The bassist (mr kazire ) asee u guy ufike mbinguni aseee i hv repeating this album the improvisation n arrangement are too epic for bass lovers God bless u essence of worship 🥲❤️🔥
Kwa jina naitwa sospeter tibezuka napenda kutuo maon kwenye wimbo huu, kiukweli umenigusa sana hivyo hongoren kwa wimbo mzuri nawapenda sana Mungu awabariki sana
Always a joy seeing young people having fun as they praise God. This is beautiful. The lead singers, the instrumentalists, the audience ... It's electric!
This is not music, it's an art of ministering and hence should be taken to archives for remembrance. If you're watching this in 2080, know Essence of Worship saved us from depression in our times.
Nani Kama wewe Mungu! Tunakutukuza, tunakuinua maana hakuna Kama wewe!!! Baba unastahili sifa na utukufu!!!! Mungu awabariki watumishi kwa kumwinua Mungu wetu, Haleluya!
Essence Essence Essence nimewaita Mara 3 hii ni zaidi ya baraka kuwa na kundi kama lenu Tanzania nawapenda sana na I hope one day tutakutana katika huduma hizi za kusifu na kuabudu
Essence you such a blessing to many and specifically me and the way you guys inspire my daughter with your songs.....I feel like travelling all the way to Tanzania just to be in that presence......much love from Kenya🇰🇪....I love you guys...baraka
Quick analysis. You have 155,000 subscribers, 230,000 viewers within four hours. Imagine how big is you audience. This is super church. Keep on doing it, God will reward you.
Wewe ni mwema Mungu wa Abraham, Mungu wa Isaac na Mungu wa Jacob. Asante kwa baraka, wema na fadhili zako. Mungu awabarikiwe na kuwalinda watumishi🙏🏿❤🇹🇿🇬🇧
The song is about the God praise “ Tunakuza”=we bless you “Tunakuinua”= we lift you “Wewe ni mwema kwetuuu”= you are so good to us So the full verse is like this “We bless you, We lift you, You are so good to us” “Wewe ni mwema baba heee”= you are so good father hee Now sing😂
😅😅😅😅weeeeeh one word to the drummer and the bassist men🔥🔥🔥
May God bless you all whoever reads this comment may God open your doors ...Tunakutuza bwana
Hallelujah
Amen Amen
Amen amen i receive in Jesus name
Ameeeen
Amen,I receive it in JESUS NAME
A moment of silence to honor the drummer. Bless you
Ameeen....heard some bass progression from Deborah lukalu 😊😊🔥🎸🎸
DRC musicians are the best ouf thanks for sharing your talent
The bassist (mr kazire ) asee u guy ufike mbinguni aseee i hv repeating this album the improvisation n arrangement are too epic for bass lovers God bless u essence of worship 🥲❤️🔥
Huyu baba mliefanya nae kollabo anavocal nzuri mno yenye upako salute to musicians too🔥🙌🏽
Anyone reading this comment fight the good fight keep the faith and let's make sure we meet in heaven where such worship will be our norm shalom
Kwa jina naitwa sospeter tibezuka napenda kutuo maon kwenye wimbo huu, kiukweli umenigusa sana hivyo hongoren kwa wimbo mzuri nawapenda sana Mungu awabariki sana
Mungu azidi kuwainua na Vipaji vyenu Essence of worship nafatilia Kila wimbo Wapiga vyombo yaan Munaupiga mwingi hongeraa💪💪
Malaika ndo anapiga mana sio kawaida
Waaah the girl and stephen duuuu mmeuaaa...May God bless you..Thanks essence kwa kutubariki
Always a joy seeing young people having fun as they praise God. This is beautiful. The lead singers, the instrumentalists, the audience ... It's electric!
The bassist and the drummer. The whole arrangement. Woooow ❤❤. Blessings
Ni mungu mwema mwema mwema Sana Sana mungu no mwema❤️ from 🇰🇪
Fantastic, hongera mtumishi Malilo & the essence for the good praise 🙌
Akatutoa chini, akatuweka juu, ametutoa juu ametuweka kileleni.🙌🙌🙌🙌
Ingawa bdo wengine hawajaelewa lkn amini , usiamini kumtumikia MUNGU mwenye VYOTE ni RAHA SNA moyoni na mwilini.... Safi SNA essence of worship..
Wimbo mzur sana
Wenye uwepo wa kusifu katika Roho
Yesu utukuke ndani ya maisha yetu na uzidi kuongezeka saana
Oooooh!NANI KAMA YESU SIMBA WA KABILA LA YUDA 🔥🔥🔥🔥
UTUKUZWE MILELE
Love from luo nyanza siaya wabarikiwa
This is not music, it's an art of ministering and hence should be taken to archives for remembrance. If you're watching this in 2080, know Essence of Worship saved us from depression in our times.
Mbarikwe sana watumishi wa Mungu daima moto wa madhabahu utawaka usizimike
One of the all time seasonal praise songs to listen over and again❤
Guys you realy bless me the spirit of God was in you were composing thi song
Drum ziko sawaa congrats that guy
Nani Kama wewe Mungu! Tunakutukuza, tunakuinua maana hakuna Kama wewe!!! Baba unastahili sifa na utukufu!!!!
Mungu awabariki watumishi kwa kumwinua Mungu wetu, Haleluya!
I thinks Africans will be leading especially Praise in Heaven. 😊
Hit after hit🔥🔥🔥
Hii august nayo tumefraaai.
God bless you fam 🇰🇪🇹🇿
That servant of God up there 🥁.🔥🔥wow
Essence Essence Essence nimewaita Mara 3 hii ni zaidi ya baraka kuwa na kundi kama lenu Tanzania nawapenda sana na I hope one day tutakutana katika huduma hizi za kusifu na kuabudu
Wewe ni mwema baba hata katika maisha yangu nmekuona ukiwa mwema
How I wish this would come to Doha
I missed the signature of this drummer. Amazing music spirit lifting
Sebene haijawahi kumuacha mtu salama... 😀😀😇😇😇😇🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌.... Powerful song....
Perfect 'n creative voices🙏
Mmeinuliwa kiwango kingine.
(Apst Vincent Kibege. South Sudan)
Nyimbo zenu zibanibariki sana Mungu aendelee kuwatumia
Wimbo mzuri san barikiwa kwa huduma
I pray one day you come to our church in Uganda
Waooh big up mate Stephen Malilo!!🙏🏼🙏🏼 God bless you brother
Amen amen hakika tumtukuze pamoja nimepend sana mmebalikiwa essence of worship mungu azidi kuwa pandisha juu milele na milele amen
Essence you such a blessing to many and specifically me and the way you guys inspire my daughter with your songs.....I feel like travelling all the way to Tanzania just to be in that presence......much love from Kenya🇰🇪....I love you guys...baraka
Wewe ni mwema kwetu, unatutendea makuu na ya ajabu. Tunakutuza, pokea sofa za mioyo yetu. Amen.
Kwa Yesu sitokiiii 🇰🇪 imefika
Tunamshukuru Mungu kwa kazi nzuri mnayofanya kulihubiri neno la Bwana kwa njia ya Nyimbo za kusisimua. Mungu awajalie viwango vingine.
Amîna sana!! Nafulahia hiii choir,mbalikiwe!!
Yes yes more grace ministers of the Lord. Keep the fire burning 🔥. From 🇰🇪
Quick analysis. You have 155,000 subscribers, 230,000 viewers within four hours. Imagine how big is you audience. This is super church. Keep on doing it, God will reward you.
How many times am I gonna listen to this🥺🔥🔥🔥
Hii imeweza sana GOD BLESS YOU ESSENCE OF WORSHIP MUNANIBARIKI SANA NA KUNIPA MOYO ZAIDI NA KUIMBA SONG ZENU 🎵
Wow! Kenya is celebrating you guyz. Keep on going.
Tunakutukuza mungu wetu
Nyinyi ni wa Baraka sana Essence of Worship... organize one day you come with this drummer to Kenya
I would really like to know the name of this drummer and his social handles i am a drummer and i really love the way he plays
Ahh this song is amazing from beats to singers❤😘
Wow haki nimewapenda mungu awatendee mema mabarikwe kwakumtukuza mungu wabinguni
Amen Tunakutukuza tunakuinua wewe ni mwena Yesu
Allelluyah ,,, Kamwe Simwachi Mungu wa Mbinguni kwa upendo wake kwetu kila siku
I'm blessed and I'm representing 🇰🇪. I can c we are so many here. 🙏👏👏👏
Astahiliye kutukuzwa na kuinuliwa Mungu mwema kwenye maisha ya kila mwanadamu.
Can't get of the essence of worship, every time Songs that give attribute to our God.
Amen
Mmejua kunibatki jamn,Mungu aendelee kuwawezesha.
Woooh our best learder dr gwamaka and all essence of worship your so better
Tunakutuza bwana... Wewe ni mwema 🙌
Wooow 🔥🔥🔥🔥
Mbarikiwe Sana kwa kutubariki.
Kwa Yesu sitokiii kwa Raha hiii.
this song on another level the lady soloist
Utukufu apewe Mungu, mbarikiwe sana
My all time favorite worship and praise team.Much love from Kenya 🇰🇪😘😘😘😍😍😍❤️❤️❤️
Njonjonjo uelezeee usimulie
Nimebarikiwa na huu wimbo jamani yaani nahisi furaha nikiskiza
Mbarikiwe🙏nanyi pia nawapenda 💙💙
U Guys make my morning every day,may God continue blessing this Choir
Wewe ni mwema Mungu wa Abraham, Mungu wa Isaac na Mungu wa Jacob. Asante kwa baraka, wema na fadhili zako. Mungu awabarikiwe na kuwalinda watumishi🙏🏿❤🇹🇿🇬🇧
Wow am blessed with the worship
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 may the lord bless and lift up your ministries....
ua-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/v-deo.html
African praise is in another level
From Europe - originally
from Kenya.. Now in Netherlands loving and enjoying and being so so much blessed... Yesu anaweza yote.. amen and Amen 🙏 🙌 ❤️
lets worship HIM who lives forever
Tunakutukuza ewe bwana... Wewe ni mwema kwetu... Really amazing masterpiece.... Much love from USA
ua-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/v-deo.html
Hallleluuuujah 👏👏👏👏👏 kwa Yesu sitoki🔥🇰🇪
God bless you team 💥 what's a nice song..... Tunakutukuza
Woow..the basist is on another level..to God be the glory
im blessed too thats for the glory of the most high God.
From Nigeria🇳🇬 Please add the lyrics as subtitles and the translation in English
The song is about the God praise
“ Tunakuza”=we bless you
“Tunakuinua”= we lift you
“Wewe ni mwema kwetuuu”= you are so good to us
So the full verse is like this
“We bless you,
We lift you,
You are so good to us”
“Wewe ni mwema baba heee”= you are so good father hee
Now sing😂
@@nicromezb 🤣🤣🤣
I can't express how much I feel once I listen all of your songs....your just a blessed to me 💕💞❤️
Bro Stephen Malilo🙏the voice is lit
Glory be to God
Sitoki kwa YESU...
Tunakutukuza ,tunakuinua haleluyaaaa
Sio Siri dav 🥁🥁 duh anapiga poa saana
Tunakutukuza 🥳🥳🥳 beariful song
I love everything about this team. Kila wimbo mnaoufanya una neema mpya kwangu. Bwana Yesu asifiwe na awabariki watumishi
Good job. More grace to you.
Diana Mungu azidi kumtumia kana anavotaka huyu dada..ananibariki mno
Amen nyimbo Sana ipo Vizuri Sana sana
The message is just woooow.... Baraka tele wana essence... Neema ikawatoshe zaidi
Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya Hareruya
#mutuashi Congolese groove 🥰🥰🥰
Essence of worship you are a blessing to me
I can't get enough of this
The Isebenee 💥💥💥🔥🔥🔥i love how Gwamaka gives them time to lead as he enjoys the music ...
#PureMentoring
ua-cam.com/video/1vQ1Hp6fJ7g/v-deo.html
Essence of Worship, God bless you. from kenya
My spirit is in love with this instrumentalists 💖. Madam soloist you nailed it. Kudoos🤗
Song limetulia,big up to the bassist,he knows how to play the song,not good,but to the best
Kwa kweli Mungu wetu ni Mwema 💕
NICE MUSIC 🎶
God bless you abundantly servants of Almighty God. He is only the living God ,we glorify