PART 2: HILI ni BALAA RC MAKONDA AMUWASHIA MKURUGENZI -''SIPOTEZI MUDA MIMI Kwa HAYA MADUDU..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 223

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 3 місяці тому +22

    Nimekuangalia Mkuu Makonda karibu mara 20 sichoki kukuangalia Kijana mwenzangu tulio zaliwa miaka ya 1982 seemu yoyote kama umepewa Majukumu ya kulisaidia nchi fanya kama Makonda safi kabisa

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 3 місяці тому +18

    Asante Mh. MAKONDA kwa kumsaidia Rais wetu mpendwa Mama Samia na kutetea haki za Watanzania wanyonge na kusimamia haki za wanyonge. Mwenyezi Mungu akubariki sana akupe maisha marefu.

  • @HanziKalitus-df3wn
    @HanziKalitus-df3wn 3 місяці тому +39

    Huyu jamaa anaakili sana, sema mda ukifika tutamuelewa tu, he is very talented man, the thinking capability is very higher, hongera wakwetu, haiwezi kupita siku sijakufatilia

    • @aishahemedi8452
      @aishahemedi8452 3 місяці тому +2

      He has all the qualities of a true leader

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 місяці тому +11

    Mh Mkuu wa Mkoa-Arusha tunaomba ktk shuguhuli za kutetea haki siku moja basi nendaga magerezani ukakutane na wafungwa na kesi zao kiongozi wangu. Asante

  • @beatricekatunzi3721
    @beatricekatunzi3721 3 місяці тому +22

    Hongera Mh Ta Makonda..Mungu zaidi kukuinua..Damu ya Yesu ikufunike

  • @frednyangwechi774
    @frednyangwechi774 3 місяці тому +40

    Rc uko vizuri mno naona huyu ni Magu kwa njia nyingine

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 2 місяці тому +1

      Magu amekufa mwili ila fikra zake zitaendelezwa.

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 3 місяці тому +42

    Hzi clip nimezirudia zaid ya mara 3 sichoki kumsikiliza

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 3 місяці тому +33

    Nipo Zanzibar ila kila nikingia ktk UA-cam nataman sana nimuone makonda anaongea kitu ni role model wangu

  • @user-gz8yw6dc1r
    @user-gz8yw6dc1r 3 місяці тому +10

    Siku hz namfatilia makonda kuliko bunge. Baba ana hekima huyu❤❤❤

  • @giftluyana1390
    @giftluyana1390 3 місяці тому +21

    Mungu skubariki. Na. Kukulinda. Paul. Makonda

  • @joycemwango943
    @joycemwango943 3 місяці тому +11

    I am a Kenyan,,,lkn hongera Kwa kusikiliza kero za wanyonge 🙏

  • @user-rt5fb8kw9b
    @user-rt5fb8kw9b 3 місяці тому +14

    Mhe makonda hongera saana, hakuna ubishi kuwa uongozi unajua, mkurugenzi amekosea kwa km nyingi saaana, amekosa ile professionalism, hawezezekani kabisa mkurugenzi kuita vyombo vya habari na kutoa siri za mteja( mfanyabiashara) amekosa KYC-Know Your Customer, mfanyabiashara ana washindani wake, ana wadau wengine anafanya nao biashara, hakuna ubishi mkurugezi alikuwa na lengo la kumchafua mfanyabiashara ambaye ni mlipa kodi! Pia alishindwa kujua anapoongea anaongea kwa niaba ya ofisi na siye yeye! Very unethical kwa mkurugenzi kumchafua mfanyabiashara bila evidence!!

  • @GodTimbaland
    @GodTimbaland 3 місяці тому +14

    Mwamba baba keagani. Mungu akupe cheo cha uraisi mwaka 2030

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 3 місяці тому +7

    Daah huyu MAKONDA naona Tanzania itafikia mahali tutafanya maandamano tukiomba awe RAISI 😂😂😂

  • @muzzoonlinetv7446
    @muzzoonlinetv7446 3 місяці тому +26

    Kazi nzuri Makonda tunahitaji wakuu wamikoa kama hawa angalau 10 tutasogea mbele

    • @abdull_hafidh
      @abdull_hafidh 3 місяці тому +2

      Wakuu wa mikoa wengine wapo wapo tu kimihemko

  • @hezronsanga5197
    @hezronsanga5197 3 місяці тому +11

    Mungu akubariki sana Makonda

  • @tanzaniantraveller
    @tanzaniantraveller 3 місяці тому +5

    Mr Paul ana ujasiri, hekima na busara ya Hali ya juu sana, pia ana utu, akili na utambuzi wa haraka sana kiasi kwamba hata akikosea unajuwa ni bahati mbaya.
    Namuamini sana na kupitia yeye nchi itafika mbali sana.
    Ma RC wengine, igeni mfano wa huyu mtu.

  • @PaulinaNyanzalashija
    @PaulinaNyanzalashija 3 місяці тому +3

    Mhe Makonda mwanangu upo saaafi sanasana Mungu atakugania na damu ya yesu itakufunika

  • @abdallahmmary8591
    @abdallahmmary8591 3 місяці тому +4

    Makonda nadhani unachikiwa kwakuwa nmkweli na ukweli ni ibada natumaini kwakua upo sahihi kwa kutojiingiza kwenye
    Kwenye mitego ya rushwa ni utakuwambali mno mashaalah

  • @silasjonathan1952
    @silasjonathan1952 3 місяці тому +8

    Hili naungana na wewe 100% wakuu wote wakuu wengine wachukue mfano kwako

  • @marugumsira4695
    @marugumsira4695 3 місяці тому +12

    Geniuses Makonda!!!!!

  • @majaliwaslayomajaliwaslayo
    @majaliwaslayomajaliwaslayo 3 місяці тому +8

    Hawa wakuu wa mkoa wengeni mlio baki igeni kwa makonda anacho kifanya arusha makonda kila akipita sehemu anaacha pengo na pengo lake halisibiki na kitu chochote 🤝

  • @user-eh5fw5gj4c
    @user-eh5fw5gj4c 3 місяці тому +8

    Bora kumsikiliza Makonda kuliko bunge

  • @shekinahrwabyo8150
    @shekinahrwabyo8150 3 місяці тому +1

    God bless you Mr Makonda. Imenifundisha kusikiliza Kwanza...ndipo utoe majibu

  • @ernestmbago848
    @ernestmbago848 Місяць тому

    Kiukweli mh. Makonda mungu akubariki sana kwa kuitetea tanzania hii inakuletea ubaya kwa baadhi ya viongozi ambao sio waminifu

  • @mansulkassim9509
    @mansulkassim9509 3 місяці тому +19

    KIONGOZI WANGU BORA ZAIDI TANZANIA
    nakuomba uwe mkuu wa mkoa wa MOROGORO

  • @sss3s867
    @sss3s867 3 місяці тому +5

    yaani makonda ukasomee sheria zaidi ili hao watu wako wasijewakakuroga wakakuingiza kwenye shimo. kwa sababubwashafanya madudu ya hovyo na waanaangalia njia ya wao kupona. wataennda mahakamani

  • @totonata5384
    @totonata5384 3 місяці тому +17

    Wahasibu wa tanesco nao waizi sana. Wanajenga majumba kwa pesa za wananchi😢😢

    • @deniskaguo4698
      @deniskaguo4698 3 місяці тому +1

      Ahhaha broo cc tunakopa tu usiumie ukituna tunaishi kwenye yumba kali tunamadeni balaaa

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 місяці тому

      ​@@deniskaguo4698ukute unajimwambafai hapa kumbe kapuku balaa..mhasibu hawezi jitapa hivyo

    • @sss3s867
      @sss3s867 3 місяці тому

      Aiseebwee acha tu. mtejabanatakabumeme anaambiwa atafute mkandarasibwa nje. yaani unapitishwq chobingo ili gharama zipande wale nje kwa nje

    • @totonata5384
      @totonata5384 3 місяці тому

      @@deniskaguo4698 Aaah wapi? Matumizi makubwa mshahara mdogo. Natamani mawaziri wote wangekua kama Dr Slaa na Makonda

    • @abdulymaeda2697
      @abdulymaeda2697 3 місяці тому

      Kaka store kipa tanesco wao pia wanapiga mbya wanashusha mijengo 2​@@deniskaguo4698

  • @mpanderashidi2078
    @mpanderashidi2078 3 місяці тому +5

    Pga Kaz kiongoz nakuona Cku moja ukiwa rais wa Nchi

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 3 місяці тому +3

    Kuna mda ata unataman. Makonda afanye kazi ata weeked❤😂Mungu akulinde je miko mingine ikoje, iyo sura ya mkurungez tu kama mla watu haya mambo ndo vile unakuta mfanya biashara ameuliwa masikin au katupwa mtoni kumbe mambo ndo hayo

  • @IbrahimSandagila
    @IbrahimSandagila 3 місяці тому +1

    We want that kind of leadership ❤❤

  • @hbdina
    @hbdina 3 місяці тому +5

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Tanzania tuna watu wenye vichwa vibovu utashangaa Halmashauri nyingine zina madudu ya aina gani!!!

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 3 місяці тому +13

    Tukibagiliwa kuwa sisi weusi hatuna akili tunaandamana .kumbe kuna kenge wanatuponza .hivi hiz halmashauri mmerogwa na nani

    • @geraldleger5793
      @geraldleger5793 3 місяці тому

      Hawajalogwa , ni wezi tu kama wzi wengine.

  • @user-pd4wr7ls5r
    @user-pd4wr7ls5r 3 місяці тому +5

    U kijana sana Makonda natamani uje kuwa Raisi muda ukifika. Unawatetea wanyonge.Hongera baba.

    • @TM-zs3rm
      @TM-zs3rm 3 місяці тому

      Hawezi kuwa Raisi sababu uongozi wake hauna mipaka na haifuati katiba.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 місяці тому +1

    TUNAKUFUNIKA KWA DAMU YA YESU. NDIMI ZA MOTOZA ROHO MTAJATIFU ZIKUZUNGUKE BAYA LISIKUPATE KABISA.

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 3 місяці тому +2

    Makonda nimekuzaa mie weye unapenda haki. Mungu akulinde na akuhifadhi katika haki.

  • @furahinimanya7700
    @furahinimanya7700 3 місяці тому

    From Arusha!! Mzaliwa the real face, the real mind!! And you talking all your mind!!!! Do I go on

  • @NiyongabireEgide-h4g
    @NiyongabireEgide-h4g 2 місяці тому

    I'm not from Tanzania but I'm very proud of this leader 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 i wish this guy he would be a president not only tanzania i hope whole africa we will enjoy his present 🎉🎉🎉🎉

  • @josephmagori4612
    @josephmagori4612 3 місяці тому +6

    Huyu mkurugenzi aliwahi kulaumiwa akiwa Serengeti Kama mkurugenzi ila akabebwa na rais magufuri Lisa aliyemshitaki alikuwa mbunge wa chadema marwa ryoba na alizomewa na ccm Sasa leo maneno ya marwa ryoba yanaonekana Leo kuwa huyo ni mpigaji mzuri

    • @Meryiii
      @Meryiii 3 місяці тому

      Tena alimtaja kwa Herufi kubwa.. TUNAMKURUGENZI MWIIIZIII !!

  • @jokhamohammed976
    @jokhamohammed976 3 місяці тому

    Hongera sanaaa mh makonda M/mungu akurinde Kila atua unayo piga🤲

  • @dengeman4814
    @dengeman4814 3 місяці тому +7

    Panapo uhai namtabilia huyu makonda kuwa rais wa nchi hii

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 місяці тому +4

    MAKONDA MTU WA MAANA KABISA❤❤❤❤❤❤😂❤❤

  • @jeremiahmollel5583
    @jeremiahmollel5583 3 місяці тому +3

    Hongera sana mkuu

  • @mustapherpandu6475
    @mustapherpandu6475 2 місяці тому

    Tokea nianze kufuatilia kazi anazofanya makonda kwenye mikutano yake nimetokea kuwa mfuatiliaji sana kiasi kwamba ss hiv naijua vizur sana serikal kuanzia chini mpaka juu jamaa yupo vizur sana anaijua kazi yake ..big up

  • @stanslauschacha2833
    @stanslauschacha2833 3 місяці тому +1

    Ni bahati mbaya kwamba, mfumo wa kutunuku watu vyeo vya heshima kama vile Doctorate umekaa kisiasa zaidi kuliko uhalisia.
    Hakika Makonda angekuwa Rais angekuwa ameishatunukiwa hicho cheo cha heshima; ila kwa sababu ni Mkuu wa Mkoa hakuna anayeweza kuona umuhimu wake. Ila kiuhalisia, bila kumng'unya maneno, Makonda anastahili kutambulika na kutunukiwa cheo cha juu cha heshima.
    Mb zangu zinaisha kwa kuangalia Utendaji kazi wa Makonda, na sichoki kumfuatilia. Hakika kama hili Taifa lingepata watendaji kama hawa, umaskini usingekuwepo; uonevu usingekuwepo!
    Mungu aendelee kukutunza, wewe ni mfano wa kuigwa!

  • @shadyaomary
    @shadyaomary 3 місяці тому +2

    Makonda mungu akulinde

  • @HappyAsajile
    @HappyAsajile 3 місяці тому +4

    Kila siku naamka naogopa usije ukatenguliea kwa unachokifanya, nakuombea kwakwel mung akueke arush ata miak mowil tu

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 3 місяці тому

      Mnae huyo mpaka uchaguzi upite.Bila shaka baada ya hapo atakuwa wizarani.

  • @AnnaAntony-k5p
    @AnnaAntony-k5p 2 місяці тому

    Kwa mara yangu ya kwanza nmekuwa nafuatitilia daaah.MUNGU AKUBARIK MUHESHIMIWA MAKONDA

  • @mohamedkhalil9494
    @mohamedkhalil9494 3 місяці тому +4

    When the hunter become hunted 😅😅

  • @lucasalbertomseti1578
    @lucasalbertomseti1578 3 місяці тому +4

    Huyu jamaa kumpa mkoa tu ni matumizi mabaya ya akili kubwa huyu mwamba alitakiwa kuwa level ya waziri akatatue changamoto za watanzania

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 місяці тому +4

    Kuna watu wengne hawana hata chembe ya uongozi kama unahitaji ni nini maana ya kiongozi difinition yake ni Paul christian makonda

  • @isaacktweve3773
    @isaacktweve3773 3 місяці тому +5

    Hayo mapete aliyovaa Mkurugenzi huenda ndo yanamcontrol.

  • @petrobukerebe215
    @petrobukerebe215 3 місяці тому

    Huyu ndo mkuu wa mkoa ninaemfahamu sasa mimi, wow❤❤❤

  • @marcondokeji8982
    @marcondokeji8982 3 місяці тому

    Ubarikiwe Sana Mkuu wa mkoa wanadamu wasipokupenda especially wale wanyanyasaji, wema na Mungu mpenda haki atakuvisha taji la utukufu wake.

  • @riazshaikh8577
    @riazshaikh8577 3 місяці тому +3

    Mwaraabu mbona kajishika kichwa, kama vile mama yangu kazi hamna, 😂yumo nini?

  • @hillshipping5117
    @hillshipping5117 3 місяці тому

    MashaAllah, kaka uko vizuri mm nakupataje ?nina jambo langu tumedhulumiwa mpaka leo tuko maskini na mkwe wangu mhhh mtihani wallah

  • @SaadaZubery
    @SaadaZubery 3 місяці тому

    Mama samia mungu akulinde kwa ku leta makondo tena kwenye system nadhani wananchi wanatamaviongozi wa namna hii

  • @alibilashaka3003
    @alibilashaka3003 3 місяці тому +5

    Mm Ni mkenya but napenda uongozi wa makonda ama kweli amezaliwa Kua kiongozi

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 3 місяці тому +9

    Makonda ni mtu na nusu

  • @sr.elizabethmbuligwe5540
    @sr.elizabethmbuligwe5540 3 місяці тому +1

    Babaangu hongera kwa kazii kubwa naomba namba yako baba ninashida

  • @josephgnzunda5631
    @josephgnzunda5631 3 місяці тому

    Uko vizuri tunakuombea from mbeya

  • @elias.e.urassa
    @elias.e.urassa 3 місяці тому +2

    Tz kuna watu wanachekesha,Sana hasa wakurugenzi sector nyingi sana.
    Yaani ni Sawa umtume mtu Osha vyombo alfu akapike =kuongeza matumizi ya vyombo vichafu aliyekutuma kutatuma aje kutowa matatizo yako na aliyokutuma.

  • @gwakisamwakambulwe2491
    @gwakisamwakambulwe2491 3 місяці тому +3

    Higher thinking capacity man.........

  • @nurdinmuro
    @nurdinmuro 2 місяці тому

    Mkuu wa mkoa safi sana nakutamani ungekuja Kilmanjaro kwa mwaka mmoja

  • @user-bn9el8yv8o
    @user-bn9el8yv8o 3 місяці тому

    bro makonda nakuombea kwake m/mungu akupe afya njema pamoja na familia yako.ili uwe katika utulivu na busara kumkwamua anae nyanyasika na hawa viongozi wanopenda maslahi yao nakujisahau yakwamba wao ni watumishi wa serekali na sio binafsi yao wawajibishe ipasavyo bila kupepesa macho wakazie sana kwa tabia zao chafu.mungu akupe uwezo zaidi kulitumikia taifa letu la Tanzania.kongole sana bro makonda.

  • @deniskaguo4698
    @deniskaguo4698 3 місяці тому +5

    Raisi wng wa badae

  • @fulloflife7
    @fulloflife7 3 місяці тому

    RC Makonda 👍that is called Maturity.

  • @benardpeter3562
    @benardpeter3562 3 місяці тому

    Hongera sana Mkuu wa Mkoa Mungu akulinde

  • @rosetreffert4179
    @rosetreffert4179 3 місяці тому +1

    Very Talent makonda ❤❤❤❤

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 3 місяці тому +1

    UNGEKUWA NAIBU PM UNGELISAIDIA SANA TAIFA.

  • @LusajoEduward
    @LusajoEduward Місяць тому

    Munguwamajeshi yupo

  • @MtessaAlly-rd4hf
    @MtessaAlly-rd4hf 3 місяці тому

    Big up sana mh makonda.. Baraka nyingi sana kwako

  • @paschalmatinde321
    @paschalmatinde321 3 місяці тому +1

    Yaan ingeundwa team nyingine kufanya hzi chunguzi, maana hzi takukuru pia ni watu wa system

  • @SaimonKisegenya
    @SaimonKisegenya 3 місяці тому

    Mh Makonda unaweza Mungu akuongoze

  • @agnesmogere413
    @agnesmogere413 3 місяці тому

    Siku ya nwizi ni arobaini,mungu akulinde sana kiongozi hongera sana role model kwa viongozi wote .

  • @daniellinus971
    @daniellinus971 3 місяці тому +2

    Well done

  • @hiramnjeru6457
    @hiramnjeru6457 3 місяці тому

    Tumekukubali %%

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 3 місяці тому +4

    Mwili unasisimka makonda juu juu sana

  • @josephineokama2200
    @josephineokama2200 3 місяці тому +4

    huyu mgurugenz alishachongewaga kwa hayati magufuli kwamba anaiba pesa za halmashauri likalia magufuli akamsamehe na akamtetea sasa kiko wapi

    • @meryamabdullah2081
      @meryamabdullah2081 3 місяці тому

      Na hakujirekebisha akaendekeza wizi ss leo kimemramba

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 місяці тому

      Halafu mbona kama mchawi?! MUNGU ANISAMEHE kusema hivyo,hiyo sura yake na macho,naona mmmm

    • @IbrahimuLikolinji-ly2tp
      @IbrahimuLikolinji-ly2tp 3 місяці тому

      Alafu nilisahau kama ndo huyu kuuuumbeeeeeeeeee duh! Umenikumbusha

    • @visualservices8897
      @visualservices8897 3 місяці тому

      Nishamkumbuka akasema kapata presha akiwa kazini

  • @MtegekiKaijage
    @MtegekiKaijage 3 місяці тому +1

    Mkurugenzi kama huyu ndo anaongoza almashauri kama hii jamani. Mtu ambaye hawezi kureason hata kwenye issue serious inayoleta mapato ya kuendesha nchi. Uwa nasema utaratibu wa kuwapata wakuu wa wilaya, wakurugenzi, makatibu tawala, na wakuu wa mikoa hapa nchini uangaliwe upya

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 3 місяці тому

    Ndiyooo mafisadi wote wakae nje 😢

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 3 місяці тому +3

    MUNGU akulinde sana Makonda, na nakuomba muambie mama amtimue huyu Mkurugenzi

  • @ahadibuge5246
    @ahadibuge5246 3 місяці тому +1

    Good Job RC.

  • @EdenAChoir
    @EdenAChoir 3 місяці тому +1

    mheshimiwa makonda system pia inahitaji watu waadilifu

  • @ConfusedClock-iw7zg
    @ConfusedClock-iw7zg 3 місяці тому

    Napoangalia taarifa zako unafanyakazi nzr makonda upo vizuri nawapongeza sana wana Arusha

  • @user-zz1sj6sp8z
    @user-zz1sj6sp8z 3 місяці тому

    Yani.makonda.nawaziri.silaah.mungu.awalinde.namafisadi

  • @emmilianlukaye3125
    @emmilianlukaye3125 3 місяці тому +2

    Makonda ni kioo cha wakuu wa mikoa wengine.
    Ni kiongozi aliyejipambanua

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 3 місяці тому +1

    Makonda hapo unaongea uongo mbona ulitaka kumtapeli GSM NYUMBA?

  • @mtahogarashid8488
    @mtahogarashid8488 3 місяці тому

    Aisee nikikucheki Mh.Makonda nikama Magu karudi kazini naiona sauti ya ukali kukemea madudu ya Nchi.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 місяці тому +1

    Mkurugenzi mwizi huyo hi nchi bwana daah😢😢

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 місяці тому +2

    Wise

  • @HagaisangaSanga
    @HagaisangaSanga 3 місяці тому +1

    Noma hapa kazi tuu

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 3 місяці тому +1

    Upo vzr baba kian

  • @marcoeliakimu2141
    @marcoeliakimu2141 3 місяці тому +4

    Kazi nzuri sana, viongozi kama hawa tuwapate Africa

  • @alexnyigo8864
    @alexnyigo8864 3 місяці тому

    Mungu akulindee makonda

  • @user-xf5vb5mc4t
    @user-xf5vb5mc4t 3 місяці тому

    Aksante Daniel wa kizazi cha sasa Bwana akufunike na utukifu wake

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 3 місяці тому +1

    Arusha mtazitolea rushwa sehemu yoyote yenye tundu

  • @samsonkingdom-xc8cg
    @samsonkingdom-xc8cg 3 місяці тому

    Natamani ungekua mkuu wa mkoa morogoro maana checkpoint ya mikumi ni shida

  • @feliciarfrancis2388
    @feliciarfrancis2388 3 місяці тому

    Chuma ( Paul Christian Makonda) Mungu akulinde

  • @EliaMsangi-mg1eq
    @EliaMsangi-mg1eq 3 місяці тому +1

    Kwenye kazi hakuna mzeze nyumba ni kwake ana taki wa majibu hela zinaenda wapi