Laiti ingekuwa hii dini haendi na wakati basi maisha yangekuwa magumu sana. Lkn Allah katurahisishia kutuachia wazi suala hilo. Lkn watu huchagua wanayitaka wao tu. Laiti tungekuwa wamoja waisilamu basi dunia nzima waisilamu tungefuata mwezi mmoja tu.
11:00 inamaana sheikh unataka kutuaminisha kuwa mahujaji wanasimama kisimamo cha arafa wanavyoamua wao wenyewe? Kuwa hawasimami siku ya 9 baada ya mwezi kuandama..!? Kwahiyo sisi tufate mwezi tisa kufunga na wao watasimama watakavyojua wao..!? Kwamba wanaweza kusimama hata mwezi 8 au mwezi 10? Subhanallah 😢😢 Mwenyezi atusamehe kwakweli 🙏🙏😭😭😭 Kwamba wenzetu kule wanaweza kusimama siku yoyote tuu na wakawa sahihi dah sheikh umeingiwa na nini?
Sheikh wenu Ibnu-uthaymii majibu yake yamesoma hapo live alipoulizwa, kufunga ni siku ya 9 kwa wasiokuwa hijja, na waliohija siku ya 9 yao kwa mujibu muandamo wao wa Saudia watasimama Arafa, sisi huku hatuna mafungamano nao maana mwezi hutokezea kupishana kwenye muandamo kutokana na maumbile ya mzunguko wa dunia
Hata iweje lakini bado kila mtu yuko huru kusikiliza na kupima kila kinachoelezwa na masheikh wetu wapendwa wa kila upande,tukumbuke jahazi letu ni moja AL-ISLAM.Hizi ni ikhtilafu tu .kuheshimiana na kupendana kubaki hata kama kila mtu atakuwa na mtazamo wake.waisamu sisi sote ni ndugu. Wabillahi ttawfiq.
Ukionekanwa kwa kiarabu إذا رؤي IDHAA RUIYA WATU WENGI MASHEKHE KWA KUTAKA KULAZIMISHA UKIONEKANA POPOTE WATU WAFUNGE HUKIMBILIA KUSEMA HAYO UNAYOTAKA WEWE LAKINI TAFSIRI SAHIHI NI ILE ALIYOSEMA MTUME .S.A.W.W إذا رأيتم الهلال فصوموا وإذا رأيتموه فأفطروا فإن حال بينكم وبينه سحاب فأكملوا العدة ثلاثين
mashallah,jambo moja umelisahau shekh,kuelezea nchi ambazo zipo sawa kwa masaa na saudia kama sisi na saudia tufanyeje? then umeilezea oman kua unaiamin zaid kutangaza mwez kuliko saudia,hivi ktk nchi 2 hizi ipi bora kuifuata?
Kwa uelewa wangu mdogo ni hivi:- Kwa vile mwezi ni mmoja duniani, na kufunga/kufungua huathiriwa na mwezi, na mwezi kuaandama kwake huathiriwa na wakati/time, basi maeneo(sio lazima iwe nchi) ambayo yanalingana masaa basi mwezi utaandama katika wakati sawa(unaweza kuuon au kuto kuuona).
Sheikh tunashukuru kwa mawaidha ila ktk nafasi kama hiyo ya kuongea mbele ya rais wetu, hukuwa na haja ya kuwasilisha jambo kama a'rafat ambalo wanazuoni wetu wame ikh'tilafiana ki maoni.. na umejaribu kuhubiri itikadi yako na ushabiki wako. Rais anataka kuwasilishiwa mambo yatakayoleta ustawi kwa jamii.. kama utekelezaji na ufanisi wa ibada ya zakaat kwa waislamu, ajira, elimu, afya, na miradi ya kimkakati ya kuendeleza uislamu.. muonyesheni rais mikakati yenu ya kusaidia uislamu na jamii.. ili aweze kutoa msaada wake kama kiongozi wetu.. m'mepelea sana kielimu ndiyo maana mnarumbana kila siku.
Maoni yako mazuri sana ila silazima aelezwe Hadharani bali ni uzuri mambo hayo kupata faragha nae wewe andika kisha mtafute shekh FARID atayafikisha kwa muheshimiwa INSHAALLAH
Sasa km tuko Sawa kwanini usisali nao iddi wao wakisimama kuswali muda uleule simama uswali usifuate wakati WA Tanzania na ukifungisha ndoa ya mwanao fuata tarehe za suudia Sawa baba
Sijaona hoja ya kutokufunga pamoja na mahujaji siku ya Arafa. Arafa ni moja tu ile ya makka. Hadithi ya mtume ishajitosheleza kuwa kufunga siku ya Arafa ni moja tu. Ispokuwa ufahamu wa hadithi wengine wanashindwa kuielewa.
Uko sahihi mashekhe huwarizisha mabwana zao na siyo Allah tumhofu Allah tusiwahofu hawa makafiri Anayehukumu kinyume na hukmu ya Allah huyo ni kafiri Almaida Aya 44
MASHEKHE zako huwaridhisha mabwana ZAO wanaowalipa riali kutoka suudiya ili KULETA FUTNA NA kuwafarikisha waislamu wabaguwane kwa misingi ya uzushi na bidaa za kiwahabi SADAQTA
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana *SIKU* Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama siku ya ‘Arafah." Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: *"SIKU* ya ‘Arafah, Anateremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni." Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya *SIKU* ya Arafah Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata" [Muslim] Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika *SIKU* ya Arafah”. [At-Tirmidhiy] Hadithi zinasema tufunge *SIKU* ya Arafah. Hapana hata hadithi moja inayosema tarehe tisa muandamo. Siku ya Arafah inapatikana Saudia mahala ambapo mahujaji husimama Arafah. Ndiyo maana siku ya pili Mahujaji wanachinja na sisi tunachinja. Hayo ndiyo mafungamano yetu.
Nimekuelewa sheikh Faridi unga ni muhimu lakini ilikuwa hainaaja yakueleza bcoz unaamini kuna itilafu nyingi sana ..kwa hichi unachoongea wachache ndio tunakufahamu lakini chunga unachokifikisha kwa ummah huenda kikagarimu sehemu kubwa ya maisha ya mtu sababu elewa bina damu tuko tofauti na uelewa na ufahamu wetu upo tafauti 🤔
Tunaheshimu mawazo yake sheikh wetu ila watabakia wachache sanna kwa zanzibar jmosi wengi wamefunga arafa ila kila mmoja abakie na msimamo wake allah atatulipa huko mbele ya hakki
Gharafa haina tatizo.Tatizo ni sisi tunapoikwepa hadith ya Mtume na kutetea madhheb zetu.Nampongeza Sheikh Mziwanda aliposubutu kutafsiri hadithi nnje ya madhheb zetu.
Miaka tisa iliyo pita tumekosa mambo manzuri daah masheikh wetu hawa wana vitu MashaaAllah
Mashaa Allah. Sheikh Allah akuhifadhi na akatukutanishe pamoja katika pepo ya firdaus pamoja na bwana mtume Muhammad S.A.W.
Masha allah Sheikh Allah azidi kutia nuru maisha yako na akulipe kheri dunia na aakherah. Tumekuelewa vizuri sana sheikh shukran sana
Umeelewa nini hapo
Allah akubariki sheikh
Mashallah Mashallah Allah Akuhifadhi na Akupe Afya njema daima uzidi kutuelimisha maneno mazito saddacta
mashallah,sheikh Farid. Allah akulipe kila la khery
Laiti ingekuwa hii dini haendi na wakati basi maisha yangekuwa magumu sana.
Lkn Allah katurahisishia kutuachia wazi suala hilo.
Lkn watu huchagua wanayitaka wao tu.
Laiti tungekuwa wamoja waisilamu basi dunia nzima waisilamu tungefuata mwezi mmoja tu.
Mungu ampe maisha marefu shekh wetu
mashaalah good wakumbush kwa akili ya Allah
Alihamdullilah shekh mungu akupe maisha marefu uzidi kutupa darasa na mafunzo ,,INSHA ALLAH🤲
Alhamdulillah umesema kweli Allah akupe umri mrefu wenye afya njema Ameen
Maa Shaa Allah, Allah akuhifadhi sana shekhe
Mashaallh nikombali .ilaumeeleweka.san.sana.umezungumza.kwa inswaafi kabisa kabisa.pepo yawemakaziyako
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah very good explanation
Alah akuhifadhi shekh
Maashallah umetoa ushahid wa kutosha.
Allah akulipe kwa kila jema shkh,shukran jaziila
Mashaallah shekh wetu tumekufaham
Kweli kawa shehe mpunga
Jee sheikh tofauti ya saudiarabia na Tanzania 🇹🇿 ni masaa mangapi
Wewe uliuona mwezi sangapi?
😂😂😂 Eti anatoa MFANO WA TANZANIA na LOS ANGELES
Baada ya Kusema Sisi tunapishana na MAKKAH MASAA MANGAPI
Sisi hatupishani hata sekunde
Eleweni acheni kukaza vichwa...Maelezo yamenyooka ila vichwa vyenu mnalazimisha ugumu.
@@AtwifMabrouk
Hujaelewa haya mambo , ni muonekano wa mwezi sio kuendana masaa ,
11:00 inamaana sheikh unataka kutuaminisha kuwa mahujaji wanasimama kisimamo cha arafa wanavyoamua wao wenyewe?
Kuwa hawasimami siku ya 9 baada ya mwezi kuandama..!?
Kwahiyo sisi tufate mwezi tisa kufunga na wao watasimama watakavyojua wao..!?
Kwamba wanaweza kusimama hata mwezi 8 au mwezi 10?
Subhanallah 😢😢
Mwenyezi atusamehe kwakweli 🙏🙏😭😭😭
Kwamba wenzetu kule wanaweza kusimama siku yoyote tuu na wakawa sahihi dah sheikh umeingiwa na nini?
Hivi umesema wewe hajasema yeye. Alichosema yeye ni siku ya 9 kulingana na mwandamo wao
Sikiliza tena mara tatu utafahamu INSHAALLAAH
Sheikh wenu Ibnu-uthaymii majibu yake yamesoma hapo live alipoulizwa, kufunga ni siku ya 9 kwa wasiokuwa hijja, na waliohija siku ya 9 yao kwa mujibu muandamo wao wa Saudia watasimama Arafa, sisi huku hatuna mafungamano nao maana mwezi hutokezea kupishana kwenye muandamo kutokana na maumbile ya mzunguko wa dunia
Kanunuliwa uyu
Good explanation Sheikh Farid
Wallah sheikh farid umeeleweka alhamdulillah
Mashallah Mwenyezi Mungu akuhifadhi
MASHALLWAH MUNGU AKULIPE KHERI KWA UFAFANUZI WAKO.
Shukran shekh ALLAAMA MUHYI DDYN....
Sheikh toka umetoka jela haupo sana kasome kwa Sheikh mselemu
Asome nini ??
Yuko sawa,nenda wewe kasome
Dah! Sw hongera shekh
Hadithi hii iko swahihi
❤❤❤❤❤❤❤
Mabrook sheikh huo ndio ukweli
shukran sheikh
Hadithi zpo waz hongeraa kwa kuzdi kutuelimisha
Sheikh Farid tupe hadithi aliesema Mtume (s.a.w) tufunge mwezi 9. Bali hadithi zipo nyingi zinazoonesha tufunge arafa kwa kitendo cha arafa.
Twayyib
Na hadithi gani ya Mtume inayosema tuwaunge mkono watu kwenye kisimamo?
Mashallah ila mm naona hebu sisi waislamu tuwacheni haya mambo ya kupingana sisi kwa sisi
mashaAllah
Sisi twafuata mtume na maswahaba wake hatufuati nyinyi sheikhe faridi yuko sawa
Mashallah waambie ni haramu kufunga siku ya Idd
Hata iweje lakini bado kila mtu yuko huru kusikiliza na kupima kila kinachoelezwa na masheikh wetu wapendwa wa kila upande,tukumbuke jahazi letu ni moja AL-ISLAM.Hizi ni ikhtilafu tu .kuheshimiana na kupendana kubaki hata kama kila mtu atakuwa na mtazamo wake.waisamu sisi sote ni ndugu.
Wabillahi ttawfiq.
Naam muislamu ndugu yake ni muislamu 🎉❤🎉كونوا إخوانا
Shekhe wenu mkubwa mnayemtegemea ni Ibnu-uthaymii na leo hapo maneno yake yameekwa uwanjani ni vile munabaki na misimamo tu lakini hoja hamuna tena
@@zuwenamussa-si6mdMasheikh wote ni wetu.Waislamu.tusigawane
Jamani watu wasome na wawe na heshima wanaposoma sio kusema ovyo kusipokuwa na msingi wotwote mtu mwenye elimu anabishana Kwa hoja si tofauti
Allah akulipe kila la kheri shekh
«2580» حَدَّثَنَا يَحْيَى بْنُ يَحْيَى وَيَحْيَى بْنُ أَيُّوبَ وَقُتَيْبَةُ وَابْنُ حُجْرٍ قَالَ يَحْيَى بْنُ يَحْيَى أَخْبَرَنَا وَقَالَ الآخَرُونَ حَدَّثَنَا إِسْمَاعِيلُ- وَهُوَ ابْنُ جَعْفَرٍ- عَنْ مُحَمَّدٍ- وَهُوَ ابْنُ أَبِي حَرْمَلَةَ- عَنْ كُرَيْبٍ أَنَّ أُمَّ الْفَضْلِ بِنْتَ الْحَارِثِ بَعَثَتْهُ إِلَى مُعَاوِيَةَ بِالشَّامِ قَالَ فَقَدِمْتُ الشَّامَ فَقَضَيْتُ حَاجَتَهَا وَاسْتُهِلَّ عَلَيَّ رَمَضَانُ وَأَنَا بِالشَّامِ فَرَأَيْتُ الْهِلاَلَ لَيْلَةَ الْجُمُعَةِ ثُمَّ قَدِمْتُ الْمَدِينَةَ فِي آخِرِ الشَّهْرِ فَسَأَلَنِي عَبْدُ اللَّهِ بْنُ عَبَّاسٍ- رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا- ثُمَّ ذَكَرَ الْهِلاَلَ فَقَالَ مَتَى رَأَيْتُمُ الْهِلاَلَ فَقُلْتُ رَأَيْنَاهُ لَيْلَةَ الْجُمُعَةِ. فَقَالَ أَنْتَ رَأَيْتَهُ فَقُلْتُ نَعَمْ وَرَآهُ النَّاسُ وَصَامُوا وَصَامَ مُعَاوِيَةُ. فَقَالَ لَكِنَّا رَأَيْنَاهُ لَيْلَةَ السَّبْتِ فَلاَ نَزَالُ نَصُومُ حَتَّى نُكْمِلَ ثَلاَثِينَ أَوْ نَرَاهُ. فَقُلْتُ أَوَلاَ تَكْتَفِي بِرُؤْيَةِ مُعَاوِيَةَ وَصِيَامِهِ فَقَالَ لاَ هَكَذَا أَمَرَنَا رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ.
وَشَكَّ يَحْيَى بْنُ يَحْيَى فِي نَكْتَفِي أَوْ تَكْتَفِي. Shamu na madina ni masaa mangapi
MashaAllah,
Ila kw hawa ambao wanapnga kwmba J'pili cyo mwez tna je huu mwez asa uku Tanzania umeonekan lni na watu wameanza lini kufunga ?
Masha Allah ya skh
Sk Farid,kwa maelezo hy Allah atakulipa,maelezo yk yameeleweka sn,kwa wenye akili na masikio,wanaosema umenunuliwa ni vikaragosi wasiokuwa na dira
Shekhe wa uamsho huyu akuna analojuwa nae Ni mtu wa bidaa 😅😅 mzushi Kama ww tuu
Kwanza masaa ya Tanzania na saudia ni tofauti?
saa tuko sawa illa kuchomoza JUWA na Mwezi tuko tafauti na MAZINGATIO YA SHERIA YAPO KATIKA MICHOMOZO NA SIO SAA
Sheikh faridi elewa vizuri ( sumuu liruuyatihi tafsiri ni kuonekana sio kuona, sasa popote uwonekano
TUMUOMBE ALLAH ATUPE UNDANI WA ELIMU YA DINI YETU.
Ukionekanwa kwa kiarabu
إذا رؤي
IDHAA RUIYA
WATU WENGI MASHEKHE KWA KUTAKA KULAZIMISHA UKIONEKANA POPOTE WATU WAFUNGE HUKIMBILIA KUSEMA HAYO UNAYOTAKA WEWE
LAKINI TAFSIRI SAHIHI NI ILE ALIYOSEMA MTUME .S.A.W.W
إذا رأيتم الهلال فصوموا وإذا رأيتموه فأفطروا فإن حال بينكم وبينه سحاب فأكملوا العدة ثلاثين
mashallah,jambo moja umelisahau shekh,kuelezea nchi ambazo zipo sawa kwa masaa na saudia kama sisi na saudia tufanyeje?
then umeilezea oman kua unaiamin zaid kutangaza mwez kuliko saudia,hivi ktk nchi 2 hizi ipi bora kuifuata?
Tatizo lao saudia wanatumia kalenda lkn masheikh wa saudia wameyatolea ufafanuzi haya masuala
Nenda kaishi saudia itakua umemaliza utata
safi kabisa, hakuna chenga wala kutafuna tafuna maneno, ibnuthaymii ndio shekhe lao lakini walishindwa kumfahamu kina bachu
Shekh kabadilika gafla anahitaji maombi
Yupo sahihi kabisa
Mashallh ❤❤
Kweli jela mtihani ukitoka na akili timamu Allah kakuongoza kinyume chake ukitoka na mbele yako unamuona rais si kwa kujipendekeza huko
Muogope mungu ww
Kwa uelewa wangu mdogo ni hivi:-
Kwa vile mwezi ni mmoja duniani, na kufunga/kufungua huathiriwa na mwezi, na mwezi kuaandama kwake huathiriwa na wakati/time, basi maeneo(sio lazima iwe nchi) ambayo yanalingana masaa basi mwezi utaandama katika wakati sawa(unaweza kuuon au kuto kuuona).
Mwaka huu jua lilipatwa marekani kuna sala inaitwa kusuf huku autukfanya kwa sabbu alijatokea tukio hilo
Mashaallah allah akujaalie kila la kheir
Fundi sana Sheikh Farid
Mashekh kuweni waadiliifu.angalieni mtume s.a.w.alifanyaje ktk ibada.inaonekana nyinyi umjaelewa.hakuna tarehe mbili duniani
اطال الله مع العافية بقائك شيخنا الفاضل فريد الهادي
Kwa hakika wenye elimu wamekufahamu vzuri sana sheikh ,,
Mh!
Hakuna kitu kabisa
Sheikh tunashukuru kwa mawaidha ila ktk nafasi kama hiyo ya kuongea mbele ya rais wetu, hukuwa na haja ya kuwasilisha jambo kama a'rafat ambalo wanazuoni wetu wame ikh'tilafiana ki maoni.. na umejaribu kuhubiri itikadi yako na ushabiki wako.
Rais anataka kuwasilishiwa mambo yatakayoleta ustawi kwa jamii.. kama utekelezaji na ufanisi wa ibada ya zakaat kwa waislamu, ajira, elimu, afya, na miradi ya kimkakati ya kuendeleza uislamu.. muonyesheni rais mikakati yenu ya kusaidia uislamu na jamii.. ili aweze kutoa msaada wake kama kiongozi wetu.. m'mepelea sana kielimu ndiyo maana mnarumbana kila siku.
Maoni yako mazuri sana ila silazima aelezwe Hadharani bali ni uzuri mambo hayo kupata faragha nae wewe andika kisha mtafute shekh FARID atayafikisha kwa muheshimiwa INSHAALLAH
HUO SI USHABIKI
HIYO NI DINI NA MAAMRISHO YA ALLAH NA MTUME WAKE
KWANI MTUME ALIWAAMBIA MASWAHABA ZAKE HAYO NA KUWAFUNDISHA HADHARANI
waislaam ndugu zangu
kama kuna mtu miongoni mwetu bado atahoji hili swala bas atakua mjinga
itoshe kuskia na kuzingatia ndio sawa
MANENO YA KWELI NA YANATAKIWA KUANDIKWA KWA WINO WA DHAHABU
Umekua sasa alhamdulilah
ARAFA yenu ya MWANAKWEREKWE Munatumia NGUVU NYINGI Kuitetea lakini UKWELI Umeshawabainikia Watu
Ahsant sheikh
Kwaio allaa kajalia arafa kila nchi au sehemu hushuka uko au Kwa kusudio hilo mbona mwatuchanganya kwaio hushuka kila siku nchi ilokua mwenz tisa
Amna sheikh hapo anababaika tu kwa sabb anamuona Raisi, Zanzibar na Saudia zimepishana siku nzima???
Sasa km tuko Sawa kwanini usisali nao iddi wao wakisimama kuswali muda uleule simama uswali usifuate wakati WA Tanzania na ukifungisha ndoa ya mwanao fuata tarehe za suudia Sawa baba
Allahumma fakkihnaa fii ddiin
amir faridi tushaanza kuwa na wasi wasi na wewe ao watu mtihani amir adhabu za mwenyezi mungu kali sana hazina mfano shauri yako duuu
Hakika tangu ametoka jela kawa tofauti sana kaufyata kawa tofauti na sheikh msellem ally
@@allymusira2153nyiny ukaidi umewavaa
Dahhhhhh anasema Allah
Watabeba madhambi yao na madhambi ya wale waliopotea
Sijaona hoja ya kutokufunga pamoja na mahujaji siku ya Arafa. Arafa ni moja tu ile ya makka.
Hadithi ya mtume ishajitosheleza kuwa kufunga siku ya Arafa ni moja tu.
Ispokuwa ufahamu wa hadithi wengine wanashindwa kuielewa.
ALLAHU AKBAR
Hili shekh ni jisufi
Huu utata unashangaza sana.
Kwani mwaka 2020 kulikua hakuna hajji sababu ya corona laki arafa tulifunga na iddi tukala
Hidja imekuwepo... Ungesema tu imekua idadi ya watu,kutoa watu wakigeni
Hija ilikuwepo acha kupotosha
Sheikh faridi kuwa muadilifu katika elimu aliyokupa Sllaahu
ukiishi miji isiyohukumiwa na qur an utaona vioja namatatizo Allah tuongoze
Uko sahihi mashekhe huwarizisha mabwana zao na siyo Allah tumhofu Allah tusiwahofu hawa makafiri Anayehukumu kinyume na hukmu ya Allah huyo ni kafiri Almaida Aya 44
MASHEKHE zako huwaridhisha mabwana ZAO wanaowalipa riali kutoka suudiya ili KULETA FUTNA NA kuwafarikisha waislamu wabaguwane kwa misingi ya uzushi na bidaa za kiwahabi SADAQTA
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: “Hapana *SIKU* Anayoacha Allaah kwa wingi huru waja kutokana na moto kama siku ya ‘Arafah."
Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: *"SIKU* ya ‘Arafah, Anateremka Allaah Tabaaraka wa Ta’ala katika mbingu ya dunia kisha Anawafakhiri watu wa ardhini kwa watu wa mbinguni."
Mtume Swallallaahu alayhi wasallam kasema: "Swaumu ya *SIKU* ya Arafah Inafuta madhambi ya mwaka uliopita na unaofuata" [Muslim]
Mtume sallallaahu alayhi wasallam kasema: “Dua bora kabisa ni dua katika *SIKU* ya Arafah”. [At-Tirmidhiy]
Hadithi zinasema tufunge *SIKU* ya Arafah.
Hapana hata hadithi moja inayosema tarehe tisa muandamo.
Siku ya Arafah inapatikana Saudia mahala ambapo mahujaji husimama Arafah.
Ndiyo maana siku ya pili Mahujaji wanachinja na sisi tunachinja.
Hayo ndiyo mafungamano yetu.
MUNGU ANASHUKA ....!!!???
Ni mekuelewa ndugu yangu
Kabla ya simu, tv kuwepo utajuaje siku ya arafa
@@mujilbtoq1827
Kwani huyo mufti wenu hatumii tv na redio kutangaza mwezi!?
Mashallah
Kwani siku Moja sheikh ina masaa mangapi?
Duh kafuri kwako mweshimiwa shekh kweli hebu tupeni tafsiri ya surat Almaida aya ya 44
kafungue tafsiri ya shekh Abdallah alfaarisiy
Au tafsiri ya IBNU kathiyr
nice
sisi tanzania na saudia tunatofautiana masaa mangapi ?????
saa tuko sawa illa kuchomoza JUWA na Mwezi tuko tafauti na MAZINGATIO YA SHERIA YAPO KATIKA MICHOMOZO NA SIO SAA
Mpuuzi kweli wewe sasa Tanzania na makka nimasaa mangapi Allah atawasulubu
saa tuko sawa illa kuchomoza JUWA na Mwezi tuko tafauti na MAZINGATIO YA SHERIA YAPO KATIKA MICHOMOZO NA SIO SAA
Nimekuelewa sheikh Faridi unga ni muhimu lakini ilikuwa hainaaja yakueleza bcoz unaamini kuna itilafu nyingi sana ..kwa hichi unachoongea wachache ndio tunakufahamu lakini chunga unachokifikisha kwa ummah huenda kikagarimu sehemu kubwa ya maisha ya mtu sababu elewa bina damu tuko tofauti na uelewa na ufahamu wetu upo tafauti 🤔
Tunaheshimu mawazo yake sheikh wetu ila watabakia wachache sanna kwa zanzibar jmosi wengi wamefunga arafa ila kila mmoja abakie na msimamo wake allah atatulipa huko mbele ya hakki
Umedanganya vibaleghe tu ndo watu wa kukurupuka watu wazima wote wanajielewa hawakurupuki
Hela babaa😂😂😂
Mmmh umeahidiwa kupewa ukuu wa mkoa tunajua
labda kaahidiwa baako au bibi yako au...!!!???
Mawahabi mujassima Hawa uelewa hawataki kuelewa Shekh
Huna unalolijua
Mtume kasema tufunge Siku ya arafa ambayo ni mwezi 9 hajasema tufunge siku ya kisimamo cha arafa mawahabi kuweni makini
Hiyo tarhe tisa ni ipi
Kwani hiyo arafa ni nini
Mh,Siku ya arafa ndo ilokusudiwa sio tarekh
Leo hapa Tanzania ni tarehe 16/06/2024 na saudia ni tarehe hiyo hiyo, na saa zetu zinafanana hadi dkk na sekunde, hapa shida ni saudia! Au siku?.
Sawa fungeni hiyo tisa yenu kama ndo maelekezo ya mtume.
sis tushasal eid ww funga leo
unataja nchi zenye kuzid masaha lkn tanzania yako auwitaji tulio fanana masaaaa
Shukran sana habeeb tumekuelewa vzur mfundishe na shekh msellem mas ala haya yamempiga chenga
Maelezo yako shekh ni sahihi ,nakini chunga hao watu kubadilika ni dakika nyingi
Faridiiiii na ikiwa hatujatofautiana matwilai itakuwaje?
Naaam sahihi
Hana tofauti na Kishki, wachumia matumbo hakuna lolote...
Kabisaa yaaani Hana lolote
Muogope mungu ww zana mbaya
Izosiku zanyuma skuzote ulikuahujui unajuwa leo semaukweli allah akupende
Unaushahidi juu ya Kauli zake za mwanzo akipinga hili au unasema tuu????
Huyu bwana saiv ni sheikh wa sm
Si tatizo kuweka diry katk simu wee sikila kama yana umuhim na wew pokea hayana umuhim yawache usianze kungalia kazu kofia kavaje kachukuwa nini hayatokusaidia
Unauhakika na ukisemacho!!!
Gharafa haina tatizo.Tatizo ni sisi tunapoikwepa hadith ya Mtume na kutetea madhheb zetu.Nampongeza Sheikh Mziwanda aliposubutu kutafsiri hadithi nnje ya madhheb zetu.
Hapo watu waislam wengi wanakutazama Kwa asila saaaana na Allah awaongoze siku ya jumapili waswali Iddi na wasifunge..
Allah Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar tutasali sote na Rais wetu pia bila shakayoyote ile InshaaAllah
Wewe soma
Aslm alykm, kwa nn cc peke yetu tuswali eid juma pili na nchi zengine watafanya nn ama waislam ni nyinyi peke yenu