Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

DR KUMBUKA - KUZAA MAJAALIWA MSIWAELELEZE WATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2020

КОМЕНТАРІ • 104

  • @patrickmgata9574
    @patrickmgata9574 3 роки тому +41

    Mie wa 7 naombeni like hata 10 tu nitambe

  • @yusraikram2214
    @yusraikram2214 3 роки тому +6

    Kumbuka kweli kuna mdada kakaa kwa mume miaka nane ajazaa alivoachwa kakaa miezi nne kapata ujauzito sasaiv anamtt

  • @susanejd7775
    @susanejd7775 3 роки тому +11

    Ni kweli kutozaa imekua kama laana unapewa na kila mtu. Mtoto ni rizki mtoaji ni Mungu. Asante dr. Kumbuka waache waikumbuke hii

  • @uwimanauwimana7303
    @uwimanauwimana7303 3 роки тому +15

    kumbuka. punguza maneno. unaongeya. sana unaniumiza mbavu 🤣🤣

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭
    Dr kumbuka umenigusaaaa 😭😭😭😭😭😭 Ila nahamini mungu Ndo mtoa rizki

  • @fatmahamisikipindura6640
    @fatmahamisikipindura6640 3 роки тому +1

    Kweli iweeee yamenikuta hayo kumbuka yani tunanyanyaswa kweli

  • @mamunote3507
    @mamunote3507 3 роки тому +1

    Mashallah Mashallah M.mungu awabariki sana ktk Uhondo nakipenda sana hiki kipindi
    Dr Kumbuka unatufurahisha sana Jazakah Lwah Kher Akhui

  • @tumainyusuph6783
    @tumainyusuph6783 3 роки тому +8

    Miguu mirefu kama gagulo la kisomari dr ninoma😂😂😂

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 3 роки тому +4

    Kumbuka usisahau na wakewenza pia wanatabu kama daln anavyomuelelez mke mkubwa wa isiaka dada wa watu hana raha ni vijembe tu uko ist anamnyima mwenzie raha kama yeye ndo wakwanz kubeba mimba dunian sema jogoo na hili

    • @aoman5214
      @aoman5214 3 роки тому +1

      Hujielew wewe hebu fatilia anaemuanza mwenzie ni Nani halafu urudi uandik hayo unayoyasema

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 3 роки тому

      Ukewenza ni kujitakia we mwanmke...

    • @belak999
      @belak999 3 роки тому

      @@masalakulwa7601 tena kujitakia kweli

  • @mouhamadbakri9720
    @mouhamadbakri9720 3 роки тому +2

    Eti nini mwenye uso urefu kama mtaa ulokosa mdjube 😂😂😂
    Hilo nalo neno first fan from # 🇨🇵 faransa

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 3 роки тому +3

    Sema baba yalinikuta hay sin ham

  • @janethmalaika5241
    @janethmalaika5241 3 роки тому +1

    Umesema kweli Dr ,tena inasikitisha sana kumuona mwanamke mwenzie do anaemtukana hivo yaani inaumiza sana kwakweli .

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 3 роки тому +1

    Is true Dr.kubuka nacikiza nikiwa Qatar from Kenya, i like your speak.

  • @manchusechuse3486
    @manchusechuse3486 3 роки тому +1

    😂😂😂wallah wapeeeeee vidongeee vyaooooo nakkubal mnooooo 👍

  • @hakikahoman615
    @hakikahoman615 3 роки тому +1

    we waambie wasikieeeeeeee👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 роки тому

    Chamba hao yani ww kk nakukubari sana kwa michambo mashaa Allah umejaaliwa

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 3 роки тому

    Safi sana Dr Kumbuka, waambie hao 👌👌👌

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 3 роки тому +13

    Yani hii kama nikampe dadangu aweke status yake lkn ngoja nitulie tu

  • @firdausgreen1391
    @firdausgreen1391 3 роки тому +2

    Tusikate tamaa na rehma za Allah...

  • @edasipaja9282
    @edasipaja9282 3 роки тому

    Hlo gagulo LA kisomari VP
    Dr mungu anakuona ila hujawai kusea

  • @eshialabonita7736
    @eshialabonita7736 3 роки тому +2

    Ahsante kumbuka umemaliza kila kitu

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 3 роки тому

    Unanikosha Kumbuka wangu😁😁😁😁

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 3 роки тому

    Lkn dr kumbuka anasema kweli hy

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 роки тому +1

    Daaaaah inauma Sana bas Tu

  • @salamamohammed5446
    @salamamohammed5446 3 роки тому +1

    Din nampend yuko pis san sophia analoho ya kwann na shung lake

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 3 роки тому

    WAAMBIE KIJANA. SEMA SEMA KAKA WEEEE. UKWERIII MTUPU. DAAA MUNGU AKUJARIE MANENO YAKO NI YA UKWERIIIII DAAAA JAMANI

  • @whiteensign1407
    @whiteensign1407 3 роки тому

    Dr Kumbuka kama Dr kumbuka

  • @loisekigio7438
    @loisekigio7438 3 роки тому

    Dr kumbuka kweli hiyo,tumepitia kisa sijaaliwa na mtoto.

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity4503 3 роки тому +2

    Na wengine sio mama anakua yeye ni adui wa wanae😤😤😤

  • @halishmwarua2957
    @halishmwarua2957 3 роки тому

    Kweli Dr kumbuka 👏👏👏

  • @sizadarat4176
    @sizadarat4176 3 роки тому

    Sema kaka yamenikuta hayooo .mulemule

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому

    Mume mwenye mamae hunaamlaka nae kanga hiyo Dokta kumbuka.

  • @amathaathanasi2638
    @amathaathanasi2638 3 роки тому +1

    Kbc dkt sema baba semaaaa

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 роки тому +3

    Jamani mm jimezimia 😂😂😂😂

  • @husseinjongo7588
    @husseinjongo7588 3 роки тому +1

    Ila kweli👏😔

  • @zeriamdee7381
    @zeriamdee7381 3 роки тому +1

    Kweli kabisa

  • @esthersimbeye6896
    @esthersimbeye6896 3 роки тому

    Umegusa wengi bro asante sana

  • @vailethipyana2115
    @vailethipyana2115 3 роки тому +1

    Umenikonga moyo nnamaumivu makal

  • @user-qt1yh4iv5p
    @user-qt1yh4iv5p 3 роки тому

    Nakupenda buree 😅 😅 ukweli mtupu

  • @jacklinejimmy8965
    @jacklinejimmy8965 3 роки тому +1

    Dr kumbuka una visa kweli yaani mtu akisikia lazima ajikague

  • @du8284
    @du8284 3 роки тому

    Sema baba semaaaaaa💃💃💃💃💃

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 3 роки тому

    Dah point kubwa

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому

    Kweli kabisa doctor

  • @magrethsimtenda926
    @magrethsimtenda926 3 роки тому

    Hahahahahahaha jaman ningeweza nikupe mkono we kaka MUNGU akutunze hakika

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 3 роки тому

    kweli kabisa wt wanapitia hayo ten sn kila kitu na wakati wk lkn so wote watajuwa hayo ila kumbuk punguz vituko wanichekesha mm😆😆

  • @zubedabunto1296
    @zubedabunto1296 3 роки тому +2

    🙏

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому

    kuna wanawake nao wana tabia hizo mke unamuowa kwako ni mume wa nne kote alipopita huko ajajaaliwa kuzaa anakuja kwako anakutangaza mm nazaa 8la mume wangu jongoo hapandi mtungi kumbe muongo hataki kusema kweli na hataki mwende kwenye vipimo na anakudanganya mm naitwa mama fulani nimeacha mtoto kwetu kumbe mtoto wa ndugu yake kwa kuwa yy hajazaa anaamuwa kumpa cheo cha kulitumia jina la mtoto wake kwa hiyo kuna masimango kwa wakwe na kuna baazi ya wanawake wengine si wakweli.

    • @du8284
      @du8284 3 роки тому

      😂😂😂

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 3 роки тому +1

    Tupeeeeee wifi 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿🤣🤣🤣

  • @rehemakajembe1158
    @rehemakajembe1158 3 роки тому

    Uwiii dr kumbuka kilemba kama nn cha siafu walalh Alalh atufanyie kher ...🙄

  • @ujudiabdull9442
    @ujudiabdull9442 3 роки тому

    Yamenikuta ayo mimi huna raha kwenye ndoa kwabughudha yamtoto,mpk leo sina atahamu yandoa....nipo kwetu naenda namaishayangu....

  • @faridamwinyi5857
    @faridamwinyi5857 3 роки тому

    Umegusa ndipo dokta

  • @shardalove1159
    @shardalove1159 3 роки тому

    Heheheee kumbuka

  • @faudhiaibrahim5584
    @faudhiaibrahim5584 3 роки тому

    Unacheka ovyo kama chizi ameona ndugu zake wamekuja kumtembelea wodini😂😂😂

  • @missrukia9661
    @missrukia9661 3 роки тому

    Swadak taàaaaaa

  • @mamukassim4075
    @mamukassim4075 3 роки тому

    Pesa ya jumuiya

  • @fatumaphinias1919
    @fatumaphinias1919 3 роки тому

    Kweri nimeguswa

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 3 роки тому

    Sure

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому

    sahihi.

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 3 роки тому

    Maneno kuntu

  • @jafariramadhani3264
    @jafariramadhani3264 3 роки тому

    Kwelii

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 роки тому +5

    🤣🤣🤣Dr kumbuka mbavu zangu 🤣🤣🤣

  • @user-fv2sn7js7g
    @user-fv2sn7js7g 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤝

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 3 роки тому

    Apo chacha 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿😀😀😀😀

  • @adijarashidi1426
    @adijarashidi1426 3 роки тому

    🤩🤩🤩🤩

  • @sweetmeena5970
    @sweetmeena5970 3 роки тому

    Waah huyu mtu yuwaongea si mchezo

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 3 роки тому

    Asnte kumbuka waskili ma wifi na mam mkwe wenye tabia iyi mungu ndio anaetoa

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 3 роки тому +1

    Mm pia yananikuta hayo kwa mkwe mwenzangu ukiolewa mara ya kwanza nikapata watoto watatu mume akafariki nikalewa tena huku kwa sasa sijabahatuka kupata mtoto basi mkwe mwenzangu ananiita tasa kisa sijazaa na mume wake wakati Nina watoto upande mwengine tena wakubwa kuliko wake 😀😀😀

    • @belak999
      @belak999 3 роки тому +1

      We nawe unajitakia tu kuitwa hivyo, kinachokusababisha usitulie ulee wanao mwenyewe kitu gani? Watoto watatu bado unaenda kutafuta bwana wa nini? Acha wakutukane tu, sbb kwanza ungekuwa na hela usingetukanwa, huwa wanatukanwa maskini tu, NENDA KALEE WANAO ACHA KUJALI MBOOOOO KULIKO MAPENZI KWA WATOTO WAKO
      Yaani haya majina ya Fatuma jmn khaaaaa! Acha tu lile jiwe liitwe jiwe fatuma

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 3 роки тому

      @@belak999 nadhani jina langu na jina lako tu linaonesha kuwa mm na ww ni dini tofauti mm dini yangu inaniruhusu kufanya hivyo.kwa kuzuia kufanya uchafu wa zinaa lkn ww kwa upande wako sijui ila nataka ujue watoto wangu hawana shida na wanafurahi sana kwakua na baba wa kambo kwani hajawahi kuwabagua na anawatunza kama watoto wake wa kuwazaa sasa ww unataka nipoteze furaha yangu na watoto kwa maneno ya mke mwenza we vp achana na maisha yangu ninacho kujali ni furaha yangu mume hajawahi kunibugudhi kwakua sina tena unataka nifike niende nikahangaike na maisha kwa kosa la kusemwa sizai kwa ushauri uo bado labda nimshauri mwengine si mm na tutabanana hapo hapo

    • @belak999
      @belak999 3 роки тому

      @@fatmas7338 ungetaja tuachane na maisha yako usingetuhadithia upupu wako mtandaoni, na huyo mke mwenzio atakusimanga mpk ukome, unafikir anafurahia kuingilia nyumba yake? Hapo hauwezi jua cha dini yangu kupitia jina, ILA JUA TU HAKUNA MWANAMKE YEYOTE ANAFURAHIA KUINGILIWA MJI WAKE, uzinzi km haufanyi huo jua una dhambi nyingine HIVYO NGOMA DROO

    • @belak999
      @belak999 3 роки тому

      @@fatmas7338 dhambi mnaonaga ni uzinzi tu , ushamba bwana, hata km huyo mwanaume hatunzi hao watoto unawatunza kupitia hela ya mboga anayoacha unafikiri utasema? Ili uonekane hauna ndoa yenye amani
      MUDA UTAKUAMBIA TU UTAKUJA KUSEMA NINGALIJUA NISINGEPOTEZA MUDA, SBB UTAACHWA TU NA VILE WASHAANZA KUONA UMEJAZA WATOTO KWAKE NA HAUZAI 😅😅

    • @fadhilalukindo1659
      @fadhilalukindo1659 3 роки тому

      @@belak999 duh nimecheka Kwa nguvu sio Kwa maneno haya but yakweli kabisaaaa watoto watatu unaolewa tena utafute nn?si nakaa tu nawanangu tena wakubwa hivyo napumzisha roho

  • @highthemetv7857
    @highthemetv7857 3 роки тому +1

    ua-cam.com/video/vUHJ5D9TJus/v-deo.html
    👆👆👆👆👆👆👆
    Lifahamu Kabila la DANI Kabila katili 😭ambalo ukifiwa unakatwa vidole 😳kisha vinazikwa na mwili wa marehemu 😭

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 3 роки тому

    😁😁😁😁😁

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому

    Kuzaa ni maajaliwa ya Allah na atakae binadam

  • @aronnasloyaljr7945
    @aronnasloyaljr7945 3 роки тому

    Hahhh

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 роки тому

    Kuolewa ni lazima kuzaa maajaliwa

  • @joyanambuya3695
    @joyanambuya3695 3 роки тому

    😀😀😀😀hatarii

  • @mariamdavid957
    @mariamdavid957 3 роки тому

    😆😆😆

  • @mtangarupia7326
    @mtangarupia7326 3 роки тому

    Kweli kabisa

  • @madamboss348
    @madamboss348 3 роки тому

    Hahahaha