BILLIONARE SAIDI LUGUMI ATOBOA SIRI YA KUFANIKIWA, AWAPA TABASAMU WATOTO ZAIDI YA 800

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @arahmantvonline
    @arahmantvonline 22 години тому +7

    Allah akulipe kheri na ujue umri mrefu, amin

  • @HamiduShabani-xs6yc
    @HamiduShabani-xs6yc 7 годин тому +2

    Allah akukunjulie riziki father na kesho akhera akukupe malipo mema inshaallah

  • @jomba6514
    @jomba6514 4 години тому +1

    Ubarikiwe sana sana namuomba Mwenyzi Mungu niwe kama wewe

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 18 годин тому +6

    Mungu akiniajalia nitafanya zaid ya hichiiii

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 5 годин тому +1

    Allah akubaariki

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 19 годин тому +3

    Natamani nichangie elfu kumi katika "mradi" huu 😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢😭😢

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 22 години тому +2

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Lugumi kwa Fadhila hii🎉🎉🎉
    Karibu: Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM

  • @abdallahamanzi8337
    @abdallahamanzi8337 6 годин тому +2

    Salamu ziwafikie na matajiri wengine wa kiislam mukifanya hivi matajiri wote mtafanya waislam wasiojuwa dini yao vizuri washindwe kuritadishwa na oneni wivu wa maendeleo ya dini yenu .... kila Muslim mwenye uwezo ashindane na mwenzake kweny mambo y akheri haya uwanja wenuuu jamaa ndio kashaanza

  • @MisMona-oo6zk
    @MisMona-oo6zk 9 годин тому +1

    Mashaallah

  • @FreeGod368
    @FreeGod368 3 години тому +1

    😢😢😢😢2013 Duuh huyu ni mtu

  • @ZubedaMgozi
    @ZubedaMgozi Годину тому

    Allah akulipe hapa duniani na akhera,na akupe umri mrefu .

  • @LovelyMountainLandscape-dd4xe
    @LovelyMountainLandscape-dd4xe 4 години тому

    Mungu akuweke miaka mingi sana

  • @adhacho4490
    @adhacho4490 17 годин тому +3

    Ila huu mziki usiwaekee unawapatisha zambi

  • @nassorosaid-rp4dn
    @nassorosaid-rp4dn 5 годин тому +1

    Huyu sasa ndo tajiri wa kweli sio hao wengine ungeona show off nyingi mara mabodigadi mara mazingaombwe kibao 😂lakin mwamba kachiri tu

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 14 годин тому

    Pls waogoze kwenye njia ya kheri ili update malipo ya kheri Kwa mungu

  • @gasperymisungwi960
    @gasperymisungwi960 4 години тому

    Katika ulimwengu huu tutayaona mengi.

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 9 годин тому +2

    Kwahyo anafanya kazi ya kutusahaulisha 😂,,,kwa walio zalwa 2000 hamuwez elewa au bas

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 17 годин тому +1

    Lugumi muhuni tu kwanza hajasoma amepataje pesa

    • @muddymadenge9957
      @muddymadenge9957 15 годин тому

      Azam ana masters au

    • @MustafaHassanii
      @MustafaHassanii 11 годин тому +1

      Matajir 90% dunian hawajaasoma tembea uone lakin pia ww umesoma unann zaidi ya makasiliko😂😂😂

    • @MustafaHassanii
      @MustafaHassanii 11 годин тому

      Matajir 90% dunian hawajaasoma tembea uone lakin pia ww umesoma unann zaidi ya makasiliko😂😂😂

    • @paschalpaul3862
      @paschalpaul3862 7 годин тому

      Hizo pesa za walipa kodi maana huyu alikuwa na network kwenye miradi mikubwa ya serkali na hivyo walikuwa wanachota tu pesa za serkali

    • @FelixpascalFelix
      @FelixpascalFelix 6 годин тому

      Kama alichota anajalibu kurudisha kwa wenye uhitaji ​@@paschalpaul3862