Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Sheikh Said wallahi ninakupenda kwaajili ya Allah. Manhaji ni yakisalafy lakin krk kuumgamkono ktik hili niko nawe bega kwa bega. Allah akutie nguvu usirudi nyuma insha'Allah
Asalam alaykum shekhe unatakiwa uzungumze na suala la kutoa salamu hususani hapo kidoti jambo hilo la kupeana salami halipo, binaadamu mwenzanko anakupita kama hakujui na hata ukimsalimia haitikii vizuri
Allah akulaze mahala pema pepon
Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Sheikh Said wallahi ninakupenda kwaajili ya Allah. Manhaji ni yakisalafy lakin krk kuumgamkono ktik hili niko nawe bega kwa bega. Allah akutie nguvu usirudi nyuma insha'Allah
Elim kwa kuisahau ila inaondoka kwa kutangulia mashekh mbele ya haki
Ukumbusho humfaa mwenyewe kuamini Masha Allah shekh wetu Allah akuzidishie kher
Allah akubariki shekhe wangu,hata mm nilishangaa nilipoona mananda kidoti
Innalilah wainna ilayhi rajiuun
Shekhe mungu akufanyie wepesi
Asente shekhe kwajitihadiyako
Tunasubiri na kilimani,tazari,kigunda,muambale,kilindi na kendwa
Vijana tuachen upuuz w kuimbaimba wanaume wazima ttften walim tuksome wazee wnaondk mitaan ttkjafny nn ikiw mtu atkfa ttkujapta tabu mn wakumuosha mait atjashindkna
Asalam alaykum shekhe unatakiwa uzungumze na suala la kutoa salamu hususani hapo kidoti jambo hilo la kupeana salami halipo, binaadamu mwenzanko anakupita kama hakujui na hata ukimsalimia haitikii vizuri
Sababu nini au Mawahabi washaingia kati??