Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

KUMBUKA KAFUNGUKA "MIMI SIO MCHAMBAJI, NIMEJISOMESHA QT, NINA VYETI VYA UANDISHI, NIMEPITIA MAGUMU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 бер 2021
  • Kutana na Mtangazaji wa radio Dr Kumbuka ambaye ameshare na sisi aliyopitia, ikiwemo kujisomesha QT akiwa Mtu mzima na leo hii tayari anavyeti vinavyomtambulisha kama mwandishi wa habari mwenye level ya Diploma. PLAY hapa kumtazama.

КОМЕНТАРІ • 82

  • @janetmlulla374
    @janetmlulla374 3 роки тому +5

    Hahahaha!!! I love you Kumbuka nimecheka saana Wallah khaa?? Ila uko vizuri Sana, keep inspiring others.

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 2 роки тому

    Big up, kweli wewe Ni dhahabu iliyochomwa Moto ikangara, Dr Kumbuka Mungu azidi kukuinua Sana, tunakuombea🙏🙏🙏🙏🙏💅

  • @castoljmwalyego3778
    @castoljmwalyego3778 3 роки тому +6

    Dah..Maneno yako ya taarabu yananipa raha,na ujumbe uko fire

  • @edithamakanzo6023
    @edithamakanzo6023 3 роки тому +1

    Nakukubali sana Dr Kumbuka, nakuombea ufikie huo u Dr. wa ukweli kweli
    Inawezekana endelea baba

  • @graceedson5133
    @graceedson5133 3 роки тому +3

    Nakupenda kumbuka, ulipambana sio mchezo QT upate Two ya 19.

    • @magreth7981
      @magreth7981 3 роки тому

      ☝️😅 wewe Mungu anakuonaa !

  • @godwindiana6288
    @godwindiana6288 3 роки тому +1

    Hongera Dr.kumbuka kwa kujiongeza.

  • @johndeus577
    @johndeus577 3 роки тому +3

    Kumbuka uko vzr

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 роки тому +5

    Km kazi rahisi na wewe bwata!😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kumbuka wee!!

  • @bakarisaady181
    @bakarisaady181 3 роки тому +3

    Kuna wakati mwingine Kumbuka yupo vizuri💯

  • @40kstore
    @40kstore 3 роки тому

    Una point sana

  • @habibaselemaniasantesana9774
    @habibaselemaniasantesana9774 3 роки тому +1

    Uko vizuri kumbuka

  • @fatialamri2258
    @fatialamri2258 3 роки тому

    Maneno yako kweli wallah nime penda mie kukaa bila pesa siwezi apa oman kila biashara nataka kujaribu Alhamdulilah pesa napaata uongo Alhamdulilah

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +7

    ILA ANA PONT DAH🙏

  • @evaristmrope
    @evaristmrope 3 роки тому +3

    Nimejifunza kitu🤙

  • @ramboiddrambo3056
    @ramboiddrambo3056 3 роки тому +4

    kumbe kumbuka unaongeaga point mda mwingine

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 роки тому +1

    Dr. Kumbuka umejaaliwa kipaji cha kuongea

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 3 роки тому +2

    Kakaangu kumbuka sema umwjiongeza mwenyewe ukumbuke kuaanzia nasary ulifundishwa na baba ila hongera kwa hili unafundisha vijana wajiongeze kama wewe wachukue mfano kutoka kwako🙏🙏

  • @allywawete5769
    @allywawete5769 3 роки тому +2

    Good ayo tv

  • @marycianaanthony6385
    @marycianaanthony6385 3 роки тому +1

    Usipocheka kwa maneno ya DK. KUMBUKA ndo basi tena😂😂😂😂

  • @zulekhabaksh686
    @zulekhabaksh686 3 роки тому

    Hongera baba umejitahidi

  • @Sppah697
    @Sppah697 3 роки тому +1

    Kumbuka unafanana an Hamisa Mobeto!

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 3 роки тому +4

    Mashavu yameshuka kama taulo la gest🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 siyo kwa kujichamba huko looh

  • @FujoohTV
    @FujoohTV 3 роки тому +2

    Kumbuka tunakukaribisha studio yetu ipo tabata barakuda

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 роки тому +5

    Adi huni chokonoe 🤣🤣🤣👌🏽asa????

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 роки тому +2

    Hahaha Niitieni Kumbuka🤣🤣🤣🤣

  • @Sppah697
    @Sppah697 3 роки тому +3

    Puwa ndefu kama mshumaa wa pasaka😜😜😜😜😁😁😄😄

  • @hermankifyasi8073
    @hermankifyasi8073 3 роки тому +2

    Big up sana

  • @254comedscollection2
    @254comedscollection2 3 роки тому +4

    nisisemwe kwan mi hela😁😁😁😁

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 3 роки тому +2

    😎

  • @dotahamad6640
    @dotahamad6640 3 роки тому +2

    Baba afi amekata lifaa kama unatengemea mali za urithi tujuane

  • @majidfrolian4904
    @majidfrolian4904 3 роки тому +3

    🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪Eti Hadi Ela inasemwa 😂😂😂😂😂😂😂

  • @wardamzuka3997
    @wardamzuka3997 3 роки тому +2

    Et wazee wamekata rufaa sikuiz hawafi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @tintendamour2089
    @tintendamour2089 3 роки тому

    So good

  • @fatmamshangama9824
    @fatmamshangama9824 3 роки тому +1

    🤣😂😂😂😂😊yani nikiwa na mawazo hua natafuta video za d kumbuka yani uwiii nacheka

  • @salgadozuhjar3471
    @salgadozuhjar3471 3 роки тому

    😄😄😄😄😄😄 daaah aisee yan kumbuka nampend san..

  • @priscamlyuka5531
    @priscamlyuka5531 3 роки тому +2

    Amentia moyoo tusikate tamaa vijana

  • @jacklinebazale5415
    @jacklinebazale5415 3 роки тому

    Kumbuka kibiko

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 3 роки тому +4

    Hahahaha pua ndefu kama mshumaa wa Christmas

  • @salmanyangasa1171
    @salmanyangasa1171 3 роки тому +1

    Vido leo kacheka mwanzo mwisho

  • @fahimally3923
    @fahimally3923 3 роки тому +1

    duhh

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 роки тому

    Well done dr kumbuka kwa kurudi shule 😅

  • @ivetharugambwa5668
    @ivetharugambwa5668 3 роки тому

    Kiukweli jua Kali umetisha darali🤪🤪🤪Leo nmecheka hatar

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 3 роки тому +7

    Jaman naomba number ya video vdox nampenda huyu kijana

  • @hillstv1688
    @hillstv1688 3 роки тому

    Jaman dkt kumbuka uje mum tusome wt degree of mass comm

  • @naamohamed1042
    @naamohamed1042 3 роки тому

    Etiii nyoka akidondoka mapunxiko mvua ikinyeesha likizo 😄 😄

  • @graceedson5133
    @graceedson5133 3 роки тому

    Kama umeweza kufaulu form four basi form six ni rahisi sana,pambana

  • @rayahamisi118
    @rayahamisi118 Рік тому

    Waambie wanasubir urithi

  • @davidjohn5503
    @davidjohn5503 3 роки тому +4

    Kwann kila aliyefanikiwa anasema kapitia magumu?

    • @tusajigwemathias1808
      @tusajigwemathias1808 3 роки тому +4

      Yaani lazima! Sbb unajituma ili usiludie yale magumu ulopita! Hamna kitu kibaya kama mateso ya utotoni k ukiwaza unajikuta unasonga kwa nguvu

    • @sadanassor4992
      @sadanassor4992 3 роки тому +1

      @@tusajigwemathias1808 kweli kabisa hakuna mafanikio bila misukosuko

    • @tusajigwemathias1808
      @tusajigwemathias1808 3 роки тому +2

      @@sadanassor4992 kweli tulopitia huko tunajua maumivu yake!! Lakini sasa tumekomaa na inafika wakati walokuwa wanakucheka kuwa huwezi wanabaki wanasema ni uchawi si bule, yaani hawawezi kusema moja kwa moja kuwa muachen jamani alipitia magumu acha Mungu amuinue tu!

    • @zaydelabay9776
      @zaydelabay9776 3 роки тому +4

      Utafanikiwa vipi kama ujateseka? Labda kama kwenu kuna hela

    • @tusajigwemathias1808
      @tusajigwemathias1808 3 роки тому

      @@zaydelabay9776 kabisa kabisa!

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 роки тому

    Embe ng’wang’wa du unanikumbusha kilosa ba mdogo songa

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 роки тому

    🤣🤣🤣😂🤣wanamchekaa dr uku anapanda mawinguni

  • @suleimanchidako9053
    @suleimanchidako9053 3 роки тому +2

    Hahahahaha haha

  • @faridithomas4859
    @faridithomas4859 3 роки тому +1

    Mzaramoooo!

  • @salmanyangasa1171
    @salmanyangasa1171 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣😂 eti uso umekushuka kama taulo la guest

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 роки тому

    Eti Mbwa wa Polisi kaona bange😂😂😂

  • @mosesbusanya3528
    @mosesbusanya3528 3 роки тому

    kuswaluka ndio nini???!!😅😅😅

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 3 роки тому

    😁😁😁

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому

    🙌🙌🙌😂😂😂😂😂😂

  • @Helleniification
    @Helleniification 3 роки тому

    😆😆😆😆😆😆

  • @gresitimoth4142
    @gresitimoth4142 3 роки тому

    😆😆😆😆