Neema Gospel Choir - Bado Ninakuamini (Live Music Video)
Вставка
- Опубліковано 18 чер 2024
- Huu ni wimbo wenye nguvu ya imani na kujitolea. Ni safari ya kuamini na kumtegemea Bwana, ukiwa na ombi la uongozi na uwepo wake.
Pata ujumbe wenye kugusa moyo kwamba licha ya changamoto, kimbilio letu na msaada wetu vinabaki kwa Yesu pekee.
Wimbo huu uvuvie imani yako na ufanye upya tumaini lako kwa Mungu.
Songwriter & Composer: Godwin Mlambo
Leader: Loyce Simon
VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.
𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪
𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: info@neemagospelchoir.org
Website: www.neemagospelchoir.org
©️2024
Nianze na wewe,
nimalize na wewe
Safari yangu niongozwe nawe
Ukiniacha nitapotea Bwana
Ukiniacha nitaangamia
Ukiniacha nitapotea Bwana
Usiruhusu yatokee haya
Kimbilio langu umebaki mwenyewe
Msaada wangu umebaki mwenyewe
Wewe tu, wewe tu
Bado ninakuamini
👌🙏
😭😭nianze na wewe, nimalize na wewe Bwana
Ukiniacha nitapotea Mimi usiruhusu Bwana yatokee haya
🇰🇪🇰🇪kenya show some love if you are always blessed with this grace🇰🇪
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
JAMANI TANGU NIANZE KUCOMMENT SIJAWAHI KUPATA LIKE HATA MOJA😢😢🙆🙆
nimekupa both like na comment❤
Sawa waki like unapata faida gani?😂😂😂
Kuna hitilafu upande wako basi 🙃
Be encouraged
Like za nn unakula
Wangapi Yesu kabaki kwao kama kimbilio kwenye maisha yao....❤️❤️
Wanaoupenda huu wimbo like zenu❤❤❤❤naanza na ww namaliza naww🎉❤amen bwana
Badooo nakuamini MUNGU TANZANIA MPOO WAPII GONGAA LIKE HAPAA ❤❤❤❤❤
Silent follower hebu kujeni apa ,Nianze nawe na nimalize nawe Bwana,good song more grace guys🙏🙏🙏.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Very touching one
Ni wimbo wenye uhai ........ ni wimbo wa kusimama nao katika kipindi chochote. Ni wimbo unaoweza kushinda nao siku nzima hasa ukiwa kwenye maombi ya mfungo, ni wimbo unaoweza kuamka nao usiku wa manane na kufungua mbingu zikafunguka. Mungu awabariki sana NGC, pia solo abarikiwe sana ❤❤❤🙏
Exactly,hawa Ndugu WAPO ktk UWEPO Mkubwa na NGUVU za Roho Mtakatifu....
Huu Wimbo unafungua anga na Kuingia ktk Maombi ktk Roho,bila kuchooka!!
Mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu Kwa huduma hii njema Mnoo ❤❤
Amen utukufu kwa Mungu 🙏
Powerful message, at the right time, May God confort Brother Titus & Family, wasiache kumuamin huyu Mungu. Katika mapito yote, Bado tutamuamini.
Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
Zab 91:2 🙏
Mungu aendelee kuwainua wimbo mzuri sana...❤❤❤
Amen
Napitia Jaribu gumu sana 😢 Yesu bado nakuamini😭
Kenyan nipeeni likes kwa baraka aki
Mungu Saidia Nchi Yangu Kenya. Bado Ninakuamini, hata kwenya haya mapigano na Maandamano ya Kuhusu Finance Bill
Amen, Bwana awatendee mema
Bado ninakuamini,unishughulikie Baba yangu, ponya kila kitu kwa ukuu wako wewe ni Mwaminifu Baba yangu, kwa jina la Yesu Kristo ninakuamini
Baaado Ninakuamini na kukupenda❤❤
Huu ni aina ya Wimbo unaweza kukufanya ukalia sana mbele za Mungu, ukasema kila kitu kinachokusibu, ukalalamika, ukasema kila ulichoonewa
Siwezi hata kueleza 😭😭😭
GOD 🙌🏼
Amen
Kweli ndg
Ukiniacha nitapotea BWANA..usiruhusu yatokee tena BWANA..wewe ndiye kimbilio langu..hata kama hukujibu utabaki kuwa bwana..hata kama walituacha ndugu jamaa na marafiki ..utabaki kuwa BWANA.
“Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana Bwana, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.
”
- KumbuTorati 31:6
NA WAKUBALI SANA NEEMA GOSPEL ♥️♥️
Amen
Mpiga solo ni mwananchi🔥🔥🔥🔥🔥
Nitausikiliza, 🎧nitausikiliza nitausikiliza unabariki, unainua moyo, umenibariki mnooo. Bado ninakuamini❤
Baba mungu huu wimbo ni ombi langu kwako😭😭🙏
Hata katika haya magumu ninayopitia mm Rachel bado nakuamini 😭😭😭🙌🙌🙌
Mungu akukumbuke Rachel
Bado ninakuamini Mungu wangu wewe ndo kimbilio langu na msaada wangu nyakati zote 🙏🙏🙏
Wow ❤❤❤❤❤ wapi like za wana neema
Very powerful message!! "Nianze na ww, nimalize na ww safari yangu niongozwe na ww". Mungu awape Nguvu Titus &Family
Bado ninakuamini Mungu wangu ❤❤❤❤like 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
🙌🙌🙌 Ameeeen neema gospel, mmekua kielelezo kizuri katika utumishi hasa eneo la uimbaji, hakika hawa watumishi tuendelee kuwaombea.
Amen
It's either GOD or GOD. I have no any other options 🙌. what I know It will never end in shame nor pain.
hakika siwezi mwenyewe bila wewe Yesu🙌🙌
Jesus this song 😭 😭 😭 🔥 🔥 🔥
I still believes in YOU to eternity
From my heart, God I still trust in you.
Thanks for sound 🙏 Niko mwanza ninawapenda familia❤️❤️❤️
Kiukweli katika wimbo wa neema uliowahi nigusa ssna sana ni huu dads ubarikiwe sana kuimba kws roho na mguso mkubwa
katika raha na katika shida YESU ni kiboko ya yote hakika
Amen sana MUNGU awabariki sana . bado ninakuamini YESU KRISTO
Bado ninakuamini🙏🙏🙏Hapa Kenya bado tunakuamini
Amen
Kimbilio langu ni wewe msaada wangu ni wewe hata nipite kwenye majaribu BADO NINAKUAMINI❤🙏
Katika hili bado ninakuamini Mungu wangu mbarikiwe sana Watumishi wa Mungu
MY LOVE FOR THIS GROUP IS ON ANOTHER LEVEL NGC YOU NEVER DISSAPPOINT❤
Waoooh! Team ya Naoto zangu Mungu awainue zaidi, nina imani siku moja takuwa wote hapo 🙏🏻🙌❤️
Ameen❤
Fredrick Masanja
Natamani nipate bahati ya kuonana na wewe tu
Kimbilio langu umebaki ww Yesu dah song linatouch Moyo saan 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Bado ninakuamini bwana wangu YESU, hujawahi niacha daima,,,❤❤❤❤
God bless you all, may he fullfill each ones desire and his heavenly dew fall over every child of God 🥰. More love from +254
Amen......Hakika nianze na wewe na nimalize na wewe Bwana wangu
Na safari yangu iongozwe nawe Kila wakati.. Much love from Kenya
Hata nayoyapitia baba bado ninakuamini
Wimbo huu unanibariki sana ! Unanipeleka katika uwepo wa Mungu , najikuta naingia ktk maombi ,Amen .
AMEN
IAM a Kenyan here because of Upendo tv, wimbo mzuri wa kumtukuza bwana....nimebarikiwa na huu wimbo
YESU kimbilio letu wakenya ni wewe tu, msaada wetu wakenya umebaki wewe tu,bado YESU tunakuamini 😭😭🎤
Mbarikwe Sana Kwa UTUMISHI wenu unatubariki Sana na familia yangu
Nitayainua macho tangu nitazame milima 🙌🙌 msaada wangu utatoka kwa Bwana 😢
ABBA FATHER WE TRUST YOU AS A NATION
Hallelujah 🙌🙏❤
Amen
WATU HAWA WAMEBALIKIWA SANA KWA UIMBAJI MUNGU AZIDI KUWAINUA🙏🙏🙏♥️♥️🔥🔥
I trust in you God❤
Ni wewe tu Yesu maishani mwangu bado ninakuamini na nitakuamini sana tena sana na sana zaidi
Halafu ukiendelea kusikilia enda enda usubscribe Hadi 1m let's go ❤
BADO NA KUAMINI YESU
NITAKWAMINI MAISHANI YANGU YOTE
Hao watoto katika.choir.hii.hubariki nafasi yangu.
Eee Bwana nianze na wewe, nimalize nawe.
Safari yangu niongozwe nawe🙏
Jamani neema gospel imebarikiwa Kwa uimbaji❤❤❤❤
Nimeusubilia huu wimbo
Mnanibariki sana Neema Gospel Mungu azidi kuwainua
Nianze na ww BWANA na Nimalize na ww 🙏🙏🙏🙌🏻🙌🏻
Amen,Amen❤❤
Hata kwa hili nakwamini
Bado nikakuamini bwana hata kama nikiwa napitia changamoto mbalimbali stokata maaa
From Kenya, watching you live ❤❤🎉🎉
Be blessed
Badoo ninakuaminii YESU wangu hata nikipita ktk magumu mengiii🧎🧎
UTUKUFU KWA MUNGU 😭😭
Please God I pray that you start with me and end with me in all I do. Amen🙏
Amen
Bado nakuamin bado Bwana ninakuamin shuulka na maisha yang shuulka na elim yang Bwana😭😭😭🙌🙌🙌❤️
Amen
my God 🙌🙌🙌🙌
Ooooh Yesu 🙌🙌🙌
Najivunia wewe Loyce, be blessed the whole team. 🎉🎉good to trust God.
Nianze na wewe, nimalize na wewe........😢🙌🙌🙌
Amen
Nitangulie mungu wangu
MUNGU peke yake ndiyo amebaki kuwa kimbilio letu.
Hata sasa bado ninakuamini, my Lord🙏🙏
Mungu Awabariki kwa kazi yake
Ubaki mwenyew Yesu
Amina amina❤🎉
- for Titus and Janesuzy ❤️
UKINIACHA NITAPOTEA BWANA, NITAANGAMIA.... Usiruhusu yatokee haya ❤❤❤❤. Kimbilio langu ni Kwa Bwana🙏🙏🙏
Amen
Jaman hiii kwaya mfike mpaka sumbawanga mbna mimi sijawahi kuchoka kuwasikiliza
Amen kwa utukufu wa Bwana tutafika, endelea tu kuombea huduma yetu
Bado ninakuamini..... Yesu wangu
Msaada wangu umebaki mwenyewe Yesu asante ❤
Bado tunakuamini Bwana
This song is everything to me right now!bado ninakuamini Mungu wangu
Ee Bwana anza nasi na umalize nasi katika hii safari
Bado ninakuamini Bwana katika hali zote unabaki Mungu kwangu❤❤❤❤
Bado nakuamini mungu wangu.....nilianza na wewe hata sai Niko na wewe natumai kumaliza na wewe..... Hallelujah spirit of praise 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Amen
Safari yangu niongozwe na wewe Yesu.....Usiruhusu nipotee, niangamie
Powerful confession. Thank you
Bado namwamini Mungu
Hakika bado tunakuamin Mungu wetu,,,
Amen
Hallelujah,still trusting you my God for financial breakthrough, family in other words still trusting You my God in all aspects of my life.
Good Lord
Bado nakuamini Mungu wangu🙏🙏 Mungu azidi kuwainua Neema gospel
Bado ninakuamini haijalishii napitia magumu kiasi gani ila wewe kwangu ni kila kitu...hakika nitaendelea kukuamini🙏🙏
AMEN