Daah huyu jamaa namkubal saaana SALIM KIKEKE. Nimtangazaji na mwandish mahiri akiwa presenter napenda sana iwish all days, every day niki tune BBC swali nimkute yeye binafsi nampenda kwa ajili ya ALLAH...ALLAH ampe umri mrefu na mlindi dhidi ya mabaya aloyaumba Allah na yale yakisheytwan means wanadam wabaya. God bless you brother and your whole familly, thanx alot.
Miongoni mwa watu wanao ni insipire katika maisha yngu miongoni ni huyu jamaa salim kikeke ,yuko humble,yuko cool pia ni mpambanaji,nakumbuka alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha ZUNGUMZA cha clouds tv alisema ana ndoto ya kumiliki hotel,nilifurahi sana na pia naamini amepigana sana mpaka hapo alipo ,kweli maisha yanatakiwa kupambana na kutokukata tamaa.
Mbona Mic ni moja halafu midomo miwili.!! Ni rahisi sana Kama mmoja wao ana Kirusi au virus vya covid 19.kikeke unatushauri kila siku... sasa Leo how come... One Mic and Two mouths...?
Ni mungu tuu anatulinda na huu ugonjwa ila kiukweli ni ngumu Sana kuukwepa japo tunaweza punguza, imagine ukienda dukani hutopea change then hizo bidhaaa je, vipi kuhusu daladala. So mungu tuu anatulinda
Rusakanyo Henry@ Bahati nzuri au mbaya Huku nilipo Nchini Spain. Serikali ya huku imepiga marufuku mtu kutoka nje ya nyumba bila sababu maalum. Hivyo basi tupo ndani kwa muda wa siku 30 na baadhi ya kampuni zimefungwa. Maduka ya vyakula tu ndo yapo wazi mengine yote yamefungwa. Ukitoka nje bila sababu utakutana na police na Faini yake ni €600 au €6000.
Huku nilipo Nchini Spain. Hali ya raia wote ni kama wafungwa. Hakuna kutoka nje. Na ukitoka nje.. ni kwenda kutupa uchafu na kwenda supermarket au kumpeleka mbwa kwenda kujisaidia, na inachukua 5 or 10min ikizidi hapo ukikutwa na police uwe na vielelezo vya kutosha. Na ukienda na ukitoka supermarket uwe na risit. Hiyo itakusaidia kwa police. Faini ya hayo makosa ni €600 au €6000.
BROTHER KIKEKE HISTORIA YAKO YA KWELI,NAKUMBUKA TUKIWA MAKUMIRA HIGH SCHOOL ULIKUWA PIA UNATUPA BURUDANI SANA,UKIWA UNAPENDA MUSIC SANA,ULIKUWA PIA UNAPENDA KUWA DJ SANA,NAKUMBUKA SANA PALE MBELE YA BWENI LENU LA UHURU NA SOKOINE NA LILE JINA LAKO LA UTANI (NICK NAME) KING S...LER
Sawa ni kitu Cha kiunwana kuwakaribisha wageni something like beverage ila nivizuri iwe served kwenye small glass sio majaki better mgeni anakize then aombe tena hayo mgeni anaogopa
Unapo muhoji kikeke unatakiwa uwe na ufanisi mzuri wakazi na pia upeo wakuweza kumuhoji maswali yaliyo jikita ktk nyanja mbali mbali zenye tija ambazo anaweza kujibu bila ya kusita ila km presenter kazoea kuhoji umbea basi watazamaji hawatofaidika na majibu ya muhojiwa hivo basi nivizuri nguli akahojiwa na nguli mweziye ili maswali na majibu yawe sawa
One love wasafi for life... Kekee.. Kitenge.. Zebwelaaa... Nawakubali kazi kaziii jonijoooo
😂😂😂😂😂😂😂😂
Uyu anamuda uraiya wake tunamnyanganya cm mzalendo
Na Millard Ayo
Yaaan naipenda BBC kwa ajili yako Broo upo vzr saanaaa
Hongera Sana mtangazaji maana kumuhoji huyu nguri pia inahiraji umakini sana
Daah huyu jamaa namkubal saaana SALIM KIKEKE. Nimtangazaji na mwandish mahiri akiwa presenter napenda sana iwish all days, every day niki tune BBC swali nimkute yeye binafsi nampenda kwa ajili ya ALLAH...ALLAH ampe umri mrefu na mlindi dhidi ya mabaya aloyaumba Allah na yale yakisheytwan means wanadam wabaya. God bless you brother and your whole familly, thanx alot.
Una kipaji sana kaka MashaAllah
Huyu ni miongon mwa watangazaji niwapendao zaidi na nguli sana. Hongera piga kazi baba🔥😊.
Me nampenda pia
Me nakupenda ww Munira Ahmed
Mambo vp munira ahmed
Mimi kakake muni
anaetaka kumuoa alete mahari
Hi
The real meaning of follow ur passion , lazima ufanikiwe tu
Appreciate you Salim nakukubali sana
Karibu Usafini kaka Salim kikeke
Akuna era ya kumrip salmu kikeke
Ibrahim Langa we ndo bos wa pale wa wasafi media Au cyo 😎
Wote tuliopoteza mama zetu kama Salim kikeke tuseme RIP our lovely mothers
Allah awalaze mama zetu peponi🙏🙏
Allahumma Aamiin
Polen ndug zangu kw kuondokew Allah awaongoz n sis kw ujuml
R.I.P My Mother
R.I.P mama yangu.
Hongera nafasi umeipambania
Namkubari Sana Kaka salim kikeke
Salim Nguli....Heko Zako🙌❣️🙌
Taarabu ndio zako kikeke nakuaminia usigeli taka nigekulaumu asante brooo
Km unamkbl salum kikeke gonga like Tuwe pamoja
Nakubali sana kazi zako kikekeeee big up 👍👍
Kikeke ana sound good
Good
NAKUBALI
Kazeeka saivi
Salimu kikeke nakukubali hongera
Big up broo wafunze vijana
Mchaga og umetisha saan maswali safi
Very bright
Salimu kikeke nakukubali sana kwautangazaji wako
I lov this guy
Good sanaaa😊
Mchaga safi umewiva kijna
Miongoni mwa watu wanao ni insipire katika maisha yngu miongoni ni huyu jamaa salim kikeke ,yuko humble,yuko cool pia ni mpambanaji,nakumbuka alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha ZUNGUMZA cha clouds tv alisema ana ndoto ya kumiliki hotel,nilifurahi sana na pia naamini amepigana sana mpaka hapo alipo ,kweli maisha yanatakiwa kupambana na kutokukata tamaa.
Kabisa
@@leaherasto929 yeah
sana kaka
I propose you guys to have two micro phones in your interviews, especially during this trying time of Corona virus
Point sijui vipi au hizo Mic zina bei kubwa uko Bongo
Hii imekaa vizuri sana👏👏👏
moja ya mtangazaji anaenifanya nipende kuangalua Bbc
Passion
Likes kwa salim kikeke tunaomkubal wazee
Upo. Vizuri kaka
"moja kw moja kutok London, hii n BBC" kw xaut y brother kikeke💪💪
Njooo huku wcb mambo ni arena
Brother Salim kikeke u a the best kwangu
Umeihandle vizuri sana hii interview Presenter
Nakupenda sana jomba
Nampenda kwa moyo wote huyu ndio mwalimu mkubwa
Nakupenda bure bro salim kikeke
Kikeke Ni mtangazaji Bora kabisa Tanzania, Na akitua wasafi tunamaliza kabisaaaa
Yaani watu wa ajabu sana historia nzuri elimu nzuri lakin jitu linatoka huko lina dislike why????!!!!!
Walevi hao
Good bro
Loveeee youuuuuu broooooooooooo
Ila maisha ni safari ndefu sana.
Tumekumiss sana Kikeke BBC
Naangalia bbc kwa ajili yako nakupenda kikeke kaka
Keke
Interview Kali, haikupi muda wa kunywa juice
Hivi kuna haja gani ya kushare mic au ni upungufu wa mic
Nampenda mimi uyu
Yaani Kikeke yupo simple hana mabiiiiiig
Mimi pia last Friday nilisikia wimbo wa Nandy Na Nusu VBO Lounge Enfield
Nimekubari kikeke hasa kutangaza mpira na taarifa ya habari
Namkubali sana
Good
Nakubali sana salm keke
Uyu muhuni sana eti nilimuliza demu mmoja ivi
Kikeke talented media personality
Hivi interview ndefu kama hii kwann mnapokezana Mic kwann kila mmoja asingukua na Mic yake ili mtiririko wa sauti usipotee?
Mchaga og uko makini na ma swali yako safi
Dgo yupo poa sema ajaribu kutuliza hiyo mikono Ana swing saana ujue umeelewa
Mbona Mic ni moja halafu midomo miwili.!! Ni rahisi sana Kama mmoja wao ana Kirusi au virus vya covid 19.kikeke unatushauri kila siku... sasa Leo how come... One Mic and Two mouths...?
Ni mungu tuu anatulinda na huu ugonjwa ila kiukweli ni ngumu Sana kuukwepa japo tunaweza punguza, imagine ukienda dukani hutopea change then hizo bidhaaa je, vipi kuhusu daladala. So mungu tuu anatulinda
@@rusakanyohenry6932 safi
Rusakanyo Henry@ Bahati nzuri au mbaya Huku nilipo Nchini Spain. Serikali ya huku imepiga marufuku mtu kutoka nje ya nyumba bila sababu maalum. Hivyo basi tupo ndani kwa muda wa siku 30 na baadhi ya kampuni zimefungwa. Maduka ya vyakula tu ndo yapo wazi mengine yote yamefungwa. Ukitoka nje bila sababu utakutana na police na Faini yake ni €600 au €6000.
Huku nilipo Nchini Spain. Hali ya raia wote ni kama wafungwa. Hakuna kutoka nje. Na ukitoka nje.. ni kwenda kutupa uchafu na kwenda supermarket au kumpeleka mbwa kwenda kujisaidia, na inachukua 5 or 10min ikizidi hapo ukikutwa na police uwe na vielelezo vya kutosha. Na ukienda na ukitoka supermarket uwe na risit. Hiyo itakusaidia kwa police. Faini ya hayo makosa ni €600 au €6000.
@@ramseytz9194 duuu mungu atupe wepesi
Salim yupo OK..
Mpaka Interview Iminaisha juice hamjapunguza ata kidogo
Ukweli nami ni mshabiki wa salimu kikeke tangu akiwa itv nampenda sn.
🔥🔥🔥🔥
kikeke safi xana
Kikeke nimekubal sana ulivojibu hilo swal la wasanii watatu unaowapenda. Si kila swali unatakiwa kujib hasa kwa nafasi uliyopo.
Kikeke uko juu
Ndio Maana ckuoni ckuizi BBC, Kumbe uko TZ KIKEKE, tushakumiss kwenye taarifa ya habar 😀
We Mamaa kiboko
Duuh yaan nshamtafta kiumbe huyu mpaka basi. 👌
Hata sijui kaenda na ndege gani maana zimefungiwa kwa sababu ya Corona
Salim Asalm Alkum sir
Nice interview
We feel proud to be with u
BROTHER KIKEKE HISTORIA YAKO YA KWELI,NAKUMBUKA TUKIWA MAKUMIRA HIGH SCHOOL ULIKUWA PIA UNATUPA BURUDANI SANA,UKIWA UNAPENDA MUSIC SANA,ULIKUWA PIA UNAPENDA KUWA DJ SANA,NAKUMBUKA SANA PALE MBELE YA BWENI LENU LA UHURU NA SOKOINE NA LILE JINA LAKO LA UTANI (NICK NAME) KING S...LER
Kweli asee😁😁😁😁
Mtangazaji unashawshi sijui kwa nn kamera aikuchukui sana
Unafanana na Maulid Kitenge
Bwana Kikeke nawezaje kupata contact zake hasa kwa njia ya mitandao,email nk!!!
Namjua huko BBC Portland Place
Sawa ni kitu Cha kiunwana kuwakaribisha wageni something like beverage ila nivizuri iwe served kwenye small glass sio majaki better mgeni anakize then aombe tena hayo mgeni anaogopa
You read my mind bro, people should style up
Kikeke upo tz na zuhura yupo tz kwaraha zenu mnajiachia vitu urojo anjar
Vp baby
Salim💥💥💥
Wasafi chama laooooo
The microphone can be an instrument to pass corona, plz kila mtu akuwe na microphone yake
Daaa juice imekuapambooo mweee
Uyo mchag kwann amjamwandikia maswar ya kumwoji Salim Kikeke maan naon kam vile ana log number
nakubali
Oya kunyweni juice kwanza siyo mnaongea tu
Muwe na mike mbili bhanaa!!
Duh
Huyu presenter wa wasafi co professional sana nahc muonekano umembeba
❤️❤️❤️❤️
Salim mbona mmejaza juice mpaka juu kwani Ulaya hakuna matunda 🤣🤣🤣
Kule zipo za bandia
Oxford street West London na Nando's wanapiga nyimbo za Africa ingawa wanaweka sauti chini.
🔬🔬🔬🔬🔬
Good bro, much love to u and Zuhura yunus one day i will be like u guys
iyo juice itaharibika Sasa maana Amnywi
Lol!😂😂😂😷
Umenifanya nicheke sana mm hyo ningemmna
Ivi mic ni shilingi ngapi????????? Au ni sheria kutumia mic moja? Kumbuka corona haijui yote hayo.
Hapa kikeke, hapa baraka mpenja, game Simba vs Yanga
Mimi niliaanza kukujua nilipokuwa shule ya msingi wakati ukiwa kwenye kipindi cha kisa na mkasa cha Redio BBC weekend jumamosi asubuhi amka na BBC
Unapo muhoji kikeke unatakiwa uwe na ufanisi mzuri wakazi na pia upeo wakuweza kumuhoji maswali yaliyo jikita ktk nyanja mbali mbali zenye tija ambazo anaweza kujibu bila ya kusita ila km presenter kazoea kuhoji umbea basi watazamaji hawatofaidika na majibu ya muhojiwa hivo basi nivizuri nguli akahojiwa na nguli mweziye ili maswali na majibu yawe sawa
Mchaga og nawe uko makini xana mkuu nimekukubali xana kwa leo interview na kikeke so kitu kidogo