P.1 ASKOFU GWAJIMA AINGILIA KATI SAKATA LA KUUZWA NYUMBA YA TSH,MIL 10O KUFIDIA KILO 38 ZA NYAMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 87

  • @MwigoKalinga-qq7kk
    @MwigoKalinga-qq7kk 13 годин тому +1

    Yahani askofu mungu akubaliki sana maskini ndio tunaonelewa sana

  • @reubenshaban6488
    @reubenshaban6488 4 дні тому +8

    Hekima kubwa sana Baba Askofu Mungu akutunze

  • @EbenezerMbk
    @EbenezerMbk 3 дні тому +1

    Ubarikiwe kwaiyo kazi unayohifanya

  • @fredrickmassawe2437
    @fredrickmassawe2437 12 годин тому

    Daaah jasho la mtu haliendi Bure. Mungu amsaidiye huyo Mzee.

  • @roselinemoshi5008
    @roselinemoshi5008 6 годин тому

    Hiii ni dhambi kuu jamani uwiii 😱😱😱😱

  • @IsmailAlly-u3l
    @IsmailAlly-u3l 5 днів тому +5

    Hii ni game......🤔 Mahakama imehusika 💯 haiwezekani nyumba iuzwe Bei ndogo Ivo

  • @ShaDrohd
    @ShaDrohd 3 дні тому +2

    Jerry Slaa unakumbukwa sana

  • @emmanuelelias815
    @emmanuelelias815 3 години тому

    Uyo muuza bucha kama anausika vile😂😂😂

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 4 дні тому +3

    sasa swala la umeme kukatika vp iwe kosa la mwenyenyumba jmn..mnauza nyumba ya baba wa watu na bado jela mkampeleka😢😢😢😢😢😢😢😢 MUNGU aliye MBINGUNI anawaona wote mliohucka na hili jambo😢😢😢😢😢😢

  • @MwinyiJuma-n4b
    @MwinyiJuma-n4b 5 днів тому

    Mwenyezi Mungu Akuongoze Ulifatilie Series Sio Kutafuta Kiki

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 4 дні тому +2

    Angekuwa Mh Makonda au Mh Jerry silaha huyu tapeli angeitapika hii nyumba

  • @ernestraymond4006
    @ernestraymond4006 2 дні тому

    Haya maisha ni hatari sana kikubwa Kuomba Mwenyezi Mungu atulinde

  • @edinakibani8725
    @edinakibani8725 5 днів тому

    Baba Mungu akubaliki

  • @YunisJerald
    @YunisJerald День тому

    Jamani watanzania😢😢😢 nyama iuuzwe

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 3 дні тому +2

    Mahakama pia ni Wapumbavu. Nyumba ya Mil 90 ukauze kwa Mil 8. Shenzi kabisa.

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 5 годин тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @januarymwingwa2962
    @januarymwingwa2962 2 дні тому +2

    Huyo hakimu anyongwe mpaka afe

  • @paulinaobiria9649
    @paulinaobiria9649 4 дні тому

    Duh inaumiza sana sana

  • @yesudustan791
    @yesudustan791 День тому +1

    Tia ndani tapeli kwa Maana linajiamini pasipo jua limekosea.

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 дні тому

    Kijana mwenyewe ni jeuri sana ni unyang'anyi huo mwache Mungu yupo.

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi День тому

    Nchiiiii hiiiii ina mambo sanaaaaa😅😅😅😅

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 3 дні тому +1

    Magufuli angekuwepo wangeenda jera na wao na wangemlipa fidia uyo mzee na nyumba ingerudishwa

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv 2 дні тому

    Gwajima💪

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 4 години тому

    Mahakama za wakati huuuu kikubwa rushwa unayo

  • @JosephNyamhanga-f5v
    @JosephNyamhanga-f5v 2 дні тому

    Pole zake, huyo , huyo mzurumaji, huo ni utafutaji wake, nakushauri Ask Gwajima , kama unaweza umnunulie uwanja pengine, ujengee , huyo ni wengi.

  • @bshhdxgdhjjdhd7627
    @bshhdxgdhjjdhd7627 День тому

    Nyumba inauzwa kwa bei Ya nyama😂

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 5 днів тому +1

    😂😂😂😂 seriously million 8 nyumba kuuzwa kweli

  • @Namtumbo
    @Namtumbo 4 дні тому +1

    Muongo huyo kadhulimu nyumbaaaaaa kama ameuza hapo anafanya nini mchawiii huyoo mtoa Rushwa,Adui wa pccB kamata wote hadi police walio husika😊

  • @AminiSalumu-g1y
    @AminiSalumu-g1y 3 години тому

    Mutupe mlejesho

  • @bshhdxgdhjjdhd7627
    @bshhdxgdhjjdhd7627 День тому

    Najiuliza hiyo nyama Niya tembo

  • @SharifRashid-g1j
    @SharifRashid-g1j День тому

    Hogera bosiwetu mibuge

  • @CharlesNgamanya
    @CharlesNgamanya 4 дні тому +1

    Naomba viongozi watu kama hawa hawafai kuwepo duniani

  • @amosshoki2626
    @amosshoki2626 День тому

    Hapo Kuna Dili huko mahakamani.

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri 3 дні тому +1

    Uyu mwenye bucha anagenge la wahuni tunaomba Raisi aingilie kati ili haki itendeke imeniuma sana

  • @JeremiahYohana-br2bd
    @JeremiahYohana-br2bd 5 днів тому +2

    Hii dunia kuna mambo unawezafanyiwa ukajikuta unafanya unyama bila kutarajia nyumba inauzwa kisa kilo 20 za nyama dah! Hii ndo Tanzania sasa na serikali yake.

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 4 години тому

    Hao ndio mahakimu wario retwa na mjomba kazini

  • @stevenngota6400
    @stevenngota6400 3 дні тому +1

    Du! umeme ulikatika kilo kadhaa za nyama zikaharibika halafu mwenye nyumba anahusikaje hapo kwenye kulipa hizo nyama zilizohalibika?

  • @johnnyjosephmonica286
    @johnnyjosephmonica286 День тому

    Mzee gwajima hao mahakama niwapumbavu hawana akili kabisa tena niserikali isio jitambua

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara День тому +1

    kilo tatu hawaniwakuzimu mje mpange kwangu kilonyama itazidi tutamalizana haki yamungu

  • @marcelinamiku8798
    @marcelinamiku8798 10 годин тому

    Nyama ndo imeharibika kilo 20. Arudishiwe kilo 20 zilizoharibika . Hela zinahusikaje hapo

  • @RoseMallya-h9u
    @RoseMallya-h9u 10 годин тому

    Wasaidie baba warudishiwe nyumba yao

  • @CharlesNgamanya
    @CharlesNgamanya 4 дні тому +1

    Huyo mwizi

  • @YunisJerald
    @YunisJerald День тому

    Waziri wetu geri slaaa ndio alikuwa mkombozi wa yote

  • @KassimuMbarack
    @KassimuMbarack 3 дні тому

    Dhuluma cyo nzur inaitwa dhuluma

  • @JojoJoji-h8g
    @JojoJoji-h8g День тому

    Sasa umeme inahusika je na mwenye nyumba hii kisheria imekaaje.

  • @MbwanaIzaa
    @MbwanaIzaa 11 годин тому

    Wingu rarushwa rimetanda

  • @phylismarube
    @phylismarube 3 дні тому

    😭😭😭😭😭

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 День тому

    Dah ila watu wengine bhana mnaujasiri kias gani lkini kama umeme ulikatika aliyepaswa kidaiwa n mwenye nyumba au tanesco lakini pia huyo akimu afwatiliwe

  • @EvaMashera
    @EvaMashera 2 дні тому

    Jamani mbona hajatendewa haki unafungwa huku nyuma wanauza nyumba Mungu msaidie huyo baba apate nyumba yake

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 День тому

    binadamu hawana huruma ,nyama kuharibika ?ndio wadai?baba arudishiwe nyumba yake,

  • @joshuamweta5550
    @joshuamweta5550 4 дні тому +1

    Mimi sio muuaji ila huyo muuaga bucha namua mchana kweupe

  • @danielkanso
    @danielkanso 2 дні тому

    Hilo jambo haliko sawa mipango miovu tu

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 3 дні тому

    Kudadadeki Masikini ya mungu Mshenzi baada ya kukaa nae sana kumbe ni Bandit linamsoma likagundua ni mnyonge Tu Mzee karibu sumbawanga Tumpige tukio moja Tu huyo mpk anakufa Hatokusahau

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 День тому

    Mahakama hazina haki

  • @joycefrances4516
    @joycefrances4516 День тому

    hapana nyumba irudishwe kwa mwenyewe

  • @chabrumachabruma
    @chabrumachabruma 9 годин тому

    Mahakama za kibongo kwa mtindo huu ni tabu tupu

  • @hamisishedi4376
    @hamisishedi4376 2 дні тому

    Tatizo sijui nini viongozi ambao angalau essue kama hiyo walikuwa wanalimaliza hapohapo mfano Jerry slaa walitolewa kwenye wizara husika yawezekana kuna wenye nguvu hawakupenda kuwepo mtu wa kututetea

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 дні тому

    Mahakama zinapaswa kuangalia

  • @ElneySheddy-is1dv
    @ElneySheddy-is1dv 2 дні тому

    Mamasamia angekua nimagufuri hakika jamani

  • @jacksonamos2008
    @jacksonamos2008 3 дні тому +1

    Watu wa mahakama some time..........................sana

  • @RizzikMsingiri
    @RizzikMsingiri 3 дні тому

    Kama ningekuwa Mimi nyuma yangu uyu bwana angejuta kunifahamu

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 2 дні тому

    Sheria hizo mahakamani kapitisha nani???

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 5 днів тому +1

    Ha ha ha Mahakama, Mahakama

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 2 дні тому

    Kwanza hiyo mln4 za nyama kwa kilo 38 alio Daiwa Mzee ni halali?kweni kilo38 nisawa ngombe ngapi ?uyo hakimu achunguzwe aitwe baraza la mahakama ni wazalishaji wa migogolo mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema zuruma imezidi Duniani

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 4 дні тому +2

    Huu ni utapeli mkubwa sana unauza nyumba ya mzee wa watu kisa kilo 38 za nyama?? 😢😢😢 Uwii Mungu aingilie Kati. Mahakama hawajatenda haki kabisa 😢

    • @iddikimia4951
      @iddikimia4951 2 дні тому

      Na unawezakuta nyama haikuwa ya mil8

  • @TysonNgowi
    @TysonNgowi Годину тому

    Tz kmamk

  • @speciozakaloli
    @speciozakaloli 3 дні тому

    Dhuluma na hiyo mahakama

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 2 дні тому

    watu wa mahakama waliotoa hukumu hiyo wawekwe chini ya ulinzi.Utakuta ndio wenyewe wamenunua hiyo nyumba.Maakimu na maofisa wa mahakama ndio wamekuwa majambazi ehee mola tukimbilie wapiii ?

  • @franktangeki9342
    @franktangeki9342 2 дні тому

    rais samia tungekuomba ungeangalia zaidi watu wa chini wanateseka matukio ya kinyama dhuluma hati mahakama haiaminiki tena

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 2 дні тому

    Hizo ndiyo Mahakama Tanzania Watu wakidai Katiba Munasema atailiyopo hamuijui sasa Subiri tuone Kama Katiba ni Mali ya CHADEMA au ni Mali ya WANAICH

  • @OmaryShabaniboraganojr9
    @OmaryShabaniboraganojr9 5 днів тому

    Uy kwa mganga Tu mamae atasekee mpk akome

  • @pancrasmalamla9799
    @pancrasmalamla9799 5 днів тому

    Huyu jamaa muuza nyama ni jeuri ila Mh Amlipie lakini bwana bucha Kwa jeuli aliyonayo atashtakiwa na wanandugu pia likienda Vizuri wengi watsumbika

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 5 днів тому

    Jg baba askofu akisema Jambo linakua ganda ni mtu ila ndani mashine Moto ulao

  • @MasaweMasawe-r5b
    @MasaweMasawe-r5b 5 днів тому

    Hiyo mahakama ni dhaifu sana

  • @siajalimafanka
    @siajalimafanka 4 дні тому

    wat wanahagaika kupata mji sehem yenye biashala kwa ghalama kubwa yeye anataka kuzulumu famly na isitoshe nais yeye ndo atakuwa ameinunua hyo nymba kptia kwa mtu mwingne. mbunge fatilia kwa makn hyo ni point moja wapo kbwa yakukuludsha bungen. ndo maana watu huwa wanauwa wat kwa mambo kama haya ya kishenz prondoza agekuwepo yeye mwenyewe agefugwa sku hyohyo

  • @MalaikaHome-b6r
    @MalaikaHome-b6r 5 днів тому +1

    Jasusi la mbinguni liko kazini

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara День тому

    wametumia uchawi haikuwa nyama

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj День тому

    Uu ni uonevu uyo jamaa ni tapeli

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 2 дні тому

    Wewe askofu huyo aliye toa hukumu yuko wapi kwani mwenyenyumba anahusikaje atafutwe janwary makama mwenyenyumba anahusikaje janji mkuu yuko wapi

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 6 днів тому

    Tanesiko wajue kama Umeme ukikata nichangamoto duuuuuhhhh

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 4 дні тому

    Fatilia tunataka majibu ya swala hili

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 дні тому

    Mtongani kunduchi

  • @Namtumbo
    @Namtumbo 4 дні тому +1

    Ng'imbe kama nyma yako mtoa rushwaaa wewe

  • @glorykastai3996
    @glorykastai3996 День тому

    Mahakimu mahakimu mahakimu elimu zenu tumieni vizuri sisije leta laana kwa vizazi vyenu

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 День тому

    Mahakama zetu za kijinga kabisa!