Masha`allah hii qasida kila nikiisikiliza huwa napata mazingatio makubwa sana. Allah awalipe mema kwahili inshallah, hakika utunzi bora sana na uimbaji bora pia...
Ma sha Allah kaswida nzuri yenye mafunzo na ujumbe ktk jamii yetu ya kisasa. Allah awajaze kila yaliyoyakher kwenu wote kwa mashairi mazuri muliotumie.
Mashaallah kwakweli naipenda mnoo hii qaswaida hainishi ham jaman ina mafundisho mazuli mnoo anllah alipe na pepo ikawe makazi yenu na mtume akawe jirani yetu Amin inshaallaah
mashallah naipenda hii zaman😍 wazazi tujitahid kulea wtt wetu tusiwe bize na mambo ya dunia hili ni jukumu letu mtt kumlea vizuri Allah atuwezeshe kwa hili
Mashallah kweli katika kufikisha ujumbe wa mwenyezi Mungu kwa watu wake humpa mtu utashi wa aina yake qaswid ni nzuri sana kuchuja kwake ni ngumu sana maana kinachosemwa ni kwel kabisa mashallah mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
It reminds me when I was young ma mother used to switch on radio every day b' Cause of this nasheed mashallah baraka llahu fiikum Allah grant u jannat firdaus.❤❤❤❤❤
2021 tupo wangapi ambae tunatazama tena ...kumbuka kuna watu walitazama mwaka jana na juzi lakn alitaman atazame mwaka 2021 lakini hakufika aliishia njian ...vema tuwaombee wote walio tangulia...Wazaz wote walio tangulia Mungu hawalaze mahari pema peponi. 😢😢
Hiz ndo Qaswida bhan zazaman ila za ck hz nikam bongo flev idon why ila hiz japo nizaman ziko namagunzo nakuelimixha jinsi uiclam ulivo namtu anaelewa atauchezaji wapo uko vizury prefket anda verry nice
Mara ya kwanza kuisikia ilikuwa Radio Tanzania Dar es Salaam Kipindi cha maswali na majibu ya dini ya kiislam Hapo ndio Ulikuwa mwanzo wa kuipenda hii Qaswida
Fakih Alhakim Alhakim Allah akulipe kwa kasida yako nzr sana hiii kasida namba1 Tanzania yaani haishuki hadhi hii kasida noma sana duuu hongera sana ustadhi Allah akuhifadhi
Napenda sana hii qaswida,,2024
Masha allah gonna like 2024 kama imekonga nyoyo Yako.....❤❤❤
Napenda sana kaswida❤
❤
bado itakua nzur daima masha Allah kam nawe upo hapa 2020 like tuwe pamoja mpaka peponi
Mashaallah
Mashallar kaswida nzuri Sana mwenyezi mungu awaweke inshalla
Mashalla
Untill now 2022 bado ni kaswida Kali sana
@@azizahussein3409❤
Masha`allah hii qasida kila nikiisikiliza huwa napata mazingatio makubwa sana. Allah awalipe mema kwahili inshallah, hakika utunzi bora sana na uimbaji bora pia...
2023 still love it 🤝🤝Masha ALLAH, it reminds me a lot in 2012
Absolutely Amazing,My favorite qaswida,2023.Diver one
Ni mwaka wa 12 years sasa naiangalia haijawahi chuja hakika mwenyez mungu awajalie wote mlioimba hii qaswida mwisho mwema
Wallah hizi zama natamani zijirejee kipindi madrasa ni madrasa kweli sio saiv nyimbo za taarabu
Kipindi hiki kaswida zilikuwa kaswida, hatari
Ma sha Allah kaswida nzuri yenye mafunzo na ujumbe ktk jamii yetu ya kisasa.
Allah awajaze kila yaliyoyakher kwenu wote kwa mashairi mazuri muliotumie.
Hii qaswidah kila siku ni mpya kwangu yani kama imetoka jana vile❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah hii qaswida imepigwa sana radio rahma Mombasa Kenya❤❤❤
Mashaallah kwakweli naipenda mnoo hii qaswaida hainishi ham jaman ina mafundisho mazuli mnoo anllah alipe na pepo ikawe makazi yenu na mtume akawe jirani yetu Amin inshaallaah
Ameen yaarabbal aalaamiin 🤲🤲
Mashallah Allah awazidishie Inshallah
Qaswida nzuri sana tena yenye mafundisho
Maashaallah ni nzuri na itaendelea kuwa nzuri milele 🎉🎉🎉🎉2026 🎉🎉🎉 gonga like hapa🎉
Mashaallah my best qaswida love musilim and my profet m.s.w
Najat mponda qaswida yangu penda 2024
aswaliwe mtume Muhammad .allahu mma Swahili wasalim alayhi
Allah akbar neno la Mungu litukuzwe duniani hadi akhera
mashallah naipenda hii zaman😍 wazazi tujitahid kulea wtt wetu tusiwe bize na mambo ya dunia hili ni jukumu letu mtt kumlea vizuri Allah atuwezeshe kwa hili
nimeipenda sana
Rabia Nassor .mashallah
Mashaallah nimeipenda san
@@halimasalum6877 mashaallah
Mashaallah naipenda sana
Mashallah naipendaga sana hii qaswid hata niisikilize mara mia hainichoshagi kuisikiliza Allah awajalie waloimba
I like this qaswida because inatuambia tulee vijana kulinga na mafundisho ya mtume
Hii qaswida naingaliaga unanikumbusha mbali sana mungu awape maisha maref
Mashallah kweli katika kufikisha ujumbe wa mwenyezi Mungu kwa watu wake humpa mtu utashi wa aina yake qaswid ni nzuri sana kuchuja kwake ni ngumu sana maana kinachosemwa ni kwel kabisa mashallah mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masha Allah toka uhai wa mama yangu 2003 niko na Miaka 9
Love this 2025
Leo naitaza 2024 bado nzuri sana hii qaswida
MashaAllah madrasa shop mnajitahidi...keep the fire burning2020 biidhnillah❤❤❤❤💞💞💬💕💓
It reminds me when I was young ma mother used to switch on radio every day b' Cause of this nasheed mashallah baraka llahu fiikum Allah grant u jannat firdaus.❤❤❤❤❤
Mashaala ndugu zetu watanzaniya hatuwawezi hichi nikipaji MUNGU amewapa mubarikiwe Sana hii qaswida sssssafi Sana naipenda
Nimeipenda iko vzr kama na wewe umeangalia 2019 gonga like ako apa
Hatal sana
mashallaaaa
Majaliwa Hamad
Iko sawa sana pia ina messege nzur
Maashaallah
Inanikumbusha madrasa
Maahawal lslamia TNG Uyo mpiga nai mashaallah
Allah awe ngao zenu nyte insha'Allah,na awajkie kile lenye uzto alfnye taafif kwnu yaan awawpsxhie..muwe wnye mwngza bora hpa duniani na kxho akher yaumul hesaab..
Haijawah kuchuja naangalia leo tar28-10-2024 bado haujachuja❤❤
Naipenda sana hii qaswida, mashasllah
Mashaallah his kaswida
Wangapi tuko pamoja 2021 mwezi wa ramadhani..gonga like
Pamoja
Nipo hp 2023 mash Allah
Dahh! Wakowaph ma shekh zetu jamani rudini hatowaoni jaman naisikiliza apa 2022 kama imetoka janatyu dahh
Bado nipo nayo Masha Allah kaswida nzuri sana 2023
ahsante kwa ushauri na maoni mazur Allah ajaalie owe hivo
tnaomba group la kaswida wassup 96898170538
Tunaomba group la kaswaida
+96879013149
In shaaallah
Mambo
MADvpRASA SHOP TV ONLINE
Madrasa shop tvonline so hot...i like you..Allah awahifadhi saana inshaAllah
Kaswida nzur sana inamafunzo mazuri kwa uumaa mungu awajarie awape upeo mkubwa 🙏🙏🙏
2021 tupo wangapi ambae tunatazama tena ...kumbuka kuna watu walitazama mwaka jana na juzi lakn alitaman atazame mwaka 2021 lakini hakufika aliishia njian ...vema tuwaombee wote walio tangulia...Wazaz wote walio tangulia Mungu hawalaze mahari pema peponi. 😢😢
tupo
qaswaida ni nzur na inaujumbe mzur mashaallah
My favourite Qaswida all tym..May Allah bless you for your advice
Me tooo
@@mshanaadily232😅😮😮😅. 😅
l😊😊😅
Bado sana kuchuja ,naipenda sana qwasida hii ina ujumbe mzuri sana
Hii qaswida hitahishi vizazi na vizazi ujumbe mzur mungu awajarie masheikh wetu
Kama unasikiliza Ndani ya mwezi mtukufu 2020 like hapa tujuane
Iko vzr kama umeangalia 2020 like😊
Allah akujaalien inshaallah mzid kutupatia Zingine Kuna wengne wakiimba kama bongo flaiva
Kwani hakuna bongo fleva za sloo kama hizi
Umary Ibuva mashaallah mzulii sanaa hiii jaman
Mashallah qaswida nzuri na yenye ujumbe mzito
Mashallah naipenda sana hii kaswida. Inshallah Mola atujalie hivyo
Hii qaswaida na bado tu tena tunaitizama 2023 hii hapa lakini ipo vizuri
Qaswida yangu pendwa inayokosha nyoyo namazingatio ndani yke tangia nipo madrassatul Azhar Mombasa,Kenya .💖💖miaka 96 hadi mwshoni99.
Alhamdulillaah yaarabbi, l have been looking 4 my favourite qaswida since l grew up but 2day l got it mashallah.
Maasha ALLAH ni qaswida isiyoisha hamu kusikilizwa
AlHAMDULILAH
Mashaalh mzazi kuwa makin san kwa mtoto wako mashaalh mashaalh
MashAllah kaswida nzuri yenye mafunzo Allah ibarik fikum
Mashallah qaswida Safi Sana Allah amlipe mtunzi Kama 2020 usikose 👏👏👏👏👏👏👏👏👏
So nice Masha Allah Allah akuafikishe kuwalea watoto wetu ktk maadili
Hiz ndizo nzuri kwasababu unaelewa kinach elezwa Masha Allah mwez mngu akuzidshie rehma dunian na ahera inshallah
Naipenda Sana hii qaswida enzi hizo tupo Madrasa ilikuwa laha sana
Beautiful times
Kweli maalimu unayosema kwa Watoto wetu hapa duniani.
Like very much indeed.
Amiin yarbil Aallah min insha'Allah iwe kher kwetu sote wlo waislm
Hiz ndo Qaswida bhan zazaman ila za ck hz nikam bongo flev idon why ila hiz japo nizaman ziko namagunzo nakuelimixha jinsi uiclam ulivo namtu anaelewa atauchezaji wapo uko vizury prefket anda verry nice
Mashallah bado ipo kwenye ubora wake 2024🎉🎉❤❤
Maashallah mungu awambaliki sana
Mashalha
cku nzito sana hiyo icyokua na rafiki wala biashara allah atupe mwisho mwema nshallahi
Naiwatch usikuu huu kabla ya kula daku 2019 ndn ya mwezi mtukufu nimeisaka atimae nimeipata
Amina
Inshaallh
Maa shaa allah imechulia vyema Kama adabu enyewe
2021 mwez wa 4 Ramadhani ya 9 nimeikumbuka hiiii Qaswida kuitazama inafundisha wallah
kama unaangaliaa mwaka 2019 mwez10 gonga like apaaa
Mashallah kasida imetoa ujumbe mzuri Allah awabariki wazazi wetu aamin
Mwenyezi mngu atujaalie kizazi chem 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Maashaallah'mie nimengoja sana nai inavyolia huku najiuliza hv ni yenyewe nikaishia kufurah tu'Allah awalipe kheri
Kawaida ni Bora ila vifaa vilivyo tumika ni kharamu
Mashaa Allah full ujumbee waallah
Mashallah nililuwa natafuta video yake naipenda sana
xamai
Nzuriii xana jamn
My favorite qaswida of 20's mashallah
Mashaallah allah awajalie mwisho mwema walo imba qaswida hii
Kwa waliozaliwa 1995 mpaka 1999 jijini Dar maeneo ya Temeke tujuane✌️
Inshaallahu mungu abariki naipenda qaswida hii
Aky naipenda
Mashaallah
Maasha Allah
Wazazi tujitaid kulea watoto wetu kaswida hii ni nzur sana pia inanikumbsha mbali sana wakat huo nipo darasa la 7 Allah awajaalie
mashaallah mashaallah tabaraka rahman
Mara ya kwanza kuisikia ilikuwa Radio Tanzania Dar es Salaam Kipindi cha maswali na majibu ya dini ya kiislam Hapo ndio Ulikuwa mwanzo wa kuipenda hii Qaswida
Masha Allah, kaswida hii naipenda sana.❤ina mafunzo sana,maneno yake .
marhabaaaa
Mashaallah daima itakuwa zu
❤❤
Uko vzr wazaz zingatien kulea vzr watoto wenu
Fakih Alhakim Alhakim Allah akulipe kwa kasida yako nzr sana hiii kasida namba1 Tanzania yaani haishuki hadhi hii kasida noma sana duuu hongera sana ustadhi Allah akuhifadhi
Naikubali kasda hii sana
Maa sha Allah 👌👌
Mashallah mashallah naipenda sana
MashaAllah, Amazing Nice Qaswida,The from Kenya Yasin diver.Mombasa .Hii Qaswida hunipa motisha sana kimaisha!!!!
Kaswida murua jamani maa sha Allah
Mashaallah
MASHA'ALLAH.MUNGU ATUJAALIE VIZAZI VYEMA NA WAWE WAJA WEMA WENYE MAADIL YA KIISLAM
Nashukuru sai nipo juzuu ya 27 mungu anipe umri nimslize 30
Assalaam alaykum
Mashaa allah upo sehem gani?
Km unaingalia 2020 mwezi wa 5 mwishoni kipindi cha corona gonga like
Ni nsuri xn anaesoma na waitikiaji wanapokezana vizur nakupeni hongera munaitaji msada kujikuza zaidi
MashaAllah jadha ka Allah kheir
Nakumbuka niliiangalia mwaka 2014 nikiwa tz. Nasasa niko oman 4 ilopita. Niyamuda sana
As vp hli
Mashallah qaswida iko smart xn
Asallam allaykum warahmatullah wabarakatu
Asant
Aslm alykm
Qaswida hii nikisikiliza najisikia amani kweli mungu amtubukieni mema watunzi
Mashallah !! The best qasida ever
Mm naikubal sn Zaid y sn
Ipo vzr manshallah mungu awajalie watunzi
2020 ni Qaswida yenye mafundisho sana katika jamii. Allah atujaalie kila la kheri Inshaallah. Atujaalie vizazi vyenye off yake Inshaallah 🙏🙏
Masha,allah caswida bora
mashaallah mashaallah