Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MIMI SIO MCHAMBAJI ILA NAONGEA KWA TEMPO, WATU WANAFKI SIWAKAWIZI NAWAPA HAPO HAPO- DR KUMBUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 сер 2020

КОМЕНТАРІ • 130

  • @ashaancalbby7589
    @ashaancalbby7589 4 роки тому +18

    Hongeraa Dr kumbuka Allah akujaliee kila la kheri kwenyee maisha yako akuepushe na sharii zote uweee na mafanikio zaid kwako na wenzioo ilii uweee mwanzo wa kuwasaidiaa wenzieoo

  • @ahyaanoppar6170
    @ahyaanoppar6170 4 роки тому +12

    Allah amjaalie kher na amfanyie wepes wa kazi na amfikishe mbali zaid 🙏🏾

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 2 роки тому

    Nawaomba watu wa mitandao yote dr kumbuka mumpe tuzo kwasababu watu Wana nunua vifurushi kwa wingi na kuweka data ili wamsikilize kumbuka naomba mumtendee haki kiukweli.dr kumbuka uko vizuri Sana mshukuru mungu kakupa kipaji kweli cha kuongea.

  • @goaikamisa5367
    @goaikamisa5367 4 роки тому +1

    Nakupenda bulee kumbuka yani unanifulaisha sana nikiwa na angaliya vipindi vyako mungu akusimamee katika kazi ya mikoyako

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Рік тому

    Hongere kumbuka mungu akutangulie pia mtangulize kwa kila jambo

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 роки тому +4

    jmn mm nimechokaaaa jmn uyu kiumbe ni shida ❤️simama na nguzo ya Allah. utafika unapo taka.

  • @ashaancalbby7589
    @ashaancalbby7589 4 роки тому +15

    Yaaani saiv uhondo utanogaa balaaaa

  • @maythomas4019
    @maythomas4019 4 роки тому +8

    Nakupendea bule Dr mwenye kumbukumbu yako

  • @mariasshilla4528
    @mariasshilla4528 4 роки тому +2

    Kumbuka nakuelewa Sana kaka ukija moro Karibu kihonda

  • @diarukiamohameddiarukiamoh1989
    @diarukiamohameddiarukiamoh1989 4 роки тому +5

    Umeongea vizuri dr kumbuka

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 3 роки тому

    Tunakupenda saana mie moja kumbuka nakupenda

  • @hadiyasalim788
    @hadiyasalim788 4 роки тому +1

    Kumbuka ni kiboko wasishindane na mwenye kipaji mwenye kipaji huwasha taa kwa maji na utambi ukawaka

  • @omanmuttrah4132
    @omanmuttrah4132 4 роки тому +1

    Umetoka kwenye maisha ya kimasini kumbuka mungu hatakujali utafika mbali kaka nakupenda sana kaka unalimisha jamii

  • @mariammulumba9444
    @mariammulumba9444 4 роки тому +2

    Jmn bro nakupenda mpk basi ! Dr kumbuka ishi miaka yote❤❤❤❤Allah azidi kukupa amani tele ktk moyo wako!

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 4 роки тому +1

    Kumbuka yaani huwa unanichekesha sana mbavu zangu kumbuka uko juu kumbuka

  • @veronicamaganga8737
    @veronicamaganga8737 4 роки тому +1

    Kumbuka wewe endelea kupiga kazi usijali maneno ya waja, Mungu ndie mpaji

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 роки тому +2

    Dr kumbuka unatosha hapo🔥🔥🔥🔥

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 4 роки тому +5

    Dina weka Uhondo Live..tuwe turned in kwa wale tusio na radio au nje ya nchi

  • @lydiafrank9499
    @lydiafrank9499 3 роки тому

    Nakupenda sana ww kaka uko real na unasema ukwel asaa unajua nn unafanya god bless u

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 роки тому

    Hongera sana Dr kumbuka, Allah akusimamie katika kazi zako, na akupe mafanikio wewe na Familia yako 🙏.

  • @jdjdjdjjdjdj180
    @jdjdjdjjdjdj180 4 роки тому +4

    Welcome bro, l love your show alot watching from Norway lslo 🇳🇴.

  • @pilirwambo3418
    @pilirwambo3418 4 роки тому +1

    Kumbukaa nakupenda bureeee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 4 роки тому

    Mashallah M.mungu akubariki sana ktk kazi yako kwa kweli tunakupenda sana Hongera sana

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 3 роки тому

    Maa sha Allah, mungu akuongoze kwenye kipaji chako.

  • @hawaabdallah4782
    @hawaabdallah4782 4 роки тому +2

    Hongera Sana kumbuka

  • @zeinabali5809
    @zeinabali5809 4 роки тому

    Kumbuka una nifurahisha sana mungu atakulinda

  • @nmsholdings5320
    @nmsholdings5320 4 роки тому +3

    Ila uhondo mmepatia sana maana napenda maneno ya Kumbuka yaani nacheka ananitoa stress.

  • @fettlove8204
    @fettlove8204 4 роки тому +12

    Nitasikiliza leodio kwa ajiri yake

  • @hurumamwechiwa7456
    @hurumamwechiwa7456 2 роки тому

    Uko vizur kumbuka,,,unanizuuza!!

  • @dianalisakafu1602
    @dianalisakafu1602 4 роки тому +2

    Huyu mkaka nampenda bure nampnd sanaaaa daah

  • @beatriceluhende4671
    @beatriceluhende4671 4 роки тому +1

    kumbuka kama kumbuka natamani cku moja mama angu akuone live

  • @halimahassan4535
    @halimahassan4535 4 роки тому

    Masha Allah mungu akuzidishiye ndugu

  • @haleemabilali1733
    @haleemabilali1733 4 роки тому +1

    hahahahhahhaahahahah jamani nimecheka loh kumbuka nakupenda hayo maneno yako sijui umesomea hayo majibu sijui hahahahhahahahhaha

  • @esadkulovic6777
    @esadkulovic6777 4 роки тому +1

    Kumbuka all the way from Croatia,me ni Zena kwetu ni kenya naishi Croatia,nimefurahi kukuona tena especially efm,iam your big fun,mungu akuendelezee zaidi,wewe ni zaidi ya hapo bro keep it up uko juu,tupe bro nasubiria mengi kutoka kwako.

    • @ahmedathman1624
      @ahmedathman1624 3 роки тому

      From zagreb ama wapi

    • @alicealbert6877
      @alicealbert6877 3 роки тому

      Kumbuka mwenyezi mungu akutunze vyema nakupenda bure unaelimisha jamii

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 роки тому

    Hatareee sana, Dr kumbuka wewe kiboko 😃😃

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 3 роки тому

    Hongera

  • @sgfdhaikuhusu6086
    @sgfdhaikuhusu6086 4 роки тому +2

    Nampenda huyu mm hayo maneno yake tuu mm hoi

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 роки тому

    MashaAllah hongera sana Dr kumbuka

  • @G.S985
    @G.S985 4 роки тому

    Penda sana Dr Kumbuka, super man

  • @ahmedkhalif8761
    @ahmedkhalif8761 3 роки тому

    Dr kumbuka the best

  • @nyokskinyah8246
    @nyokskinyah8246 4 роки тому

    Kutoka kenya nampenda Dr, sana

  • @nusraabdul8268
    @nusraabdul8268 4 роки тому +4

    Hongera nami nakupendaga

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 3 роки тому

    Nakupenda bureee dr kumbuka

  • @MctMct-tt4rq
    @MctMct-tt4rq 4 роки тому +1

    KILA LA KHERY KUMBUKA ❤❤❤❤❤👍

  • @halimaauthman9324
    @halimaauthman9324 4 роки тому

    Napenda sana maneno yako kaka kumbuka

  • @ashaancalbby7589
    @ashaancalbby7589 4 роки тому +12

    Yaaani wewe pambee tuu

  • @floridakijyombo1923
    @floridakijyombo1923 4 роки тому +1

    Nimekupenda bure kumbuka upo vzuli sana

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 роки тому

    Dr kumbuka unanidai👌❤❤❤❤

  • @hopejohn6334
    @hopejohn6334 4 роки тому

    Dokta kumbuka hvi unajua nakupenda xna jaman

  • @winfridajoseph2935
    @winfridajoseph2935 4 роки тому

    Uhondo imekuwa nzuri safi sana

  • @omanmuttrah4132
    @omanmuttrah4132 4 роки тому +1

    Kaka unawapasha sana nimekumisi unawanyosha sana watu

  • @deboraluhendeka8815
    @deboraluhendeka8815 4 роки тому

    Nakupenda bure Dr kumbuka

  • @mamyraya3824
    @mamyraya3824 3 роки тому +1

    Hahaha nkpnda sana broo

  • @preciousprosper4236
    @preciousprosper4236 3 роки тому

    Ubarikiwe kaka

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 роки тому

    Nakukubali San kumbuka

  • @aiysharamdhan899
    @aiysharamdhan899 4 роки тому

    Nakupenda Sana

  • @trimmydady861
    @trimmydady861 3 роки тому

    A a kumbuka endelea allah 🙏 mbele wachana na viskrungwengwe

  • @aiysharamdhan899
    @aiysharamdhan899 4 роки тому

    Waooo nimependa sana

  • @winfridamwamban1078
    @winfridamwamban1078 3 роки тому

    Hongera zako

  • @atuganilemwakasege3277
    @atuganilemwakasege3277 4 роки тому

    Nakupenda dada dina

  • @arikasisolution2253
    @arikasisolution2253 4 роки тому

    Namkubali sana dr hahahaha raha sana kumskiliza

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 4 роки тому

    ❤❤❤❤❤❤Kumbuka

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому

    Wewe kumbuka noma sana

  • @samwelirobert2576
    @samwelirobert2576 4 роки тому

    HR KAMA HR

  • @wendyeliezer6419
    @wendyeliezer6419 4 роки тому

    mambo ni pambe kipindi kimenoga Dr kumbuka ni fayaaaaa

  • @josephlaban9126
    @josephlaban9126 4 роки тому +1

    Kalibu kwenye CHAMA la waswahili e fm

  • @kelvinokelo7992
    @kelvinokelo7992 4 роки тому +4

    Huyu bwana anapanga maneno😆

    • @zulekhaally3524
      @zulekhaally3524 4 роки тому

      Yanamtoka tu maana ukiyapanga asinge weza kutiririka ivi kwakweli

    • @bishuu9333
      @bishuu9333 3 роки тому

      Nakupa hongera dk. Kumbuka Mungu akulinde ishaallah

  • @kaliauboo2613
    @kaliauboo2613 3 роки тому

    Jmn hd raha

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому

    Na wengine huwa hawajui kama mwalim anaweza akapitwa na mwanafunzi ndio maana mwalim anaweza akawa mwalim tu na mwanafunzi akawa Raisi au waziri hiyo ni shani yake mola sasa wapo wenye roho mbaya akikuvuta akiona unampita anaanza kusiliba anafikiri wengine nao watakuangalia kama anavyokuangalia yy.

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому

    piga kazi mwanangu watoto waende maktaba kuu achana na wenye roho korosho.

  • @omanmuttrah4132
    @omanmuttrah4132 4 роки тому

    Ongela sana kaka upo vizuli

  • @officialnaa8470
    @officialnaa8470 4 роки тому

    Yani ata ukiongea kutwa Mimi sawa tu unafurahisha sana sana hiyo mineno

  • @emmyloveemmylove6584
    @emmyloveemmylove6584 4 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌🏾

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 роки тому +3

    Uhondo sasa imetimiya😂😂😂

  • @beatricentakarutimana6074
    @beatricentakarutimana6074 3 роки тому

    Kukupenda bure Dr kumbuka

  • @aliaalooya3896
    @aliaalooya3896 4 роки тому +2

    😂😂 Eti siku saba kama yupo eda

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому

    Kumbuka wewe yani uko poa sana

  • @tatuabdu1364
    @tatuabdu1364 3 роки тому

    Kumbuka kukupenda tu

  • @teddlyimo6020
    @teddlyimo6020 4 роки тому +2

    Nieleweshen kumbuka karudi redio efm

  • @amenaameeena3317
    @amenaameeena3317 2 роки тому

    Mwanzani nilikuwa.sijakujua vizuri wewe unashauli vizuri

  • @fadhilavicent9413
    @fadhilavicent9413 4 роки тому

    Ongera kumbuka

  • @mwanamismasud7637
    @mwanamismasud7637 4 роки тому +1

    Kumbuka unaongea sana kama umechelewa kutembea unanikoshaga ww

  • @hellenamasinjisa5448
    @hellenamasinjisa5448 4 роки тому

    Wewe Kaka ww mhm hatari Sana

  • @baluu5859
    @baluu5859 4 роки тому +1

    Jamani nipo mbali na tz tunaangalia kwa you tube so nipe jina lako la youtube live

    • @stellakilowoko3675
      @stellakilowoko3675 4 роки тому

      Yani nakupendaga wewe kaka ,hayo maneno yako yanaitiaga raha

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 4 роки тому

    wapo wengi hao mwengine anakusaidia halafu anataka umsujudoe hicho kitu hakiwezekani

  • @tausijarufu
    @tausijarufu 4 роки тому

    ❤️

  • @gracenestory9384
    @gracenestory9384 4 роки тому

    Hi

  • @marysengo2834
    @marysengo2834 3 роки тому

    Kutoka Morogoro ..Ujenzi..Dr mwenye kumbukumbu zake tunakupata na hongera saana kwa hatua hiyo...ukweli utabakia ukweli..no one like you..fact

  • @mukhusinishaaban6309
    @mukhusinishaaban6309 4 роки тому

    Teeeenaaa

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 4 роки тому

    Kwa sasa shabik namba moj wa uhondo

  • @assiakwinnj4910
    @assiakwinnj4910 4 роки тому

    Kumbuk kama kumbuk😂😂😂😂😂

  • @aishahamissi3775
    @aishahamissi3775 3 роки тому

    😀😀😀😍

  • @zainabsisso3544
    @zainabsisso3544 4 роки тому

    Nimechekaa.eti asinunue vitafunio vya jero.duu

  • @nareensaleh4957
    @nareensaleh4957 4 роки тому

    Nakipenda hiki kipindi kwasababu ya kumbuka

  • @user-gp5wf2jd6p
    @user-gp5wf2jd6p Рік тому

    UKO VIZURI

  • @dottokulwa9145
    @dottokulwa9145 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣kaka wanikosha

  • @halloummasuod3722
    @halloummasuod3722 4 роки тому +1

    😂😂❤❤

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 4 роки тому

    Vp

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому

    MUNGU akululinde SIKU zote

  • @romadanromadan4398
    @romadanromadan4398 4 роки тому

    Ndiyo brother MDOMO wako dawa