Baby girl you are such a well mannered mature girl. Your words are very well chosen. You always have very good words for your boss / Simba. You never fail to add a dua for him. May God meet you at your point of need.❤❤❤
It's so nice to listen to you too, leo Esko umefanya vizuri , maswali yako kwa mpango nime enjoy kuwaskiliza. Zuhura is such a humble minded and friendly person in all ways. The conversation was very easy. ❤❤❤❤😊
Zuchu ni STAR tena wa heshma ya hali ya juu. Kupendwa na Diamond ni kwaajili ya Hekima yake sifa zake zimefika Dunia mzima. Keep in up Zuchu wa Mondi Chibu denga 😅😅😅
Lulliby and i don't Care. Nyimbo zote za album nime zipenda lakini izi mbili zimeendana Na situation yangu ya sasa ivi ndomana nime zipenda sana. Zuchu naomba ututie moyo kwasasa tunaitaiji sana kukuona kama Queen wa music ya afrika
Zuchu is very Intelligent gal. Diamond has lost a Golden Queen of the world. Zuchu still has a shooting Star whether Mondi likes or Not # Zuchu keep the fire burning burning ✅
Wanawake wengi wanajichubua kwa kuamini watakuwa walembo zaidi kimwonekano wanavutia ila ndani hakuna kitu me binafsi napenda natural black and beautiful sio mapapai😂😂😂
Very matured zuchu wangu, hongera sana mama khadija🎉🎉❤❤In Shaa Allah mungu awajaalie muoane na watoto wema muzae❤
This girl is so matured ❤iloveyou❤zuu
Zuchu I always enjoy your interviews you are very smart Masha-Allah
Nakupenda san dada zuhura mungu akulinde na husuda za walimwengu my
Zuchu ana roho safi sana na ana heshima❤️❤️❤️❤️
Baby girl you are such a well mannered mature girl. Your words are very well chosen. You always have very good words for your boss / Simba. You never fail to add a dua for him. May God meet you at your point of need.❤❤❤
By far best interview of the year ❤❤maswali na majibu was flowing 👌🏽 🙌🏾 😊
This is a black rooted queen, her blackness shines, her culture shines.She is wealthy .
It's so nice to listen to you too, leo Esko umefanya vizuri , maswali yako kwa mpango nime enjoy kuwaskiliza. Zuhura is such a humble minded and friendly person in all ways. The conversation was very easy.
❤❤❤❤😊
Nampenda zuchu ❤
Zuchu......❤ Tutakusuport by fire by force!
Zuchu nakupenda Sana Mungu ndiye anayejua unaakili Sana mwanangu na unabusara
❤❤❤❤❤namprnda zuchu😊
Zuchu ni STAR tena wa heshma ya hali ya juu. Kupendwa na Diamond ni kwaajili ya Hekima yake sifa zake zimefika Dunia mzima. Keep in up Zuchu wa Mondi Chibu denga 😅😅😅
Yote sawa ila amempata mwanaume asiyemstahili, wrong choice of man.
Nampenda anaheshima❤❤
Yote kwa Yote zuchu una ngozi nzuri buanaaa
Kamera hiyo usihadaike 😂😂
Tumia na wewe camera kama yake ikutoe ngozi safi @@uwimana6533
Zuchu kipenzi Cha watu🎉
Kaweke kamera na wewe
Asante kwa kumpa Zuchu privilege hii❤
Zuchu your are best respondent
Damn am so happy for ❤her😊🎉special vyenye ako so proud ❤
Aky nampenda saana❤❤❤❤ zuchuuuu
Best interview 2024🎉
Team zuchu we are proud of you ❤️❤️❤️❤️❤️❤️😻
Achana na wanaokuchukia wana roho za husud utaolew tyu na watot utazaa mama zuuuuu wang love you so much ❤❤❤❤❤
Nomaaah saana aisee good music 💯🎶🎵🎼🔝💥🔥💪
Asante zuchu kila unalotenda Mungu azidi kukutangulia mwanangu Kwa sababu Mungu ni Mungu tu akiwekea vema hakuna atakaesema Hapana
Yoooo eeeeh mungu fanya kazi yako papa love you zuuuh😘😘😘❤️🙏🏾
Mtangazaji upo vizuri sana❤ Very professional 🎉. Umemzidi parefu sana yule wa Ayo Tv, aliyeenda kumuhoji Lugumi🤦
Finally escko kakutana na favorite wake 😂😂😂😂
She’s pretty❤❤❤❤
Manshallaah zuchu anaheshima kwenye kujibu nimekupenda bure zuhura❤❤❤❤❤❤pamoja na huyo mtangazaji anajuwa kuhoji
Haswaa
Zuchu hapo kwenye mahusiano ni mm kabisa. Nikiwa na hasira najifungia ndani, siongei na mwenza wangu hadi nikijiona nimetuliza hasira❤
Ila najikuta nakapenda tu kazuchu
Zuhura inshaAllah he will marry you just pray everyday for Allah ❤❤❤❤❤❤
That's my darling 🫅daughter 👋👋👋🇰🇪 👍Anajibu kwa ufaswaha Pongeze
Is so bearifull❤❤❤
Nami nawaombombea ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
Umejuwa Sana kujibu maswali ..Kila la heri zuchu na Daimond inshallah ikiwezekana muoane kabisa..
Ishallah
Inshallah ❤❤
Wa Kwanzaa leo
Lulliby and i don't Care. Nyimbo zote za album nime zipenda lakini izi mbili zimeendana Na situation yangu ya sasa ivi ndomana nime zipenda sana. Zuchu naomba ututie moyo kwasasa tunaitaiji sana kukuona kama Queen wa music ya afrika
Karembo ketu mungu akulinde sana ❤ 12:44
Inshallah
zuchu anaongea vizuri Sana
Zuchu napenda nikuone USO Kwa USO hata nikuguse Tu mm nikama mama yako nakupendaga sana unaheshima mno na umelelewa sana
Nakupenda sna ❤
Wooow yani anaheshima sana❤ anavyo ongea namtangazaji naona wivu 😂🔥🔥
Zuchu anajua kuhojiwa,msisahau nimekuwa wa kwanza 😅
2csahau kukushambulia kama chawa
Anajuwa kuhojiwa??? Kivipi bro???
Unamahanisha kuhojiwa au kukojowa?😂
Mwenzenu amemaanisha anajua kujibu maswali ya kuojiwa
Hongera sana da zuu unajua kukibu mashaallah
Mashallah da zuu❤
Mzurie uyu dda nature
Zuchu ❤❤❤
Linda princesa Deus abençoe, gosto muito das tuas músicas
Jamani mond kamuowe uyu dada yupo matirial sana
Tatizo muoaji sasa
Zuchu wetu ❤❤❤
I always love you❤❤❤❤
Anaye mhoji anajua sana na nimstarabu sana Hana mambo mengi
Huyu Binti nampenda, sijui Mond anagoma wapi kumuwowa❤🇷🇼
😂😂😂😂aowe aanguke kimziki
😮😮😅@@paulinewangila-cs6ys
@ atabalikiwa zaidi akioa hataanguka 🤲🏾 kuoa ni ishallah ya mungu. Duniani tunapita tu✍🏽
If Mond marries Zuchu is a bonus for him.Zuchu has not even started with her career .The sky is her limit ❤❤❤❤🇬🇧
Rwir, hagomi ila c muoaji
Nzur
My cute
Anaongea vizuri
Sns❤❤❤
Huyu sister yuko humble sana, halafu you can tell haigizi kwa ajili ya camera... lile li-mange kimambi ndio linamcharuaga😂😂😂
Kabisa yule c mbea😂
kwanza mange mbona hayuko insta tena
@@zabubamudy126 😄😄😄😄
@@ZaiJuma-c5f 😄😄😄😄
Zuchu mwanamke wakweli
Leo ni mimi
Mandi ni jinga jinga ngoja Zuchu ajitambue aachane na hilo jinga jinga. Ndio akili yake itakaa sawa.
J'aime bien
Ila kwa ndoa sio kwelii bhnaaa
Kweli, pale mume hamna
Zuchu anaongea vizuri ❤❤
Zuchu🙌🙌🙌
Jamaa angu unajua sana kuhoji asee
kichwa sana ww
hata kwenye recap hua nakukubali sana
Wasanii please wajifunze jinsi ya kujibu maswali kama zuch so calm n honest😊❤ na sio wa no comment😂..Ila ukujiamni ni raha sana
Mimi nilipenda kupitia interview
Mimi nipo saudiya Riyadh nawapenda zuchu na daimond nawaombeya ndowa mwaka unoanza
Tulia dada uje uolewe na wewe
Duuuuh yanii mpaka huamini kama anakupenda
🔥🔥🔥🙌🙌
❤❤❤🎉
🎉🎉
🦋🥂
❤❤
👏👏👏👏👏👏🥰
Zuchu nimekupenda buree
Ukipata kadada kanakusifia hivi yaani mwanaume raha unayopata unaweza kula godoro na kumpa mali zote za urithi😅😅😅😅😂
😂😂😂😂😂😂😂uwiiii
😂😂😂jmn
Laliwaje godoro
Zuchu is very Intelligent gal.
Diamond has lost a Golden Queen of the world.
Zuchu still has a shooting Star whether Mondi likes or Not
# Zuchu keep the fire burning burning ✅
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Zuchu unaweza sana ila Ngoma yangu Kali ni shery ft lavalava
❤❤❤❤
Nampenda Zuchu🇰🇪
Umesikia akiwataja?😂😂na nyinyi ndio mnasikiliza mziki wake sanaa lakini hataki collabo yenu
Simba oa uyo🎉🎉
❤
Wanawake wengi wanajichubua kwa kuamini watakuwa walembo zaidi kimwonekano wanavutia ila ndani hakuna kitu me binafsi napenda natural black and beautiful sio mapapai😂😂😂
Ila kila mtu na mapendezi yake, wengine wanapenda weupe
Malawi do with emmiedeebo❤❤
Nime sikia baby nikokwenye interview😂😂😂😂tumekoma wambea
😂😂😂nmeskia pia mm .Yani mond anakesha kupiga video call😂
🥱Tanzania yetu iyo
Dada yangu anaakili nyingu,naanajibu kwa hekima
Yaani nimekupenda bule umeongea ukweri nawatakia mapenzi andelee
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Zuchu mzuri,ila chibu sijui kwa nn hamthamini huyu dem,yuapendwa na zuchu lakini yy sasa 😂😂
C mpendaji huyo ndio maana
Mi napenda anavyoongea kinzanzobar hadi raha
MMESIKIA NYIMBO YA (HUJANIZIDI)NI YA WATANZANIA TUUUUUUU😂
Santos yupo yupo kila kona anaegemea hajui afanyeje na kaka ndy anabadilisha kila iitwayo leo😂😂
Umesahau zari alivyo andamwa nanyinyi.
Ziba masikio wivu unawasumbua.
Mwambie aendelee kutunga nyimbo za kiingereza pia . Hiyo lugha inasaidia ku push kazi Internationally.
Umeitwa huku jamani mbona wanimba tu vizuri angalia ya kwenu mpenzi ❤
ewangila-cs6ys Ndio najua namuombea pia apate zawadi za kimataifa.
@@pengefeza2563 kashafanikiwa huyu muombe Steve Simple boy
@@paulinewangila-cs6ys Yeye mwenyewe anakwambia hajafika anakotaka
Mauwa yake zuchu🎉🎉 unaongea na eshima