Maashallah qasida nzuri Sana najiskia amani na faraja kila naposkia "dunia hadaa maisha kalili nakupa nasaha hebu yafikiri" mawada yao maharus duh jamani💜💜
Shukran brothers and sisters insha there more from them just type madrasatul nah dhat or go to my videos under that name Inshalla more video will be apploaded soon
Mashaallah iliweza Hadi cjapata kuskia qaswida nzri za harusi km zenu endapo umefkia mda wko wa kuoa au kuolewa ndio utajua utamu na ladha y hizi qaswida
by IHH in Turkey in 2011, we came to your country. I loved you for God. On the way back, they gave this Kaside group a CD. I listened to them for a long time in Turkey. May Allah blessed our eternal
Mungu awazidishie kwani naipenda saana,hii qasweda muzidi kutuekea kwanii sisi tuko mbali na nyumbani angalau husikia raha tusikiza qasweda, kwani maisha ya hapa ni ya upweke angalau ukisikiza qasweda husikia raha kama upo nyumbani.
Aziza Abdi bi aziza swali lako nalijibu ugumu wakuoa nikumpata mke aliye bora mimi natamani hata leo nioe lkn huyo mke mwenyewe ndio shughuri qaswida ni nzuri sana
Maa shaa Allah Qaswida yani maliza kila nnapo ipata nafasi kuisikiza, Allah s.w.a awalipe kheri zaidi Ameen na kuwapa uwezo wa kuyatoa qaswida zaidi ameen
Wenzangu tulio hapa adi huyu mwaka wa 2024 tujuwane kwa like
Dahh leo kuna mtu nilikua nazungumza nikamwambia hii miaka kumi na mbili au kumi na moja nyuma imenibidi nije niichek tena
Tupo pamoja yaani
Tuko sote❤
Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuh
Vile vile Mimi pia Niko hapo kwa ajili ya Hilo miaka zime pita kama kufungua mlango na kufunga
Tupo
2023 still I love it , mashallah
Jaman tunaorudia kuangalia hii qaswida 2020 December tujuane😌❤️❤️
,😍nipo
I'm the one of you. Tuko bega kwa bega
Mimi 2023 bado nipo nayoo
2020😢.....2024🎉🎉🎉😂😂😂😂😂❤❤
Hongere mtungaji ulotunga huumwimbo na ukanifanya niowe . Mungu mjalie.
Mashalah 👏🏻
Yarabi mola wangu nijalie mume mwema mwenye kunijali nijalie na Mimi mola wangu niolewe nifuraishe wazazi wangu ishallah
Ameen khery Ukhty
im from south africa capetown side i simply love zwahili qwasidas this is 1 of my number 1
Qaswida niliipendaga sn nabado naipenda sn yani waliimba vinzur saana mashaallah hongeren sn
nzri sana
Kweli yako
Mashaa Allah tabarakallah qaswida ni nzuri natamani niimbiwe siku ya kharusi yanguu🌹🌹🌹mola anifanyie wepesi mume mwema
Mashallah
2019-mwezi wa9 Kama bdo unaisikiliza hii Qawida gonga like
mussa Odinga hello bro. Can you help me
kainat benim yes i can help you what my dear
kainat benim yes let me help you what is dear
Nini niseme hata nioneshe furaha kwa uzuri wa nyimbo hii.. nyimbo nzuri sana, sauti km tupo peponi vile. Hongera
Ni nyimbo
Mashaalah allah
Mpaka leo hakuna walofikia hapa zimetoka nyingi lakini bado bigup
Kweli kabisa
Kweli
Damtu Mct kazwidz zul mung awpe wepes🙊🙊🙊🙊
😁😁😁shukran sn
Na bibi harusi twawaombea meema ❤️💗
Wonderful song my favorite swahilli islamic music. Masha Allah
thanks Andreas theres more just type madrasatul nah dhat or go to my videos under that name
+jelani ali kjp
courage a
Ridhwan Andreas ashura.👍
Nynyi nyote muende pepon mashaalaaaah
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️🤣🤣🤣🤣🇮🇹
Kama unaiangalia hii qswd mwka 2019 n unaipnd kma mm lyk yako bas..."!
Inshaallah tutakuimbia
Penda sana hii qswida
2020 and I still love it💙💙💙💙MASHAALLAH TABARAKALLAH💕💥
MashaaAllah
Ma Sha Allah I miss qasda from madrasatul nah dhat...their qasda are the best and educative
natamani siku ya arusi yangu waniimbie hiyo
nusra kajubu inshallaah
nusra kajubu umeonaeee
Insha allah
nusra kajubu muombe Allah InshaAllah
InshaAllah mamaa
2020🔥🔥🔥 naupend sana
mashallah 💞💛💕❤💟💔💜💞👍
Mwenyez mungu awajaalie qaswida nzuri
Masha Allah
Mansha Allah tabarak Allah
Mashallah lovely
Mashallah wimbo zuri Sana ninaipenda Sana ...... watching from Malawi 🇲🇼❤❤
Inshallah nikiolewa eeh mungu nipe mume mwema wa kuijua dini
Namm bd npo naiyangalia tena mwakahuu2018#jambo la kuowa mollah huridhia fanyen upesi mpate tulia#mashaallah nmeupenda sn huu ubet
Wacha wsws wab
Hhhhh shukran
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💯💯💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏
Zimetoka qaswida nyingi za Harusi lakinii bado ipo top... hongereni vijana
jamaani naipenda hii qaswida mashaallah sauti nzuri
Mashaallah naipenda namimi natamani siku yaharusi yagu niweke
Nawaombea dua Nwaka huu muwepamoja mtoe khasida mzur tena kundi gili ni hatari nyīmbo zenu zina hish na sauti nzuri sana
"Wacha wasi wasi warizikijuwa Ilahi Qudusi ndio alotowa" :)
mashalah penda san
Asya Abdullah 👍
Asiya abdalla
MBNA ywele wazi
Asya Abdullah naupenda sana huu wimbo even though I am who I am
Kama waangalia hii qaswida 2020 tujuane hapa😘 nakama wahamini waolewa mwaka huu kabla ya kuisha or mwakani sema inshalllah 😘🙏kila hatuwa duwaah❤
Inshaallah
2021 and this is stilll my jam🥺
Qaswida nzuri Sana yenye ujumbe pia mola awazidishie muendelee hivyo
Kaswida naikubali sana by king mambo mengi from Zanzibar
Mashallah 💦🙏
Mashaallah
mashallah wimbo mzuri sana ninaupenda sana huu wimbo
Juliana Kabanza haaaa sister juli nakuona nkuonaa
Sio wimbo huu
Nzuri sana
2022 fam
Still the best ❤️❤️
wwhen i was 6 now am 12 i still like it on 2023
masha allah bless his familly
Alf million mabroooook bw na bb harus.Nimeipnda sana
Mashaallah
Masha Allah unasaut zr
mashallah nice
Mashaa allah ♥️♥️♥️♥️♥️
Mashaallah allahu barik👌👌👌
2023 still the best ever
Maashallah qasida nzuri Sana najiskia amani na faraja kila naposkia "dunia hadaa maisha kalili nakupa nasaha hebu yafikiri" mawada yao maharus duh jamani💜💜
2019 still watching 👍
Kama wewe mwaka huu wa twenty twenty unaiyangaria hii qaswida gonga like yako apa sasaivi... Hii qswida mi siichoki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯🙏🙏🙏🙏
Mashaallah lnshaallah yaraabi one day yes
Mashallah leo naiangalia hii 5/April/2023❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mashaalaah nakumbuka sana kaswiida ii ilinifany nioe bila kujar gharama za maisha
plz nipeeni like
Aisha Ismail ishallah mungu yupo pamojanawe
nice sana isharha
Aisha Ismail wakovizur
Mawada Mawada yao Maharusi Maa Shaa Allah
I'm here today Maa Shaa Allah
....who is still in 2019....just drop ur lyk if ur still watching it😘
Kaswida
Rukia Mcharo hello ı hear one music like this but ı cant found. Can you help me
Yani apana chezea handat
So awesome and attractive qasda MashaAllah😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Mashaallah tabarakallah ❤❤❤
Nlikua napenda sana hiz still 🔥🔥🔥
Mash Allah, Mash Allah, Mash Allah......
Mashaallah mashaallah mashaallah
Shukran brothers and sisters insha there more from them just type madrasatul nah dhat or go to my videos under that name Inshalla more video will be apploaded soon
+jelani ali AHSANTE
jelani ali shukran ya akhir
Salma Guni ok
jelani ali z
jelani ali mashallah
Mashaallah iliweza Hadi cjapata kuskia qaswida nzri za harusi km zenu endapo umefkia mda wko wa kuoa au kuolewa ndio utajua utamu na ladha y hizi qaswida
MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah
Hits in my nerves ❤❤❤ shukran for the memories and alhamdullilah ala kuli hal..love this2023
Nakupenda Sanaa hii qaswidaa allhal awalipe
Keep trending till now 2022 mashaallah 💯♥️
by IHH in Turkey in 2011, we came to your country. I loved you for God. On the way back, they gave this Kaside group a CD. I listened to them for a long time in Turkey. May Allah blessed our eternal
Welcome again Zanzibar
🎉Yani we kka uljua kuimba hyo kaswida❤🎉❤
Mashallah tabaraka-Allah
MashaAllah
Mashaallah tabaraka Allah khair natabasamu xan na kufurai nkickiza qaswida zenu wana madrasa nah hongereni xn
Mashaalla
Mashaallah it makes me feel better
my best kaswida in the world I have ever seen in mylife😘😙😚🤗 mwaaaaa
Mashaalla tabarakalaha
Masha Allah qaswida nzuri saana
Mawaada mawaada yao makharousi
weka like kwa wanaoangalia hii nyimbo 2019
Daniel Leoteri Ndulu
Acha wehu wew sibor omombe hela2
Mashallah allah awajalie vipaji
This is the best of all...The video will be a classic for generations to come!
Maashaallah
Mashllh nilipenda sana qaswida zenu sahii hakuna tena nzuri
@@zamhajuma9294 nnnnnñnpnpkp p pķ
Mungu awazidishie kwani naipenda saana,hii qasweda muzidi kutuekea kwanii sisi tuko mbali na nyumbani angalau husikia raha tusikiza qasweda, kwani maisha ya hapa ni ya upweke angalau ukisikiza qasweda husikia raha kama upo nyumbani.
2023 still in hot 🔥 😍 mashallah
Maasha allah
2024 still love this qaswidah MASHAALLAH🙏🙏
2022 bado my favourite😊
Kama tupo pamoja 2020 na bado unaiona hii qaswida ni kiboko yao gonga like hapa
Tupp my from omani
Ewe ndugu yangu wasubiri nini jambo la kuoa utafanya lini,, mashaAllah
Aziza Abdi bi aziza swali lako nalijibu ugumu wakuoa nikumpata mke aliye bora mimi natamani hata leo nioe lkn huyo mke mwenyewe ndio shughuri qaswida ni nzuri sana
WAALLAHI NNAFURAHI NIKISKIZA HII KITU NAKUMBUKA KABLA YA NDOA NAMKUMBUKA MWENZA WANGU
Kama bado waiskiliza hii qaswida 2021 gonga like
Mashaallah 2021 and still this Qaswida is as sweet as new 🥰, what do you think?
Hakika
2021 am here gonga like from kenya and tanzania
Huaga nikiangalia hii qaswaid na me natamani niwe kama wao
2020 ewe ndugu yangu wasubiri nini jambo lakuoa utafanya lini
Ma ShaAllah!
Asya Abdullah jjjj
Asya Abdullah rafiki
Babyrei
2020 bado inavuma mashallah
Alwiya Said mi pia nimeiangalia 2020
Tupo
@@saumushabani3170 mashallah, vizuri sana.. Hii ni nzuri mno
@@OfficialJouma umeona
Kweli
Masha Allah good bless you
Since2013
macha Allah
Maa shaa Allah Qaswida yani maliza kila nnapo ipata nafasi kuisikiza, Allah s.w.a awalipe kheri zaidi Ameen na kuwapa uwezo wa kuyatoa qaswida zaidi ameen
Mushikane na brother Nassir tu make best of qaswida in worldwide
Mashaa Allah...sauti na kipaji mola kawajalia......
Kwel dada
2020 tujuane wimbo mzuri sanaa Allah akupe hitaji LA moyo wako in shall ah🙏🙏
Amiiiyiin