Harmonize aonesha mjengo wake anauporomosha pamoja na ndinga mpya aliyoongeza!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 День тому +14

    niliwahi kuota atakuja mumpita baba yake so mungu ambariki kwa kazi nzuri aache kuvuta bangi lakini apate madili mengi

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv День тому +1

      Baba yake anawaza kumpita elon musk huko

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR День тому +3

      ​@@Majambo_Duniani_Tv...na bado itakua ndoto msanii wako kichwani hamna kitu

    • @JamesLuis-y2c
      @JamesLuis-y2c День тому

      Mungu habariki majungu

    • @simbaedouardo8499
      @simbaedouardo8499 17 годин тому

      😅😅 namimi nimekubali big step viyi but Mondi bado yuko far

    • @saddybrezzy9777
      @saddybrezzy9777 17 годин тому +1

      Sasa mtu ananyumba 100 na anajenga mjengo wa life yake hivi ukamfananishe na harmo kweli

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati День тому +3

    Awapi kama alikuwa na den la pesa ndogo na akashindwa kulilipa Kwa wakati ndio atapata pesa ya kujenga mjengo endeleeni kufeki maisha Hadi mwisha wa maisha yanu

    • @hatibuadam3022
      @hatibuadam3022 12 годин тому

      Tafuta pesa chuki haisadii alishatolea maelezo akiwa.na mkurugenzi wa CRDB Lakini akifeki ww unaumia nn kama kweli.anafeki hiyo nyumba ni ya muda sana ambayo ilisemwa alianza kujenga na Sara Sasa ww endelea kuamini ivo ila tafuta pesa

    • @TumainiMbati
      @TumainiMbati 11 годин тому

      @hatibuadam3022 aksante kaka hapo nimekuelewa

  • @anyandaalphonce1672
    @anyandaalphonce1672 День тому +2

    Mwongooo. Am from Kenya ,, ebu wacha uwongo Mzee ati nyumba yake ya Sasa ambayo ni ya kupanga.. si konde alinunua hyo nyumba au kama umepanga unadhani kila mtu

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 День тому

    Mashaa Allah 👏👏

  • @thebabilon7
    @thebabilon7 День тому

    Jeshiiii ontop Jeshiiii ni pweza 🐙 🎉🎉🎉

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 19 годин тому

    🔥🔥🔥👌

  • @twaibakitogo3824
    @twaibakitogo3824 16 годин тому +1

    Madeni nimoja yamafanikio usibeze mafanikio ya wenzako uwo utakua uchawi uliokosa vitendea kaz

  • @IbrahimIbla-d4w
    @IbrahimIbla-d4w День тому +2

    Mzee wa show off huyo tushamzoea ana maajabu😂😂😂

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 День тому +1

    Huyu mwamba walisema mwaka huu ni loser chawa kumbe mwenzao anazoa tu 😂😂😂😂 big up big Konde 😂😂😂

  • @EzekielDebora-cd2ib
    @EzekielDebora-cd2ib День тому

    May God Grant you hamo wetu🎉

  • @IrengeGustave-y7c
    @IrengeGustave-y7c День тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah День тому

    Ni hatua nzuri nimependa hii.

  • @AllyNzisabira
    @AllyNzisabira День тому +6

    Madeni tu hana lolote😂😂😂

  • @abdalahfundi7936
    @abdalahfundi7936 День тому

    Kaona Bentley 😅😅😅

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 10 годин тому

    Chunya alipewa kibunda kingi jmn kwahiyo ni kweli

  • @homesaickofficial7407
    @homesaickofficial7407 17 годин тому

    Nyumba ya boss wake jembe ni jembe

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 День тому

    Harmo huyu huyu ambaye nyie wenyewe mlitutangazia ANADAIWA MILLIONS?😅 Hongera zake.

  • @SaidHijja
    @SaidHijja 3 години тому

    Km unahic nimadeni nawee nenda kakope

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m День тому

    Ongera san konde boy

  • @Isack-b9k
    @Isack-b9k День тому +2

    Diamond ametoka bila kubebwa haslar wengine wamekuwa chawa ndio wakapanda

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 День тому +1

    Anadaiwa mil 100 na benki fulani inamshinda kulipa walitaka wapige mnada magari sio yake nyumba anayo kaa amepanga

    • @Benny318m
      @Benny318m 16 годин тому

      Ameshalipa tayari

  • @kshayofurniture2941
    @kshayofurniture2941 День тому

    Eko

  • @chichamusiq1498
    @chichamusiq1498 4 години тому

    Anayo ishi kapanga? Ei nitakuja muamini konde kweli.. naishi tu kupenda mziki wake maisha yake namuachia yeye

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 День тому +1

    jichanganye hao wasanii😊😅

  • @chibudangote0126
    @chibudangote0126 День тому +2

    WASANII WA KING'S MUSIC WAKIONA WASANII WA DIAMOND WANAONESHA MAFANIKIO YAO HUWA WANAJISIKIAJE????

    • @DannyElias-t3v
      @DannyElias-t3v День тому

      Wamekwambia wanashindana au

    • @chibudangote0126
      @chibudangote0126 16 годин тому

      @DannyElias-t3v WOTE WAKO KWA SAME LABEL NA WOTE WAKO UNDER 2 BIG ARTIST IN EAST AFRICA WHY WASANII WA UPANDE MMOJA NDO WANAPATA MAFANIKIO ZAIDI??

  • @boxdad
    @boxdad 17 годин тому

    Za mkopo

  • @EXCELMASTER-Wiseoption
    @EXCELMASTER-Wiseoption День тому

    Konde nenda kawekeze achana na hiz mambo

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 День тому

    Hanaga garo ya maana huyu

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 День тому

    Oya Youthi kayaelekeza,, ben gurion air port ndan ya tel aviv tayar,,, zima moto wapo kazin😂

    • @unjuusalvatory5331
      @unjuusalvatory5331 День тому +1

      Una celebrate vita jomba, pray dunia iwe safe place neither houthi nor Israel nobody deserves to be killed.

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 День тому

      Mbona unatumia nguvu kubwa sana aiseeee, sote tumepata hiyo habari na kuona live kupitia Tv yenu pendeza Aljazeera Wala hakuna kitu kikubwa kama unavyojaribu kuwaaminisha watu😢,pole

    • @SelemaniMsuya-q8n
      @SelemaniMsuya-q8n День тому +1

      ​@@emmadora7848
      Muhmu shabaha imefikiwa hatuna muda wakuuliza madhara , majeruhi no mpaka Kieleweke

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 День тому

      @emmadora7848 povu tu😏😏

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 День тому

      @@unjuusalvatory5331 pray kwa gaza.. kimkono cha mtoto unakiokota kina wadudu kimeoza huko betrahia gaza ,,afu kwanini usfurahi akionjeshwa naye anaye fanya ushetan

  • @SadikiMapesa-s5n
    @SadikiMapesa-s5n День тому +2

    MZEE WA MADENI MSIMUAMINI SHOWOFF

  • @nadinekinyata1072
    @nadinekinyata1072 13 годин тому

    ua-cam.com/video/kDP4zeSOLvg/v-deo.htmlsi=EqmLOvfbJf5Iz5bz

  • @mbenaliberatus2646
    @mbenaliberatus2646 17 годин тому

    Alafu kiwe nn

  • @suleimanhassan8909
    @suleimanhassan8909 День тому

    just faking life