Mungu wa mbinguni Akuzidishie Great Man of God.. Napenda saaama Maubiri na Mafundisho yako yatokayo Kwa Baba Mungu .....Jina la Yesu Lihimidiwe Mile na milele Daima...Amen . Amina . Shallom❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
I was in a moment of prayer and this sermon just popped on my youtube. I was worshipping and I know this sermon didn't just show up. Its speaking to me. Asante Mtumishi. You have touched a gal in Kenya going through divorce
Thank you pastor for the word, nimejifunza mengi saana na zaidi ya yote nimepata wakovu kwa haya mafunzo. You have gained a follower. May Almighty God continue to use
Thank you God of pastor George I have been waiting mafundisho kama hii. And am starting praying now. Coz nataka kumjua huyu Mungu zaidi, namimi namwahidi Mungu baba yakuamba sitamwacha kama vile Elisha hakumwacha Elijah ...Hadi alichokipata kile alikua kusudi nalo🙏
Mungu naomba akutunze Sana pastor maana umetuvusha kiroho Sana, na niombe unisaidie Sana mawasiliano kwa msaada maana ninatamani. Nimlingane mungu wangu nisaidie mchungaji,asnte nakushukur
Amina Baba umenipa siri nzito Sana yenye Lulu ndani yake uzidi kuishi maisha careful ili tuzidi kujifunza kwako nakuelewa Sana pasta George Yesu akutunze
Nimerudi kwa yesu kupitia hili neno lm saved from now in Jesus name amen
Wow.. Amen🙏🙏
Mungu akutie nguvu katika hili uzidi kumjua zaidi jina la Bwana libarikiwe. Amen 🙏 🙏
Ameeeni Limebadilisha jinsi ya kuomba
Amen 🙏🙏
Napenda mafundisho kama haya .ambayo ni adimu kuyapata
Jamani naombeni no ya kutolea sadaka yangu nikufatilia sana baba yangu Mungu akutunze sana
I don't know this pst was just scrolling and i saw his teaches. i feel blessed with this topic jensi ya kuomba.
My first time listening to your teachings umenijenga naona nikibadilika
Pasta hongeren ninapenda sana mahubir yako ninaelewa pamoja na kuwa Mimi ni muislam
Haitatokea tena kuzaa na kla mwanaume na niachike in jesus name amen 🙏🙏🙏
Mungu akupe ndoa ya madhabahuni.
Haitatokea in Jesus name 🙏
@@stelapeter9243Amen
Sante sana mtumishi umekuwa baraka sana kwangu ubarikiwe sana
Asante kwa mafundisho, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Huyu pastor 🙌🙌🙌 Mungu akubariki sana pastor. We are blessed to have you 🙏
Amen 🙏
Mungu ameachia kipawa kikubwa ndani yako, Ubarikiwe mno na uzidi. Amen
Njoo fungua brach Daresalaam nitakuwa muumini wako pasta nakuelewa sana bwana Yesu akulinde
Mafundisho kama haya ni adimu Mungu azidi kukutumia.
Amen san pastor nimejifunza kitu MUNGU azidi kukuinua mtumishi wa MUNGU 🙏🙏
MUNGU MLINDE HUYU MTUMISHI WAKO.. MAFUNDISHO YAKE YANATUSAIDIA SANA.
Amin baba nimebarikiwa na neno
Asante sana mtumishi wa bwana.
This word came at the right time to me thank you servant of God
Amen 🙏💝
Really this word is for me,,and due to weakness of praying,God has given me some talents I need to put more effort
Mungu wa mbinguni Akuzidishie Great Man of God.. Napenda saaama Maubiri na Mafundisho yako yatokayo Kwa Baba Mungu .....Jina la Yesu Lihimidiwe Mile na milele Daima...Amen . Amina . Shallom❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
This is bringing the total transformation to me🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana kwa neno ili nimebarikiwa katika jina la YESU Christo
Kwa kweli Mungu akubariki pasta geoge nimejifunza mambo mengi kutoka kwako.barikiwa.
Praise God,mtu anitumie no.yenye naweza toa sadaka nayo juu yenye ntuma nayo haiendi.nko Kenya plz huyu pastor amekua baraka kwangu Sana.thanks
Tumia account ya bank imewekwa hapo,KCB Bank
Asante mtumishi, neno ni uponyaji. Naamini kwa neno lako hili nimepona. May God bless you 🙏
Powerful teaching ..Kusudi saba za Maombi!
Ameen🙏🙏 Barikiwa sana Pastor 🙏🙏
Hakika nimebarikiwa mno .....Mungu akubariki pastor
Hallelujah powerful message MUNGU akubariki sana mutumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏
Nakushukuru mungu kwa neno lako kupitia mtumishi wako ,Leonatakanikujue na Nini kusudi lako juu ya maisha yangu
Shalom baba mafundiyo haya yameniponya asante sana baba
Mtumishi safi saut safi yaan upako unakuja bila shida
Siyo kwingne makelele hata anacho ongea hakieleweki
Amen,,Kila misukosuko ya pharaoh kwa miaka ya nyuma naikomesha kwa jina la Yesu kristo,,npee mwanzo mpya
I was in a moment of prayer and this sermon just popped on my youtube. I was worshipping and I know this sermon didn't just show up. Its speaking to me.
Asante Mtumishi. You have touched a gal in Kenya going through divorce
Lloyd aw
Pastor you always bless me alot
Mwalimu wa haina hiii utoka kwa Mungu tuu.nimebarikiwa kuyasikia ayaa mafundisho.
Powerful teaching, God bless you man of God
Amen
Asante mtumishi wa Mungu umenifungua pakubwa sana
Amina Amina pastor nimepokea maarifa mpya
Hakika Nimejifunza sana na nitafanyia kazi niliyojifunza kumbe watu hatujui Kuomba tunaangalia zaidi shida zetu badala ya kumwangalia Mungu
Ameen Ameen nimejifunza maneno mazuri ambayo sikuwa na ugahamu
Nimejifunza mengi na tutabadilisha jinsi ya kuomba mungu akubariki sana mutumishi wa mungu
Mwalimu umenijenga kila Mara, Ubarikiwe
Hakika nimejifunza siri kubwa sana, barikiwa mchungaji
Mateso niliyoyapitia hayatarudi tena mara ya pili in Jesus name 🙏🙏🙏 natarajia jambo jipya kutoka kwako kristo Yesu mwana wa mungu aliye hai🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen ! MUNGU YETU ALIYE JU azidishe tena na tena neno yake ndani mwako Pastor mu JINA LA YESUS CHRIST WA NAZARETH AMEN
Mi nimejifunza vitu vingi Sana Jamani wenzetu mwanza wanafaidi,Ubarikiwe mtumishi
Amina kwa mafunzo mazuri
Amen
Amina nimepata jambo jema sana
Amen
Nashukuru sana pastor nimejifunza mengi mno haki wengi tunamkosea mungu.
Napataje namba yako. Nahitaji kuongea na wewe please
Ubarikiwe sana mtumishi wa mngu nilazima tupambane nakila njaribu tusi Kate tamaa bado mngu yupo Asante 🤲🏼🙏🏼🙏🙏🙏🏼🙏🙌🙌🏼🔥👏👏🔥👏
Mungu azidi kukutumia pastor
Ameni Ameni ubalikiwe sana mtumishi nime balikiwq pia na mafunzo yako
Thank you pastor for the word, nimejifunza mengi saana na zaidi ya yote nimepata wakovu kwa haya mafunzo. You have gained a follower. May Almighty God continue to use
Thanķ man of God
Amen mtumishi nmesikia haya maubiri yako leo nmebarikiwa Bwana azidi kukuinua Amina
Thank you God of pastor George I have been waiting mafundisho kama hii. And am starting praying now. Coz nataka kumjua huyu Mungu zaidi, namimi namwahidi Mungu baba yakuamba sitamwacha kama vile Elisha hakumwacha Elijah ...Hadi alichokipata kile alikua kusudi nalo🙏
SoMo la Leo limenitoa mahali furani😊
Mungu naomba akutunze Sana pastor maana umetuvusha kiroho Sana, na niombe unisaidie Sana mawasiliano kwa msaada maana ninatamani. Nimlingane mungu wangu nisaidie mchungaji,asnte nakushukur
Powerful pastor be blessed nmejifunza kitu
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu,umenibadilisha kabisakwa mafundisho haya,watu wengi hawana mafundisho,na kweli tunaomba vibaya sana,
Amen mtumishi wa mungu naamini yalio nifanyikia mwezi jana hayatarudiwa tena.NEVER AGAIN.ubarikiwe sana kwa neno lako lenye mafundisho.
Asante Yesu nimesikiliza hil somo nimefunguliwa mnooooo Ubarikiwe mtumishi
Bwana Yesu asifiwe nimetaka kutuma sadaka kupitia lipa ila hamjaandika ninmtandao gani
Be blessed Pastor Kwa mafundisho Yako yameniongezea maarifa
Ubarikiwe naBwana Mtumishi wa Mungu Mungu akuinue kutoka utukufu hadi utukufu amen
Amina sana zaidi na zaidi uzidi kubarikiwa
Nimebarikiwa Ameen
Thanks so much God bless
Ubarikiwe sanaa mtumishi wa bwana. Asante kwa mahubiri mazuri.
Asante Mungu wangu kwaneno hili amen
Barikiwa sana mtumishi 🙏🙏🙏 kwa maana tunahitaji kujazwa kiroho🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Nabarikiwa sana na mafundisho ya Pastor George
Shalom Pastor George! Hongera na Asante sana kwa mafunzo mama! Baraka
Hallelujah tutashinda zaidi ya kushinda katika yeye aliyetupenda, Ahsante Mungu kwa ajili ya Mtumishi wako nabarikiwa mnooo.
Hakika Mungu amesema na mimi kupitia mtumishi wake Asante na barikiwa sana 🎉
Bwana Yesu asifiwe, kweli ni siri ya maombi ubarikiwe sana na neno endelea
Praise God nabarikiwa sana kapa kenya
Amen GOD bless you pastor George, kwa mafundisho mazuri hakika MUNGU atusaidie
Asanti sana mutumishi WA Mungu
Mafundisho mazuri sanaa yesu nisaidie
amina Baba Mungu azidishe mafuta ya kufundisha ili kufungua vifungo.yoh8:31-32
Asante sana mtumishi kwa neno hili limenifundisha mengi sana .acha mungu akubariki naakutende mema🙏
Asantee Mtumishi wa MUNGU
Najiungamanisha na madhabahu hii kwa jina la yesu🙏🙏🙏
Ahsante mtumishi Ubarikiwe!!! Kuanzia leo nalitafuta kusudi lako katika maisha yangu,,,,,Ameen
God bless you and give you long life paster George umenibariki sana
powerful teaching am blessed man of God
Asante mtumishi wa mungu kwakulitangaza injili.
Mtumishi mungu akupe maisha marefuuuu amen❤
Amina Baba umenipa siri nzito Sana yenye Lulu ndani yake uzidi kuishi maisha careful ili tuzidi kujifunza kwako nakuelewa Sana pasta George Yesu akutunze
Baba akubalik nimeng,oa shatan wakuachika kwenye maisha yangu 1:16:03
Umenibari sana mtumishi mungu akupe miaka migi yakuishi 🙏🙏🙏
Tanzania,mutanufaika spiritually with pastor George..., watching from Mombasa.
Amen baba maubili yako yananifunza mengi pia yananiokowa kwavingi mungu azidi kukulinda 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Mtumishi Mungu akuongezee mafuta zaidi,nabarikiwa na mafundisho Yako mno, ubarikiwe.
Thank you lord Jesus for talking with through spiritual life 🙏🙏
AMEN 🙏🙏. Pastor powerful teaching God bless you man of God 🙏🙏🙏
Amen barikiwa sana mtumishi Siri ni kuomba MNGU 🙏
Mungu akutunze kwa ajili yangu mtumishi.Nimebarikiwa .
Nimebarikiwa sana Asante mtumishi Mungu akutumie zaidi
Amen mchungaji kwa kweli nimeona maana sibarikiwi kwa kweli mm hupapasa maombi asante sana kwa mafunzo Mungu zaidi kukuinua kabisa
Asante mchungaji kwa kutupa Neno na kutambua namna ya kuomba Mungu Akubariki
The word is so powerful today ni ombi langu y kwamba nikajue kusudi LA mungu katika maisha yangu
Thank you so much man of God...may God keep you for us🙏🙏
Asanteee mtumishi wa Mungu, Mungu akubaliki sana