🎉🎉Am christian ila hapa nyimbo hii nakosa la kusema, nimeupenda sana, waislam wengi hamjihusishi na nyimbo ila kuimba pia ni sehemu ya ibada na tunakumbushwa ya Mungu kupitia nyimbo....
Iraq too tkqy me too uy8 I'll seeiqrt Off Rd I îyf you😮😮/storage/emulated/0/KIFO CHA MTUME_083932 (1).mp3😂 FFXIV g for I'll kk ok then Hunter I'll Ed c
Wallah hii kaswida inaujumbe mzito mashaallah yaani inagusa kila kipengele cha maisha ya binaadam huwa shichoki kusikiliza, Allah awalipe mtunzi na mwimbaji
Mashaallah Mashaallah Allah akuzidishie Inanikumbusha mbali sana Allah tunakuomba utujaalie tuwe ni wenye subra kwan hakika kila mwenye kusubir yu pamoja nawe
🤲🏾📿 everything is possible when you put Allah first no matter what you’re going through ❤ have a wonderful ramazan to all muslims out there ❤❤ may Allah will blessed us all
Ma'Shaa'Allah Ma'Shaa'Allah Ma'Shaa'Allah ❤Hasbun Allah ...Mola akuzidishie afya na uzima, na yenye kheri na barka kwa wingi na husn khateema Allahumma Ameen...na kwa sote "WAISLAMU" "SUBIRA KWA SOTE MOLA ATUZIDISHIE "🙏 Naiomba hii video yake na audio kila nikijaribu kudownload inakataa yani inanipaga faraja sana nikiwa nasikilizaga mara zote hii qaswida kwa umakini haswaa...maneno huingia haswa ktk nafsi alhamdulilah Ma'Shaa'Allah 😍❤
😢😢😢 if we all seat and think 🤔 just for a sec 😢😢😢 awo watoto walikuwa between 10 and 12 right now wako between 20 and 22 so if tuko tunacezeya dunia basi tusubiri matokeo myaka inazidi kusonga na bado tuna pumbazika 😢😢😢😢
Who is in 2024
Count me in ❤
Me
me here
Nimooo
❤❤
🎉🎉Am christian ila hapa nyimbo hii nakosa la kusema, nimeupenda sana, waislam wengi hamjihusishi na nyimbo ila kuimba pia ni sehemu ya ibada na tunakumbushwa ya Mungu kupitia nyimbo....
Ndugu zanguni zingatieni nano subira mtafaulu kwa kila kinachowasumbuwa maishani wa bi llaahi tawfiq
Iraq too tkqy me too uy8 I'll seeiqrt Off Rd I îyf you😮😮/storage/emulated/0/KIFO CHA MTUME_083932 (1).mp3😂 FFXIV g for I'll kk ok then
Hunter I'll Ed c
Wallah hii kaswida inaujumbe mzito mashaallah yaani inagusa kila kipengele cha maisha ya binaadam huwa shichoki kusikiliza, Allah awalipe mtunzi na mwimbaji
Mimi ni mkiristo nausikiliza huu wimbo nikiwa na furaha kucheza na kuimba kabisa... Naupenda balaa tunaemuabudu ni mmoja tuache ubaguzi❤❤❤❤
Hata mimi merhm mama yangu
Mngu Atuzidishe subira, Amin. Ndiyo yenye kuvuta kheri.
This qawida make me cry iam going through something horrible pray for me
masha Allah Masha Allah💖🦋♥️
Allah akufanyie wepesi..Subra ndio ngao Inshaallah
WALLAH subra ndio kil kitu tuwe n subra ktk kil jambo INSHAALLAH 🤲 ALLAH ( S.W ) atatujalia kil l kheri
Mashaallah Mashaallah Allah akuzidishie Inanikumbusha mbali sana Allah tunakuomba utujaalie tuwe ni wenye subra kwan hakika kila mwenye kusubir yu pamoja nawe
Usha alwaa mwezimungu yupopamoja na mwenye kusubyriii na mkumbuka marehemu mume Wangu alikua ana upenda sanaa mwenyez mungu ampe kaulli thabty
@@aishaomari711 ameen
Poa
@@aishaomari711 pole my allah amuondoshee adhabu za kabli
MAA Shaa Allah ❤ Tabaraqallah 1of my favourite and so touching wallah
Mashalaah
am a christian but huu mwimbo nimzuri sana unagusa hadi moyo(its a realy touching worlds)
Robert rodrick mimi pia naupenda sana jamaniiii huwa naenjoy sana kuusikiliza na kuutizama😍.
Robert rodrick kweli kabisa nzuri
God bless you
Ishalaah
Uko vizuri jitaidi joha
MashaAllah Qaswida nzuri Allah Akubariki Ameeeeeen
Kama unaendaelea kuangalia 2020 tuwe na subiria corona itaisha kwa uwezo wa mungu
Mashallah
ahsante wimbo mzr mashallah nami ntakua n subira
I love this qaswida its really heart touching song mashallah johaynah mungu akuzidishie
Masha'allah mamy kweli kila mwenye kusubiri peponi ataingia
Asiah Mariam ishaallah dadangu duwazako
Masha Alaah Abibith
Masha Alaah Abibith
Mashalla nawapenda asa jaman ndomaana nawatakia usiku mwema
Mmy
@@mwanasitihassan6355 wow nice song
Alhamdulilaah Qaswida nizur san mwenyezi mungu akuzidishie kukupa mashairi mazuri Ameen
H
F
😮
Even christians loves this song
mimi ni mkristo lakin huu wimbo naupenda
ma sha Allah 2019 /09/06 naiskiliza hii nyimbo nzur na inafariji akubariki zaid muimbaji.💘❤👏☝
Masha allah
Umenikoshal dad Allah awenawe sikuzote😘
Nakukubali sana johana abdalla caswida yako subila jambo la eli ni zur sana inanigusa sana tu mashaallah
Mashallah 🙏🙏 hii nyimbo Ina ujumbe mzuri yani niisikilizapo nakuwa na amani sana yani maneno yake Yana hisia ❤❤❤
Alla alla alla,subira Ina kheri kwetu dunia nzima.mungu akulinde dada.
Mashaallah unaimba qaswid nzuri na zenye makumbusho mengi.
Mashaallah mashaallah ukty jokha
Mashaanllah subra tuweken katika nyoyo zetu.
Mashallah 😘😘2023/20/3 Alhamdulillah tujuwane inshallah 🤲🤲
Mashaa Allah hongera sana my baby girl binti abdallah Subra ni jambo la kher kweli kweli kabisa Allah akuhifadhi inshaallah
Big Up sana Allah azidishe kipaji maana nafarijika na hii kitu Kaswida nzuri sana sichoki kuiskiliza Dar hadi Buja 1600Km naskiliza hii Kaswida tu.
Tracogene su mlokbl no hip ikkp
🤲🏾📿 everything is possible when you put Allah first no matter what you’re going through ❤ have a wonderful ramazan to all muslims out there ❤❤ may Allah will blessed us all
Nyimbo ya mke wangu marehenu..alikua akiipenda sana..Allah akutilie nuru kaburi lako na akusamehe dhambi zako..Hafswa Ernest Atieno Ali
Amiin
Amiin
Aamin
Amiin yarabbi
Amiiin ,,pole sana
Maa shaa Allah ukhtiy Juhaynaa so touching ilo ndani mengi mafunzo na kumpa yule aliye na wazo la busara Moyo uifahamu natija ya subira
MashaAllah l love this qaswida with all my heart. The sound, words are a perfect combination.
💕😘
1:33 1:35
Baado naskiza jaamani qaswida nzuri ndio maana napenda kuskiza johayna mungu akulinde popote ulipo tz
Vp
Mimi ni mkristo ila napenda kusikiliza hizi nyimbo
Unizidi mie😍
@@annethjosephat6349 🤗🤗
@@mihayojuma2884 mzm lkn
Mashallah my johna
Ma'Shaa'Allah Ma'Shaa'Allah Ma'Shaa'Allah ❤Hasbun Allah ...Mola akuzidishie afya na uzima, na yenye kheri na barka kwa wingi na husn khateema Allahumma Ameen...na kwa sote "WAISLAMU" "SUBIRA KWA SOTE MOLA ATUZIDISHIE "🙏 Naiomba hii video yake na audio kila nikijaribu kudownload inakataa yani inanipaga faraja sana nikiwa nasikilizaga mara zote hii qaswida kwa umakini haswaa...maneno huingia haswa ktk nafsi alhamdulilah Ma'Shaa'Allah 😍❤
Screen record
nashaalah dah mungu tuludishe kwenye njia sahihi tuyaache ya duniani
Manshaall Allah amudhidishie kila la kheri
Ikaswinda
mashaalah hadi raha.huwa nairudia kila saa
Zuwena Rashid ishaallah shukran dadangu
Kwel Dada zuwena
Naipenda sana
Mashaala naipebda xana
Mashaallah....balozi wa amani
My best qaswda of all time ... Subira !
Vp
Actually the qaswida is good..... it teaches us about patience and patience is the key to Paradise.
C'est quoi les paroles please ?
J'ai lâche un like pour que tu vois mon commentaire
mashaAllah nzuri sn subira jambo lakheri
Mashaallah best qaswida ever.
Mimi ni mkristu ila huu wimbo unanibariki sana kila nikiusikiliza...ujumbe mzuri sana
MashaAllah,,, ujumbe mzuri wenye maadili mema
Maa Shaa Allah, maa Shaa Allah wa Maa Shaa Allah Tabaraqallah, qaswida kiboko nnayo ipenda mno na yenye meseji ILO na busara.. ahsant
masha allah dada hongera sana kwa kunikumbusha na kwa kumbusha umma
Innallah masabiriniii alhamndullillah yarabi
Daaaa naupenda huu wimbo japokuwa mm ni mkiristo
Mashaallah qaswida nzuri god bless Islamic tuwe na subira ndani mioyo yetu
Mashaallah dis song teach me ❤❤❤ my life is subra
Lovely kasida.. Masha Allah.. Sweet Voice Masha Allah. Be blessed.. Ameen
Masha Allah
Me mkristo lakn naupenda huu wimbo hatar, unanbarik
Edna Steven
Mola akujaalie uwe muislam
Mashaallah qaswida nzuri sana inanipa furaha sana qaswida hii
masha Allah Dada johayna upo vizuri sana
Nimekatumbonikwamama
nimekatumboni
🅱
Hindus gumbo kiss a may high in a his was
Watching 2019 can't mke without it....Maa shaa Allah🙏🙏
2021
mashallah kaswida nzuri sn
Masha'allah Allah akuongoe kila hatua insha'Allah.
It's my favorite maashaallah I ❤️❤️❤️😋😋😍 it
Mashallah mungu akuzidishie👌❤
Mashallah 😍😍😍😍😍😍.
this really thouched my heart even though I don't understand
MashaAlllah
I understand the song it also touched my heart
@@sharifaahmed1212 all
@@sharifaahmed1212 LJ
Mashaaaallah👆
Vp
Masha Allah haki imegusa hisia yangu kuskia qasweeda nzuri kama hii,sichoki kuskiza.
Mashalah johyna &arafa
Manshallah ❤❤❤❤❤ qaswida nzur xan
Masha'allah naipenda saaaaaaana Qasuida hii.
MashaAllah best nasheed subra ni Kila kitu kwa binadamu
Naupenda sana huu wimbo jamaniiiiiiii😍.
Mzur sana💞
Masha Allah uko vzr penda san
Those who are patient always wins. Subira muhimu kwa kiumbe kuwa nayo.
After every hardship there's an eas and behind all hardship there's an untold story of Sabri
Mola hkulipa kheri ukishinda wako moyo
This song sounds lovely, greetings from Indonesia.
Mashalaa
Yamenifika n nimekiwa n subira mashallah nyimbo yako imenifanya niwe na subira
Ama kweli subira jambo LA kheri,naipenda sana hii qaswida
Mashallah qaswida nzr xn
Jamn ndugu zangu 2zingatie sana jamn hii qaswida inatufundisha mamb mengi
it is true subira jambo LA kheli
Mashaallah
Mashaallah❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Mashallah wimbo juu umenigusa
Allah akuzidishie daima dunia mpaka akhera
Inanifariji sanaaaaaaaaaaaaaaaa ninapokuwa Na mitihani husema Alhamdulillah
Sherry Salim mashallah
Sherry Salim jppl8IP up up up IPO mopjpi
😢😢😢 if we all seat and think 🤔 just for a sec 😢😢😢 awo watoto walikuwa between 10 and 12 right now wako between 20 and 22 so if tuko tunacezeya dunia basi tusubiri matokeo myaka inazidi kusonga na bado tuna pumbazika 😢😢😢😢
Hii qaswida inanikumbusha mwaka elfu kumi na tano 2015
Mashallah mwenyezi mungu
akuzidishie 🤲🤲🙏🙏🤲🤲🌹🌹
Mashaalha kaswida hii nzur Sana 2021 tujuwane naombeni komenti zangu kama bado tunaangaliya hii ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
mashallah abayo mongu na ku saydiya
Still my favorite qaswida
Mashallah hii qaswida naipenda sana jamn
Allah awajazie kheri insha allah baraka allah fii kum.
MashaAllah nawapendaga sana toka Kenya 💙💯💯😥
Hey💜
@@dullawaria2940 🤝
Naipenda sana nikiisikiliza inanitia imani sana.
Qaswida naipenda sana
Kila nikifikira neno subira au patience mimi hukumbuka huu wimbo
Mashaallah am Cristian but soon Islamic inshaallah
Welcome bro/siz you will feel sweetness within try it....MashaAllah May Allah SW grant you His guidance!!!
laila uthman Thanks so much
Masha mie kila ck natizama na hii ni 2020 bado natizam tu nani tupo pamoja na qaswida hii❤❤❤❤❤
Tupo my
My favourite Qaswida❤❤ still watching in 2024
Mashawa nimeipenda Sana hii kasida❤❤❤❤
Kweli kabisaaa subra ni jambo LA heri Masha Allah tabaraallah allahamdulila 🤲🤲❤❤❤