SIRI YA RAIS MWINYI KWENDA NGOME YA ACT WAZALENDO YAFICHUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 30

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 8 днів тому +4

    Maalim Seif kafanya kazi kubwa Allah atamlipa pepo ya firdaus. na alietuaminisha na tukampokea Mwinyi kwa mikono miwili leo anataka kuyarejesha yalee Maalim alioyakataa na walichokubaliana mpk leo hajakitimiza

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 дні тому

      Makubaliano sio ya mtu na mtu, ni ya Kikatiba.

  • @MaryamMasoud-s2b
    @MaryamMasoud-s2b 8 днів тому +4

    Mzee Mohammed ametuangusha sana wazanzibari ukweli hujauzungumza

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 8 днів тому +3

    MASHALAH
    HUYU NIMWAMBA WA HISTORIA KUANZIA ZANZIBAR HADI MRIMA
    HAKIKA ANAFAA KUPEWA KUANDIKA HISTORIA YA ZANZIBAR NA MRIMA( MZIZIMA) HISTORIA HIZO ZISOMESHWE MASKULI
    AHSANTE MZEE WETU TUNAKUPENDA SANA WAZANZIBARI NA WANAKUPENDA SANA WATANGANYIKA KWA KUWASIMULIA UKWELI WA TANGANYIKA YAO
    KARIBU SANA ZANZIBAR
    KARIBU SANA
    NIMEFURAHI KUTUUSIA WAZANZIBARI KUDUMISHA AMANI KATIKA NCHI YETU
    NAFIKIRI VIONGOZI WAMEKUSIKIA KILA MMOJA ATATEKELEZA WAJIBU WAKE ILI AMANI YA ZANZIBAR IDUMU AMIN

  • @YusufZakaria-v8b
    @YusufZakaria-v8b 7 днів тому

    Mashallallah

  • @nassorkhamis-s3p
    @nassorkhamis-s3p 8 днів тому +2

    Maneno mazima sheikhe mohd lakini ccm ifikapo uchaguzi huvaa ngozi za wanyama ...kuwapiga na kuwaonea raia wenzao na kuwazalilisha hili haliondoki ktk nafsi zao milele ...kila uchaguzi lazima damu na maonevu yafanyike Allah awape hisia zakibinaadamu

  • @nassorkhamis-s3p
    @nassorkhamis-s3p 8 днів тому +1

    Maashallah

  • @dogoabdou
    @dogoabdou 8 днів тому +2

    Ww mwenwe hujui wananchi wa Zanzibar wanataka nn

  • @dhamirshariff9415
    @dhamirshariff9415 8 днів тому +3

    Sikuelewi wazanzibari wanataka mamlaka kamili sio majumba na barabara

  • @sabrinaali9750
    @sabrinaali9750 8 днів тому +2

    Mtanganyika ni mtanganyika tu huyu bwana ni mtanganyika mlitegemea huyu atajibu masuali anavoulizwa yaguju, si mnaona kazi yake ni kumsifu mwinyi tu mpaka kajengewa msikiti anasema kwa wema wake. Ende kwao huko tulimuona wa maana kumbe....

    • @chihoma-m4f
      @chihoma-m4f 7 днів тому

      toa ww bac ukweli ndugu nyie munapenda vurugu tu dah

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 7 днів тому

      ​@@chihoma-m4f
      Ndio nyie wenye Shida iyo ni dhulma Kubwa Sana na Unafiki tu!

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 7 днів тому

    Ukoloni wa Tanzania bara bado upo pale pale tu! Hata aje Nani na heshima ya Wazanzibar itakua tofauti Sana na Watu wa Bara kiuhalisia ni ivyo tu!

  • @Zivago12
    @Zivago12 8 днів тому +2

    Unaubana ukweli

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 7 днів тому

      Sio Mtu mzuri kiukweli ana lake Moyoni na Kumkandamiza Mzanzibar walichokitaka kimekua na ndio maana akaongea hayo km mnataka nini tena!

  • @Zivago12
    @Zivago12 8 днів тому +1

    Wee mzee huijui.znz. Mwinyi kaapa na kashika msafahafu kaingia ikulu kwa kumwaga damu. Jee unalijua hiloo

    • @sabrinaali9750
      @sabrinaali9750 8 днів тому

      Hajui anaporoja tu mpaka huyu mtangazaji anamshangaa, na historia ya Zanzibar anaijua vizuri sana lakini naona kama kuna namna pana chezea ccm weee. Na ndio maana anakwepa masuali anajibu analolitaka yeye mwenyewe.

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 7 днів тому

    Sheikh Muhamed umepewa hadhi Kubwa na Al fatah na Sheikh Rashid kiukweli mpaka kuchukuliwa ulipokwenda lkn Kusema Ukweli Umewakosea Sana Wazanzibar ya Kuonesha km hawawezi kujitawala wenyewao na yakua utawala walionao Mzuri sana umeusifia kua umejaa maendeleo Maduka yamejaa Watu wananunua Mahitajio yao hawana Wc wc,
    Ivyo ndio Ukweli???

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777 8 днів тому +1

    Mohamed Said hakuna,asichokijuwa ilaa zipo sehemu zakuzungumza,kwasababu ni mtu anayesikilzwa na jamii kubwa ya watu,hawezi kuweka kilakitu hadharani

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 7 днів тому

    Sheikh Muhamed kajibu km hali imetulia Kila kitu kipo Sawa sasa Watu wanataka nini???😢😢😢
    Kiukweli yy hajui Wazanzibar wanataka nini??
    Ilo mie km mie sikulipenda tunamueshimu na kapewa heshima ya hali ya juu lkn kakosea kusema km Watu wawe Watulivu tena na Wanataka nini tena!

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 4 дні тому

    Shaikh mohammed amesema kuhusu propaganda tumemuelewa lkn hakutaka kumaliza ila tushamuelewa wala asilaumiwe OSAMA BEN BAAZ WA ZANZIBAR WAPO 😅😅

  • @Zivago12
    @Zivago12 8 днів тому +2

    Kumbe wewe mzee huna maana umetawaliwa na uccm.

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 7 днів тому

      Kwakweli na jina Kubwa na kuoneshwa thamani ya Wazanzibar lkn hamna Kitu uyo analipwa na CCM sio km katawaliwa tu malipo yake yanatokana na CCM na anaipigania CCM tu!

  • @karafuunanazi1701
    @karafuunanazi1701 8 днів тому

    Allah akulipe kheri mzee wetu kwa kuzungumza ukweli na kuitakia kheri nchi yetu Zanzibar, amani, amani, amani ya rabbi amani

  • @imusalis5092
    @imusalis5092 8 днів тому

    Dr Mwinyi anaijua siasa hafanyi siasa za chuki ,uadui,fitna na ubabe anajua kuishi na wapinzani wake wa kisiasa vizuri bila shida

    • @Zivago12
      @Zivago12 8 днів тому

      Wee khanithi sana.

    • @jaysullman3697
      @jaysullman3697 7 днів тому

      Kiukweli utawajua wanaompigia debe Mwinyi km anajua kuishi na Watu angelifuata maagiziano na Maalim Seif Sharif Hamad mbona hajafanya ata moja??? Vipi anajua kuishi na upinzani toa mfano ulioyaona wewe tupe facts zako?

    • @SuolFat
      @SuolFat 3 дні тому

      Ktk mtu mwenye siasa chafu ni huyu mwinyi