Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

WAHUDUMU WA AFYA MUACHE KUWA NA TABIA ZISIZOFAA MAENEO YENU YA KAZI JOGOO WA MCHANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лис 2020

КОМЕНТАРІ • 64

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 3 роки тому +6

    Maneno ulosema nikweli wallahi baadhiyao hawana imani ALLAH anawaona visirani kweli

  • @vickyadrian1503
    @vickyadrian1503 3 роки тому +9

    Nilienda magomeni MUNGU apishie mbali nilishinda siku nzima

  • @vickyadrian1503
    @vickyadrian1503 3 роки тому +8

    Yaani haswa hospital za serikali naomba ziwekwe camera na control room ili haya muyaone vingozi

  • @madamboss348
    @madamboss348 3 роки тому +2

    Dr kumbuka my al time crush

  • @salmakhasim1827
    @salmakhasim1827 3 роки тому +2

    Kweli Dr yani yanatokea

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 3 роки тому

    Huyu dr kumbuka jmn 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 роки тому

    Leo tumechambwa ila mm sipo ivyo hadi manesi wenzangu hunichukia zay from Iraq

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому +1

    Kweli kabisa dr kumbuka , ipo sana hiyo

  • @kojahelly9165
    @kojahelly9165 3 роки тому +2

    Kweli Kumbuka kabisa mimi naikumbuka siku moja nimepelekwa hospital sasa mie nimuoga sana wa shindano bsi sister anga anamwambia yule mchoma shindano huyu muogaa kama nini ngoja tumshike kajibu we muaache tu ntamtiaa mabaooo sasa yaani nituliaa bila kupendaaa kweli kabisaaa

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 3 роки тому +1

    Yani baada nicheke yani nalia machozi yananitoka😭😭😭nilienda kuzaa amana nilitaka kufa na mwanangu Allah kwa rehma zake kanisimamia yaliyo nikuna sina ham sitosahau mpaka nakufa ila nimewasamehe

  • @wardaabdallah1469
    @wardaabdallah1469 3 роки тому

    Jamani matatizo hayo temeke uspitali tobaaa haswa sehem ya ultra sound utakoma pale ni byeshara ya tissue kwenda mbele 😭😭😭😭

  • @fatumakadori9533
    @fatumakadori9533 3 роки тому

    Kweli kabisaa nilipeleka mgonjwa dokta anamuuliza Aya wewe unaitwa Nani Mimi namwambiya anaitwa Fulani anaanza kumgombeza uyo mgonjwa kwanini unazarau uyu mgonjwa anazarau kweli kumbe kashakufa ana mfokeya maiti

  • @ayshah.8123
    @ayshah.8123 3 роки тому

    Jamaniiii Dr nakupenda yamenitokea nilitaka kuwasaidia tz watu nikakasilika sana haswa mimi nikazi yangu huku nje. Nikasikitika sanaaaaa nakuomba waambie sana

  • @rehemamapande4680
    @rehemamapande4680 3 роки тому +3

    Waambie kumbuka huwa wanajiona wamefika wanasahau Kama maisha tunategemeana ngoja wakukute wewe Sasa kwenye eneo lako la kazi wajichekesha Kama mzungu mgeni waonekane wastaraabu

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому +1

    umeongea jogoo wahudumu wengi wao hawana adabu wanajiona wamefika mi mwenyewe nna hasira nao atari.

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 3 роки тому +1

    Aslm alkm kaka zangu na dada zangu kwa majina fatuma Said mm mkenya napenda kutetea umma jee mwaeza nisaidia vipi jinsi ya kufanya hii kz munifundishe plz naomba jibu

  • @mayasama147
    @mayasama147 3 роки тому +2

    Leo umenigusa hatar ningezaa kabla ya miezi hapo zakhem hospital pameoza jamani....

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому +1

    Wanatakiwa manager awe anapita kila mara kuwacheki watu wazembe kwani hiki kime kua too much

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 3 роки тому +2

    Wanaweza kumsemanga mgonjwa na kumuona kama taahira sababu ya ugonjwa wake

  • @khadijaamour7654
    @khadijaamour7654 3 роки тому +2

    Unaumwa uchungu nesi unamkuta kapaka hina kuchani, eneo la kazi kweli mtu anapaka hina

  • @hibbatkhalt2363
    @hibbatkhalt2363 3 роки тому +1

    Safi

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 3 роки тому +1

    Yashantokeaga sema kijijini kwetu mi niliwachamba kwa kweli!

  • @aishachambo3293
    @aishachambo3293 3 роки тому +3

    Wapeeeeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 3 роки тому +1

    Yaani kweli kabisa

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 роки тому +1

    Kbsaa wadum wanakera kwely

  • @halimakihame1744
    @halimakihame1744 3 роки тому +1

    Yani kila siku nakusikiliza reo nskupa.1000 zote zako

  • @suleimansalim8744
    @suleimansalim8744 Рік тому

    wauguzi muna dhambii nyieeee

  • @reinampoma4667
    @reinampoma4667 3 роки тому

    Maneno kuntu Dr kumbuka kweli kabisa awa tendei haki wagonjwa. Tena usiombe umepata Shida ucku eti doctor kalala hasa wanawake.nishida kasabisa.

  • @violethmtalemwa5190
    @violethmtalemwa5190 3 роки тому

    Yahani hiyo ya wahudumu wa hospitali haswa wanawake hawana wito kabisa na hii kazi wanakera sana

  • @princessshannia4215
    @princessshannia4215 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣sawa tutafanya hivyo ahsante sana kwa ushauri wako Dr kumbuka

  • @mamumiyaskitchenvlogs5858
    @mamumiyaskitchenvlogs5858 3 роки тому

    Kumbuka eti, head spin😂😂😂uhondooooo

  • @janethmgonja409
    @janethmgonja409 3 роки тому +1

    Kweli hawana maneno mazur kabisa

    • @janethmgonja409
      @janethmgonja409 3 роки тому

      Tena na. Manes wanaowasaidia wa mama wajawazito kujifungua ndo wanatabia mbaya

  • @maimunaamani680
    @maimunaamani680 3 роки тому

    Wamenikumbusha hospital.mwananyamala namwita nesi njoo mtoto keshatoka bila kuniangalia kanipiga kibao.baada yakujifungua bila aibu naomba hela yasoda

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 3 роки тому +1

    Wapeeeeeee

  • @lidyangonyani5180
    @lidyangonyani5180 3 роки тому

    Kumbuka ilinitokea mimi mume wangu kuandikia vifaa vya uparesheni elfu 50 nilijifungua kawaida nurse alitokomea navyoo

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi6547 3 роки тому

    Kwl kbs

  • @lidyangonyani5180
    @lidyangonyani5180 3 роки тому

    Sitamani kuumwa wana initokee kuumwa wauguzi chefuuuuuu fyuuuuuuuuuu

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 роки тому +1

    hapo uwe na uchungu wakata ufungue ukakoma

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 3 роки тому +1

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀kumbuka akeeeeeeeeeeeeeh😁😁😁

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 3 роки тому

    kumbuk umesem kwali man wanajion ndo wamemaliza kazi wakat Kaz ni wito2 lkn wagonjwa tuna nyanyasik sn hiz za serikali ni shidaa tupu wamezid jp so wote lkn asilimia Mia ndo tabia zao

  • @rhamaosmani443
    @rhamaosmani443 3 роки тому

    Yani kumbuk utaniua mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +1

    🤔😂😂😂😂👌

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 3 роки тому

    wapee baba njo maana zingine ichi wanatuzidi kila kitu mimi nafasi nipo camera zinajaa hospital nzima wapee

  • @shufaaattass1920
    @shufaaattass1920 3 роки тому

    Haswa hao wanawallke wachafu wa tabia wanajiona pumbavuu wakubwa

  • @axiommirgab882
    @axiommirgab882 3 роки тому +1

    😃😃😃🤣

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 3 роки тому

    Ila nikweli kabisa

  • @dottokulwa9145
    @dottokulwa9145 3 роки тому

    Yani wape vidonge vyao hawajui majukumu ya kazi ya mwisho wa mwezi tu tena wanamatusi usiombe tena wanawake ndio sana

  • @mauahamisi7547
    @mauahamisi7547 3 роки тому

    Zakhiem pale huduma zao ziro kabisa

  • @noorayaqoot1294
    @noorayaqoot1294 3 роки тому +1

    Kweli maneno yako na hiyo ndio ilivo na wakifukuzwa kazi wanalia. Jee wao wakiugua watakubali huduma hizo mbaya?

  • @mamukassim4075
    @mamukassim4075 3 роки тому

    Mim. Asa ivi Nina tabia mbaya. Mtumishi yoyete. Akijishauwa na mrekodi napeleka video kwa manager wake

    • @stellacometar6145
      @stellacometar6145 3 роки тому

      Wanakataza cm nimeona hospital ya amana nililazwa cku 6 niliona km mwaka yani manesi wana maneno machafu kwa wagonjwa huduma mbovu hospital inavuja na cm wanakataza ili tusirekodi madhambi yao ila Mungu atawalani

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 3 роки тому

    Waambie wapumbavu ao

  • @pettywilliam4492
    @pettywilliam4492 3 роки тому

    Unaongea ukweli kabisa

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 3 роки тому

    Na vicheko😃😄😄