Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

DR KUMBUKA - WANAUME MUACHE KUWA WASIRI KWA WAKE ZENU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 вер 2020

КОМЕНТАРІ • 143

  • @NadjibuAboubakar
    @NadjibuAboubakar 4 роки тому +49

    Nani anekubali usia wa Dr kumbuka kama unatoa mchango mkubwa kwa jamiii

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому +11

    Kweli kabisa! Labda limpate janga ndiyo atasema eti ooh! Nilinunua kiwanja kinamgogoro ndiyo utajua ! Wanaume wa hivyo wapo sana!

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 3 роки тому +1

    Mungu ameshaona roho za wanaume ndiyo maana anawatumbua.

  • @sizadarat4176
    @sizadarat4176 4 роки тому +6

    Dr kumbuka unanikosha mie Allah akuweke na akujaalie afya njema

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 роки тому +12

    Dr kumbuka kunywa soda kwa mangi nitalipia nakuckiliza USA 🇺🇸

  • @waheedahtanzania5884
    @waheedahtanzania5884 3 роки тому +3

    Mmhu wallahi huyu jamaa kajaaliwa MashAllaah vyote huwa anavyoviongea Ni vyakweli vipo kwenye jamii Allah Azidi kukupa umri mrefu yarabil -aalamin

  • @mariambakari996
    @mariambakari996 4 роки тому +5

    Maneno kuntu dr k allah akuweke uzidi kutuzindua

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 роки тому

    Ukimuuliza atakuvunja shingo au akuchoma na mkaa kama nyama choma iliyobaki ni kuondoa udhia kumuacha aishi maisha yake na wewe Mungu atakupa maisha yako. Life goes on.

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 роки тому +8

    Yani ww kaka napendamanenoyak yabusara san from🇧🇮

  • @vailetaron5717
    @vailetaron5717 3 роки тому +1

    Inauma hiyo basi Tu sisi wanawake Tunavumilia na mengi, tunaogopa hata kuolewa kisa Tunayoyaona...

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 3 роки тому +3

    Nachukia sana mwanaume akiwa msiri

  • @lameyajaff8881
    @lameyajaff8881 4 роки тому +7

    Oyoooooooo piga kelele kwa kumbukaakeeee

  • @mariammohamed211
    @mariammohamed211 3 роки тому +1

    Dr kumbuka maneno mbukwa duuu asante kaka

  • @saramawalla9355
    @saramawalla9355 4 роки тому

    Dr . kumbuka mada ya leo nzuri. Nawasikiliza kutoka Canada.Nawapenda sana.

  • @christerkilamlilo7013
    @christerkilamlilo7013 4 роки тому

    Nakupata nikiwa DRC Dr. Hongera unatujenga sana. Mungu azidi kukupa kipaji uwaguse wengi

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 4 роки тому

    Kweli kabisa dr.kumbuka nawapenda saaana love from UK in Newcastle

  • @verokigabo9570
    @verokigabo9570 4 роки тому +3

    Like za kumbuka jmn

  • @kojahelly9165
    @kojahelly9165 3 роки тому +1

    Kabisaaaa kumbukaaaaaaa yaani unawagusaaaaa

  • @aminasminaamina4200
    @aminasminaamina4200 4 роки тому

    Am based in Uganda
    Guy I love ur approach

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 роки тому +6

    Yamenikuta mm hayo kbs🇧🇮

  • @rehemasalehe8613
    @rehemasalehe8613 3 роки тому +1

    Mmh kumbuka hatari kweli hii vunja ukimya

  • @rehemarehema1192
    @rehemarehema1192 2 роки тому

    Wallah we Kaka unanikumbusha mbali

  • @mwanurumpate5986
    @mwanurumpate5986 4 роки тому +2

    Wapeeeeeeee! Dr Kumbuka

  • @lameyajaff8881
    @lameyajaff8881 4 роки тому +8

    Tena hawataki hata kuulizwa

  • @khamisujudi2689
    @khamisujudi2689 4 роки тому

    Kumbuka ww kumbuka dk nakupenda bureeee daah itakuwa unachuo unasomea c kwa maneno kuyapanga uko jmn allaah akuzidishie uzd kutusimamia wanawake tumejisahau sana tulioolewa jmn

  • @sajdatomar2264
    @sajdatomar2264 4 роки тому +2

    Naona comment ni za wanawake tu wanaume mke wapi😀😃😄😄😄 km nawaona kila mki taype mnafuta mnataype mnafuta ata lakukoment hamna zamu yenu leo uhondoooooooooooo

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 роки тому +2

    Kweli kabisaaa Kaka ❤️❤️❤️❤️

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 4 роки тому

    Doctar kumbuka wew hujaniacha salama mbna kila siku wanitaja tuu...jaman Allah akueke 🙏

  • @suzanetilito8194
    @suzanetilito8194 3 роки тому

    From 🇴🇲 nakusikiliza yani kweli Dr.kumbuka unawaponya wengi wanawake tuvunje ukimya ayeeh

  • @doreendaniel991
    @doreendaniel991 3 роки тому +2

    Napanda kukusikiliza saana una ujumbe mzur saana

  • @rehemamdoro5165
    @rehemamdoro5165 4 роки тому +2

    Nayafurahia sana mafundisho yako

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 3 роки тому +1

    Nikweli kabisa kaka yangu

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 4 роки тому +1

    Kama vile tuko leba mochwari ni kweli kaka yapo 💋💋💋penda sana kaka ww

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 роки тому +1

    Napenda mda wenu hauchoshi👏👏

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 4 роки тому +1

    Kwakweli kumbuka umeongea ukweli mtupu tunaishi nayo hayooo mume hakushirikishi chochote ukiuliza kosa mueka hazina ndugu mm wangu pesa zake ndugu zake wanamuekea kanunuwa nyumba hata kujuwa nlikuwa sijui niliskia kwa watu wakaribu ana kiwanja kikubwa sijawahi kuona hati ata moja siku nlipouliza alinambia ndugu zake ndio anowaamini kuliko chochote na ndio wataomzika leo umenigusa kumbuka mmnnlikuwa nikihoji naonekana km nataka mali maneno inakuwa mengi kwa sasa nimeachana nayo na siyawazii tena alhamdulillah nafanya maisha yangu

    • @lorraineatieno6544
      @lorraineatieno6544 4 роки тому +1

      Amina rafiki yangu alimwacha bwana sababu dada na ndugu wote wanajua mali ya bwanako..amejenga majumba mangapi na bibi hajui. Hata mume kuoa aligundua kama mtoto ashazaliwa...yeye hajui lakni familia na marafiki wanajua. Ilimuuma Sana akatoka. Sahii yuko sawa amepata mtu mwengine yuamhusisha kila kitu. Kenya

  • @kuruthumusaidi1645
    @kuruthumusaidi1645 3 роки тому +1

    Wapowengi sana migume gume wape wape maneno kuntu 👌

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 4 роки тому +1

    Kumbuka kumbuka kumbuka mlbavu baba asnte nimecheka wallahi

  • @gracemwangosi9017
    @gracemwangosi9017 2 роки тому

    Ndio yanayonitesa moyo wangu

  • @lameyajaff8881
    @lameyajaff8881 4 роки тому +6

    Kabisa yani hujawakosea nawapata nikiwa IRAQ

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 3 роки тому

    Aisee Dr kumbuka wasema kweli kabisa 💕

  • @user-vm1vu4hu5j
    @user-vm1vu4hu5j 2 місяці тому

    Congratulations

  • @rehemamdoro5165
    @rehemamdoro5165 4 роки тому +1

    Mungu azidi kukuatamia ili uendelee kuelimisha jamii

  • @hakikahoman615
    @hakikahoman615 4 роки тому +1

    kumbuka we unanikosha

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому +2

    Kweli kumbuka

  • @khadijazinga8173
    @khadijazinga8173 3 роки тому +1

    Jogoo mpeni tuzo jamani

  • @biishemzee2241
    @biishemzee2241 3 роки тому

    Kweli kapbsaaaa dr kumbuka. Jogoooo hoooooiiii

  • @devothaismail3045
    @devothaismail3045 3 роки тому

    Yaaaan dah kama unaonaga jaman big up kumbukaa

  • @mariamakili3926
    @mariamakili3926 4 роки тому +1

    Kumbuka mwenye kumbukumbu zake umenitoa machozi jamani kaaaaah nimecheka njugu mawe maarage choroko🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 4 роки тому

    True story dr,yalinipata hayo,nashkr sahii nimempata wa undani kabisa,hatufichani kitu.

  • @mwanasaid6177
    @mwanasaid6177 3 роки тому +1

    Mm mumewngu kaachishwa kazi ndio anasema kuwa alikuwa analipwa million nne

  • @fatumahramadhani2636
    @fatumahramadhani2636 4 роки тому +1

    Unanikosh xan Doctor kumbuka nafurahi sana unavyoongea maneno ya maana

  • @frolajames5052
    @frolajames5052 4 роки тому +2

    Kweli kabisa ukiuliza unaambiwa umekuja kuchuma amesaau umemkuta anakitanda chafuti tatu

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 4 роки тому +2

    Kweli kabisaaa !!! Longa!! longa!!!Dr.🇧🇪🇧🇪🇧🇪

  • @agnessjoseph1072
    @agnessjoseph1072 3 роки тому

    Ni kweli

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 роки тому +1

    Wape makavu baba, kumbuka kama kumbuka😁😁😁😁😁😁😀😀

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 3 роки тому

    Kweli uyasemayo kweli wanaume wabinafsi

  • @fafafafa7175
    @fafafafa7175 4 роки тому +1

    🇧🇮🇨🇦 kweli...👌👌🥰

  • @awinji4097
    @awinji4097 4 роки тому

    Umenikoshaaa dr kumbuka

  • @iradukundamike5370
    @iradukundamike5370 4 роки тому +3

    watu waburundi tujuane

  • @knifensharper2725
    @knifensharper2725 3 роки тому +1

    Yamenikuta ukiuliaza unajibiwa unasaidia nn nikushilikishe ?

  • @neemahassan4872
    @neemahassan4872 4 роки тому +1

    Mbona umenishika ndipo Dk kumbuka

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 4 роки тому

    Nakupendea hapo tu! Uwazi na ukweli!

  • @ashuranurdin7386
    @ashuranurdin7386 3 роки тому

    Naomba no zetu jmn nataka kuongea na kumbuka

  • @omanere1255
    @omanere1255 3 роки тому

    kweli kabisa unazungumza ukweli 🙏🙏🙏👍

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 роки тому

    Yani kumbuka nakupenda mie weye msema ukweli km marehem shehe nyundo

  • @anisabasheikh4747
    @anisabasheikh4747 4 роки тому

    Jogoo awike sanaa Doha Qatar hoeee Dr kumbuka

  • @maythomas4019
    @maythomas4019 4 роки тому +2

    Wapo kaka ujawaikoxea

  • @saharasheekh5073
    @saharasheekh5073 3 роки тому

    Hahaha niache mie eti minjoosho kama mwalim wa kiswahili basi hayaaaa🤣🤣🤣

  • @mamrashid7257
    @mamrashid7257 4 роки тому +2

    Hapo umesema yamenikuta mie hayo nimeolewa miaka kumi na mume yupo uk . Kila anachofanya ananificha hasemi ukweli ,kanunua kiwanja hakunambia kanuna shamba hakunambia kanunua.gari haku nambia anafanya biashara hakunambia nimechoka nimedai talaka nimemkimbia nipo ujerumani 🤣🤣

    • @vailetaron5717
      @vailetaron5717 3 роки тому

      Mam pole haikuwa ridhiki na umejitahidi mno, sie wengne tupo tupo tu

    • @vailetaron5717
      @vailetaron5717 3 роки тому

      Usiwe na haraka kwa sasa utapata wa size yako kutoka kwa mungu

    • @magretmabula4877
      @magretmabula4877 3 роки тому

      Daaah kweli kabisa

  • @umikarama5363
    @umikarama5363 2 роки тому

    Ukiuliza unaambiwa nimelipa made I yy Kila cku ni WA madeni tuu

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 4 роки тому +1

    Jogoo wikaaaaa wape wapee jogoo

  • @sizadarat4176
    @sizadarat4176 4 роки тому +1

    Yamenikuta hayo

  • @rashidhassankadege1455
    @rashidhassankadege1455 4 роки тому +1

    Mabaharia tukutane SAA kumi jioni kuna kikao cha dharula inapaswa tumjadili huyu kumbuka naona anatupanda kichwani sasa nikiwa kama mjumbe kutoka magharibi mwa Tanzania nitatoa tamko leo

    • @rehemahamisi9971
      @rehemahamisi9971 4 роки тому

      Rashid hassan kadege @
      😁😁😁 msg sent iyo mkitane lkn ukweli ndo uwooo😁😁😁

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 роки тому

    😘dk kumbuka

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 роки тому +1

    Hata chupi hununukili tehe tehe tehe tehe

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 роки тому

    Hapo sawa

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому

    Aki youtube. Watufanyie mpango wa record sauti jmn 😁😁😁

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 роки тому

    True

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 4 роки тому

    Kweliiii 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿

  • @rahmanahimana5895
    @rahmanahimana5895 4 роки тому

    🥰🥰from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @annakisiga889
    @annakisiga889 4 роки тому +1

    Kiukweli dkt hapo umesema ukweli tatizo wanaume hawataki kuulizwa

  • @namirihamisi1989
    @namirihamisi1989 3 роки тому

    Dk kumbuka unajuwa kutibu watu 😀😀 huondo ndio mpago mzima

  • @HassanHassan-ru1zw
    @HassanHassan-ru1zw 4 роки тому

    Kipindi cha uhondo kinanoga kuwepo Dr kumbuka

  • @boywaley4
    @boywaley4 4 роки тому +1

    Hii kali

  • @upendokaswiza9831
    @upendokaswiza9831 4 роки тому

    Kweliiiiiii

  • @giftmtemi1049
    @giftmtemi1049 3 роки тому

    Umesema kweli tunayaaona meng nandugu bado wanawazulumu

  • @zulekhabaksh686
    @zulekhabaksh686 3 роки тому

    Wala siuwongo hana muamana hao

  • @tumainyusuph6783
    @tumainyusuph6783 4 роки тому +4

    Waambie ao sio wamesimamisha maskio kama maandazi ya nazi😂😂

  • @evelynegordon397
    @evelynegordon397 4 роки тому +1

    Tukihoji kipigo.

  • @merymichael5513
    @merymichael5513 4 роки тому +2

    Gonga loke

  • @hanclove7631
    @hanclove7631 4 роки тому

    Kbsaaaa wanawake vunjeni ukinymaa

  • @amathaathanasi2638
    @amathaathanasi2638 3 роки тому +1

    Tenaaaa

  • @Amneamne-qi2du
    @Amneamne-qi2du 3 роки тому

    Swadaqta maneno yako

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 роки тому

    Waambie wakusikie jogoo😁😁😁😁😁

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 3 роки тому

    kabisa wambie hao wp telelee

  • @hadiyaalamri9541
    @hadiyaalamri9541 3 роки тому

    Yamenikuta hay

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 4 роки тому +1

    Vp

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 4 роки тому

    Utadhan mama yake ndio anampa starehe wapupavu sana

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 4 роки тому

    😃😃😃😃😃kweli kabisaaa umenifurahisha utampaje hati mama yako mzazi?

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 3 роки тому

    Pambeeeee tu