WANANCHI WAGOMA WANAMTAKA HECHE, LEMA MWANAJESHI "CCM WANADHURUMU MPAKA WAZEE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @mwananzengo6682
    @mwananzengo6682 Рік тому +1

    Madini tupuuuuu!!!!barikiwa mtumishi wa Mungu.

  • @sylvesterf.mbonimpaye1413
    @sylvesterf.mbonimpaye1413 Рік тому +3

    mwanasiasa ambaye hutoa speech zenye mashiko TZ ni Heche tu

  • @HamisiPeter-d1h
    @HamisiPeter-d1h 11 місяців тому

    Mungu akubariki sana ✌️✌️✌️💓🙏🌹

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +4

    Tz imejaliwa kila kitu tungefaa kuwa huru tuishi kama wachina hayo mambo ya matozo yamezidi😭😭

  • @ikramsalum5655
    @ikramsalum5655 Рік тому +1

    Upuuzi mtupu kuiga ya hayati...laisi waafrika alikua magufuri tuu...mwamba mungu amuhifadhi...

  • @gidsonmarko9800
    @gidsonmarko9800 Рік тому

    Chadema tuteteen
    Ccm hawafai Tena kuongoza nchi hii

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 Рік тому +1

    Kweni ninyi mkipewa nchi ndo mtafanya nini kwenye uchumi? Nyie ni waongo waongo sana, muwaondoe kwenye umasikini kina nani? Mtagawa pesa?

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 Рік тому +1

    Gambo kachukua milion 100 kajenga bar😂😂😂

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Рік тому +2

    Nakubali

  • @majidikhatibu7479
    @majidikhatibu7479 Рік тому +1

    Mbona hizo Sera ni za mwamba magufuli je ! Ww utaweza kama kufanya kama mwamba magufuli

  • @santosinza9785
    @santosinza9785 Рік тому +2

    magufuli alisha sema ayo leteki akili jingine sio kurudia maneno ya Mwamba yulz

  • @bahatibmazala1023
    @bahatibmazala1023 Рік тому +1

    Tumieni hakiri magufuri magufuri kashaondoka tugange yajayo

  • @saidali8338
    @saidali8338 Рік тому +3

    Hizo sera zote magufuli ashatuambia nyinyi mkamkataa kwa chuki tu mboba leo mnatuambia hizohizo? oh tanzania ni tajiri wakati kipenzi magufuli ashatuambia leteni sera zingine hizo tunaelimu nazo,, mwalimu magufuli alishatufundisha,

    • @gililwise
      @gililwise Рік тому

      Zero brain

    • @imankyamba4424
      @imankyamba4424 Рік тому

      Yaani kuna watu wapumbavu sana ko kama magufuli alisema hawa hawana uhitaji wa kusema.. Yule alikuwa dikteta tambueni hilo

    • @didasseveline9013
      @didasseveline9013 Рік тому

      Chadema ni chama Cha wa huni2 ni makaburu2

  • @shinipapaya846
    @shinipapaya846 Рік тому +6

    Hayo yote Magufuli alikuwa anayasema ya kwamba tuna kila kitu na Tanzania sio masikini lakini cha kusikitisha mlikuwa mnampinga kwa kila kitu

    • @MikereMio
      @MikereMio Рік тому +2

      vibaka tuu hawa hawana lao

    • @MikereMio
      @MikereMio Рік тому +1

      kuna siku alikuwa anaonge kwenye jamij forum akiwa Canada huyo lema anasema alikuwa akienda kumsemea serekali ya JPM kwa balozi wa ulaya na Marekani

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Рік тому

      ivi nyie machawa wa magufuli mna akili sawasawa? wapinzani wanapinga magufuli kwa matendo yake ya kuwanyanyasa wapinzani na kutokuchukua ushauri kutoka vyama mbadala magufuli alikuwa akiamua jambo basi ni hilo hilo liwe hakutaka kushauriwa ndio sababu unaona watu wanamkosoa lkn kama angekubali kusikiliza ushauri na kuacha kuwatesa wapinzani kwa kuwabambikia makesi hovyo nazani wapinzani wangempenda sana tatizo la magufuli hakusoma alama za nyakati kuona wapinzani nao ni wengi katika nchi yeye aliendelea kuongoza nchi kwa mfumo wa Chama kimoja na kuwanyima wapinzani hata kufanya mikutano ya siasa akizani wapinzani ni Chama kidogo ambacho hakistahili kupewa heshima kumbe Chadema Tanzania wapo zaidi ya milioni 40 ni wengi kuliko hata Chama chake cha Ccm ila alitumia ubabe kuwanyamazisha ili aongee yeye tu kila siku. nchi haiendi hivyo. ukikuta upinzani umekuwa na nguvu kubwa inapaswa kubadili katiba ili iendane na wakati uliopo wa vyama vingi siyo kiongozi Kulazimisha kutumia nguvu kuua vyama vingine ili kubaki na Chama chako kwa kutumia mabavu

    • @MikereMio
      @MikereMio Рік тому

      @@ramadhanmahongole9293 anaonekana wee ndio huna akili , au uwezo wako wa kukumbuka vitu ni mdogo sana , Magu baada ya kuapishwa tuu na kwenda kufungua , wakati hata hajaanza kazi , Chadema walitoka bungeni , kujiziba midomo kwa plasta , nambie sababu iliyo wafanya watoke bungeni , kama sio akili zao kushikiwa kwa kamba na wazungu . chadema ni vibaraka tuu kama unadhani wako kulitetea wewe pole sana , hawa hawa chadema sio walitaka watu wafungiwe wakati wa corona . chadema hawa hawa waliwatetea wazungu waliokuwa wanaiba madini na kusema mchanga au umesahau pia . kila kitu chadema wako upenda wa wazungu sio nchi yao .

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 Рік тому +1

      @@MikereMio halafu acha upumbavu wa kuwasema vibaya wazungu wanao tusaidia kila siku kutudumia ki afya ki elimu na ki usafirishaji. wazungu wana mchango mkubwa kwetu bila wazungu watanzania wengi wangeasilika kwa magonjwa.warabu ndo hawana msaada kwetu siyo wazungu acha mawazo finyu ta kuwasema vibaya watu wanao tusaidia

  • @moniepaul8972
    @moniepaul8972 Рік тому +1

    🤣🤣🤣 Gambo mwenye mji kaja 😂

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 Рік тому +1

    Punzika kwa Amani JPM mwamba mzalendo wa kweli kabisa hayo unayoyasema mpendwa wetu alikuwa anasema mkafanya fitna ya kumuondoa

  • @magabewambura9081
    @magabewambura9081 Рік тому

    Huyu Ni magufuli ajaye

  • @jamessichimata36
    @jamessichimata36 Рік тому

    Mdee sijamuona

  • @ikramsalum5655
    @ikramsalum5655 Рік тому

    Muongo ww najopolako..mmeshindwa kumuunga mkono magu mpigania haki mkamwita dicteta..mlitaka akulegezeeni ili mumpande kichwani alikua ana msimamo wake cio nyie walahhaitu hatatukiwapa nchi hamtakua na chamaana zaidi yakuludisha elazenu na visasi hamtatuthamini tena laiya wakawaida...

  • @barakabaraka848
    @barakabaraka848 Рік тому

    Mwanaume kaongea

  • @ynyynyyny
    @ynyynyyny Рік тому

    Mh?

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 Рік тому +1

      Leo ndo mnajua kwamba tz ni matajiri!!! Acheni unafiki

  • @honestkweka9501
    @honestkweka9501 Рік тому

    Mh

  • @honestkweka9501
    @honestkweka9501 Рік тому

    Mh