sukari na Mgao wa umeme. Chadema wamehukumiwa serikali

  • @revdrseni
    @revdrseni 7 місяців тому +1

    Heche is a good politician!

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 7 місяців тому

    100% nakupenda bile mkuu

  • @EliusPonde-i3u
    @EliusPonde-i3u 7 місяців тому +4

    Safi sana heche

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 7 місяців тому +3

    Mnamuogopa huo ndo ukweli ndo maana amewahamisha agenda

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 7 місяців тому +3

    Heche ni jembe!.Mungu aendelee kumlinda na kumtetea!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 7 місяців тому

    👊✌️👍.

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 7 місяців тому +3

    Mbona Sasa mara nyingi mnamshukru mama

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 7 місяців тому +1

      Kwa hiyo kama kuna jambo atakuwa amefanya vizuri asipongezwe?

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 7 місяців тому +5

    Ruzuku ni matekeo ya uchaguzi

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 7 місяців тому +4

    Napenda watu wanao ongeya ukweli

  • @HassanShasha-r6u
    @HassanShasha-r6u 7 місяців тому

    Tunamshukuru kwa serikali kwa kufyeka mashamba ya bangi.

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 7 місяців тому

    Global mmesomea wapi mnarusha vipisi vya interview haijulikani ipi ya mwanzo ipi ya pili . Try to make improvements

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 7 місяців тому +2

    Nimekupata heche poit nzuli

  • @johnsonjoseph6544
    @johnsonjoseph6544 7 місяців тому

    Ruzuku Ni haki yenu Chadema pia ni Kodi ya wananchi cyo Hela ya mama Wala CCM

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 7 місяців тому

    Eti unaenda kujichungulia ujue kama ww ni mwanamke au mwanaume

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 7 місяців тому +1

    Mume ramba asali ya samia mwizi mwenzenu

  • @emanuelngonde6979
    @emanuelngonde6979 7 місяців тому

    Waongo ofisi imejengwa wap

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 7 місяців тому

    😂😂😂 heche ni chuma

  • @OmaryTambi
    @OmaryTambi 7 місяців тому +1

    🎉kama mwenyekiti wako mpaka Leo anaona hakuna mwingine kama yeye funga domO

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 7 місяців тому

      Si yeye M/kiti Mbowe anajiona ni yeye peke yake anafaa, ila wenye akili kuliko wewe wanafahamu kuwa MH. Mbowe ni Mwenyekiti Bora kuliko mwenyekiti yeyote aliyewahi kuwamwenyekiti wa chama cha siasa nchini tangu uhuru !!! KATIKATI YA BONDE LA UVULI WA MAUTI AMEIJENGA CHADEMA IMARA ISIYOTIKISIKA, MBOWE ANA VIONGOZI WENYE AKILI KUBWA AJABU!!! Wajinga Wana amini maneno ya propaganda za CCM, Mh. Mbowe ndiye KIBOKO CHA CCM WAMESHINDWA KUMNUNUA KWA SABABU SI MALAYA WA KISIASA NI KIONGOZI WA KWELI, ILIVYOBAHATI MBAYA TU TAIFA LIMELEMEWA NA WATU WENYE UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI HATA KUSHINDWA KUMTUMIA KULIKOMMBOA TAIFA KUTOKA MIKONONI MWA MAFISADI. WANA ISHIA KUZIAMINI PROPAGANDA ZA CCM. WENYE VITI KARIBU WOTE UKIMWACHA ALIYE KUWA M/KITI WA NCCR MAGEUZI MH. J. MBATIA WALISHA TIWA MFUKONI MW CCM KUNA WENYE VITI WANA MUDA MREFU KULIKO MH. MBOWE LAKINI CCM HAWAWATAJI KUWA VYAMA VYAO HAVINA DEMOKRASIA KWA SABABU NI WATEJA WAO. M/ KITI WA CUF NI TANGU LINI? NA UDP NI WA TANGU LINI? N.K.

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 7 місяців тому +2

    AF NYIE WAANDISH KABLA YA KUWAITA HAWA KWENYE INTERVIEW MSIWARUHUSU KUTUMIA POMBE KALI WE UNAONA ANAVYO ROPOKA OYO YUKO CHAKAL ATAR EM NEXT TIME MSIRUDIE BANA JAMAA YUKO CHAKAL HAJIELEW KABISA

    • @paulkadangi7964
      @paulkadangi7964 7 місяців тому

      pumba

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 7 місяців тому

      Hivi kati yako na Heche nani yuko chakari na hajitambui. Kama huwezi kuelewa kinachoongelewa katika interview hii basi wewe uko chakari!

    • @issaowden4400
      @issaowden4400 7 місяців тому

      Sijawahi ona mtu anayeandika kwa herufi kubwa maneno yote kuwa na akili😅😅😅

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 7 місяців тому

      @@issaowden4400 You're quite right, that's understandable fact!

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 7 місяців тому

    Bado Heche haujanishibisha. Ruzuku ni ya chama cha CCM? Mi nilijua au nijuavyo ruzuku si ya chama tawala ila ni fedha ya umma ambapo imetengwa kisheria ili kuimarisha demokrasia nchini. Na mgao wake ni sahihi ulivosema itategemea sasa kura/wabunge ulionao. Na hata chama tawala nacho kinapata mgao wake kwa sheria hiyo. Sasa unataka kuniambia mfano CCM imetoka madarakani, itaondoka na hela/ruzuku yake?

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 7 місяців тому

    SIASA ZA MAJIMBO MNATAKA KUGAWANA TAIFA LETU

    • @abubakarimussa9131
      @abubakarimussa9131 7 місяців тому

      Acha ushamba wewe nnchi nyingi Zina tumia huo mfumo 😊

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 7 місяців тому

    Chadema mmehujumu serikali, mmesababisha shida yasukari na umeme

    • @gaagwasaugustino2584
      @gaagwasaugustino2584 7 місяців тому

      Wewe unaonekana jinga lisilojitambua! Utakumbuka shuka kumekucha wewe kupe wa ccm!

    • @giftyjackson2461
      @giftyjackson2461 7 місяців тому

      Wamehujumu ya baba ako

  • @AloneChuga
    @AloneChuga 7 місяців тому +2

    Pumbavu tu huyu,kila siku katiba katiba mumeishiwa hoja

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 7 місяців тому

      Mjinga tu anawaza katiba tu

    • @mihayowambura3349
      @mihayowambura3349 7 місяців тому +4

      Huwa nashangaa Sana watu bado wako Kama hivi heche ni moja ya vijna shupavu sana Tanzania

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 7 місяців тому

      Wamehukumiwa serikali, mgao wa umeme na sukari niwao

    • @BakariIssa-nx3yf
      @BakariIssa-nx3yf 7 місяців тому

      Ww unaoona Katina ainaumuim bakinamakonda

    • @josembeyaa9032
      @josembeyaa9032 7 місяців тому

      Wewe ni zuzu kweli kweli aiseee