MUNGU anisamehe kwakweli mm mtuakisema Alikua ni mchawi na sasa ni mchungaji mmh bado sina hakika na yeye MUNGU ANISAMEHE , TUWE MAKINI SANA WAGANGA NA WACHAWI SASAHIVI NI WAVAA SUTI WAMEHAMIA MAKANISANI JAMANI......
@@emmanuelshilagi3302 hahahaha wewe ndio hujaelewa haswaa unaelewa maana ya kuhukumu? Na kutokuamini mimi nimesema siamini wewe unasema nisihukumu khaa jamani..... Acha MSISIMKO BASI (EMOTIONS)
Huyu Power Mwasekaga namfahamu vizuri tangu akiwa mwanajeshi hadi kustaafu JWTZ Tabora, ushuhuda wake ni uongo asilimia 90. Hata yeye anajua (nasikia alishafariki) kwamba anaongea uongo mtupu. Anayoyasema hakuyaishi.
Huyu alitakiwa awapate PROMOVER TV ndo tutapata huyo ushuhuda vizuri. Nia ya Mchungaji ni nzuri ila sio kila mtu ana kipawa cha Ku Interview...... Uandishi wa habari ni kipawa na ni Profesion. Anamkatisha hakuna muendelezo wa story moja iishe. Huyu mzee unaweza kupata hata series 20 za saa moja kila moja.
Mtangazaji ulifanya uzembe mkubwa sana,, story ni nzur ,,MUNGU amesema nawew ulekodi shuhuda yake,,wew ukafanya uzembe matokeo yake umerekod shuhuda mbili tuu..
Mchungaj angepata mda mrefu angesimulia vzr zaid sema anaehoji ana mrukisha
Aliyekwambia kapewa mda mfupi Nani?
We Umejuaje kama Alipewa mda mfupi ?
😂😂😂😂😂😂 ah! Stori za majini,
Mwasekaga kwanza msomi mzuri,Ni Mtu wa Mungu sana
Asante sana mutumishi kutoboa Siri ❤❤❤
Daah story imenifunza sema mwendelezo ndo changamoto tena
safi kwa yesu kuna furaha
Mm sijui lkn maongeo yake tu ni uongo mzee wa ovyo tu
Jaman kueni makini na hawa wachungaji wanao sema walikua wabaya ila wameokoka.
Sijaelewa maana yako
Nakwambia waganga wote wamehamia kanisani saahz wanavaa SU
TI YAN SIMWAMINI HATA CHEMBE,
Mzee namwandishe wotewaongo watupu
Mbona ushuhuda hauna muendelezo?
Liongo hili zee. Mchawi mwenye majini?? Majini na uchawi wapi na wapi?
Kweli niki kusikia hayo unayosema, bai ni kweli wachungaji wengine ni waganga.
Mch Dk Mwasekaga,Naomba namba yako
Muuliza maswali daaa achaaa
Ila we unayehoji unaharibu ushuhuda uu
Mtangazaji ana kiherehere kama nn yaan
Mtafute Benson Mwakilembe akuhojie huyo mchawi aliyestaafu wewe kuhoji siyo karama yako.
Hakuna swali baya
Mtangazi wewe unaharibu wachana ajielezee mwenyewe au pia wewe umewai kua mchawi 😂
Ushuhuda ni mzuri japo kidogo muuliza maswali ana haraka ya maneno yake
Ana kimuhemuhe kama nn huyuu litangazaji
Mwendelezo haupo
Mtangazaji Mara nyingi maswali yako yanaharibu mwendelezo wa ushuhuda.
Anaye hoji anakatisha history ina kuwa haina maana
Haleluya
Daaaah, mtangazaji Mungu anakuona! Tafuta wenye taaluma hiyo wewe unasababisha tuichoke stori wakati ni nzuri....
We kichwani unaupungufu
Mtazamo wako huo sio Wangu
Mtangazaji shida miswali isiyonamana unamtoa mtu kwenye mtiririko
Hapo ndo Ufahamu wako ulipo fika
MUNGU anisamehe kwakweli mm mtuakisema Alikua ni mchawi na sasa ni mchungaji mmh bado sina hakika na yeye MUNGU ANISAMEHE , TUWE MAKINI SANA WAGANGA NA WACHAWI SASAHIVI NI WAVAA SUTI WAMEHAMIA MAKANISANI JAMANI......
usihukumu yatazame mate do yako je uko sahihi ndio uhukumu
@@emmanuelshilagi3302 hahahaha wewe ndio hujaelewa haswaa unaelewa maana ya kuhukumu? Na kutokuamini mimi nimesema siamini wewe unasema nisihukumu khaa jamani..... Acha MSISIMKO BASI (EMOTIONS)
Huyu Power Mwasekaga namfahamu vizuri tangu akiwa mwanajeshi hadi kustaafu JWTZ Tabora, ushuhuda wake ni uongo asilimia 90. Hata yeye anajua (nasikia alishafariki) kwamba anaongea uongo mtupu. Anayoyasema hakuyaishi.
Ww uliloga na yy
Hujaelewa alicho maanisha@@JoelMoshi
Wewe ni mwanga
Naomba namba ya Mchungaji Mwasekaga
Huyu babu kama umesikia Mtumishi wa Mungu amesema alifariki
Sikiliza kwa makini maelekezo part 1
Hkweli tuwe makini
huyu mchungaji babu yetu amefariki hivo ushuhuda hauwezi kupatikana
Huyu alitakiwa awapate PROMOVER TV ndo tutapata huyo ushuhuda vizuri. Nia ya Mchungaji ni nzuri ila sio kila mtu ana kipawa cha Ku Interview......
Uandishi wa habari ni kipawa na ni Profesion. Anamkatisha hakuna muendelezo wa story moja iishe. Huyu mzee unaweza kupata hata series 20 za saa moja kila moja.
kabisaa
Au Davistar Mata TV
Hujitambui wewe
Angalia selikari ilifikili ni mtu wa kawaida wanamlipa hela nyingi kweli dunia ni upepo
Mbona uweki sehemu ya tatu
Mtangazaji ulifanya uzembe mkubwa sana,, story ni nzur ,,MUNGU amesema nawew ulekodi shuhuda yake,,wew ukafanya uzembe matokeo yake umerekod shuhuda mbili tuu..
bahati mbaya amefariki tuvumilie tu
Anakamuliwa NGAMA.
Lusekelo umezingua yan kwanza kitendo cha kuweka nyimbo katikati ya mahojiano unazani watu wanasikiliza nikupeleka tu mbele
Akili yako ni Ndogo sana pole
Yaaan ningelikuwa karibu na uyo kaka ningemnyang'anya maike maana hajui kazi yake
Hujapata hio nafasi kwa kuwa unachodhani wewe uko sahihi kumbe uko 0
Mtagazaj kasome
Dunia inamambo
Wewe mtangazaji wewe
Chiting only
Yaaan uyo mtangazaji ni fake 😏😏😏
Kabisaa awape watu na fani zao
Hujitambui wewe
Wewe unashida ya Afya ya Akili
Ndo imeisha au