ARAFA =MUNGU ANAWEZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 525

  • @rynesawaya7043
    @rynesawaya7043 2 роки тому +24

    Mimi mkirsto ila napenda sana nyimbo za uyu dada sana 😍😍🔥🔥🔥

  • @michellenorbert8705
    @michellenorbert8705 Рік тому +15

    Mashallah Allah kareem akufanyie na kutufanyie wepes hapa 🌍na kesho akhera. Amin

  • @faridampakaka4728
    @faridampakaka4728 4 роки тому +19

    Hii inakumbusha hata mama yangu alikuwa anaipenda sana. Pumzika mahali pema peponi mama hakika mungu anaweza kila kitu. Nakupenda mama. Asante mungu wewe ni zaidi ya washindi

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 3 роки тому +3

      Pole my nikisikia iv naon uluma san 😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪

  • @sakinaabdalah334
    @sakinaabdalah334 5 років тому +19

    niseme2 ukweli tangu niisikie hii qaswida sjawahi kuichoka mpaka leo mwaka 2019 naipenda inawoosia mzur sana mungu akujalie dadaangu

  • @abdulkareemchacha2625
    @abdulkareemchacha2625 Рік тому +9

    Maashaallah.....Ni ukumbusho mzuri wenye faida na mazingatio kwa wote wenye kujitambua.

  • @florahkimbage9571
    @florahkimbage9571 5 років тому +39

    Mimi ni mkristo ila napenda sana hizi nyimbo!! Nawatakia kila LA kheri na mfungo mwema kwa Waislam wote

  • @jamillajuma9509
    @jamillajuma9509 6 років тому +32

    Hii kaswid naipenda San sichok kuckiliz . mung anawez akun ashindwalo. Mashaallah

  • @moman2541
    @moman2541 6 років тому +17

    Ma sha Allah sichoki kuangalia qasida zako pia ma sha Allah hujipodoi Allah akuongoze ivo ivo

  • @salmajuma45
    @salmajuma45 5 років тому +7

    Maa shaa Allaah.....sichoki kuisikiliza hii qasida. It's message.... ukweli mtupu!

  • @katundakiliza5894
    @katundakiliza5894 6 років тому +8

    Yaan maneno yk yanavina na mizan yanagonga kumoyo haswa hii mmh mashaallah Dada

  • @mohamedisarafi5308
    @mohamedisarafi5308 6 років тому +326

    Kama unaipenda dini yetu ISLAM na qaswida zetu gonga like yako TWENDE SAWA

  • @chuchulovemiq9843
    @chuchulovemiq9843 5 років тому +3

    Uislam ni mzr sana sema sisi wenyewe tunaacha ya kwetu.na kuiga ya watu tuamken waislamu bado wakti tunao mungu answezaa.

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 5 років тому +7

    Dada unaqasida nzuri na una utunzi ulio bora kwa kweli

  • @fatumaissa1042
    @fatumaissa1042 6 років тому +33

    kweli kabisa lazima tuwe na subra ya kweli

  • @emeranceekondo3865
    @emeranceekondo3865 Рік тому +8

    Qiukweli napendaga Sana Qaswida japo Mimi nim krsto nampenda Sana arafa na nyimbo zake zote namavazi yake ya hesma waislam wote nawatakia mfungo mwema kwa watakaofunga kwauwami nifuu MUNGU 🙏 awape kilaitaji la mioyo yenu

  • @HawanaMsisya
    @HawanaMsisya Рік тому +5

    Zina fundisha sana❤❤❤

  • @zulehanassor4521
    @zulehanassor4521 6 років тому +22

    mashallah kaswiida nzuri
    it's my fvrte

  • @zulehabintsaid5449
    @zulehabintsaid5449 6 років тому +7

    Allahu akubari,masha Allah,natamani siku moja nikuone face,to face,thanxs gd msgs

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 5 років тому +183

    2019 nasikiliza qaswida za Arafa, ni mawaidha mazur... Gonga like hapa kama unaamini Arafa yupo hai.. Insyaallah

  • @mohammedbusaidi8505
    @mohammedbusaidi8505 6 років тому +44

    mashllah ya allah tuzidishie subra

  • @MarlinMar-n8v
    @MarlinMar-n8v Місяць тому

    Wow nawamisi sana lakini Mimi nimkristo lakini nawapenda naninapenda nyimbo zenu ❤ Ninaomba mungu awape mayisha mwema🫶🫶🫶🫶🫶💓👌🌹🇧🇮

  • @williamlucas434
    @williamlucas434 2 роки тому +2

    Wimbo mzuri mashaallah...huchoki kuuskiliza

  • @fatmaaally7745
    @fatmaaally7745 2 роки тому +10

    Ramadhan Kareem to all Muslim Around the World 🌙

  • @masikaiselte9876
    @masikaiselte9876 2 роки тому +3

    Allah akupe manyanzikiyo katika qaswida zako na akupe amzi na afya

  • @faridmohamed16
    @faridmohamed16 6 днів тому

    Kaswida ni nzuri sana kwani ina mafunzo Alhamdulillah

  • @Triphonia-k2w
    @Triphonia-k2w Місяць тому

    Mimi ni mkeisto pyua ilaa nyimbo za arafa zinanibariki sanaaa

  • @recholaizer4157
    @recholaizer4157 4 роки тому +13

    2020 naskiliza napenda Mungu anawezaa

  • @murshidaallydiswela6664
    @murshidaallydiswela6664 4 роки тому +4

    Mashaallah munguanaweza nasusubiri wakati wangu ufike ataniliwaza

  • @JamilaShabani-oj9rt
    @JamilaShabani-oj9rt 3 місяці тому

    Kila asubuhi lazma nisikilize kaswida za arafa mungu akujaalie kheri dad arafa ❤❤❤❤

  • @ashasadick401
    @ashasadick401 6 років тому +48

    Mashaalla matatizo yote muachie alla na akuzidishie kila la kheri

  • @dennismakombezulu3642
    @dennismakombezulu3642 Місяць тому

    Namkubali sana ARAFA BY DENNIS TRANSPORT IFAKARA

  • @mohamedkagoma7066
    @mohamedkagoma7066 4 роки тому +2

    Mashallah mungu akuzidishie maana hii kasida hata nikiwa na mawazo nikisikiriza hii tuh basi mawazo natoa

  • @OmariMyugo
    @OmariMyugo 5 місяців тому

    Mashalla mungu akuzdishie uwezo

  • @kugonzasaadullah9957
    @kugonzasaadullah9957 4 роки тому +14

    Ur songs inspire me,wow

  • @mohammedalkiyumi8713
    @mohammedalkiyumi8713 2 роки тому +9

    Mashllah mashllah very nice voice your voice from paradise mashllah

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t 2 роки тому +1

    Katika yeye ni muweza ♥️♥️

  • @YusuphRashidi-tl2wd
    @YusuphRashidi-tl2wd 6 місяців тому

    Arafa fundi wakaswida inaujumbe mzito inanifunza mengi sana tuamini mungu nimuweza wakilajambo

  • @FauziaAbubakar
    @FauziaAbubakar Рік тому +1

    Napendaga xn hii qaswida💖💖💖👌👍🇰🇪

  • @hamadkafupi7310
    @hamadkafupi7310 6 років тому +49

    Allahu Akbar. nimuondolee of munaotaka uhakika wa taarifa ya kutaka kujua kuwa yu hai ama laa! mukiangalia katika mtiririko juu ya kifo cha msanii sam .utakutana na picha ya mwanadada araf. akiojiwa mwenyewe anatamka ajabakwa na bado yu hai .nimemsikiliza vizuri nendeni you tube mujirizishe.

  • @jafariiddi2554
    @jafariiddi2554 3 роки тому

    Kwely mwezawayote nimgu2 yeye nimlpaji mashalaa

  • @fatyqueen346
    @fatyqueen346 4 роки тому +5

    Naam wengi tunasubir ndoto zetu insha allah

  • @zarkocambier2124
    @zarkocambier2124 22 дні тому +1

    ALLAH BLESSES U. DEEP AND VERRY SPIRITUEL.

  • @taturamadhani6776
    @taturamadhani6776 3 роки тому +1

    Anayatimiza muda muafaka kwake mungu anaweza

  • @mwatatutatu6471
    @mwatatutatu6471 5 років тому +3

    Mashaallah kaswida nzuri xana inanipa faraja ya moyo

  • @gibsonmugyabuso4208
    @gibsonmugyabuso4208 6 років тому +2

    mashaaalaaah kwa kawaida nzuri kama hili Allah akupe ujira mwema

  • @AdamuHanti-mh7we
    @AdamuHanti-mh7we 2 місяці тому

    dada mungu akuhifazi na moto

  • @rahmaathuman6493
    @rahmaathuman6493 Рік тому

    Napenda Sana qaswida mungu amlinde na Moto wa kabul

  • @FELIXTHOBIAS-x1c
    @FELIXTHOBIAS-x1c 6 місяців тому

    Hongera sana hata mm unanikosha sana

  • @zenahamis1517
    @zenahamis1517 4 роки тому

    Allah akulipe kheri kwa ukumbusho

  • @mariamumariamu1003
    @mariamumariamu1003 5 років тому +14

    Mashaallah mungu Anaweza Akuna Ashindwalo

    • @azizmaster9954
      @azizmaster9954 4 роки тому

      Mariamu Mariamu nafulai sana ninapo cikiliza kaxwid

  • @dyanatanz6574
    @dyanatanz6574 5 років тому +61

    Kwel mungu una weza nasubil ntajibiwa wakat ukifika

  • @queenszuwena5370
    @queenszuwena5370 6 років тому +4

    umetuachia store arafa nakupenda sana sjui kama atatokea mtu mwingine kuzba pengo lako💕💕💕💕

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 6 років тому +37

    Subiri Allahuu qadri nice voice mashaAllah

  • @cautharmhinte6261
    @cautharmhinte6261 7 років тому +57

    mashaalah dd arafa nazipenda sana qaswida zako

  • @mamawawili4069
    @mamawawili4069 3 роки тому +1

    Allah akurehem Arafah Abdallah

  • @hdija8355
    @hdija8355 2 роки тому +1

    Alhamdullllilah mola wangu..

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 5 років тому +1

    mashaa Alla nikweli kabisa mungu Anaweza kila jambo vuta subla Atakutimiziya muda muwafaka

  • @FatumaHassan-j4f
    @FatumaHassan-j4f 7 місяців тому

    Mashaallwh napend sana❤❤❤

  • @allyhaj7418
    @allyhaj7418 5 років тому +4

    Tunakupenda sana dada yetu arafa

  • @salmangojoko3327
    @salmangojoko3327 6 років тому +33

    mashallah,alla akuzidishie Mara elfu nyingi

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ you need dié Mense 👏👏👏

  • @rahmatyahya6509
    @rahmatyahya6509 3 роки тому +2

    2021 nasikiliza tukiwa katika mwezi mtukufu wa Ramadhan..Mungu Anaweza

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 3 роки тому

    Masha ALLAH
    Msg nzuri Allah akulipe kila lakheri

  • @HappyCardGame-re8yc
    @HappyCardGame-re8yc 3 місяці тому

    Napenda xna Dini yangu ya kiislamu

  • @AhmadAhmad-wl7zv
    @AhmadAhmad-wl7zv 5 років тому +3

    ma shaa Allah mungu akuzidishie

  • @aminadaughteryakubu1754
    @aminadaughteryakubu1754 5 років тому +17

    ama kwa hakika araf Dada yangu qaswida zako huwa ,zina nipa faraja sana

  • @zenamohammed2623
    @zenamohammed2623 6 років тому +21

    MashaAllha..allah akuongoze..ila Mbona siku iz aimbi

    • @farajamwasomola8283
      @farajamwasomola8283 6 років тому

      Zena Mohammed mbn kafark

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 6 років тому

      Mi nilikuwa siamini kafariki kweli au

    • @kagileman5798
      @kagileman5798 6 років тому

      Zena Mohammed Kwa habari zisizo rasmin inasemekana uyu dada Amefariki iv ni kweli Au?

    • @fadhilichitete7006
      @fadhilichitete7006 6 років тому

      @@ramadhanially2783 mungu amlaze pema pepon

    • @sish7012
      @sish7012 6 років тому

      Jamani hajafa mbona ivi lakini

  • @samirasalehe2324
    @samirasalehe2324 Рік тому

    Mungu anawezaa jamanii

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 роки тому +1

    Mashaallah tabarakaallah mungu anaweza Ndio

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 Рік тому +1

    Mimi.KKKT lakini nyimbo hizi nazipenda sana

  • @NiyonzimaAshula
    @NiyonzimaAshula 3 дні тому

    Uyu mdada mashaAllh anamashair mazur yupo wapi haimb tena?

  • @frenkmagessa5244
    @frenkmagessa5244 11 місяців тому

    Mungu akuzidishie

  • @Emmykamba
    @Emmykamba 29 днів тому

    Pumzka kwa amani ukuthy Arafa❤❤❤❤

  • @C.r7manee4
    @C.r7manee4 Рік тому

    Mashaala wislamu wapndeza

  • @fatmaali8095
    @fatmaali8095 6 років тому +3

    Mashallah nzur cn inatupa faraja mashallah

  • @GeophreyJonathan-j4h
    @GeophreyJonathan-j4h Рік тому +1

    Naitwa mecky nazipenda sana pia nazipenda islam

  • @yammitz
    @yammitz 10 місяців тому

    MUNGU ANAWEZA ❤

  • @neemamohamedi8267
    @neemamohamedi8267 3 роки тому +3

    2021 masha Allah arafa Mungu akupe makazi mema

  • @JoharHussein
    @JoharHussein 3 місяці тому

    Mungu anaweza 🙏

  • @faudhiajuma928
    @faudhiajuma928 8 місяців тому +13

    2024 let gather here ❤❤ Islamic religion qaswida

  • @samilamauji3728
    @samilamauji3728 3 роки тому

    Kweli kabisa ewe mola wetu tupe subra

  • @muhimpundunourah8021
    @muhimpundunourah8021 5 років тому +1

    Anaweza kweli.mansha Allah.Allahu akbaru

  • @reisanijoseph5178
    @reisanijoseph5178 4 роки тому +2

    Mashairi yakemazuri sana

  • @JustinSibomana-fh2pe
    @JustinSibomana-fh2pe 6 місяців тому

    Thanks allah for being my best Friend

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 роки тому

    Kweli bdugu nimuwwza kweli kweli

  • @julianamassawe4363
    @julianamassawe4363 Рік тому +1

    Naipendaa sanaaaa

  • @rukiaissa77
    @rukiaissa77 6 років тому +11

    mash ALLAH jazakallahu kher

  • @nambutasomoe3412
    @nambutasomoe3412 3 роки тому

    Mashallah naipenda kuitizama qaswida hii

  • @WahidSaid-q1y
    @WahidSaid-q1y 21 день тому

    Nampenda sana huyu Dada

  • @zuwenaiddi3496
    @zuwenaiddi3496 Рік тому +1

    Santé mungu ❤️❤️❤️❤️🤗

  • @bintalhwamer5291
    @bintalhwamer5291 6 років тому +14

    MashaAllah jadhaka Allah kheli

  • @issajafarimzi2784
    @issajafarimzi2784 5 років тому

    Mawaidha mazuri, twaomba mungu utuletee mengine tuwaidhike

  • @hassansalim1620
    @hassansalim1620 5 років тому +5

    shukran kwa ujube kwako Alah Afe.

  • @shellamanirambona6668
    @shellamanirambona6668 6 років тому +2

    Mungu anaweza atayatimiza muda muafaka kwake. Usicoke omba wala usikate tama.maashaallah

  • @julianamassawe4363
    @julianamassawe4363 Рік тому

    Nakupenda saaanaa

  • @samiandoubler6210
    @samiandoubler6210 3 роки тому +1

    Mashalah alalhu akuongoze

  • @rashmystirmystir8055
    @rashmystirmystir8055 3 роки тому

    Ninaipend💖

  • @mashampulu5780
    @mashampulu5780 3 роки тому

    Nakupenda sana dada

  • @aishanuhu1575
    @aishanuhu1575 5 років тому +1

    Mashaallah dada angu mungu akubariki

  • @nazmaabdul949
    @nazmaabdul949 5 років тому +1

    Anaweza kwel Allah kuna magum nilipitia napitia lakin Allah hajawah niacha alhamdulilah