Arafa Abdillah jina langu ramadhani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,2 тис.

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 9 місяців тому +10

    Mpeni mauwa take ❤❤❤🎉🎉🎉 bado mpya 2024 tunasikiliza kaswidar tujuwane❤❤❤❤ Mungu akupe afya njema ARAPHA ❤❤❤

  • @ShairaniAdam-s3o
    @ShairaniAdam-s3o 9 місяців тому +33

    Tunaongaliaa mwkaa 2024 terh 11 mungu awabarki na Ramadhan Qarm wote

  • @mandlasakhile9109
    @mandlasakhile9109 9 місяців тому +56

    Who is here this 2024 Ramadan, hello from Baltimore Maryland

    • @AmtafMshamza
      @AmtafMshamza 9 місяців тому +1

      Ramadhan kareem to you too..❤ from malindi kenya

    • @mandlasakhile9109
      @mandlasakhile9109 9 місяців тому

      ​@@AmtafMshamzathank you my neighbor, i was born and raised in Tz

    • @AmtafMshamza
      @AmtafMshamza 9 місяців тому

      @@mandlasakhile9109 wow..am half kenyan half tz..on my mums side is in tanga..

    • @LittleTrapo
      @LittleTrapo 5 місяців тому

      Im here in 2024 Wednesday July 10

  • @carlitacelestinopedro7127
    @carlitacelestinopedro7127 3 роки тому +111

    Tunao angalia wimbo huu mwezi mtukufu nipeni like🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @mwakaathumani4793
    @mwakaathumani4793 3 роки тому +21

    Tumekupokea mgeni wetu hii qaswida huwa naipenda sna mashsallah mtunzi

  • @eliasngoso9153
    @eliasngoso9153 Рік тому +26

    Arafa ubarikiwe Kwa wimbo mzuri,hakika Mimi ni mkristo ila wimbo huo napenda sana

    • @sarasadani
      @sarasadani Рік тому

      Tupo wengiii mm pia mkrist lkn huu wimb naupenda ramadhan kareem to all Muslim

    • @jijoAbdirizak
      @jijoAbdirizak 9 місяців тому

      Siuwe mweslamu uone mambo megi utapedasana kamimi uslamu ni dini iliobarekiwa😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @ibrahimcharles6311
    @ibrahimcharles6311 3 роки тому +20

    MUNGU awatangulie ndugu zangu WAISLAMU nawapenda na nko pamoja nanyi kwenye Mwezi mtukufu muwe na Afya njema wote

  • @aimableassumani2340
    @aimableassumani2340 9 місяців тому +63

    Mwezi mtukufu leo11/03/2024 mlio funga tujuane kwa like Ramadan mubarack to all muslim

    • @mhdj7033
      @mhdj7033 9 місяців тому

      Alhamdoulillah rabillallamin que je fais partie au musulman qu'il fasse cette année Que Dieu nous donne la chance de l'année prochaine encore incha allah 🤲🤲🤲🤲🤲

    • @JamilaAli-fz9ls
      @JamilaAli-fz9ls 9 місяців тому

      Ramadhani Kareem to all Muslim

    • @goodmaster255Tz
      @goodmaster255Tz 9 місяців тому

      Tupo hapa

    • @AishaIssa-l4q
      @AishaIssa-l4q 9 місяців тому

      Allahumma amiin

  • @emanuelcharles8469
    @emanuelcharles8469 5 років тому +599

    Mm ni mkiristo ila hakika ndani ya moyo wangu napenda hii nyimboo ...Kila la kheri waislamu wote katika mfungo wa mwezi mtukufu....

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 5 років тому +38

      Emanuel kumbe tupo wawili na mm nami pia cyo mwislamu lakini napenda sana wimbo huu sjui ni kwann haya waislam ramadhan kareem

    • @enriqueboutique2623
      @enriqueboutique2623 5 років тому +17

      Karibu ktk dini pia brother

    • @mchomvu1mchomvu1pare63
      @mchomvu1mchomvu1pare63 5 років тому +18

      Emanuel Charles Asante namungu akupe moyo huo huo hatimae usilm tuwe wote kwenye uislam ,Inshaallah🙏🙏

    • @mchomvu1mchomvu1pare63
      @mchomvu1mchomvu1pare63 5 років тому +13

      Wote wasio waislam lakin tupo wote katk mwez mtukufu waramadhan Allah atawalipa ,Inshaallah

    • @naseemjeddah8042
      @naseemjeddah8042 5 років тому +3

      Aamin yaarab kwako pia inshaaAllah

  • @janemsongole596
    @janemsongole596 3 роки тому +24

    Wimbo mzuri na unafundisha ,niwatakie waislamu wote mfungo mwema.Nabarikiwa mno kila niusikilizapo.

  • @EphraimMatowo-fs8st
    @EphraimMatowo-fs8st 9 місяців тому +4

    Na ukristo wangu ila hii nyimbo naipenda na niliitafuta sana,Waislamu wote nawatakia mfungo mwema.

  • @jesusiscoming237
    @jesusiscoming237 4 роки тому +95

    Am Christianity but am in love with this song since 2014, I always feel the presence of Allah when I hear this song

  • @najmakupa8755
    @najmakupa8755 4 роки тому +74

    MASHA ALLAH ! SADFA ILIOJE MM JINA LANGU NI RAMADHAN NA TUKO KWENYE MWEZI WARAMADAN NA WIMBO "JINA LANGU RAMADHAN" NIPENI LIKES ZENU!

  • @hadijamatola5230
    @hadijamatola5230 3 роки тому +26

    Ni jambo la kumshukuru Allah wimbo huu kila ukisikia Auishi hamu iwe ramadhan au miezi ya kawaida utapenda usikilize

  • @florahkimbage9571
    @florahkimbage9571 5 років тому +64

    Mimi ni mkrito ila naupenda sana huu wimbo jaman!!!! Kila LA kheri ndugu zetu Waislam nawatakia mfungo mwema!

  • @aureliebeatrice5952
    @aureliebeatrice5952 3 роки тому +50

    I really love this song but I’m a true Christian ❤️
    Mungu ni mmoja tu

  • @suleimanisaid6926
    @suleimanisaid6926 2 роки тому +32

    When I lessen to this qaswidah....I feel happy n the beauty of the hollymonth of Ramadhan, powerful message Masha Allah....

  • @mwanasitisaid6564
    @mwanasitisaid6564 2 роки тому +10

    Masha allah daa arafa mwenyezi mungu akuongoze katika kipaji chako 🙏🙏🙏 Kwa kweli naipenda sana hii qaswidah 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @fahmiwaummy4293
      @fahmiwaummy4293 2 роки тому

      Sijui kapotelea wapi huyu dada tunakosa vitu vitamu

    • @NasChauchau
      @NasChauchau Рік тому

      Nilisikia kafariki mbona

  • @matukiomtaani7662
    @matukiomtaani7662 9 місяців тому +17

    Tuliokuwepo apa tarehe 12/03/2024 chungu cha kwanza mpaka tutakapo imaliza saumu yote 29,30 tujuane kwa like..... Kalibu mgeni wetu Ramadan🙏😊

  • @judyndeti39
    @judyndeti39 3 роки тому +22

    This song made me to fast in Ramadan despite being a Christian but nilipona bc I was really sick hoping for afya njema......

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 роки тому +1

      welicom to muslim deen my dear Allah akbar ❣️😘

  • @mesudluqman
    @mesudluqman 2 роки тому +46

    This will forever be a legendary Ramadan Nasheed of all time. So much love for it MashaAllah, May Allah bless you sister Arafa.... Still listening it until now 2022❤️❤️❤️

  • @nicholaussulwa2291
    @nicholaussulwa2291 5 років тому +32

    Asante mungu kwa knifkxha mpka CK ya Leo.. I love you so much

  • @FatimaFatima-wk1jk
    @FatimaFatima-wk1jk 2 роки тому +17

    Kila ukikaribia RAMADHANI lazima nifike hapa hakika hii kaswida ina Nipa nguvu Sana yakuupokea mwezi mtukufu Allah atujaalie tuwe wenye kufunga na kutenda yote tulio amrishwa kuyafanya ndani ya mwezi wa RAMADHANI 🤲🤲🤲😍😍❤️

  • @AmourThiago
    @AmourThiago 9 місяців тому +1

    Inshallh mungu akujalie kila lakher ulieimba hii kasda

  • @zawadkidumu1997
    @zawadkidumu1997 5 років тому +36

    Mimi n mkristo BT naipenda hii tangu nilipoisikia nilipokuwa salun nasuka mwaka 2013 Barikiwen waislam wote Ramadhan Kareem

  • @eunicechamgeni9776
    @eunicechamgeni9776 6 років тому +142

    I'm a Christian but i really love her voice and message 😍😍😍God bless her

  • @sottithomas9443
    @sottithomas9443 5 років тому +107

    Mm ni mkristo lakn huu wimbo nimekuwa nikipenda kuusikiliza marakwamara, ahsante sana arafa

    • @iddimaneno5452
      @iddimaneno5452 5 років тому +1

      jaman mwezi huu tumeupokea vzr na tuuage vzr namshukuru mwenyezi mungu kwakutujalia kufungu ahsante

    • @agnesmlangwa4117
      @agnesmlangwa4117 4 роки тому +2

      M,mungu atufanyie wepesi kipindi hiki kigumu Cha ugonjwa wa korona

    • @sottithomas9443
      @sottithomas9443 4 роки тому +1

      @@agnesmlangwa4117 amen, hakika mwenyezi mungu atafanya wepesi katika kipindi hiki kigumu 🙏

    • @irenemmbando6215
      @irenemmbando6215 4 роки тому +3

      dah kumbe tupo wengi

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 4 роки тому +2

      Wimbo mzuri Sana ujumbe mzuri Kwa wote hasa ndg zetu waislamu jtahd uwe na huu wimbo na uwe napigwa nyumbani ndg zang muwajengee watoto wenu iman

  • @shellamanirambona6668
    @shellamanirambona6668 6 років тому +53

    Mashaallah, jina langu ramadhani wa islam fungeni mpate afya njema.neema iloje kuwa muisilam Alhamdulillah

  • @hawaawario319
    @hawaawario319 4 роки тому +46

    Karibu mwezi mtukufu 2020❤️❤️
    InshaAllah 🇰🇪

  • @rajabumkunga4734
    @rajabumkunga4734 5 років тому +49

    Naiusia nafc yng na kuwausia wenzng ,,,tusiupuuze huu mwezi ...huu ni mwezi wa kuchuma , mwez wa toba, nawatakia ramadhan maqbuul

  • @nusrathamis8031
    @nusrathamis8031 2 роки тому +19

    Alhamdulillah☘️there are only few days left for ramadan 2022☘️Allahumma ballighina ramadhan×3 wawafiquna fiih li-swaima wal-kiami waja'alna fiih min utaqaaika mina-nnar Birahmatika Ya Arahma Rahiimin🤲🏽

  • @jeremayajeremaya5011
    @jeremayajeremaya5011 5 років тому +115

    Ramadhan nzury Kwenuu waislam woteee.. Kilaaa LA hery jamanii

  • @nassoromar7721
    @nassoromar7721 5 років тому +91

    Namshukuru M/mungu kwa kuweza kufunga tena mwezi huu mtukukufu wa Ramadhani 2019

  • @AnnShikanda
    @AnnShikanda 5 місяців тому +1

    Mimi pia ni mkristo lakini napenda huu wimbo 😊

  • @hadijasaidi331
    @hadijasaidi331 2 роки тому +28

    Mashallah,nice voice and content, I'm proud to be a Muslim,💯💕💕💕💕💕 it

  • @salmaanfaqiih5003
    @salmaanfaqiih5003 4 роки тому +10

    MTUME WETU MUHAMMAD ALLAAH ASHUSHE REHMA JUU YAKE Ametuambia kuwa:"fungeni mutapata afya" na pia ametufahamisha kuwa ambae hajaowa au hajaolewa bac afunge kwakuwa mwenye kufunga funga ya kweli huwa mbali na yeye matamanio hivyo huepuka kuingia kwenye zina. Na pia ametufundisha jengine pale alipotuma ujumbe kwa mfalme wa misri akimtaka asilimu,huyu mfalme alijua kuwa huyu ni mtume kweli na akamrejesha mrejesho mzuri lakini hakusilimu alituma zawadi kwa mtume ya tangawizi watumishi wawili wa kike na daktari n.k. Daktari ni mtu muhimu sana ktk jamii lakini mtume hakutaka daktari alimrudisha na kusema"sisi ni watu ambao hatuli mpaka tuwe na njaa na hatuli mpaka tukashiba" na ametuelekeza namna ya kula ametutaka tule vijitonge kidogo tu,kiasi cha mtu kuweza kufanya kazi zake,na ambae ameshindwa hili amemfundisha namna nyingine ya kula nayo ni: kuligawa tumbo sehemu tatu 1:kwa ajili ya chakula.2:kwa ajili ya kinywaji.3:kwa ajili ya punzi. MTUME AMETUFUNDISHA NAMNA YA KUEPUKA KUZINI NAMNA YA KUEPUKA MAGONJWA NA KUPATA AFYA KUEPUKA KUFANYA MABAYA KWA KUWA MWENYE KULA SANA HUWA NI MTU MBAYA NAHAYO YOTE AMETUFUNDISHA KWA MANENO KIDOGO TU,MTUME MUHAMMAD AMETUFUNDISHA WAISLAMU HATA NAMNA YA KUKOGA,KUKAA WAKATI WA KUJISAIDIA,KUJISAFISHA BAADA YA KUJISAIDIA,HATA NAMNA YA KUTEMA MATE AMETUFUNDISHA, KWA UFUPI HAKUNA SUALA AMBALO HAJAFUNDISHA MTUME.Yote hayo ni kwakuwa hakuwa akizungumza kwa matamanio bali ni wahyi anaoteremshiwa.hivyo bac tujifunzeni aliyotufunza mtume wetu na tufanyie kazi.

  • @abdallahramadhani4215
    @abdallahramadhani4215 5 років тому +18

    Nashukuru mungu Kwa kuzaliwa kwenye family ya kiislamu

  • @ramearfe9509
    @ramearfe9509 3 роки тому +28

    Nani yuko hpa ramadhan hii agonge like twende sawa

  • @zayanaduduna1405
    @zayanaduduna1405 Рік тому +26

    Bado twaisikiliza 2023 le 23 mwezi 3 ramazani Kareem my lovely brothers and sisters 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🌙🌙🌙🌙🌙❤️❤️❤️👌👌

  • @EmmanuelMichael-n9r
    @EmmanuelMichael-n9r 9 місяців тому +1

    Naipenda sana hii qaswida ni nzuri ujumbe mzuri sana.👏

  • @harunazuberi3939
    @harunazuberi3939 5 років тому +12

    Kikwely do mwez unaisha , natamani ungeliendea! Inshaallah .... Ewe mwenyz mungu tujalie Afyaaaa njema

  • @emmanuelshashi9805
    @emmanuelshashi9805 6 років тому +188

    Mkristo naipenda hii nyimbo kila la kheri waislamu katika mfungo wenu

  • @kaltumkunche707
    @kaltumkunche707 Рік тому +10

    Masha Allah I really love this nasheed,may Allah listen to our prayers and bless us in the month of Ramadan, amin

  • @kombogambare3574
    @kombogambare3574 3 роки тому +4

    Nawatakia Ramadhan Kareem Waislam wote Duniani mwaka huu 2021 In shaa Allah hususan familia yangu wakiwa Nyumbani -Kwale-Kenya..Watching from EMIRATES,, Arafa Abdillahi hatutakusahau kwa zako Qaswida

  • @sasharashidy4221
    @sasharashidy4221 4 роки тому +18

    Even if I'm Christian but I like this song. I wish all the best for Islamic in this Ramadan

  • @lestantgodfrey7229
    @lestantgodfrey7229 5 років тому +7

    Kuna muda natumia kipimo kupimia watu vibaya lakini ninapoangalia nyimbo za sister Arafa huwa najirudi naanza kuishi kulingana na mola /mwenyezi mungu anavyohitaji, mungu akubariki kwa kazi za mikono yako dada angu Tukumbuke tofauti ya dini haipotoshi maaneno ya mungu

  • @ndoanirahaonlinetv5031
    @ndoanirahaonlinetv5031 5 років тому +31

    mwezi wenye baraka. kimeshushwa ndani yake. ,kitabu chenye baraka ktk usiku wenye baraka .

  • @girishonrwabona136
    @girishonrwabona136 2 роки тому +15

    Heri ya mfungo mtukufu wa ramadhani nawatakia waislamu wote mfungo mwema

  • @parisz
    @parisz 5 років тому +24

    Only Allah knows how proud I am to be half Swahili Alhamdulillah rabbil’al-ameen

    • @radhiaadam6248
      @radhiaadam6248 Рік тому

      Mashallah mashallah Allah bless you Arafa❤️❤️🙏

  • @sportbet_kenya4
    @sportbet_kenya4 Рік тому +1

    In sha Allah mwenyezi mungu akubali swaumu na juhudi zetu na atasamehe madhambi zetu..ameen

  • @yakubumuhamedi3297
    @yakubumuhamedi3297 2 роки тому +5

    Nice song tunashukulu Allah tumefika Tena mwaka mwingine 😆😆😆😆 alhamdulilah

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +8

    2021 mko wapi jamn. karibu mwezi mtukufu wa ramadhani yaa ALLAH tujaalie afya njema tuifunge ramadhani na tumalize salama .. Amiin

    • @tabyhamisi7797
      @tabyhamisi7797 3 роки тому +1

      Inshallah

    • @jasminjuma6390
      @jasminjuma6390 3 роки тому +1

      Ramadhani ndo inatuaga hivo😭😭😭 yarabi tunakuomba utufikishe ramadhani ijayo tena🙏🙏

    • @jasminjuma6390
      @jasminjuma6390 2 роки тому

      Ramadhani Mubarak ya ummati Muhammad

  • @rebeccajohn4130
    @rebeccajohn4130 2 роки тому +7

    Naupenda huu wimbo japo sio islamic but i love this song❤Ramadhan Kareem waislam wote

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 5 років тому +43

    Alhmdulillh kwa kuuona kwa mara nyengine mwezi mtukufu wa Ramadhan

  • @salhaayub1338
    @salhaayub1338 Рік тому +2

    Alhamndulillah kwa kuikaribia ramadhan Allah atufikishe salama tuwe wenye kuitekeleza vyema inshaallah 🤲🤲

  • @suzanpatrick8381
    @suzanpatrick8381 5 років тому +2

    Ni mkristu mim lakin sichokii kuskizaa ujumbe huu mzuri kutokaa kwa Dada yanguu Arafati Mwenyez Mungu awee nanyii waislam woteee na mzidi kuwa na afya njema katika mfungo huu

  • @tamiymabubakar3665
    @tamiymabubakar3665 5 років тому +6

    Mashaalaah Allah akuzidishie maisha yako yote mpaka Aherah kwamaana twajifunza mambo mema kabisa

  • @estajuma9513
    @estajuma9513 4 роки тому +4

    Mm ni mkiristo najua Tunaemuabudu ni mmoja huwa napenda sana kaswida istoshe uisramu ndo dini ya mwanangu

  • @lulusaid7602
    @lulusaid7602 5 років тому +13

    Mashallah 🙏❤
    Allah atujaaliye afya njema ktk mwezi huu wa Ramadhani

    • @khadijasudi8476
      @khadijasudi8476 4 роки тому

      Mashallah 💖🙏 napenda hii nyimbo sana,
      Allah hatujalie afya njema ktk mwenzi huu mtukufu wa Ramadhani.

    • @mariamufungo9619
      @mariamufungo9619 4 роки тому

      Amiin

  • @cleindbush5364
    @cleindbush5364 2 місяці тому

    Iam a christian but this song has really touched my heart, God bless the artist.

  • @scholarfrank5180
    @scholarfrank5180 6 років тому +143

    japo mkristo nimeipenda hii waislamu fungen mwez huu mpate afya njema

  • @abdallahsalehe4070
    @abdallahsalehe4070 Рік тому

    Alhamdulillah kufika mwezi mtukufu wa ramadhan mwenyeezimungu aemdelee kutupa umri
    Nilikupenda sana Arafa ila mungu alikupenda zaidi mungu akuweke pamoja na waja wema innalillaj wainnailaih rajoun

  • @danielleoterindulu7315
    @danielleoterindulu7315 5 років тому +165

    wangapi tunaangali mwez huu mtukufu

  • @saidothuman3329
    @saidothuman3329 2 роки тому

    Shukran kwa Qaswida nzuri na yenye ujumbe murua,
    Naomba kuuliza Arafa bado yupo hai kweli mbona kimya kingi nifahamisheni.

  • @happynessnyanda3613
    @happynessnyanda3613 5 років тому +29

    Mimi co muislamu lakin naupenda huu wimbo jaman2019

  • @elizakanazi4280
    @elizakanazi4280 4 роки тому +23

    This is my grandma favorite song. And I since love it too 🧕🏾❤️🤲🏿. Ramadan 2020 is coming soon and l am blessed by Allah to have my birthday on the first day of Ramadan. What a gift from Allah. 🎁😊🎂❤️. 🇰🇪🇰🇪.
    May ALLAH our sins away.
    AMEEN Ya-Raabi 🤲🏿❣️
    Asalam aleikum

    • @hadijahshabani2674
      @hadijahshabani2674 4 роки тому +1

      Mung atufanyie wepex inshallah

    • @maryamsaid991
      @maryamsaid991 2 роки тому

      Alhamdulillah it other year of ramadhan💖💖💖💖💖💖

  • @najmaalzaabi8385
    @najmaalzaabi8385 5 років тому +4

    shukrani sana ukhuty wangu anllah akupe afya njema asante kwa ujumbe mzuri hakika nimefurahi uwepo wako tofauti na ilivyokuwa ktk mawazo yetu ya mwanzo tunatalajia kupata mambo mazuri kutoka kwako mamy anllah akupe wepesi ❤ more nakutakia maandalizi mema ya ramadhani

  • @faridamwashanda1921
    @faridamwashanda1921 5 років тому +13

    Congratulations Dada unasauti tamu, na maneno mazito

  • @halimahemedi1599
    @halimahemedi1599 5 років тому +35

    asante Allah kwa kuukuta mwez mtukufu tena allahamdulilah

  • @fatmamambo8311
    @fatmamambo8311 5 років тому +35

    I'm proud to be a Muslim💋.

  • @jamillajuma9509
    @jamillajuma9509 6 років тому +34

    Mung akufanyie wepes kwa kil ulitakalo.

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 9 місяців тому

    Aisee huu ujumbe na huyu Arrafa na msikiza sana hasa ramadan huu ujumbe sauti Nice mashallah Hadi sasa in 10 years now hamna imefika hii Qaswida

  • @lumaisatsaid4707
    @lumaisatsaid4707 5 років тому +6

    allah atujaaliee ramadhan njema yeny afy njema tumeupokeaa inshallah so zawd ndogo 🙏🙏🙏💓❤💖💘💙

  • @IdrissaAbd
    @IdrissaAbd 9 місяців тому +2

    2024 ..Allah amrehemu arafa😢😢😢

  • @zaymshihiri8717
    @zaymshihiri8717 3 роки тому +6

    Nawatakia Ramadhan Qareem Kwa waislam wote ,, tuzidishen maombi inshallah🙏🙏🙏

  • @aminahamisi749
    @aminahamisi749 5 років тому +4

    Mashaallah arafa mungu akuzidishie afya njema katika kila mwezi mutukufu wa ramadhani💚💚💚

  • @wasafilassbby7659
    @wasafilassbby7659 5 років тому +37

    yarabi tujaalie uhai ili tuweze kuifunga ramadhan kwa mwaka mwengine 2019

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 6 років тому +26

    MashaAllah, Mtoto amejaaliwa sauti hadi raha kusikiliza

  • @ibrahimshide3367
    @ibrahimshide3367 5 місяців тому +3

    Kama unatazama 2024 .2025. 2026 like hapo please 🙏

  • @happyyohana9881
    @happyyohana9881 Рік тому +1

    Ameen sana nabarikiwa sana na huu wimbo 🙏🙏

  • @wbabu6155
    @wbabu6155 3 роки тому +10

    Alhamdullilah, this is 2021 Ramadhani time. Wonderful Taarab!

  • @bonitonina6165
    @bonitonina6165 Рік тому +2

    Assalam aleikum ni mwaka wa 2023 qaswida yetu nzuri ya Ramadhan bado yatuliwaza Mashallah. Ramadhan Mubarak wa Swaum maqbul ya Muslimīn.

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 6 років тому +46

    karibu mgeni wetu mtukufu Ramadhani twakupokea Kwa mikono miwili sifa zako neema kwetu

    • @ummyamili3494
      @ummyamili3494 5 років тому +1

      Enyi waislamu tuombe mambo mema ktk mwez wa
      ramadhani

  • @MeddyMeddy-b4r
    @MeddyMeddy-b4r 9 місяців тому +1

    Mwezi mtukufu

  • @ummufatma7949
    @ummufatma7949 4 роки тому +6

    Karibu mtukufu mwezi wetu RAMADAN 2020🙏🙏🙏💖👍 yarabbi tuwe na uwezo we kusameheyana amiinnnnn

  • @arafaarafaali9930
    @arafaarafaali9930 Рік тому

    Karibu mwezi mwema ramadhani twakusubirii Mungu atufishe inshallah

  • @parfaitwitangila1908
    @parfaitwitangila1908 5 років тому +21

    Mimi siko mweslam lakini napenda hii nyimbo
    From DRC 🇨🇩

  • @yasminomar4673
    @yasminomar4673 Рік тому +1

    Nikiskia hii nasheed nakumbuka mjomba wangu Allah ablaze roho yake pahala pema peponi na waisilamu wrote walio tutangulia 😢😢😢Ameen

  • @aishavictor270
    @aishavictor270 3 роки тому +32

    Kama I like hapa cjai kupata hater mmoja jamani 2021 from Kenya like zikuje

  • @ashurahussein9748
    @ashurahussein9748 4 роки тому +2

    Alhamdulillah kuifika ramadhan nawatakia waislamu wote ramadhan njema

  • @lelabakar5636
    @lelabakar5636 3 роки тому +19

    Karibu mgeni wetu mpendwa Ramadhan 2021 😍

  • @allysabdalllah466
    @allysabdalllah466 4 роки тому +1

    hii qaswida ina nikusa ndani ya moyo....ongera Bint Arafa Allah akujalie marifa zaidi

  • @dicksonmwizarubi1577
    @dicksonmwizarubi1577 7 років тому +29

    nakupenda sana kira nikisikilinza nyimbo nzako nakuombe dua mwenyenzi mungu akunzidishie

  • @ZeitunSwaleh-cv1zy
    @ZeitunSwaleh-cv1zy Рік тому

    Kipenzi changu Arafat mungu atujaliye tuwemiongoni mwawanaokwenda. Peponi .🤲🤲

  • @aycharamadhani4889
    @aycharamadhani4889 5 років тому +15

    Alhamdulillah,
    Its Ramadan 2019

  • @ibrahimsaeed8093
    @ibrahimsaeed8093 3 роки тому

    Hii qaswida yanikumbusha mbali sana mamangu kipenzii mungu amrehemuuu amueke Pema Kwenye wema yarab ilikuwa anaipenda sanaaaa

  • @naimoibrahim7027
    @naimoibrahim7027 2 роки тому +4

    MASHA Allah karibu mwezi mtukufu wa Ramadan 2022

  • @official_young_boykarimh4178
    @official_young_boykarimh4178 4 роки тому +2

    mashalah mungu tupe wepesi na utuepushe na kila jambo lililo baa kwetu.

  • @aminaqatar2691
    @aminaqatar2691 6 років тому +21

    Hajafa jamani yuhai Allah ampe umri mrefu wakufanya ibada

  • @hadidjahadidj1356
    @hadidjahadidj1356 2 роки тому +1

    Wimbo Bora kwakila mwaka karibu mgeniwetu ramadhani 🤝🤝🤝🤝🤝🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮