KIFO HIKI CHA HAJJAT AKIBA RAMADHAN KINAMAZINGATIO KWA WAISLAMU DUNIANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #HabariZaUhakika #Zinjibartv
    Follow Zinjibartv
    Facebook | Zinjibartv
    INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 773 878 523
    +255 773 071 409
    Zinjibartv Journalists
    cc: Safia Hussein
    cc: Swaleh Watamaama
    Camera Department"
    Muarabu Mmadi
    Editors:
    Ali Hassira
    Ramla Haji
    Abdillahi Said
    Dereva
    Ali Mohammed
    Video Zingine:
    Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
    HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
    • MTOTO WA TURKY AJITOSA...
    • HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

КОМЕНТАРІ • 179

  • @fatmamdidi8108
    @fatmamdidi8108 2 роки тому +14

    ALLAH amjaalie pepo ya firdaws nasi atujaalie maisha ya uchamungu,aturidhie na atupe mwisho mwema.

  • @abamohamed7092
    @abamohamed7092 2 роки тому +13

    Allah swt amrahamu ndugu yetu hajjat akiba binti ramadhan amsamehe kila alipokosea wakati wa uhai wake ,nasi Allah swt atujaalie mwisho uliomwema insha allah

  • @salmaomar8612
    @salmaomar8612 2 роки тому +12

    Innalillahi Wainnailayhi Rajiuuna. Mwenyezi Mungu amsamehe makosa yake Bi Akiba na atie nuru kaburi lake InshaAllah. Akupeni subira nyinyi wafiwa InshaAllah. Poleni sana kwa kuondokewa na mzee wenu.
    Mm naona kuwa Dua ya marehemu mama yenu imethibiti. Kitendo cha mama yenu kufia huko na kuzikwa Madina, ni ISHARA ya nyinyi nyote INSHAALLAH kufanikiwa kwenda HIJJA kama alivyoomba kwa ALLAH, kufungua mlango wa Familia yake ili nyote mpite njia hiyo ya DARJA.
    MWENYEZI MUNGU INSHAALLAH AITHIBITISHE DUA YAKE HIYO KWA VITENDO. AMMIN.
    Nakuombeni msimlilie mama yenu kila mkimkumbuka, bali kila mkimkumbuka mtakieni Dua tu, tena mkiwa na furaha. Na msisahau kupendana baina yenu.
    Mm ni ndugu yenu katika UISLAMU.

    • @mozakassim9737
      @mozakassim9737 2 роки тому +1

      Shukraan kipenz, ahsante kwa nasaha ndugu yetu katika UISLAM. Kwa hakika neno moja tu lenye faraja linatupa nguvu kubwa na faraja. Allah mtukufu akulipe kwa kila neno moja jazaa njema. Tunakupenda

  • @pilisalehe4562
    @pilisalehe4562 2 роки тому +5

    Mungu iyongoe familia yang katika njia ilionyooka muongoe mama ang awe kama uyu mama mpaka mwisho wake😪🙏

  • @Tatafati-uk8vy
    @Tatafati-uk8vy 2 роки тому +9

    Allah amjalie kauli thabit mjawake ampe kitabu chake mkono wa kulia Allah awaswamehe maiti wetu wote Allah atujalie mwisho mwema na ss tulio hai

  • @janataninaim4978
    @janataninaim4978 2 роки тому +6

    Mashaallah tabaraka Allah yake ni mema mashaallah na sisi Allah atujaalie mwisho mwema 🤲

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 5 місяців тому

    Subhana Allah...laa illa haillah ... Yarrab Khushi hatma na vizazi vyetu na wazee wetu

  • @uweissnasser3942
    @uweissnasser3942 2 роки тому +10

    May Allah grant her Jannat Firdous Ya Rabbi - Ameen🕋🙏

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 роки тому +14

    ALLAHU AKBAR.ALLAH atujaalie nac tuwe wazazi wema,kwan n dhahir maremu alikua mzazi mzur kwa wanawe ALLAH amraham🤲.Husnul khatimah yaa Rabby 🤲

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 2 роки тому

      Amina 🤲thumma amina 🤲

    • @hassanbakary221
      @hassanbakary221 2 роки тому

      Sana kwa mtazamo inaonesha maashàallah Allah ajaalie kher kwake na kwetu inshaallah aamiin

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 2 роки тому

      @@hassanbakary221 Allahumah Amiin 🤲

    • @husna34562
      @husna34562 2 роки тому

      Amiin

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 7 місяців тому +1

    Yaa Alllah nisamehe nauniongoze njia sirraat mustakiim na Mareham mollla ablaze mahala pema peponi Ameen

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +1

    Mashaallah Familia imejaa dini Mashaallah Mashaallah Mungu atufanyie wepes waja wake.

  • @akhtarbegum1219
    @akhtarbegum1219 2 роки тому +1

    SubhanaAllah Allah amempenda marhem kwa hakika...Nanyi family MashaAllah mmekua kiislam vzri kwa hakika. MashaAllah marhem ameacha dunya akitajwa kwa mema sana na mate do yake esp ya kuipenda Quran na kuihitimu sku3..na kumtii mume.MashaAllah Allah atuwezeshe nasi kumfikia na zaidi In sha Allah.
    Allah amweke pema na awape subra.

  • @alijuma80
    @alijuma80 2 роки тому +3

    Maa shaa Allah 💖🌿💖🥀🥀💖.
    Wallah Hiii ni familia ya watu wema

  • @adamosinaneburaimo3206
    @adamosinaneburaimo3206 2 роки тому +2

    pumzika kwa amani.mungu wangu amsaidie kusafisha sehemu aliyotaka

  • @twlbukidevu4522
    @twlbukidevu4522 5 місяців тому

    Allah amjalie pepo yajuu na sisi atupe misho mwema

  • @yasirsaid8464
    @yasirsaid8464 7 місяців тому

    SUBHANALLAH... ALLAH Amruzuqu pepo ya firdaws.. na sisi ALLAH aturuzuqu mwisho mwema

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 2 роки тому +7

    poleni sana famillia kwa jumla,,zetu zaidi ni Dua👏☝️kumuombea cc tulioko Madina

  • @saidjamhuri4801
    @saidjamhuri4801 Рік тому

    Mashaallah! Natamani namimi nipate mwanamke mzuri na wenyeimani kama hawa

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 роки тому +7

    ALLAH atupe mwisho mwema.wallah nimelia sio kwa uzuni bali kwa furah🤲🤲🤲🤲🤲❤❤💚💚

  • @hassanbakary221
    @hassanbakary221 2 роки тому +3

    Allah awalipe ddunia Wal aakhera inshaallah nmewapenda Sana kwa ajili ya Allah wanafamilia

  • @hammoudummuhammoud2469
    @hammoudummuhammoud2469 2 роки тому +12

    Kifo ni kifo kweli lkn chakuzingatia kitakufika ukiwa na hali ipi. Tunamuomba Allah amsameh makosa yake atujaalie nasi khusnul khaatimah

  • @fatmarashid0005
    @fatmarashid0005 2 роки тому +2

    Allah amjaaliye pepo ya daraja la juu innshaallah na ss atujaalie mwisho mwema wa maisha

  • @sinangoarashid504
    @sinangoarashid504 2 роки тому +1

    Kwakeli mama akiba ame nipa namimi funzo allah azidi kumpafuraha huko inshaallah

  • @daudindovu6609
    @daudindovu6609 2 роки тому +1

    Wallah maashaallah allah atupe nasie imaan thabit km almarhoum hajat akiba

  • @asyasalum5246
    @asyasalum5246 6 місяців тому +1

    Allahumma Amiin

  • @rehemashaibu7635
    @rehemashaibu7635 2 роки тому +1

    Allah nipemwisho mwema yaarabii 🤲🤲

  • @husnawazir1511
    @husnawazir1511 2 роки тому +1

    Inalilah wainailah rajiun allah atufanyie wepesi na sisi atupe mwisho mwema

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 2 роки тому +1

    MashaaAllah tabaraka Rahman Allah atujaharia mwisho mwema 👏

  • @zenenemohamed4137
    @zenenemohamed4137 2 роки тому +2

    Machallah Allah amrehemu ampe pepo ya kwanza inshallah

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 2 роки тому +6

    Assalamu alaykum. UONGOZI WA NOOR BAZAAR ENTERPRISES UNAIPONGEZA ZINJIBAR TV KWA MUENDELEZO WA KISA HIKI CHENYE MAZINGATIO NA FARAJA KWA WAUMINI WA LEO. AIDHA, TUNAOMBA PIA YAFANYIKE MAHOJIANO NA WANACHUONI KUZUNGUMZIA KISA HIKI ILI KUENEZA MAZINGATIO YA KHERI. Ahsante!

  • @mwanakombojuma9029
    @mwanakombojuma9029 2 роки тому +1

    Mashallah mungu ailaze mahali pema peponi🥰🥰🇰🇪🤲roho yake

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 роки тому +3

    Mashaallah Allah atupe mwisho mwema

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 6 місяців тому

    Mama yupo jannat bila shaka,anastareheshwa huko furaha iliyoje kwake

  • @ZamZam-k9l
    @ZamZam-k9l 6 місяців тому

    allah amjaalie pepo njema inshaallah

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 роки тому +2

    Dah wifi mtu umeliza wallah 😭😭😭Allah atupe mwisho mwema

  • @khadijakhamis381
    @khadijakhamis381 2 роки тому +1

    Allah atujaalie na sisi mwisho mwema.. Ameen thuma Ameen yarabbi 🤲

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 роки тому +1

    Mashaallah, innalilah wainailaih rajiun, khusni lkhatima yaa Rabbiy.

  • @nuruomar5241
    @nuruomar5241 2 роки тому +1

    Allah amuweke Katika makazi mema peponi.poleni sana Wana familia

  • @sashoright8213
    @sashoright8213 2 роки тому +1

    Mungu amjalie jamn pepo yake jamni

  • @jumaathman5252
    @jumaathman5252 2 роки тому +3

    Allah atujaalie kwa sote mwisho mwema tufe hali ya kuwa ameturidhia na sisi tumeridhika
    Kwa kweli ndugu zangu ukitaka kulala kwa amani kaburini basi amka duniani na kuamka duniani ni kufanya mema ambayo yatamridhisha Allah

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 роки тому +4

    Polen ndugu zangu Allah Amrehem mamaetu mpenzi🤗🤗😭😭

  • @rehemamuhangilwa8429
    @rehemamuhangilwa8429 2 роки тому +1

    Mwenyezi Mungu amsahilishie mambo yake na anipe mwisho mwema Inshaallah

  • @fatmakhamis5044
    @fatmakhamis5044 2 роки тому +2

    Innalilah wainailaih rajiun allah atupe mwisho mwema inshaallah

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Рік тому

    Yaa Rabbi tunakuomba Mwisho Mwema😭😭😭😭

  • @MwahijaMustafa
    @MwahijaMustafa 6 місяців тому

    Allah akujalie mwisho mwema

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 2 роки тому +3

    الحمد لله علا نعمه الإسلام الحج المبرور جزاه الجنه يخرج من الحج كما ولتدته امه لقد وقد غفر الله ذنبه حج مبرور وسعيا مشكور الباقي الدعاء وتقول ربي اغفر لي ولوالدي وللمؤمنين والمؤمنات والمسلمين والمسلمات الاحياء منهم والاموات والحمد لله على حسن الختام اللهم اجعل لها اهلا احسن من أهلها وأرض احسن من أهلها وجعلها في الفردوس الأعلى من الجنة يارب

  • @muhamadhusein5260
    @muhamadhusein5260 2 роки тому +4

    Innalilahi wainna ilaihi rajiuun, tuhuzunike tu kwakuwa mwezetu ametutoka lakini huyu ni mtu wa peponi wala tusitilie shaka, kusikitika baada ya kuondokewa ni maumbile hata Mtume alilia na kuhuzunika alipofiliwa ni mkewake bibi Khadija,na sisi tunamuomba Allah atupe khatima njema na atusamehe makosa yetu amin

  • @naeemanaee7424
    @naeemanaee7424 2 роки тому +2

    Allah atujalie mwisho mwema

  • @zainabuibraimu2848
    @zainabuibraimu2848 2 роки тому +1

    Alhamdulillah natamani kama huyu marehem bi Akiba amuoe mwanangu ili nikipate kizazi chema.

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 роки тому +2

    Allah amjaalie hija yake iwe kubul amjaalie kila la kheir huko anakokwenda

  • @mdsaid1527
    @mdsaid1527 2 роки тому +2

    Kuna muda unashindwa hata kuongea kitu Kwa kufurah Kwa kifo na jins mwenzetu alivyoamim na mwenyez mungu alivyomuaminifu mbele ya umma na Zaid Kwa waislam na ni mawaidha Tosh's Allah amrehemu

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 2 роки тому +1

    innalillahi wainnaillahi rajiuni.mashaAllah tabarakaAllahu .Allah arahm

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 2 роки тому +3

    Allah amjaalie miongoni mwa waja wake wema na sisi Allah atujaalie khatma njema

  • @husseinmaingo7116
    @husseinmaingo7116 2 роки тому +1

    Sote ni wa Mwenyez Mungu na kwake tutarejea

  • @nacreahali9670
    @nacreahali9670 2 роки тому +5

    Inna lillahy wainna illaihy rajioun ni mafunzo makubwa sana tumepata Allah nasisi atujaalie miongoni mwa hajjat Akiba

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому +2

    Innalillah wainnaillaih raajeoooun!! Allah amsamehe makosa yake!!

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому +2

    Mtihani

  • @madamiffa3893
    @madamiffa3893 2 роки тому +1

    Pole Sana saida wangu

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 роки тому

      Kama hajaolewa SAIDA nipo tayari dada

    • @hawamashauri1218
      @hawamashauri1218 2 роки тому

      😊😊ushachelewa pole, ni mke wa mtu Kwa sasa

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 роки тому

      @@hawamashauri1218 Allah adumishe ndoa yao
      Hakuna Hata mjukuu wa Hajjat Akiba?😎

    • @hawamashauri1218
      @hawamashauri1218 2 роки тому

      @@muddymuzungu4357 Aaamin Yaaa Rabbi

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 2 роки тому +2

    Mashaa Allah

  • @fakihisilima3414
    @fakihisilima3414 2 роки тому +1

    Innalillahi wainnailaihi raajiuni.mungu awape Subra Inshaallah

  • @nooroman2535
    @nooroman2535 2 роки тому

    Inalilai walnalilai rajiuni poleni sana Familia

  • @kurshidsaleh1499
    @kurshidsaleh1499 2 роки тому +1

    Allah arhaam nasisi sootee jamiial islaam atujaaliye khusnul khaatima

  • @gooleserviceyoutubescandar3450
    @gooleserviceyoutubescandar3450 2 роки тому +1

    Allahumma kheri inshaallah.

  • @musahassan5146
    @musahassan5146 2 роки тому +1

    Innalillah wainna ilayh rajiun, allahumma ghfrillaha warhamha wasqana fil jannah amin

  • @singleparent7483
    @singleparent7483 2 роки тому +1

    ALLAH atujaalie na sie

  • @iymansaciid9492
    @iymansaciid9492 2 роки тому +3

    ALLAH AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI

  • @simplyfay5308
    @simplyfay5308 2 роки тому +2

    Ya Allah Bikhusnil khateema 🙏

  • @hadijahussein6302
    @hadijahussein6302 2 роки тому +2

    AS SALAMU ALAIKUMU WA RAHMATULAH ALLAH AKIBAR ALLAH AKIBAR YA ALLAH NA MUOMBA MWENYEZI MUNGU AWAPE SUBRA NAMI KUSEMA KWELI NIME PATWA NA WIVU NIME ONA WIVU NATAMANI WALAHI ALLAH ANIPE ALICHO MU ANDALIA DADA YETU HUYO NATAMANI NINGE ZALIWA NA MAMA HUYO IMA NINGE RISI BAAZI YA MAMBO YAKE NA MUOMBA MOLLAH WANGU ANIWEZESHE NAMIMI NIWE MIONGONI MWA ALIO WAPENDELEA NIJALIEE NIWEZESHE NISAIDIEE NAMI NIWE MCHAMUNGU KAMA MAMA YETU HUYO ALLAH AMUPE ALIYO MU ANDALIA MAKAAZI BORA ,NAHISI KUPATA WIVU MKUBWA NA KULIA CHA UCHUNGU NA MUOMBA MOLLAH WANGU NAMI NIWE MIONGONI MWA WALIO CHAGULIWA NAEE ALLAH WAPEKE

  • @Sophiangingo
    @Sophiangingo 7 місяців тому

    Allah ampe kauri sabiti yarabi

  • @Nshimirimanazilfa-vd5dw
    @Nshimirimanazilfa-vd5dw 6 місяців тому

    Allahumma amiiin

  • @zainabuibraimu2848
    @zainabuibraimu2848 2 роки тому +1

    Kijana wake wakuzaa kabisa

  • @omanmct135
    @omanmct135 2 роки тому

    Aaaalllllah atupemwisho mwwema

  • @Ibrahimoabdala
    @Ibrahimoabdala 7 місяців тому

    Allha amjarye pepo

  • @mohdsalum6285
    @mohdsalum6285 2 роки тому +1

    Allh amuhifadh phala pnapoxtahiki kuepo inxhllh Amin

  • @SoudShuraim
    @SoudShuraim 6 місяців тому

    Watoto wake wote wazuri wana dini na heshima

  • @masoudsaid7971
    @masoudsaid7971 2 роки тому +2

    Yaa Allaah, msamehe makosa yake yote. Yaa Allaah mlaze PEPONI

  • @MohammedMohammed-rf3we
    @MohammedMohammed-rf3we 2 роки тому +2

    Kikwel nimejikuta natamani kuwa angekuwa mamangu

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 2 роки тому

    Allah amrahamu na Janna ameen

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Рік тому

    Tuisome Qur an ndugu zangu!
    Hakika itatufaaa Duniani na Akhera

  • @hidayasaid5131
    @hidayasaid5131 2 роки тому +1

    Innalillahi wainnaa ilahiraajiun

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 2 роки тому +2

    Mamaaaaa😭😭😭😭😭

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 2 роки тому +1

    Hiyo nyumba niyakuowa kwa wanaume wenye kujielewa ziko kila dalili za malezi bora

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 2 роки тому +1

    Innalilah wanna ilah lajihun

  • @saadymuhammady7069
    @saadymuhammady7069 2 роки тому +1

    Wanadamu tumo ndani ya safari ndefu Tena inahitaji akiba yakutosha ili tuweze kukwepa vizuizi vyake

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 роки тому +3

    Kila mja anasiri baina yake na mola wake Allah atupe mwisho mwema

  • @KHAMISRASHEED1796
    @KHAMISRASHEED1796 2 роки тому +3

    لا حول ولاقوة الابالله العلي العظيم 😭

  • @madinaomar679
    @madinaomar679 2 роки тому +1

    mashallah

  • @Ibrahimoabdala
    @Ibrahimoabdala 7 місяців тому

    Allha amjarye her

  • @AaSs-x7v
    @AaSs-x7v Місяць тому

    Innalillah wainna illayh rajiun

  • @sumyel-slaimy3389
    @sumyel-slaimy3389 2 роки тому

    Mashaallah

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 2 роки тому

      Mashaallah Mashaallah Mashaallah Amiin thuma Amiin yarabi

  • @rashidjuma269
    @rashidjuma269 2 роки тому +3

    Hiyo ndio familia yakwenda kuowa ikiwa wapo wachumba

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 роки тому

      Kweli kabisa! Mimi jicho langu limeona kwa huyo SAIDA amevaa miwani huyo mtoto wa 3!
      Nipo tayari akiridhia
      Dada mkubwa nifikirie
      WLlahi

    • @hawamashauri1218
      @hawamashauri1218 2 роки тому

      Samahani watoto wote wa Marehemu uliowaona hapo ni wake za watu.
      Huyo Saida ni mama wa watoto 2 sasa

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 роки тому

      @@hawamashauri1218 maaa Shaa Allah
      Nimefurahi kusikia kama kashastirika!
      Ila nimeumia 😭😭😭😭😭😭

    • @hawamashauri1218
      @hawamashauri1218 2 роки тому

      Njoo wapo 2 wamebaki

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 роки тому

      @@hawamashauri1218 shukran Hawa! Nakuahidi nitakuja
      Naishi Bara ila nilisoma Huko almost miaka 5!

  • @nurunassir4624
    @nurunassir4624 2 роки тому +8

    May Allah pardon her and give patience to her family.

  • @twahaally5487
    @twahaally5487 2 роки тому +1

    Innalilah wa innailah raajiun

  • @ZurehaYusuph
    @ZurehaYusuph 7 місяців тому

    Innalillahi wainnailaih rajiu

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 2 роки тому

    Mashallah Mashallah 😭 😭

  • @KHAMISRASHEED1796
    @KHAMISRASHEED1796 2 роки тому +2

    انا لله وانا اليه راجعون

  • @wongtin792
    @wongtin792 2 роки тому +1

    Bado mumtafute na uyo mama alikua nae aongee mawili machache please

  • @seifabdulwahid4579
    @seifabdulwahid4579 2 роки тому +1

    Humu mwenye comment nna wsws km wengine hawajatutmia vileo

  • @iymansaciid9492
    @iymansaciid9492 2 роки тому

    INNALILAHI WAINNA ILAIHI RAJIUUN

  • @aminaomar8130
    @aminaomar8130 2 роки тому

    Ajabu sana wallah labuda wataka waekewe goma la taarab inamaana hata sikitiko hamna.kutajwa marhum kwa mazuri yake kuna ubaya gani jamani.iiiiiii