A-Z Msigwa alivyotaka kuzichapa na DC

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 228

  • @livionemwangemile4950
    @livionemwangemile4950 7 років тому +21

    mweshimiwa msigwa mwambie kuku uyo anajua umeteuliwa

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 7 років тому +11

    wahehe wabishiii😂😂😂

  • @jumagari4695
    @jumagari4695 7 років тому +10

    kweli msigwa nimekukubali usikubali kuburuzwa na makada hao was ccm

  • @consolatamaarufu6762
    @consolatamaarufu6762 6 років тому +6

    mwambie huyo mcgwa😂😁😀😂😁😀😂😁😀penda sana mchungaji wangu

  • @michaelgershon9077
    @michaelgershon9077 6 років тому +14

    Uongozi unahitaji subira.
    Dc ni kiongozi.
    Hajatumia utawala.
    Nampongeza.

    • @fungamaliramadhani479
      @fungamaliramadhani479 6 років тому +1

      MICHAEL GERSHON msigwa huyo hapi umuezi mtoto wamjini huyo mguse uone pimbaavu

    • @stellaernest8735
      @stellaernest8735 5 років тому +1

      we ni fala hujui nn maana ya uwajibikaji Pumbavu

    • @amanabdallah9745
      @amanabdallah9745 5 років тому +1

      Subira ya nini, kwa hao ma DC na ma rc waonezi,kilichobaki ni kukungutana makonde

    • @elishajuma2615
      @elishajuma2615 Рік тому +1

      Wew na wew ndo wale wale

  • @naimajecker2889
    @naimajecker2889 6 років тому +5

    Msigwa i love uuuuuuu😂😂😂😂😂😂😂

  • @chilombachilo7534
    @chilombachilo7534 7 років тому +19

    msigwa kunywa soda popote nitakuja lipa

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 6 років тому +2

    Msigwa hekima huna, Safi Sana DC ,Huyu Dc anahekima sanaa

  • @josephmakau7322
    @josephmakau7322 4 роки тому

    Msigwaaaa chumaaa motoooo msigwaaa mashine sanaaa

  • @elikanaisrael1138
    @elikanaisrael1138 6 років тому +2

    Safi san mchungaji msingwa njoo kabisa nikukabidhi mke wangu

  • @nathankihiyo9293
    @nathankihiyo9293 6 років тому +2

    msigwa amepaniki kinoma 😂😂😂😂.
    imebaki siku, majira na nyakati na wewe uwepo nje ya fensi. hao hao waliokuchagua ndio watakaokutoa.

  • @mzeeahmadi9400
    @mzeeahmadi9400 6 років тому

    you are dealing with smart people I'm not stupid !

  • @louisnyoni4139
    @louisnyoni4139 6 років тому +18

    Msigwa ni jembe kazi zake tunaziona, aendelee kuchapa kazi na kuisimamia serikali.

    • @anozacha611
      @anozacha611 6 років тому

      Louis Nyon tena sanaaaaaaaaaa

    • @edsonndogoro3188
      @edsonndogoro3188 6 років тому

      Louis Nyoni kazi gan alizofanya msigwa. Huo ni uchafu tu.

    • @nathankihiyo9293
      @nathankihiyo9293 6 років тому

      😂😂😂😂Kazi za kuropoka hata mimi naziona

    • @edsonndogoro3188
      @edsonndogoro3188 6 років тому

      Louis Nyoni ana kazi gan msigwa anazofanya au kulima mahindi ya kumwagilia?

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 6 років тому +3

    Wachungaji wasiku zamwisho 😂😂😂

  • @magelaoscarjr1401
    @magelaoscarjr1401 6 років тому

    dadeekii!!! mgaya shidaa og

  • @ramadhanmahongole9649
    @ramadhanmahongole9649 6 років тому

    saf sana msigwa hao ma DC hawajuagi sana nguvu ya ubunge kuwa inatokana na wananchi hivyo mbunge ananguvu kuliko hao

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 5 років тому +3

    Safi sana msigwa

  • @braytonymasebene1086
    @braytonymasebene1086 6 років тому +1

    Ahahahahahahahahahha msigwa bana mbn umemchelewesha kwan ccm wao wakina naniiii bg up rais msigwa wa ilinga

  • @majaliwayusuph3801
    @majaliwayusuph3801 7 років тому +3

    Mh Msigwa hawa RC na DC wana kinga lkn lazima uwaambie wajue hilo. Kuekwa ndani na kufunguliwa. kesi za uchochezi ni kawaida kwa upinzani.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 роки тому

    Msigwa mwenyewe hayupo, na kasesera hayupo!

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 6 років тому +1

    🤣🤣🤣🤣eti mm haunitoi kirahisi hapa! Hahaha kumbe zogo lote hilo unaogopa kukataliwa na wana wa nchi? Hahaha pole sana bob

  • @renatusmgina4003
    @renatusmgina4003 6 років тому

    Safi sana wajinga kama hao inatakiwa at a makofi tu wanapenda ujinga kila mda kura za wapiga kura wanaiba bado wanashindwa yakuongea wanakusema MCHUNGAJ vitu vya kijinga wamezoea hao umefanya vizur sana bola kumfece MTU syo kuzunguka MTU mwenyewe bata tu kateuliwa Anataka kushindana nauliye chaguliwa KWA mapenzi ya wananchi waliowachoka mabepari hao wakununua madiwan na wabunge

  • @manasemwakilasa5931
    @manasemwakilasa5931 4 роки тому +1

    Umepanik mbunge

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 6 років тому

    hili sasa hivi linakela sana kama halijawahi kuwa lichungaji huenda linavuta bangi linashindwa kumjibu hata kwa hoja mambo ya kijinga limekuwa na presha ya uchaguzi 2020 na 2020 hili hata likipigwa chini kwenye uchagizi siwezi kusikitika linaboa kinoma kwenye haliwajibiki ipasavyo lakini kwenye kutafuta kiki la no 1,

  • @georgesindano7402
    @georgesindano7402 5 років тому +1

    safi sana mbunge wangu wa iringa town kama ni swala la maafa si mpaka viongozi wate wauthulie maafa (ndio maana kukawekwa ngazi kwa ngazi)

  • @wakatiwetuleotv4295
    @wakatiwetuleotv4295 7 років тому +8

    Yesu aliye mkuu Sana na mfano wakuigwa alikasirika nakupindua meza Za wabadili fedha walipo kiuka taratibu kwa dharau iweje msigwa asikasirike? msigwa Uko Pouwa Sana

    • @simonnyasebwa9026
      @simonnyasebwa9026 7 років тому

      WAKATI WETU LEO TV kweli chadema hamnazo unamfananisha Yesu na msigwa mmetoka wapi ninyi mbona mmeishiwa hivyo kwa akili hizi Tanzania hamtaiongoza MNA vurugu si kawaida mkiguswa tu mnalia oooo mnaoeleka polisi mmekuwa kuwa kama wanawake, poleni sana.

    • @nathankihiyo9293
      @nathankihiyo9293 6 років тому

      Ujinga mwingine huu!! hivi unajua kwann Yesu alikasilika? na utambue Yesu alivyokasilika hakumdhihaki mtu, hakumkashifu mtu wala kumdharau mtu! Acha kumfananisha Yesu na vitu vya kipumbavu.

  • @rennysteve3227
    @rennysteve3227 7 років тому +15

    Eti mchungaji hekima iko wapi?

    • @consolatamaarufu6762
      @consolatamaarufu6762 6 років тому

      Renny Steve ulickia mchungaji ndio aonewe we vepe

    • @fungamaliramadhani479
      @fungamaliramadhani479 6 років тому

      Renny Steve mchungaji wanini muhuni tu huyo hapi pigakazi babu Chadema pigachini huyooo

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 5 років тому

      Mungu karuhusu hasila ila usitende dhambi ndio maana unasikia hasila iliwaka kwa Daudi kumuangusha Goliath

    • @stellaernest8735
      @stellaernest8735 5 років тому

      we ni fala hujui nn maana ya uwajibikaji pumbavu

    • @moureenkirundwa8691
      @moureenkirundwa8691 4 роки тому

      Uchungaj mana yake co uonewe, na czan km kafanya dhambi hapo, kwa kuw hasira iliwaka ndan yke lkn haikuw na matunda mabaya

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 років тому +2

    WEWE MCHUNGAJI HASIRA BILA KIKOMO KWA HIO ULITAKA UMPIGE USINGEZUILIWA NA WAPAMBE WAKO?

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 7 років тому +6

    Huyu. I mcbungaji kwel au nimchunhaji madili? Mchungaji haiwi hivo.

  • @ishpalemypasco5751
    @ishpalemypasco5751 5 років тому

    eti mchungaji mchungaji gani mpumbavu huyo.chadema mazuzu yote kasoro mzee lowasa ana hekima na busara

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 6 років тому +3

    Najiskia kuwachana...wachane baba

  • @allymliloh1760
    @allymliloh1760 7 років тому +7

    Hivi huyu msigwa alisoma tu Bible knowledge akawa mchungaji au ndo watu kuitana prof Jay

    • @JeanPierre-sb3ys
      @JeanPierre-sb3ys 6 років тому

      timoun dezòd

    • @stellaernest8735
      @stellaernest8735 5 років тому

      kamuulize baba ako, ndio atakupa jibu manake wakati anasoma bado hujazaliwa

  • @boyselemani4493
    @boyselemani4493 5 років тому +1

    Umemtolea uvivu Safi sana kaka nimekubali unafki wamadalaka umempa Kali hao ndio wanafiki Ila kajielewa

  • @emmysam1510
    @emmysam1510 3 роки тому +1

    Oyooooooooo

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 6 років тому

    Mchungaji msigwa njoo tuhubiri wenye dhambi ili tulete maendeleo ya kiroho kwa watanzania.. Hayo ya kimwili waachie wenye wito na style ya siasa..... Siasa ngumu kwa muhubiri jamaniiii... Maji na mafuta.
    Stahafu ili kujenga heshima.. Umeshafanya kwa sehemu yako sasa njoo madhabahuni... Please please please baba ... Waachie wakina Mdee.

  • @adamkaita3009
    @adamkaita3009 6 років тому +1

    he he eeeh msigwa jimbo limekushinda hilo Acha kupanick jimbo linarudi ccm hilo

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 років тому +1

    msingwa uyo mkuu ajielewi yeye kaletwa tu ndiyomana ajielewi

  • @mhandyeyoo6591
    @mhandyeyoo6591 7 років тому +1

    Mchaapeee huyo pastor 😆😆😆😆😆😆sina mbavuuuuuu penda pastor msomehe 1king 18:

  • @e.j.starelia5672
    @e.j.starelia5672 5 років тому

    Huyo msigwa si apigwe Kofi aache kuropoka alaaa,,,nyau tu,,,afu anajiita mchungaji,,,,,,et wewe ndiyo mchungaji

  • @deoshine777
    @deoshine777 6 років тому +1

    chezea kitambi hicho bb wanatumwa hao kuvuruga tunaona arumer na ars

  • @abdulkareemally8371
    @abdulkareemally8371 5 років тому

    Waambie ukweli tuu.. wakikufunga sawa ila wanao ukweli

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Рік тому +1

    Huo ndo uwanaume sasa hakuna kuoneana hapa safi sana

  • @ramadhanikalumbete7134
    @ramadhanikalumbete7134 7 років тому +1

    upole ukuzidi utatiwadole yanipale kamanimm shamchapa.teke LA.korodani

  • @jessykaelus1579
    @jessykaelus1579 7 років тому +3

    Hahaha:

  • @edsonndogoro3188
    @edsonndogoro3188 6 років тому

    Msigwa akili huna! Ww ni bwege mkubwa unaonyesha huna uchungaji wowote! Zungumza kihehe basi sasa unazungumza kingereza wazungu wenye lugha wapo wap? Yaan hili jamaa ni tumwa kabisa bado linadhani eti kinge ndy kusoma mweee, popopooo!

  • @mudhihirumikidadi6066
    @mudhihirumikidadi6066 4 роки тому

    Huyo anakusemea nini si aseme yakwake kama hanasela akaokote makopo

  • @cypmkutubi3109
    @cypmkutubi3109 6 років тому

    Eti huyo ni kiongozi wa chama kisha eti ni mchungaji, anabwata kama muuza gongo!
    Tujifunze nini kwa kiongozi kama huyu?? Tena anamuomba DC amuweke ndani.
    Hujanishawishi kujiunga na CHADEMA SACCOS

  • @simonnyasebwa9026
    @simonnyasebwa9026 7 років тому +10

    Nishasema we siyo mch, Bali mchungwaji sijui ulienda chuo gani na unasoma biblia gani we umebambikwa tu huo uchungaji,

    • @mbwanarashid7353
      @mbwanarashid7353 6 років тому +1

      Wewe kibaraka tu ovyooo et kasomea wapi inakuhusu we mwenyewe hata mlango wa darasa huujui

    • @emanuelezekielphilipo4687
      @emanuelezekielphilipo4687 6 років тому +1

      Nanyeye mnaye andika uchoko uchungaji siyo unyonge bana, kira mkiandika mchungaji mchungaji sasa ndoawe fara acheni uccm

    • @hellohello4700
      @hellohello4700 6 років тому +1

      Acha kuropoka we chupi!!

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 5 років тому +1

      We fici soma Bible

    • @stellaernest8735
      @stellaernest8735 5 років тому

      baba ako anajua nn mpaka useme mbunge msigwa sio mchungaji acha tabia za kimama hizo

  • @elminakalunga4030
    @elminakalunga4030 6 років тому

    Nitafuatilia mpaka nione 'Mlokole huyu uchwara' anavyokwisha.

  • @Kifyasi
    @Kifyasi 6 років тому +1

    we msigwa ww achahasila ww nikioo chajamii hasila zann? ukiwa kiongoz lazima utumie wazfa wako fuata sheria

  • @sulleysonmishlaymishlay7233
    @sulleysonmishlaymishlay7233 7 років тому +2

    Hiyo safii sana uchungaji siyo ujiga

  • @florencemgoyo9273
    @florencemgoyo9273 5 років тому

    sukumaaaa ndaniiiii

  • @sazafsuma7542
    @sazafsuma7542 7 років тому +2

    alaa pumbavu

  • @titonkwabi7430
    @titonkwabi7430 6 років тому +1

    Mchungi au Mchungaji!

  • @annetmsafiri6704
    @annetmsafiri6704 6 років тому +1

    Kazi kweli kweli mtumishi wa mungu huyoooo mungu tusaidie

  • @faymzalendo1728
    @faymzalendo1728 6 років тому +1

    Nani alimchagua mvuta bangi huyu,

  • @mazikufabian2252
    @mazikufabian2252 7 років тому +6

    Mkwawa Piga Hiyo Kitu.

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 7 років тому +2

    😁😁😁😁 ngoja kwanza ninywe maji ya motoo then nitakuja badaye

  • @husseinkulumbiza8894
    @husseinkulumbiza8894 6 років тому

    Napataga Tabu sana kuona Viongozi wetu,wanatupiana maneno Makali,Najiuliza sasa kama wao wanagombana sisi wanatuweka Upande Hupi!Tumtangulize Mungu mbele kwa kila Jambo Tutafanikiwa,Naviongozi wetu Mshirikiane na Mpendane,Mungu Atuongoze.

  • @peterdaison5220
    @peterdaison5220 5 років тому

    pigen hela tu hakuna lolote wot ni walewale

  • @faridafarida6631
    @faridafarida6631 8 років тому +2

    onyo wazee wazima

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 5 років тому

    Mimi siwapendi watanganyika lakini wewe msigwa salut wewe kamanda full manyota sawa?hawezi kukuonea mtu ikiwa right ni yako popote pale ulipo sawa?

  • @lucyshine1271
    @lucyshine1271 5 років тому

    Mbunge anajiamini dc hoi hana kitu

  • @saidikamduma5468
    @saidikamduma5468 7 років тому +1

    mmmmh Tanzania hii inakoelekea Kazi ipo

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 6 років тому

    Safii,sanaaaa

  • @farajihokororo1806
    @farajihokororo1806 6 років тому

    Huyo sio mchungaji kasesele ungemtia ndani awe na adabu

  • @saidimilanzi6403
    @saidimilanzi6403 6 років тому

    tatizo ni hawa wateule wa rais yaani asilimia 90%wanakesha kutafuta namna ya kumridhisha mwenzao aliewateua hawajui kabisa wajibu wao,ndio maana sasa wenye busara wanaona haipo tena haja ya kutumia busara ni kuwawakia tu live

  • @sweetbertmlinda9672
    @sweetbertmlinda9672 6 років тому

    Mhhhhh, hiv ukiwa chadema lazma uwe kichaa kichaa hiv au!? Msigwa na ww una Kaz 2020 usipojirekebisha

  • @masanjasamora9993
    @masanjasamora9993 6 років тому

    Wamungu hawiii na hasira wengine wachungaji feki kwan huyuu mchungaji kweli au amevaaa ngozi ya kondoo kumbe ndan mbwa mwitu mkali eeeh

  • @ayoubmkeya8709
    @ayoubmkeya8709 6 років тому

    shida pale unapo hc wewe ni bora kuliko wengine mfano msigwa kauli zake ni dhahiri kuwa yeye ni miongoni mwa watu wanao jiona ni sahihi kuliko wengine kwa kauli zake kwa mienendo yake na mengine

  • @johnmotto6366
    @johnmotto6366 7 років тому +1

    Msigwa nguvu huna halafu unajionesha .

  • @mariamfaki1166
    @mariamfaki1166 7 років тому +1

    Unasema sana

  • @issajohn5670
    @issajohn5670 6 років тому

    Mtu mdebwedo utamjua tu. Huwa ashiwi maneno na kujifanya yy mbabe zaid. Na huvyo ndivyo mnazid kupoteza thamani kwa wananchi wenu. Twent twent ikifika razima mbwagwe nyy

  • @exavermolandi1101
    @exavermolandi1101 6 років тому +1

    Msigwa piga choko ilo la ccm

  • @edsonndogoro3188
    @edsonndogoro3188 6 років тому

    Eti huyo ndy mchungaji, eti huyo ndy mbunge, aisee huku kwetu tunaita mbunge masusu.

  • @ashasalehe7960
    @ashasalehe7960 4 роки тому

    mbunge muwache mshamb huyo

  • @robertmartin1589
    @robertmartin1589 5 років тому

    muchungaji gani mshenzi.

  • @ericlowasa3097
    @ericlowasa3097 7 років тому +3

    Safi sana msigwa hao mbwa hatutaki mazoea nao bata wa ccm ndo dawa yao umenifurahsha sana

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 6 років тому

    Nooma saana

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 5 років тому

    Dc kaufyata kwa mchngaji. Yaani askari wakikaa pembeni hawa wapambe hawana lolote.

  • @eliasandale7526
    @eliasandale7526 6 років тому

    Shida Hawa viongozi Iringa hawakuja kutatua kero wamekuja kupambana Na wabunge wa wapinzan ,maana hakuna kikao bila kuzungumzia wapinzani

  • @amenyekibona8730
    @amenyekibona8730 6 років тому

    amakweri umedata Msigwa,,,, Dc pongezi kwako anajichinja mwenyewe

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 4 роки тому

    Wachungaji hawagombani

  • @andrewchale3838
    @andrewchale3838 7 років тому +9

    uchungaji wako siuelewi , hata kama ulikuwa na haki hekima ya kikristo kama mtumishi wa kuigwa iko wapi?

    • @denickillanga8614
      @denickillanga8614 7 років тому

      Andrew Chale hekim cio kwer ujielew ma dc wanatumiw na wanajfny wan wz san

    • @zakiamaungazakia720
      @zakiamaungazakia720 7 років тому +1

      Pesa zetu wanyonge zinawatia kibur mungu anawaona

    • @bonnyngowo7567
      @bonnyngowo7567 6 років тому

      Andrew Chale Yesu pia alikasirika sembuse Msigwa?

    • @nathankihiyo9293
      @nathankihiyo9293 6 років тому

      Ujinga kumfananisha Yesu na msigwa, yesu alivyokasilika hakumdhihaki mtu, hapa tunamuona msigwa wa dharau, kukashifu na kujiinua

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 6 років тому

      Andrew Chale huyu jamaa ni mburula wala siyo mchungaji

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 4 роки тому

    Aibu Sana ukiwa nakiongozi mropokaji hivyo kama Msigwa duuuh uongozi nibusara na hekima well done DC

    • @moureenkirundwa8691
      @moureenkirundwa8691 4 роки тому

      Unafurahia kuburuzwa e, aliyoyaongea msigwa kikawaida ni true ila ttz approach. Kwa iyo by conclusion Dc kazngua

  • @chelestinomatinya3002
    @chelestinomatinya3002 6 років тому

    ukitaka kuona ubovu Wa mtu utajua tu asa angalia aligombana na yule bado anataka agombane na huyu kijana mzuri mchapa kaz yaan mm ananikera san

  • @sifaelmugitu8018
    @sifaelmugitu8018 5 років тому

    Hii nchi imefikia kubaya sana. Tatizo awamu hii viongozi wanatafuta kick za kijinga tu kwakuwa anayewateua na yeye anapenda kick

  • @IvoFransis
    @IvoFransis Рік тому

    Ndo msemaji mkuu wa serikali. Genge la wahuni😊😊

  • @ramadhanibrahim7619
    @ramadhanibrahim7619 5 років тому

    Huyo DC Anakurupuka sn mambo yake kwenye ukweli bora umpe ukweli tu

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 років тому

    Hongera rais magufuli yote Hayayalikuwa hayapo utaona mengi Haya ni mambo yawanawake yamehamia kwa wanaume

  • @lucasjohn9143
    @lucasjohn9143 7 років тому +1

    Piga mkono huyo bata

  • @omarmohd5678
    @omarmohd5678 5 років тому

    Piga kubwa jinga

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 років тому

    Mchungaj anasema yamejaa yamemfika apa,,acha amtolee uvivu duhhh,,

  • @alicejoel3150
    @alicejoel3150 7 років тому +6

    msigwa hao wamezoea ni vibaraka wa ccm wanatumiwa

  • @chaxysimon664
    @chaxysimon664 6 років тому

    nimekumbuka enzi zangu zile za kitambo, mstari unachorwa chini afu mwezio anakuambia vuka kama wewe ni mwanaume haaaahaahaaa

  • @Smartboy-wt1es
    @Smartboy-wt1es 6 років тому

    Dc kitu gani bhana? Msigwa anamaanisha anachosema, wanazoea vby

  • @alexmwashiuya7582
    @alexmwashiuya7582 6 років тому +1

    tunduma

  • @nyalukyando1196
    @nyalukyando1196 7 років тому +1

    mtolee uvivu baba

  • @danielmpokasye6108
    @danielmpokasye6108 4 роки тому

    Daaaa mama yake msigwa angezaa tena kama huyu saf kbs hamna kuburuzana hap

  • @erodycostantin6866
    @erodycostantin6866 6 років тому

    kiki zingine za kimavitu ndio munaenda kutunga sheria za kimavitu