Msigwa hana hoja ni nyoka mkubwa sasa yuko ccm si kimsimamo bali kutafuta cheo hakuna lingine anajua wazi ccm ni chama cha ovyo kilichojaa wala rushwa kuliko chama chochote kile
Huyu jamaa alisha kuwa tapeli kama matapeli wengine, kwani ilikuwa lazima ahamie ccm? kwa jinsi alivo kuwa ametangazwa na Msukuma wa Geita kabla hajahamia ccm ilipaswa aone aibu kuhamia ccm, Msukuma alituambia kunarushwa anapewa na ccm kama anabisha aseme na hakusema matokeo akahamia ccm, nani mkweli kat ya yeye Msigwa au Msukuma.
Yaani msigwa hatukuelewi bora ungeaxha siasa ili mazuri uliyotenda ya endelee vizuri na kuwa kumbukumbu ila huku umeenda kujipaka mavi na kuyafuta yote uliyotenda kwa tamaa ndugu Maana hakuna mtu anayekuelewa hata mmoja yaani hata familia yako najua hawakuelewi
Nilimuheshimu sana msigwa hasa katika misimamo aliyokuwa nayo kwakuongea...ila nimegundua hana misimamo yeyote kiuhalisia...msigwa umetuvunja moyo sana.
Duuuu...nakushauri MSIGWA pata muda kujitafakari na nafikiri hata huo UCHUNGAJI ilikimbia hivi hivi....Archana na SIASA na urudi ktk UTUMISHI ULIOITIWA AWALI
Kwa kuwa ulishaamua kuwa upinzani usingeenda CCM kwani uliwatukana sana na kwaita ni akili ndogo inaongoza akili kubwa ulikataa na kuupinga mkataba wa DP World na ukaapa ukikihama CDM nyumba yako ichomwe moto unafahamu biblia inatuonya kuhusu matumizi ya ulimi na ile nadhiri Mungu aliipigia muhuri wewe ukiwa Mchungaji anawafundisha nini waumini wako unakowahubiria kwamba unaweza kumdhihaki Mungu kwa viapo visivyozingatia amri za Mungu basi ungejiunga na ACT wala usingepata wakati mgumu kila siku kwenye vyombo vya habari na lawama na matusi unayorushiwa huoni unaathiri familia yako kuyasoma maoni ya wanapchukia uamuzi wako
Hiyo kauli ya mwenyekiti kwamba usipite nina uhakika kwamba walishaanza kuona sintofahamu kutoka kwake. Upelelezi walishaufanya kutumia intelijensia ya chama na wakabaini ameshaanza kuwa mwasi
Hyu hata uchungaji angeacha tu aendelee na siasa tu, maana hata huo uchungaji sijui Ni wa kuchunga vitu gani. Tamaa zaidi kama manara ambaye alisema hata akifa maiti yake haitakuwa yanga, baada ya cku chache kaibukia Jangwani yanga.
Nenda bn unapenda madaraka sana, baada ya uchaguzi Kila mgombea alipewa nafasi ya kuongea, na ukasema kwamba umekubaliana na matokeo na hamna shida yoyote, na unahaidi kutoa ushirikiano wa Kila namna ,afu baada ya kununuliwa na ccm, leo unasema ulionewa inasikitisha sana😢😢😢,. Na Ni ww huyuhuyu uliesema siku ukihamia ccm waje wachome nyumba na magari au wachukuee vp leo tukifanya hivuo utaenda kushtaki?? Na wakati ushahidi upo!!!????😢😢😢🎉
Unafiki unapoanzia kwa mtu anayejiita mch, ni jambo baya sana. Mimi najua kilichomponza Msigwa ni njaa. Pili ni mtu mwenye tabia ya uchungu, kisirani, kisasa, hasira na kigeugeu. Atavuna alichopanda.
Odemba uko vizur kakah
Odemba anajua sana sana
Msigwa ni mtu hatari Sana anajifanya mtu wadini kumbe ni nyoka
Msigwa hana hoja ni nyoka mkubwa sasa yuko ccm si kimsimamo bali kutafuta cheo hakuna lingine anajua wazi ccm ni chama cha ovyo kilichojaa wala rushwa kuliko chama chochote kile
Yuda isikariote huyo
Mungu akulinde odemba wewe ni msema ukweli na mtu wa mungu ubarikiwe
Ungetoka CHADEMA na kuamia ACT tungekuelewa. Huko CCM umefuata TEUZI.
WENYE AKILI TUMEKUJUA
ACT na CCM ni wale wale chunguza.
Kweli kabisa
kwahiyo zitto ni CCM?? @@bamdogokiki1486
Msaka tonge ww tena afai ata kuitwa mchungaji mana ni aibu mchungaji kuwa na njaa sana
MSIGWA ALIPO KUJA NAIROBI NILIMUONA KAMA MZALENDO MTETEA NCHI KUMBE NI MCHUMIA TUMBO TUU
Tapel tu huyu bwana
Huyu jamaa alisha kuwa tapeli kama matapeli wengine, kwani ilikuwa lazima ahamie ccm? kwa jinsi alivo kuwa ametangazwa na Msukuma wa Geita kabla hajahamia ccm ilipaswa aone aibu kuhamia ccm, Msukuma alituambia kunarushwa anapewa na ccm kama anabisha aseme na hakusema matokeo akahamia ccm, nani mkweli kat ya yeye Msigwa au Msukuma.
Hata Mke na watoto wako watakuwa wanakudharau Msigwa ni kwa sababu tu hawakwambii. Umeaibisha sana sana
Msaka tonge huyo na sio mchungaji Ana ndimi mbili
Mzee umejikaanga mwenyew Ila huko uliko hata jiwe Lina pewa teuzi kubwa
Hata angekua na mavi kwrnye shati. Ataitwa kiongozo msafi. Ccm ni hovyo sana.
Huyu ni mch. au msanii kwa sasa hovyo kweli kweli namfananisha na kinyonga😂😂😂☝🏼☝🏼☝🏼
Yaani msigwa hatukuelewi bora ungeaxha siasa ili mazuri uliyotenda ya endelee vizuri na kuwa kumbukumbu ila huku umeenda kujipaka mavi na kuyafuta yote uliyotenda kwa tamaa ndugu
Maana hakuna mtu anayekuelewa hata mmoja yaani hata familia yako najua hawakuelewi
Mchungaji acha utoto
safi sana njoo ccm chama kikubwa chenye misingi imara
Odemba hapo hakuna kiongozi Bali kuna mtetea tumbo lake
Kibabu kinafiki hiki
Kibabu kina uchu wa vimadaraka
Sawa.Huyo muandishi ni CHADEMA.(AMA MPINZANI) NA WOTE WANAOMSIFU NIWAPINZANI
Msimwite mchungaji Bali mwanasiasa Msigwa, Ukiwa mchungaji siasa hairuhusiwi na katiba zote za Dini ya kikristo labda dini zingine sijui.
For sure he don't deserve the title mchungaji Jamii imwite tu msigwa
gwajima je
Siii hasa..wa kwanza kwenda motoni ni shetani. Wa pili ni mwanasiasa ispokua mwalimu Nyerere
Hilo linguo tu liko tofauti na wewe ama kweli pesa inanguvu sana hongera
Paka shume uyo
Nilimuheshimu sana msigwa hasa katika misimamo aliyokuwa nayo kwakuongea...ila nimegundua hana misimamo yeyote kiuhalisia...msigwa umetuvunja moyo sana.
Njaaaa2
Hongeta odemba mvhungaji anashangaza kigeugeu muongo mgombanishi na tamaa kibao
Msigwa ni hazina ya nchi hataki kubuluzwa
Odemba ni kichwaaaaa namkubali sana aisee
Odemba upo juu sana , umemuuliza mswali jamaa anajikanyaga tu .njaa imemuhamia kichwani huyo
Odemba wewe upo vzr sana sanaa
Mchungaji tapeli huyu,hata ccm wamwangalie
Odemba ni mwandishi smart sana
Kiongozi masuala ya kimahakama na siasa ni mambo mawili tofauti...... Yaani unakubali kutoa talaka halafu unaikana....
Hamna kiongoz hapa
Muandishi wa habar masual yake yanafurahisha vby sana
Tapeli tuu huyu cyo mchungaji ni mhuni mchumia tumbo
heshima imeshuka😢
Njaaaaaaa mbaya kolo huyu dahhhhh atariiii sanaaaaaaaa
Njaaa mbayaaa
Yaan kwa Sasa Hata ukizungumza hakuna anekuelewa Hata ccm hawakuelewi na hawakuamini kumbe. We Mwaka Tonge
Huyu p mcgwa mnafikikigugeu wa kweli
Msigwa amejinyea aibu aibu mpaka kifo chake hatamunguwake hatamupokea
Msigwa nilikueshimu Sana tu lakini kwa sasa sikuamini tena
Mwongo sana msigwa mtafuta pesa mchumia tumbo huyu Hana jipya
Kwan huyo mtu mwanzano alkuwa hali na kunywa pombe??😂😂Msigwa ni kiaz
Njaaa ina msumbua uyo YUDA
Kweli siyo kila kinachong'aa ni dhahabu mengine ni taka taka.
Mwambaa anajuaa sanaa namkubali point zake😂
Huyo ni yuda wa wakati wa yesu
Huyu mchungaji uchwara, njaa sana..
Ana hakiri huyu alafu c mchungaji anazini na viongoz wa chama kama anakataa aseme
Ukiwa mwenyeki wa kanda wew ndo unajiandalia uchaguzi kwann uibiwe
Acha kuforce kudanganya,,,msigwa
Jamaaa Hana Hoja Anazungusha zungusha Tuu 😂😂
Msaka tonge huyo kanjanja tu
Kaka odemba huyo sio kiongozi tunahangaika na wachumia matumbo huyo sio kiongozi ni mbabaishaji tu anayeongozwa na njaa kali.
Umewakosea nini hadi wakufanyie ivyo
Mtu wa hovyo sana huyu
Njalaa mbaya sana
Ukiangalia msigwa macho utajua nimuongo
Duuu!
Ndo maana walitake side maana walikujua wewe ni mtu wa nammna gani na umewaprove right
Njaa na wivu utakuuwa
Jingaaaa tuuu"njaaaaaa
Huyu Mzee mbabaishaji tuu ndio maana Kanda ya Nyasa walimkataa.mtu hata kujieleza hawezi.
Umeshaanza kuzeeka Msigwa, chezea maokoto wewe😮😮
Kwa ilo domodomo ata ccm hatukutaki,
Ni kigeugeu huyo,
Wewe na Joshua nasari ndio walewale
Duuuu...nakushauri MSIGWA pata muda kujitafakari na nafikiri hata huo UCHUNGAJI ilikimbia hivi hivi....Archana na SIASA na urudi ktk UTUMISHI ULIOITIWA AWALI
Msigwa kwani hilo shati msigwa amebatizwa nalo mbona anavaa green 💚 zaidi ya Wana ccm wenyewe yanekana Hilo shati lenyewe ni rushwa
Kwani huyu Mzee ni Mchungaji wa Kanisa kweli?!
Ndo mwisho was siasa Kwa msigwa
Huyu angeshinda asingeenda ccm
😅iyo minguo imekuzesha kaa libabu😮
😂Dunia inaenda kasi sana siamini ndio Msigwa kavaa hilo shati dah njaa hizi
Kwa kuwa ulishaamua kuwa upinzani usingeenda CCM kwani uliwatukana sana na kwaita ni akili ndogo inaongoza akili kubwa ulikataa na kuupinga mkataba wa DP World na ukaapa ukikihama CDM nyumba yako ichomwe moto unafahamu biblia inatuonya kuhusu matumizi ya ulimi na ile nadhiri Mungu aliipigia muhuri wewe ukiwa Mchungaji anawafundisha nini waumini wako unakowahubiria kwamba unaweza kumdhihaki Mungu kwa viapo visivyozingatia amri za Mungu basi ungejiunga na ACT wala usingepata wakati mgumu kila siku kwenye vyombo vya habari na lawama na matusi unayorushiwa huoni unaathiri familia yako kuyasoma maoni ya wanapchukia uamuzi wako
biblia inasema usiwe na kauri mbili,ww una kauri mbili huna sifa
Mzee msigwa ni mpuuzi tu
Usimwite mchungaji unaaibisha cheo Cha uchungaji
Kama kuna wilaya mpya itaitwa mchumia tumbo apewe huyu mchungaji
Kwani pale ulikuwa mahakamani wakati unatamka hayo
Msigwa hana hoja za maana..madai yake ni mepesi sana
Mmmmmh ila pastor!?
Mwizi uyo
Duhh naipenda sana siasa😂
Huyo msigwa ni mwehu msaka tonge
Odemba 🫡🫡 👆👆
Hahahaaa kama angeshinda angehama?Hana majibu
Hiyo kauli ya mwenyekiti kwamba usipite nina uhakika kwamba walishaanza kuona sintofahamu kutoka kwake. Upelelezi walishaufanya kutumia intelijensia ya chama na wakabaini ameshaanza kuwa mwasi
Hyu hata uchungaji angeacha tu aendelee na siasa tu, maana hata huo uchungaji sijui Ni wa kuchunga vitu gani. Tamaa zaidi kama manara ambaye alisema hata akifa maiti yake haitakuwa yanga, baada ya cku chache kaibukia Jangwani yanga.
Nenda bn unapenda madaraka sana, baada ya uchaguzi Kila mgombea alipewa nafasi ya kuongea, na ukasema kwamba umekubaliana na matokeo na hamna shida yoyote, na unahaidi kutoa ushirikiano wa Kila namna ,afu baada ya kununuliwa na ccm, leo unasema ulionewa inasikitisha sana😢😢😢,. Na Ni ww huyuhuyu uliesema siku ukihamia ccm waje wachome nyumba na magari au wachukuee vp leo tukifanya hivuo utaenda kushtaki?? Na wakati ushahidi upo!!!????😢😢😢🎉
Unafiki unapoanzia kwa mtu anayejiita mch, ni jambo baya sana.
Mimi najua kilichomponza Msigwa ni njaa.
Pili ni mtu mwenye tabia ya uchungu, kisirani, kisasa, hasira na kigeugeu.
Atavuna alichopanda.
Afute jnaa la mchungaj
Eti alinunua pombe haha 😂
Umekosea na mtu mmoja kwnn ukichukie chama??
Kwanza uchungaji mnampa uchungaji wa vitu Gani jamani
Mlevi wa madaraka
Mch. Wa kanisa gani????
Tunakua wakombozi tamaa inatoa kwenye msitali
Tutafute pesa wazee!!!! Wanasiasa !!! mmmmh