Konde yupo powa saana!! Hana makelele wala nini,hapo Ray-van nae ataenda kuazima gari za watu alafu atapaki kwake na atapiga mapicha ili kukopi kwa harmonize wakati mwenzake kanunua kwa pesa zake na sio kufek Life
Bro leteni Habari mlishafanya resuch defender hiyo ya harmoniz haifikiyi hata robo cadilac defender hiyo ni50.000$ bei ya cadilac kama ile ya diamond 200.000$ kwahiyo muwe mnafanya resuch nyie mnasema hazipishani Sana mbona nyinyi siwaelewagi hamnaga resuch mnakuwaga na mihemko
Tuache uongo. Gari mil.400, halafu ashindwe kulipa deni la CRDB hata mil. 200 haizidi. Kweli DUDUBAYA nimeanza kumuelewa, hawajama wanafeki kweli, haina mantiki uwe na uwezo wa kununua gari nyingi bank wakuandikie notes kulipa deni. Dunia ni siri. Kujua n ngumu mpaka uwe wewe mwenyewe, tofauti n cover tu tunajua.1
bei mpya show room aifiki iyo million mianne wasani acheni kuweka sufur kibao mbele hata izo gar alizokua nazo mond show room azifiki izo bei zake sema wasani wetu washaona sisi tz atujui bei za gar izo kadrack alizonazo mond mpya mpya show room mbili zote azifiki million miatano bwana
izo sio G wagwan labda wana badirisha shep ya mbele na ndani au G wagwan ya zamani ila G wagwan yenyewe bei yake bala tena bala kweli izo zilizo tz nying ni G class Mercedes Benz kaka
Kondee weweer❤❤❤Kenya hapa
🔥🔥🔥konde boy
ZABURI 20:7 "Hawa wanataja magari na hawa farasi,Bali sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu!"
Kapande zabur 😅 dini zimewafunga Sana uwezo wa kufikir na zimewajaza wivu
Mm nakataka ako karembo
Kond boy number one africa ❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaman mbn huyu Demu hamumuachi aongee😅😅😅😅
Pastor Tony anayoo mojaa
Konde yupo powa saana!! Hana makelele wala nini,hapo Ray-van nae ataenda kuazima gari za watu alafu atapaki kwake na atapiga mapicha ili kukopi kwa harmonize wakati mwenzake kanunua kwa pesa zake na sio kufek Life
We umejuaje kama kanunua kwa pesa zake?
😂😂😂
Ulimuona wapi rayvanny anafake life?? umeongea maneno meeengi. ujinga mtupu
Sawa. Mr pimbi😂😂😂
Kesho utasikia bank ingine inakuja H ameshindwa kulipa deni
Konde boy for may life
Jamani gari rimewekewa kikao
Harmonize ❤
Sisi tunashusha magari sio shidazetu
Kingereza cha harmonize nikizuri but watangazaji nendeni kusoma
Wandishi wa habari someni Kiingereza ili musiwe munaaibisha nchi nzima. Hiyo ni garage na sio parking lot
Nomaa sanaa
Hatutaki kuja kutuomba tumchangie kwenye madeni yake ,NMB
Fikira zinakutuma😂
@MajutoElliasi 😂
Konde boss
Bro leteni
Habari mlishafanya resuch defender hiyo ya harmoniz haifikiyi hata robo cadilac defender hiyo ni50.000$ bei ya cadilac kama ile ya diamond 200.000$ kwahiyo muwe mnafanya resuch nyie mnasema hazipishani Sana mbona nyinyi siwaelewagi hamnaga resuch mnakuwaga na mihemko
WA PILI
Tuache uongo. Gari mil.400, halafu ashindwe kulipa deni la CRDB hata mil. 200 haizidi. Kweli DUDUBAYA nimeanza kumuelewa, hawajama wanafeki kweli, haina mantiki uwe na uwezo wa kununua gari nyingi bank wakuandikie notes kulipa deni. Dunia ni siri. Kujua n ngumu mpaka uwe wewe mwenyewe, tofauti n cover tu tunajua.1
Wanasema wannapesa Lakini wanaishi kwenye majumba ya kupanga na pia wanadaiwa pesa bank
Sai mondi ako na Bentley 😂😂
UKushusha kioo anakuja kama mbwa kwa chatu
Hilogar mkopo wa be nk. Awezi nunua uyo
Hana hela huyo...
Hahahaha wivu uta tuuwa
CRDB WATAKUA WANASEMA TULIJICHANGANYA KUMKOPESHA HUYU MMAKONDE
Haya magari wanakoditu wanapaki ndio mana wanatoa pleti Namba
Sisi watz tunatabia ya wivu chuki isio kuwa na sababu yoyote kisa maendereo tuna shitwa kuombana ushauri wa kutafuta
Sisi watz tunatabia ya wivu chuki isio kuwa na sababu yoyote kisa maendereo tuna shitwa kuombana ushauri wa kutafuta
Pesa wanapata wapi au wanauza unga
Me vs me. Kijana ameona ile competition alikua anaweka na Simba ni bure tu.
bei mpya show room aifiki iyo million mianne wasani acheni kuweka sufur kibao mbele hata izo gar alizokua nazo mond show room azifiki izo bei zake sema wasani wetu washaona sisi tz atujui bei za gar izo kadrack alizonazo mond mpya mpya show room mbili zote azifiki million miatano bwana
Ivi wanatuonaje kwani😮😮 kuwa atuna akili km wao😅😅😅
Hela ya show moja ya diamond, ila mziki ipo pesa
Sasa mond anaingia wapi
Kulindwa damond kaingiaje hopo 😂😂😂
Mmepata kamrembo hapo 😂😂😂😂
Wanaume macho yetu sjui yana shida gan😂
Wenginewo mil300 sns zaidi ya million 400
Ukipata lazima uonyeshe, mafanikio yako, ingekua kaonesha mond ungesikia Bakhalesa ana majivuno aonyeshi vitu vyake, sasa leo tumeona, subili wangine waonyeshe vitu vyao usitupe vijemba kama Hadija kopa.
Where is jabo?
Ya tatu ni v8 land cruiser
Magari ya nn sasa unakaaa numba yakupanga 😂
acha uchiz mzee hio ni landrover defender linauzwa mil 230 tu 😂😂
We unayo ata hyo m230😂😂😂😂
TRA ni baba ake
Sawa muuza magar
Na TRA watakuchaji shngp?
Nikweli kabisa kama ile yako uliyonunuwa 2018...
Wakenya ni wapumbavu 😊
Wacha niskie povu za maskini na hasira zao 😅😅
Taman uyo dada mmpe nayeye nafasi tumsikie sio anavoongea kwa kujazia
izo sio G wagwan labda wana badirisha shep ya mbele na ndani au G wagwan ya zamani ila G wagwan yenyewe bei yake bala tena bala kweli izo zilizo tz nying ni G class Mercedes Benz kaka
Pumbuuu mia 4 acheni kufake life
Hakuna hilo defender la wauza chai tu
Unayo wewe 😅😅😅
Acha watu na magariyao sisinaungozetu huku
Diamond platnumz kaonekana na Bentley