Hii michezo haifundishi kwa mujibu walivyo lala hivi Tunapotoza watoto wetu Anakanga kifuani,Mtu siye mkeo na mpiga na mabusu mitihan hapo Zina juu ya Zina Dalili za kiama zote Mtume Muhammad s a w alitabiria mwisho Watu Wataipenda kuliko Akheira Dini Wanawake kutokwa na haya muda umefika Tuombe Allah atujaliye khatima njema na vizazi vyema
Ohooo shukrani kwa kujia hilo ila cha ajabu nacha kushangaza hata wewe unaipenda ndo maana umetizama na kucoment nakubea kwa mola.Uche kuingia youtube na.Kutazama inshallah
@@BinMahsen Mola atatuongo inshallah,Maana kuna Watu wamepigwa mihuru kila wanacho ambiwa Utajo wa Allah na kutatazana maovi wao hupinga Tuombe Allah atujaliye khatima njema na vizazi vyema
Mashallah tabarakallah hongeren sna ndugu zang 🎉🎉 yani nmejifunza mengi mno kuptia movie hii, Allah awajalie kila la kher mzidi kitupea mafunzo aina mbal mbal yarabbal aalamiiin 🤲🤲🤲🙏🙏 nawapenda kw ajili ya mola wetu mlezi❤❤❤💕💞 byeee 👋👋👋👋🎉🎉
Eeeh mashallah .. uwadilifu muwe nao waume ..kila kitu kitakuwa sawa. Na ss wanaadamu wanawake tuweni nafsi kinai ..tukimuogopa Allah hakuna kitakacho haribika tuweni wachaji mungu sana ..mashallah .kheri InshaAllah
ALLAH Atusamehe mmh mtihn sana mwisho ushafika tuombe hatim njema jmn dunia tunaipenda lkn tukimbuke akhera yetu kwanza maisha yamilele dunia sikitu tujiandae hii movi siuo kbc ALLAH anisamehe nimeiyan galia kidogo ASTAKAFIRU
Nyie mnauhakika kuwa hawa ni watu jamani 😂😂😂, mm na mdg wangu tulikuwa na wivu kwa baba vipiii? Kuhusu mapenziii ya uke wenza 😂😂😂 kazi nzuriii sana mauwa yenu🎉🎉🎉
sikuhizi wake weza uendeana kwa wachawi.yangu ananiedea kwa wagaga ju ya wivu siamini vile munapendana nyinyi.allah alani wake kama hawa wanae ronga mke mweza nina mulaani.sanaju sijawahi kumuendea ama kumithulumu Allah ampinge kiboko na isithuru watoto wake imuthuru mwenyewe laanatula aleh
Assalam walykum warahmatullah taallah wabarakatu hongereni wote mlo perform katika hii tamtilia lkn nakupe hongera sana middle wife umacheza part zote vzr sana dadaa mashallah Allah bless you all. sote tuseme Amin ya Rabb

@@BinMahsenMajibu ya kiburi
Uko sahihi kabisa Allah akulipe kheri
@amisafaraji5796 Amin
Mashallah tabarakallah hongeren sna ndugu zang 🎉🎉 yani nmejifunza mengi mno kuptia movie hii, Allah awajalie kila la kher mzidi kitupea mafunzo aina mbal mbal yarabbal aalamiiin 🤲🤲🤲🙏🙏 nawapenda kw ajili ya mola wetu mlezi❤❤❤💕💞 byeee 👋👋👋👋🎉🎉
Mm siez ukewenza Wallah Mungu unanijua🤲niachie Tu huyu awe Wangu pekeangu na tujaalie ndoa
Mee too😂
😅😅😂😂😂
Mimi nikikumbuka moyo waenda mbiyo Wallah mimi nitakuja kuachika
Nimependa
Wanavyoishi
Subhanallah dunia inakwisha mama mkwe wahivi allah atuepushe nao sisi ambao bado hatujaolewa
Mama pokea hzo ❤❤❤❤❤❤❤nimekupenda mdigo kutoka mombasa kenyaa😂
Kuphayaphaya makopa tagaendwa mbeyu,santa mdigo mwenzngu ❤
😂😂😂😂ameniwahi pia, tujivunie mie najivunia kuwa mdigo wa kenya 🇰🇪 😂
Mhhhhh hiii kweli move 😂 atakama upendo waukewenza sjawah ona kamahuu walakuhadithiwa😂mhhh haya 😊 nyie kuwez
😅😅😅km umepnda mganga na mwanafunzi gonga like apa😂😂😂
Huy mke mmoja linapenda kudeka hlf mvivu
Jaman mama mkwe kama huyu tunamfanyeje ???
Safi sana umemnyoosha bibi mdogo😂😂😂
Eeeh mashallah .. uwadilifu muwe nao waume ..kila kitu kitakuwa sawa. Na ss wanaadamu wanawake tuweni nafsi kinai ..tukimuogopa Allah hakuna kitakacho haribika tuweni wachaji mungu sana ..mashallah .kheri InshaAllah
Zinaa tu Haina mafundisho Kwa watoto
Nasi hatukuweka kwa ajili ya mtoto
Mafundisho yapo tena makubwa sana sema pia kuna changamoto kidogo ya hiyo mikisi pamoja na kukumbatiana
😂😂😂😂😂 mama kiboka kwa fitina hhhha sijapenda
Mashallah movie inamafunzo yaan mke mdogo wakati kibogo 😅 mama sikwakuapa kule du ila kaz nzur mnajua .
Sina shida na wake wenzangu ila kwa hivi hapana uyo rasuli tu hakuwachanganya hivi 😊
Mama mkwe huyu jamani ni moto wa kuotea bali 😂😂😂
Mama mkwe kiboko 😅😅😅😅ila nimempenda bi wapili❤❤❤❤
ALLAH Atusamehe mmh mtihn sana mwisho ushafika tuombe hatim njema jmn dunia tunaipenda lkn tukimbuke akhera yetu kwanza maisha yamilele dunia sikitu tujiandae hii movi siuo kbc ALLAH anisamehe nimeiyan galia kidogo ASTAKAFIRU
Pole inshallaha nakuombea kwa allah uache tabia ya kushinda youtube kuangalia filam
Huwo ni wivu tuwa wache dume amepedwa na wake zake jamani, mashallah
Mashallah mungu aongoze kila alien na mkemweza vizuri sana
Allahu a'alam
Mmmh hii ngumu kumeza yataka moyo kama kweli yapo haya mambo basi mashaallah
Santaaa❤❤❤uke mwenzaaa😂😂😂😂😂😂😂
Wake wenza hawa wanapatana mpaka raha ma'ashallah.
Ajikut napata raha sana wallah daaah maashaallah maashaallah kaz nzur san maashaallah maashaallah
😂😂Hii ni movie mimi siwez iyo chai ingemuishia mwilini
Hakuna uke wenza wa hivo 😂😂maigizo tu haya famchezo na kushare asali 😁
😂😂😂😂
Upo my
Hakuna kweli 😂
😂😂😂😂nataka ila si kwa mavyaa huyo🤔🙆😄
Upo jmn mi nipo tayar kumpokea mke mwenzangu 😊😊❤❤
Yani hi movie nikiona kila nasikia hasira mpaka basi yani siwezi kbxxx
Kwakweli haito tokea tushe mume kisha tucheke sokweli 🙌
Mke wa pili mm nampenda bureee ❤❤hakuzubaa
Nmeipenda hii movie mama mbaya kaharibu ndoa ya mwanae na moyo wake pia
😂😂😂😂😂😂😂nyie wake wenza mnipe hizo roho zene🤣🤣🏃🏃🏃,,mana duh 😂🙄
😂😂😂uke wenza huu raha jmn😅😅😅nyie ila siuwezi
😂,😂😂😂hata waganga wanakataa mimba wanaume ni nyoko
Mie nmemkubali hyu mke mdogo anajistiri uzur mwnyw ila bimkubw mashauzi mengi anajisahau kma c halal yke uyo mum au wke kweli
Nilikuwa na hamu nayo❤❤🎉🎉
Nyie mnauhakika kuwa hawa ni watu jamani 😂😂😂, mm na mdg wangu tulikuwa na wivu kwa baba vipiii? Kuhusu mapenziii ya uke wenza 😂😂😂 kazi nzuriii sana mauwa yenu🎉🎉🎉
😂😂😂😂
Mke mdogo awekew ulinzi❤😂😂
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤pokea hzoo mke wa 2 😂😂😂😂 wajua kumtishaa mke w 3😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Mashallah mpk nipenda ntk mke mwenza bc alie n mume ntakua km iviii😂❤
Mbn tena aliye na mume😂😂mi nadhani wataka mwnzio 😂😂
😂😂😂😂@@MwanamisiJeffa
Natamani mathna yangu inge kuwa hivi ila nimoto unawaka ila mimi namuomba sana mungu anipe subra
😂😂😂😂
Inshaala
Allahma ameen, 🙏
Uyu mama anajua kuigiza dakika mbili kashamruka mtu😅😅
Yaan hawa eti shughuli ilikuwa pambe.😂😂😂
😂😂😂
Mwanaume ananyenyekewa km mungu nyie wanawake mmezd
Bujra hasione hii😂 tutapat taabu uko tiktok 😂😂😂❤❤❤
😂😂😂😂😂
sikuhizi wake weza uendeana kwa wachawi.yangu ananiedea kwa wagaga ju ya wivu siamini vile munapendana nyinyi.allah alani wake kama hawa wanae ronga mke mweza nina mulaani.sanaju sijawahi kumuendea ama kumithulumu Allah ampinge kiboko na isithuru watoto wake imuthuru mwenyewe laanatula aleh
😂😂😂😂😂😂😂😂Sasa mganga tumepata.
Ukewenza ukiwa hv raha sana
Wadada Hawa wamejaaliwa na mwenyez Mungu, hongera zao Sana Kwakweli
Masha Allah Masha Allah Tabbarak Rahman 🤲❤❤❤
Unafiki huu ungekuwa kweli wala msingependana yangekua vibwangatu
Kweli ila ni movie kumbuka hilo 😮
Kwakweli ivi mpaka Leo inawezakan kweli😢😢😢
Mamkwe ni IBILISI WA MGUU MMOJA😂😂😂😂😂
Mama mkwe subhanallah anaharibu ndoa
SubhaAllah Allahu Akbar. Mama mkwe noma. SubhaAllah 😮
Duuuh mama mkweee na viapo vyote daaah
Mama mbaya wewe kweli nyie wa mama wakwe Mungu anawaona
Mama kiburunge huyo kaja kuaribu furaha za watu
Mganga hatari 😂😂😂
🤣🤣🤣Mganga ety anampigia jini wake nimehisi niyule mke wamtu
Mung niepush na mam mkwe mnafiki
Kazi nzuri jamaa nimeangalia talatibu sana ila movie haichoshi aisee
Leila jmn kumbe na wewe upoo michambo 😂😂😂😂
Laila nakupenda sana❤
😂😂wake wenza wange pendana hivyo yaan kila mwana mke peponi ❤
Pepo
Mbona haifiki
😂😂😂😂❤
Kabisa😂
Pepon vo
Mama mkwe ni mtihani
. . . Hahaha😅mama mkwe kanichekesha
Wp kelele kwa team 🎉uke wenza part of laif 😅😂😅
Mhhh Si kwa wake zangu
Nanyie wanganga wa hivi mtakufa vibaya
Assalam walykum warahmatullah taallah wabarakatu hongereni wote mlo perform katika hii tamtilia lkn nakupe hongera sana middle wife umacheza part zote vzr sana dadaa mashallah Allah bless you all. sote tuseme Amin ya Rabb
Amin yarab
Eeee weee mama muogope mungu.
Mbona nakupanga ukojoe wanya😮😮😮😮
Mamamkwe ni fedhuli😢
Jamani dhambi izoooò
Yaani kama mdoll jaman mapenzi ww😂😂😂😂
Jaman wakwe mpunguze gubu,,mstupime Iman zetu
Nimepend xaan mna na me nina ukewez tunapendan hvi hvi jpo tuko mbl
Mh
Hiyo movie 😅😅 so kwa wanawake wasikuhizi
Muvi nzuri sana
Kari nzuri sana barikiweni zaidi ❤
Huu sio ukweli wake wenza waishi hivo zii
Yan Wallah kama kweli wanawk wankuw mfano wa hiv mathna Raha San tungeowa wawili kila mwanadamu Allahummah Amiin Inshallah
Jichanganye uoe
😂😂😂😂 ajichanganye @@ngusakalima9899
Hawa niwaong wala
Jichaganye tu😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂@@ngusakalima9899
Ona mama mbaya anaivuruga ndoa ya watoto wake jamani , kama wewe ni mama yangu nakufukuza kwangu mara moja.
Very educative, love it🎉🎉🎉
Hapo kwa wenza ni kazi
Huyu mama atakua ni mbondei kachanganya na udigo💔💔💔
Hacha umbea😢
Huyu bibi hajanipata mimi ningeshampa sumu zamani sitaki ujinga
Mmmmh mama mkwe taireeeee loooh.
Aaa huu mchezo tu soo ukewenza
Maashallah mpaka natamani niolewe mke wa pilly kazi nzuri sana
😂😂😂😂 Kwann usiwe wa mwanzo alaf akaja wa pili
😅😅😅
Unatamani Nini? Enheee haya
Husiombe bibiye iyo ni movie tuulize siye😢
@@PrettyNoura-p5p hajui yaliyoko ndan 😥 mwache akapambane na Hali yake
Uwoni uwongo mutup
Umeona yaan ten uwong
Maasha Allah Maasha Allah❤❤❤❤❤
Huyu mama Mungu anakuona
Uyu wa tatu ni kubwa kuliko kweli aaaa
😂😂sura mbovu na moyo pia mbovu 🤣🤣,huyu ni kivurugo tuh 🤣
Mashalla kazi safi❤
Da namimi mniombee dua nina Mathna,,nataman,niweivo hungeren,san
Sbuhana llah, mamkwe cjapenda kabsa ,matendo Yako watufundisha. Nn wanao
Jamani wangekuwa wanaishi hivi siraha
Cwez mazoea na mke mwenza mke mwenza adui tu
Mama mkweeee mkund* kabisaaaa
😮😂