RECAP: ALIKIBA na HARMONIZE wamefeli hapa 2024, WAFANYE haya 2025 waingia USHINDANI KIMATAIFA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @KizaYeremiya-c6g
    @KizaYeremiya-c6g День тому +9

    Alikiba sio international artist

    • @chinemaentertainment1110
      @chinemaentertainment1110 День тому

      Mjinga wewe

    • @svt3
      @svt3 День тому

      ​@@chinemaentertainment1110ni ukweli Chino ni international kuliko Alikiba hata music streaming chino anakimbiza kuliko Alikiba

    • @AlfroLyd
      @AlfroLyd День тому +2

      You deserve a brand new car as a gift.
      Mimi kila siku Hua Na kosoa Elmando sababu anazidi kumpa Alikiba chavu ambazo Hana, Na hiyo ita zidi kumshusha Alikiba, Alikiba he's not big bra, only East Africa but not international, Checki views zake zote UA-cam Hana hata millioni 500, wakati zuchu, mboso, Rayvanny Vannyboy Harmonize wote wame mpita, UA-cam ndo platform rahisi kuliko zote, baba LAO Simba lama Simba DIAMOND PLATINUMZ ana 2.9 billion kama sija kosea ila alikiba ana Millioni Mya 300 Na kitu hivi, bro, hata Harmonize he's not international artist, kidogo Rayvanny Vannyboy katoka

    • @svt3
      @svt3 День тому

      @@chinemaentertainment1110 alikiba sio msanii tena jameni hiyo ni ukweli haupingike Almando hata sijuwe kwa nini akihesabu wasani kwa sasa anahesabu Alikiba ni kama anafanyia Allikiba promo, music platforms zote ukizipitia utakuta number za Alikiba zinatia Huruma, kama show nataka kujuwa alikiba ameisha safiri inchi ngapi mwaka huu kupiga shows ebu mutuambie

    • @svt3
      @svt3 День тому +2

      @chinemaentertainment1110 tuambie Alikiba alipiga show inchi ngapi huu mwaka, tuambie Alikiba streaming zake Audiomac, Spotify, Apple, youtube sound clouds zimezidi za nanii au ndio anakimbzana na Chino

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 День тому +5

    Reyvany amefeli sana pia,sahii kuingia Kwa international n ngumu Hawa but Wacha tuone

  • @Alexkihwele-o9d
    @Alexkihwele-o9d 21 годину тому +3

    Kila kitu na wakatii wake ndo maana ata messi na ronaldo hawatajwii sana kwenye tuzo za mpira…ali kafanya kwa uwezo wakee kipindii iko so ni muda wa watu wenginee sasa kupush kwenda hyo international unayotakaa

  • @DernolLeonard
    @DernolLeonard День тому +6

    Mala zote ukweli unauma

  • @johnkhayimba794
    @johnkhayimba794 День тому +2

    Respect you bro, tell them

  • @IssaIssa-h1d
    @IssaIssa-h1d День тому

    😅😅😅 wejamaa mkuda sana

  • @MwambaClever
    @MwambaClever 4 години тому

    Laana ya uchawi anayo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ericnzaro9138
    @ericnzaro9138 День тому +2

    Ali kiba wa sasa level zake ni kina kussa. Tena hao nao wanampeleka kasi. The reason mnamtajataja sana ni ju mnadhani mtakua mnamkosea heshima. Lakini kiuhalisia alikiba wa sasa haezi tajwa in the same sentence with diamond

  • @LEMBURIS
    @LEMBURIS День тому +1

    Harmonise 🙏🙏🙏🙏

  • @zanzibarboyzanzibar509
    @zanzibarboyzanzibar509 День тому +1

    Kwani Asiebaki hapa hapa nani Mbona wote Sawa Sawa Uchawa wako unauwa Sanaa ya Home we always unmsifia Nasibu tu hana Mbaya kwako, weka Utanzania kwanza kila siku unawaponda tu Wasanii Wengine alafu wewe Sio Mungu huwezi kusema Jmaa Kagota hapa

  • @VeroniqueNgoy-f3q
    @VeroniqueNgoy-f3q День тому +1

    Kaka kwani ulishawai kuimba😅

  • @MosesMzungu-v9j
    @MosesMzungu-v9j День тому +1

    Ukwelly banaà kbsaaa

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r День тому +3

    Bongo ndio nnchi pekee ambayo mtu ulie mzidi kila kitu kwenye maisha ndo anajuwa mshauri number moja wa MAISHA yako😂😂 tukuulize wewe mwaka huu ulicho jipata cha maana ni kitu gani ? maana hao wanaume wenzio unao wazungumzia wamekuzidi kila kitu kwenye maisha yako alafu eti unajifanya wewe ndo unawashari si usenge huwo😂

  • @ndizoshukuru6142
    @ndizoshukuru6142 День тому +2

    😂😂😂

  • @AlfroLyd
    @AlfroLyd День тому +1

    Alikiba he's not an international artist bro Elmando, unazidi kumpa Alikiba chavu ambazo Hana Na hiyo ita zidi kumshusha Alikiba, he's been on the game for long yes we agree but not internationally.

  • @Alikiba928
    @Alikiba928 День тому +2

    Kweli

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 День тому

    Hata yeye hakusema ni international ep,,, afu hakuna msani aiyeuza album wala ep kimataifa,,, 😂😂😂

  • @HakizimanMutibe
    @HakizimanMutibe День тому +1

    Wewe hafaya tena musique ju ya hawadi kwahapo dar star mnaye ni alikiba kwakuhiba kuwa namba wewe amsha sema akihaluwa kuwa namba moja anaweza nahukuna wakumchusha Sisi tunahishi Congo Ila tunamjuwa huyo jama asha mambo mengi kusema sema kila siku

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Yani huonii kolaboo alizopigaa kiba kapeleka mbelea nandy chege dullyskes ww hujitambui

    • @svt3
      @svt3 День тому

      Chino anakimbiza kuliko Alikiba Audiomac, Spotify, hata UA-cam

  • @HakizimanMutibe
    @HakizimanMutibe День тому +1

    Wewe unahongeyaga sana kaka kila siku alikiba unataka afaya gisi wewe unavio taka kafaya mambo mengi sana kimsique kahenda sana huko peye unasemaga kilasiku

  • @MNYAMA_KING
    @MNYAMA_KING День тому +1

    Tulia ankoo kwa kiba hujamjua vzr

  • @AmurimatabikaClaude-yy9pm
    @AmurimatabikaClaude-yy9pm День тому +1

    Alikiba na harmonize wanajuwa wanachokifanya kaka

  • @robertotieno5223
    @robertotieno5223 День тому +2

    Starter iko poa sna wewe king kiba iko poa king alisema alikua atoe international album but aliamua kutoa ep fanya uchunguzi elmando ana strategis zake king amefanya mengi 2024 sna colabos mengi king kiba yooob yebaba ababa

    • @ericnzaro9138
      @ericnzaro9138 День тому

      Baki hapo na hio yoo na ye baba yako. Hamna kitu pale

    • @robertotieno5223
      @robertotieno5223 День тому

      @ericnzaro9138 mujinga ata nilitomba bibi yako jana narudi leo pia

  • @DaxixSeen
    @DaxixSeen День тому +1

    Noma 🇩🇪

  • @TimsFloribert
    @TimsFloribert День тому

    Mbona wakati ali itowa ulisema niya ki mata ifa?🤔

  • @Luckreadyog
    @Luckreadyog День тому +1

    Yanga bingwa, ujana na disconet

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Pelekaa huyoo Domo wakoo apelekee international kazi za kuimbaa kelele kazi nkupondaa alikiba2

  • @Manumwarome001
    @Manumwarome001 День тому +1

    Alikiba amekudisappoint ww sio mm

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 День тому +1

    Alikiba alisha jibu hili swali kuwa ile ep ni nyimbo zake za mda mrefu zilikuwa ndani

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Alikiba nlegend fala ww hujitambui alafu kiba hatutaki kimataifaa peleka huyoo piddy wakoo hukoo

    • @svt3
      @svt3 День тому

      Chino iko kimataifa kuliko alikiba R Kelly wenu mkubali hatishi tena

  • @SalmaLigeni
    @SalmaLigeni День тому +1

    Wewe jamaa unashindwa sana ilausipoangalia tutakuumiza orewako umuongeree vibaya alikiba ,yeye alishasema anatoa ipi ya bongovyeva wewe unatakaje

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 День тому +1

    Ukona ujinga sana Kila wakati unaponda harmonize tunajua uko upande wa wcb

  • @VgmukomboziOficiel
    @VgmukomboziOficiel 11 годин тому

    Wote wamefeli hata koma sava muliyo sifiya sioni ukubwa wanyimbo. Zali inasongeya sana nani haja sikiya verse ya alikiba piya harmonize ananyimbo yake na darassa mazoeya nani anaisahau.

  • @richnessiddi2725
    @richnessiddi2725 День тому +1

    Jitangazetu kama Baba levo,,,uchawa unakufaa

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Ww uchawa wa Domo fala ww hajuw lolotee kiba huu mwaka kapambanaa Sanaa ww hujielew2

    • @svt3
      @svt3 День тому

      Kapambana Spotify, Audiomac, Apple, Sound Cloud, youtube au wapi? kapambana wapi sababu kote huko chino anamzidi Alikiba

  • @hamisibakari342
    @hamisibakari342 День тому +2

    CHAWA KAONGEA 😂😂😂

  • @SokoroboyNdend-iv1js
    @SokoroboyNdend-iv1js День тому +1

    Zali

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Ngomaa zippo Kali ww ndo hujielew wataka kelele2 topnotch ngomaa Kali nahodha hatari ww fala uko chawa kiba hataki tuzoo mpee huyoo piddy wakoo

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Mkunduoo ww hunalolotee

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 23 години тому

    Tumekuchoka mzee tuachie harmonize wetu muache afanye kazi mbona wasanii hawakuzungumzii wewe 😂😂😂 unatukera sana muache tutakuroga fala wewe

  • @khamiskheiry1145
    @khamiskheiry1145 День тому +2

    Sikukubali na unazinguw sana na sio lzima useme.

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 День тому +1

    Unaongea utumbu kwanini unamuaribia siku wewe huwa unatumwa tunajuwa ilo

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r День тому +1

    Kwani alikwambia yeye anafanya nyimbo za huko unapo taka wewe

  • @SangoHaste
    @SangoHaste День тому

    Jamaa muongo Sana Sasa ww siutowe musanii wako tuone uwezo wako wakupandisha wasanii au sikun madogo wengi mtaani wamekosa wakuwasaidia Sasa chukuwa umusaport na ww tuone uwezo wako mm ninyekuwa bongo ww ningerpita njia yoyote nikupige fala ww

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 23 години тому

    Tuachie harmonize wetu unatuudhi bro waache wasanii wafanye mziki usiwaongelee kila siku unawapa pressure waache jiangalie tutaipoteza account yako

  • @nicodamaskinga9764
    @nicodamaskinga9764 День тому

    Wewe tushakujua nichawa wa wa mond

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile День тому +1

    All in all maendeleo harmonize amefanya maendeleo sana 2024 wewe hujanunua ata baiskeli bombo claaat

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Ww ndo hunaonaa hajafany kitu lkin sisi amatutendekea haki ww fala ww

  • @Kibabe2024
    @Kibabe2024 23 години тому

    Fanya wewe kwani kiba unapenda kuwafanya watu warding nyuma toast nyimbozako pumbavu tuachie mtuwetu Msanii wamwaka wewe na mkeo

  • @obedmdugo9768
    @obedmdugo9768 День тому

    Huna lolote wewe
    We umefaulu kwenye nn 2024

  • @Kibabe2024
    @Kibabe2024 23 години тому

    Wewe vp haujafeli yani wewe natako ya mond acha kuwachaua watu waache wasanii wetu pizi wewe changanya miguu yako kwa meambino Achaushamba jufungue wewe na family yako

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Ww uchawa wa Domo fala ww hajuw lolotee kiba huu mwaka kapambanaa Sanaa ww hujielew2

  • @HamisiMwazikeni
    @HamisiMwazikeni День тому +2

    Ww uchawa wa Domo fala ww hajuw lolotee kiba huu mwaka kapambanaa Sanaa ww hujielew