Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

UJUMBE WA DR KUMBUKA KWA WANAOJIMILIKISHA NYUMBA ZA KUPANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2020

КОМЕНТАРІ • 151

  • @everlyneasuma1817
    @everlyneasuma1817 4 роки тому +63

    Jamani like za kumbuka....piga kelele akeeee...

    • @raiye5621
      @raiye5621 4 роки тому +2

      𝑊𝑒𝑒𝑢𝑢𝑤𝑒𝑒𝑒𝑒𝑒𝑒𝑒🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 4 роки тому +18

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapagajiiii tujuanee

  • @mamoulovecherry5121
    @mamoulovecherry5121 4 роки тому +12

    MashaAllah da sofia najikupendea kwajili ya Allah napend sn unavyo va stara dada yang unanifuraisha sn

  • @salimali7930
    @salimali7930 4 роки тому +15

    Tume agana tuje mjini kila kitu tugawanye😂😅kenya tupo!

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 4 роки тому +4

    Hahahahahahaa mbavu zangu wewe doct kumbukaa umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍👍👍Mungu akubariki

  • @nyokskinyah8246
    @nyokskinyah8246 4 роки тому +3

    Dr. Kumbuka always follow u frm kenya

  • @khamoshmikidadi9262
    @khamoshmikidadi9262 4 роки тому +5

    Kifua km kapewa tenda y kunyonyesha majambazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbuka utauwa🤣🤣🤣

  • @noorkhamisi2490
    @noorkhamisi2490 4 роки тому +5

    Yani kumbuka nigekuwa Tz hii mada yaleo redio ningeweka Sauti yajuu saaaaana

  • @umimuthaz6141
    @umimuthaz6141 4 роки тому +3

    Nimecheka mpaka boss ananiuliza inthi majununi

  • @aishaally2730
    @aishaally2730 4 роки тому +2

    Sofia you look so cute mashallah

  • @fatmahaji8627
    @fatmahaji8627 4 роки тому +8

    Naomba mada kuhusu wanaume kutohudumikia watoto

  • @evankya1955
    @evankya1955 4 роки тому +2

    Hapo kwa tv yalinikuta wakati tunaanzia maisha. Mama mwenye nyumba alikuwa analazimisha Kuja kuangalizia mikanda ya taarab ndani kwangu na mume wangu. Mara ya kwanza nilibaki macho wazi nikampisha sebuleni akaangalia Hadi akaaga, Mara ya pili nikamtolea uvivu alinichukia Hadi tukaanza kujenga na kuhamia kwetu

  • @abubakharfadhili7688
    @abubakharfadhili7688 2 роки тому

    Jamani Dr kumbuka unayosema yote yapo 😂😂😂 yamenikuta mwenzio mpangaji anakuwa muamuzi wa yoteee mbambambamba nyingiiiii kwendraaaaaa kabisa

  • @mouhamadbakri9720
    @mouhamadbakri9720 4 роки тому +3

    Baba nakukubali mungu akubariki kuna wengine utafikiri watakufa nazo 😅😅😅 from # faransa 🇨🇵
    Ni shabiki wako kwengine sina labda nizaliwe wa wili safi

  • @veronicawilly82
    @veronicawilly82 4 роки тому +5

    Kumbukaaa u gonna kill me ooo

  • @mwajumathomas1594
    @mwajumathomas1594 2 роки тому

    Kunampangaji mwezetu yupohivyohivyo tunakaambagalajamani anatufanyiasivyodivyo sijuitumfanyeje lakinipoa itajulikana

  • @aoman5214
    @aoman5214 4 роки тому +2

    Hahahaha kweli kabisaaa watu kama hao wapo

  • @mwajumathomas
    @mwajumathomas Рік тому

    Huyo anaitwa Amina anakaa mbagala zakiem

  • @FatmaothmanFatmaothman-ch5oi
    @FatmaothmanFatmaothman-ch5oi 8 місяців тому

    Nikonayo ayo mmh tena mawifi wake wa ndugu wananichunguza usiku hawalali asubuhi wananihadisia jana jamaa Kala mzigo sana yani nikiinga chooni nikitoka wanaangalia nywele kama nimekoga janaba

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 4 роки тому

    Duh namshukuru Allah kunijaalia nikamiliki kibanda changu na sitamani kukodisha maana wapangaji wengine mara nakuletea hati ya nyumba akasema nyumba yake

  • @fatmamakalo3068
    @fatmamakalo3068 4 роки тому +2

    Nampenda kumbuka jmn mpk naumwa kwa michambo yke eti kifua km anyonyesha majambazi 😂😂😂😂

  • @lucyhaule5830
    @lucyhaule5830 4 роки тому +2

    Umenikumbusha mbali nilivokua nimepanga nyumba ilikua inavityuuukooo balaaa

  • @user-fv2sn7js7g
    @user-fv2sn7js7g 2 роки тому

    Yani umeongeya Kwer kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😁

  • @abdulkhamis4020
    @abdulkhamis4020 4 роки тому +1

    Jamani sura na Ukuta

  • @user-wj2ss1qk8k
    @user-wj2ss1qk8k 3 роки тому

    Kwel kabisa

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 4 роки тому +2

    Wuswahilini rahaaa saaaan

  • @sizadarat4176
    @sizadarat4176 4 роки тому +1

    Walah mnanipa raha kwa kwel cku cna MB nais naumwa sio kwa raha iz

  • @user-en6qq3rs8j
    @user-en6qq3rs8j 4 роки тому +1

    Kelele kwa kumbuka nice ujumbe💔💔💔💔

  • @modadiiiooop3336
    @modadiiiooop3336 2 роки тому

    Maisha shikamoo .

  • @camillacaroline8996
    @camillacaroline8996 4 роки тому +1

    Ha ha haaaa uso mpana Kama round about ya kigogo😂😂😂

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 4 роки тому +1

    😂 😂 😂 😂 Wa kwanza leo

  • @madamboss348
    @madamboss348 4 роки тому

    I missed u kumbuka from kenya

  • @zawadikasimkasim5502
    @zawadikasimkasim5502 4 роки тому +1

    Nc

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 роки тому

    Hatariiii 😀😀😀😀

  • @mariamsaidi7625
    @mariamsaidi7625 4 роки тому +1

    Wa pili nakupenda Dr kumbuka

  • @hajerjasem7981
    @hajerjasem7981 4 роки тому +1

    Hahahaha wataelewa tuu huu ndo uhondo jogoo kawika😂😂😂😂😂

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 4 роки тому +2

    Alhamdulilah am 20 na nina yangu tayari na sitak wapangaji labda mmoja tu tena baadae sana

  • @mtangarupia7326
    @mtangarupia7326 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Duuuuh kaka ww nakupendaga sana wallah unasemaga ukwelii yn lazima wabadilike kudadadeki

  • @shamsakarimu6276
    @shamsakarimu6276 2 роки тому

    Oyooooooooooo🤸🤸🤸

  • @beatriceluhende4671
    @beatriceluhende4671 4 роки тому +1

    Hahaaaaaaa kumbuka kama kumbuka weeuweeeeee piga nyundo

  • @evaasenga6351
    @evaasenga6351 4 роки тому +1

    Nilkiteseka sana nyumba ya aina hiyo jaman

  • @swaumurehema3040
    @swaumurehema3040 3 роки тому

    Sana 👍👍👍🇹🇿🇦🇪

  • @fatmaally859
    @fatmaally859 4 роки тому

    Kweli kabisa wala hujaongopa hahahaha me huwaga nakupendaga kumbuka akeeeeeee

  • @zainabubakari8489
    @zainabubakari8489 4 роки тому +1

    😆😆😆😆

    • @zainabubakari8489
      @zainabubakari8489 4 роки тому

      Doctor kumbuka mungu akupe maisha marefu uwiiiiiii mbavu zangu mie yn usemayo yakujimilikisha nyumba yamenikuta na mm yn hadi kero nyumba zngn

    • @zainabubakari8489
      @zainabubakari8489 4 роки тому

      Doctor kumbuka mungu akupe maisha marefu uwiiiiiii mbavu zangu mie yn usemayo yakujimilikisha nyumba yamenikuta na mm yn hadi kero nyumba zngn

    • @zainabubakari8489
      @zainabubakari8489 4 роки тому

      Yn dr kumbuka na baba levo aiseeee mnanipa raha sana mb zangu znaenda kwa uhalali kbs jmn

  • @salmaaman2813
    @salmaaman2813 4 роки тому

    Hahahaaaa wauweeeeee wapo Hao walinifanya nihame jamani

  • @Captain_shiii
    @Captain_shiii 4 роки тому

    Kweli haya mambo ya doctor 🙏😁

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 роки тому +1

    Majambazi ndo wananyonyaga waziwa makubwa😂😂😂

  • @hawasefu8167
    @hawasefu8167 3 роки тому

    Wambiye hawo

  • @saadiyesuleiman8232
    @saadiyesuleiman8232 4 роки тому +1

    😂😂😂kumbukaaaa

  • @lovvy854
    @lovvy854 4 роки тому +2

    Doctor kumbuka mkomeshajii 🤣

  • @sizadarat4176
    @sizadarat4176 4 роки тому +3

    Jaman nikiwa songea naukosa huu uhondo mtufanyie mpango walah

  • @shardalove1159
    @shardalove1159 4 роки тому

    Hehehee swadakta 👌👌

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 3 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Dr Kumbuka

  • @nanaruky2668
    @nanaruky2668 4 роки тому +3

    Hahahahahaahaha ww docta kumbuka ww etyiii uso mpna kama round abaut ya kigogo

  • @raiye5621
    @raiye5621 4 роки тому

    𝑀𝑒 𝑛𝑖𝑘𝑖𝑘𝑢𝑜𝑛𝑎 𝑡𝑜 𝑠𝑢𝑟𝑎 𝑦𝑎𝑘𝑜.𝑛𝑎𝑗𝑖𝑘𝑢𝑡𝑎 𝑛𝑎𝑐ℎ𝑒𝑘𝑎 𝑎ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑐𝑗𝑎 𝑓𝑢𝑛𝑔𝑢𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑐𝑘𝑖𝑎 𝑘𝑖𝑛𝑎𝑐ℎ𝑜 𝑗𝑖𝑟𝑖 ℎ𝑎ℎ𝑎ℎ𝑎ℎ𝑎ℎℎ𝑎ℎ𝑎ℎ𝑎ℎ𝑎ℎ𝑎𝑎𝑎𝑎ℎ𝑎𝑎ℎ𝑎ℎ𝑎ℎ𝑎𝑎

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 роки тому

    Kweli dr kumbuka ulijuaje sitaki mimi mbavu zangu jamani eti sungu sungu

  • @cestlaviecestlavie4073
    @cestlaviecestlavie4073 3 роки тому

    😂😂😂, Dr Kumbuka waambie

  • @joyanambuya3695
    @joyanambuya3695 4 роки тому +1

    😀😀😀😀😀maneno kuntuuuuu

  • @mwajumathomas1594
    @mwajumathomas1594 2 роки тому

    Hujakosea zakiembagala semababa

  • @Amneamne-qi2du
    @Amneamne-qi2du 4 роки тому

    Doctor kumbuka ume ongea ukweli kabisa

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 роки тому

    Duu noma sana 😂😂😂😂 ila kwel

  • @ninagodfrey6228
    @ninagodfrey6228 4 роки тому +1

    Jamn mbn mnaweka nusunusu

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 4 роки тому +1

    Haaa

  • @nguzo.fabian
    @nguzo.fabian 2 роки тому

    khaah!

  • @upendokaswiza9831
    @upendokaswiza9831 4 роки тому

    Khaaaa jaman hayo yapo jamaniiii

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 4 роки тому

    Kumbuka hayo unayosema yako sanaa

  • @fatumakubo9463
    @fatumakubo9463 4 роки тому

    Ndiooo mwingine akiona unapika vzr kila saa anapita kila muda mara maswali leo baba anakuja asubuhi lukwiliii kaamka aone anaetoka khaa

  • @mouhamadbakri9720
    @mouhamadbakri9720 4 роки тому

    Mbaya zaidi utakuta mpangaji maamuzi yote anayo yeye kama kapewa cheo ubungeni vile wakati baba mwenye yupo ila haongei chochote kapooza kama marehemu anasubiriwa kuaagwa inahusu wakome

  • @salmaalbarwani2618
    @salmaalbarwani2618 3 роки тому

    No yako tupe Dr Kumbuka please

  • @sizadarat4176
    @sizadarat4176 4 роки тому

    Mulemule kumbuka yan yapo hayo tunakutana nayo tunaoishi nyumba za kupanga

  • @hawaabdallah4782
    @hawaabdallah4782 4 роки тому

    Yani kimbuka nakupenda bure sijutii mb zangu

  • @shillahmahiri855
    @shillahmahiri855 4 роки тому

    Usitufokee😂😂😂

  • @aminasaid7657
    @aminasaid7657 4 роки тому

    Eti kimbele frnt😂😂

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 роки тому +1

    Dr aaaaaaa pasua jipu 😅😅😅

  • @fatmaalmujhairu1977
    @fatmaalmujhairu1977 4 роки тому

    Woyooooo kumbuka km kumbukaa

  • @kinanasimwambeni1497
    @kinanasimwambeni1497 4 роки тому

    Wambie waache tabia zao wamezidi wapangaj tabia mbaya ya kuchunguzana

  • @komboabdallah5317
    @komboabdallah5317 4 роки тому

    Shuka ya bucha ilivyo pauka au shuka ya mamantilie au pazia lilivyo pauka

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 роки тому +1

    Jaman 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @nas2800
    @nas2800 4 роки тому

    🤣🤣🤣Umegonga ndipo ndio mana niliwaalika nilipo jenga yangu mana ilikua ikifika time ya kuoga watu wa soma mita

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 4 роки тому +1

    Nalo hili funzo haswaaa,,

  • @aishadaudi8262
    @aishadaudi8262 3 роки тому

    😅

  • @mwanakhatibu3722
    @mwanakhatibu3722 4 роки тому

    Kumbuka naswebe jaman mtaniuwa kwakucheka

  • @winfridajoseph2935
    @winfridajoseph2935 4 роки тому

    Ongezeni kipindi jamani

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 4 роки тому

    Shangazi ISSAY huyo, sumbawanga moja natamani angekuwa anayaskia maana haya maneno yake yote,
    Wakati na yeye mpagaji😂😂😂😂💉

  • @halimahmbwana8576
    @halimahmbwana8576 3 роки тому

    Kumbuka wewe ninoma nakukubali kinoma

  • @zainabsisso3544
    @zainabsisso3544 4 роки тому

    Duh.wewe noma

  • @jamilaayub7142
    @jamilaayub7142 4 роки тому

    🤣🤣Kumbuka hatarrriii

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 4 роки тому

    Kumbuka akeee

  • @aminajuma2981
    @aminajuma2981 4 роки тому

    Diamond ama😂😂😂na gigimani😂😂😂😂😂😂😂kujishaua kwenye nyumba za kupanga mapicha kama yote😂😂😂😂😂😂😂

    • @ayeshal4395
      @ayeshal4395 4 роки тому

      Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому

    Swebe anakomesha hatariii 😃😅😅😅😅

  • @khadijacali8142
    @khadijacali8142 4 роки тому

    😂😂😂😂Apo chaaaaaa

  • @aisatahaisatah2612
    @aisatahaisatah2612 4 роки тому

    Kumbuka kumbuka shikamo hahahaha

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 3 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂sungu sungu

  • @claudiangowi9585
    @claudiangowi9585 4 роки тому

    Ukweli mtupuuuuu

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 4 роки тому

    Haaha nimecheka kifala 🤣🤣

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 4 роки тому

    Hahahahahahahahaaaaaaa uwiiiii

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 роки тому

    Inabidi uzungumzie wanaume wakiacha wake zao wanawaacha na watoto

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 роки тому

    Uyu jamaa noma tupo kwaajili yako

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 роки тому

    no comments.

  • @gullaalex6590
    @gullaalex6590 4 роки тому +1

    😂😂😂😂