NAONGEA NA VIJUMBE WOTE, ACHENI KUCHEZA NA HELA ZA WATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лют 2021

КОМЕНТАРІ • 60

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 роки тому +5

    Wewe kumbuka ukitoka kwenye ichi kipindi na mm natoka👌

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 3 роки тому +4

    Nakupendaga sn dr kumbuka unamaneno jmn ts like unayasoma sehemu!!!

  • @ramlajuma1598
    @ramlajuma1598 3 роки тому +1

    🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

  • @zaramunir8238
    @zaramunir8238 3 роки тому +5

    Nimechekaa baiyaaa 😂😂😂😂

  • @neemachamy2358
    @neemachamy2358 3 роки тому +2

    Waoh! bora mmerudi jmn nawapenda

  • @osamahussein2314
    @osamahussein2314 3 роки тому +1

    Nakukubali sana Dr kumbuka ningependa kufanya kazi nawwe

  • @sharifaoman1367
    @sharifaoman1367 3 роки тому +1

    Docta kumbuka kunjwa maji kidogo ila nakupenda sn unaelimisha wallah

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 3 роки тому +1

    baiyaaa leta toto 😄😁😁😆😆kumbuka kweli ni kichefuchefu

  • @sikudhanmaskini3041
    @sikudhanmaskini3041 3 роки тому +1

    Swebe nakupendaje Ila mwili nyumba

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 3 роки тому +4

    Nashukuru mmerudi tena kipindi

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 роки тому +3

    Ndugu waki gombana shika jembe mkalime wakipata shika kapu mkavune mme nifurahisha kwali hongereni kwa hilo

  • @aliswaumu9637
    @aliswaumu9637 3 роки тому +2

    Mumerdi tena nimefurai sana kuwaona tena 😂😂

  • @swalecomedian1340
    @swalecomedian1340 3 роки тому +1

    Mim mwenyew kijumbe nazitafuna

  • @shangwekamando2599
    @shangwekamando2599 3 роки тому +2

    Halafu swebe Unapenda mashati y mistari Kw nini

  • @anzamenmsalanga1873
    @anzamenmsalanga1873 3 роки тому +1

    Waaaambie wajumbe midomo yao iko kama ya kunguru baadhi yao lakn

  • @titomachite5020
    @titomachite5020 3 роки тому +1

    Vijumbe wana zingua kweli

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂vijumbe

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 роки тому +1

    Swadaktaaaa

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 3 роки тому +2

    Haswaaaa

  • @mishysuyya9821
    @mishysuyya9821 3 роки тому

    Wape

  • @harrietmwanyae4778
    @harrietmwanyae4778 3 роки тому +1

    Kweli kabisaaa

  • @tresiakaovela9109
    @tresiakaovela9109 3 роки тому

    Sasa hivi huyo mama atawaheshimu

  • @kuruthumusaidi1645
    @kuruthumusaidi1645 3 роки тому +1

    Kuntu 👌

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +1

    Uhondooooooooo

  • @sirbinladen786
    @sirbinladen786 3 роки тому +1

    *Habar zenu ndugu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi saa2usiku karbuun mjifunze ingia UA-cam andika sir Binladen 786*

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 3 роки тому +1

    Ugali na siki mtamu htri unakula balaa

  • @judiajudia2067
    @judiajudia2067 3 роки тому

    Maputo ya bathyday

  • @anzamenmsalanga1873
    @anzamenmsalanga1873 3 роки тому +1

    Kaz yao kuvimba mishavu kama mimba ya panya

  • @mishysuyya9821
    @mishysuyya9821 3 роки тому

    Wapo wengi aisha wa moro wakipokew wao hawataki kulipa

  • @mwanahawasaid1561
    @mwanahawasaid1561 3 роки тому +2

    Vijumbe mpoo😂😂😂😂

  • @magrethkisamo594
    @magrethkisamo594 3 роки тому +1

    Hahahaha wamerudi

  • @maryamsuleiman3700
    @maryamsuleiman3700 3 роки тому

    Kumbuka naomba uzungumze na mashangazi jmn Wake wa Makaka watoto wa Makaka hawapumui jmn

  • @sikudhanmaskini3041
    @sikudhanmaskini3041 3 роки тому +1

    Wewe ni mume wa mtu kwali hiyo mke akasome Kwa mashushu

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 3 роки тому

    Mmeelewana msije mkasusa tena.

  • @prettynesspastory3111
    @prettynesspastory3111 3 роки тому +1

    Mmepatana eeeh? Mana mlijua kuwakiana ile siku!

  • @thuwaibabughe3601
    @thuwaibabughe3601 3 роки тому

    Kijumbe anavunja mayai

  • @emmyshirima6530
    @emmyshirima6530 3 роки тому

    Mwingine anachukua hela alaf anatafuta safari na hela zenu,

  • @ZaharadaffaZaharadaff
    @ZaharadaffaZaharadaff 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂

  • @marymichael2739
    @marymichael2739 3 роки тому

    Hahahaaa mweee

  • @preboyafrican3091
    @preboyafrican3091 3 роки тому

    Good

    • @jacklineogoye8305
      @jacklineogoye8305 3 роки тому

      Umejuwaje umenifurahisha sana yupo kijumbe taper kaka mpatiye maneno yake

  • @kojahelly6999
    @kojahelly6999 3 роки тому

    Hahahaahaaaaaaaahaaa

  • @harrietmwanyae4778
    @harrietmwanyae4778 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 3 роки тому +3

    Ila swebbe dah unajua kutia chumvi 🤣

  • @Helleniification
    @Helleniification 3 роки тому

    😆😆😆😆😆😆🐓🐓🐓🐓🐓🐓📌

  • @sirbinladen786
    @sirbinladen786 3 роки тому +3

    *Mvuto wa kupendwa na watu kazin biashara*
    ua-cam.com/video/rdBBJqLQ8GE/v-deo.html

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 роки тому

    🤣🤣🤣

  • @786schopetamiston9
    @786schopetamiston9 3 роки тому

    😆😆😆

  • @zawadikasim6679
    @zawadikasim6679 3 роки тому +1

    Sofia ameendawapi

  • @johariharuni1062
    @johariharuni1062 3 роки тому

    Dr kumbuka mm ni mdau wako naomba useme na wanaume waliotuweka tuishi ukweni ikiwa Ana uwezo wa kupanga,ukimwambie basi tupange imekuwa mda typo hapa hakuelewi Cha ajabu zaidi huyo mama mkwe alivyo na kisebengo usivae nguo ambayo hajawahi kuiona hata Kama ulikuwa huivai Mara kwa Mara anakusemq kwa wapangaji wake,gubu la chini chini ,kununa ndio mahala pake,mm naomba useme na wanaume wasiopenda kubadilika tunakosa Uhuru na kutamani kukimbia ndoa,hata kusuka upendeze inakuwa tabu.

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 3 роки тому

      Pole sana aiseee

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 роки тому +1

    Fujo ziliisha mulielewana